MAKONDA AMUWASHIA MOTO MKURUGENZI''SIPOTEZI MUDA MIMI,UMENIUZI SANA/NIMEMKAMATA AKILA RUSHWA........

  Рет қаралды 58,834

JAMBO TV

JAMBO TV

16 күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZfaq: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 191
@user-tb7qw5oh1h
@user-tb7qw5oh1h 14 күн бұрын
Kamanda Makonda unafaa kuwa kiongozi mkubwa,Mungu akubariki Kwa ujasiri huo.Amina
@daniel.shao.9028
@daniel.shao.9028 13 күн бұрын
Chuma kinazidi kuiva Mwenyezi Mungu akulinde na kukuzidishia hekima Ndg.Paul Makonda.
@melkizedck
@melkizedck 14 күн бұрын
Ila Makondo ana moyo wa ajabu. Yaan! Ana moyo wa huruma.
@toney..
@toney.. 14 күн бұрын
Mh. Makonda Raisi wetu wa baadae, hata kama haitakua mwaka 2030,ila lazima uwe raisi wa Tanzania, sooner or later.... Mungu akubariki ❤
@AbdalaHamadi-fv4qh
@AbdalaHamadi-fv4qh 13 күн бұрын
Watu wanao pitia mazingira magumu ya maisha wakipata nafas huzitendea haki .mung ajalie watu kama makonda wawe wengi zaidi.amiin
@tungarazalaurent2602
@tungarazalaurent2602 12 күн бұрын
Una talent ya uongozi broo ....unakula MB zangu sana mpaka zinaisha daaah
@ndetiyomafie4624
@ndetiyomafie4624 14 күн бұрын
Nakutia moyo shujaa 🎉na kamanda wa Mkoa wetu.
@user-tb7qw5oh1h
@user-tb7qw5oh1h 14 күн бұрын
Kiongozi kama wewe umechaguliwa na Mwenyezi Mungu.Dr.Samia hembu mfikirie saana huyu Mtendaji wetu,maana nguvu aliyonayo ni zaidi ya Mkuu wa Mkoa.Mungu ambariki saana.Amina
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 10 күн бұрын
Comrade Paul Makonda Mungu akulinde, your such an amazing leader👏👏👏👏
@riazshaikh8577
@riazshaikh8577 14 күн бұрын
Tanzania tutaendelea kwa mfumo huu, hongera sana Makonda watching you from California
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r 13 күн бұрын
Kumpenda Mungu kuna faida kubwa . Makonda anampenda sana Mungu hapendi mtu yeyote aonewe .na hii ndio inakubalika hata kwa Mungu. Ubarikiwe sana na Mungu akulinde sana
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 14 күн бұрын
Asilimia 99 ya viongozi wa hapa tz makonda amewaacha mbali sana
@geophreyhizza6315
@geophreyhizza6315 14 күн бұрын
Umeboreka sana bro, siku zinavyozidi kwenda unaimarika MUNGU aendelee kukupigania huenda baadaye MUNGU akipenda uwe nafasi ya juu kabisa kwenye hii inchi.
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 14 күн бұрын
MOTO JUU YA MOTO BRAVO MAKUFULI JUNIOR NAKUOMBEA MUNGU USIMAME KATIKA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI 👏 👌 🤣 👍 💪
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 12 күн бұрын
Heshima yamtu ni Busara kukua kwamtu nihekma zake Kiukweli hata wapumbavu nao wanazeeka maana siokila Mtumzima ana Busara Makonda Bado nikijana sana lakini anaonekana Anabusara Na Hekma Mungu akukinge na Husda yawasiopenda Maendeleo ya Taifa letu Mungu Ibariki Tanzania Mungu Wabaraki Viongozi kama Makonda Ilitaifa liwe salama Nalakujisifia
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 13 күн бұрын
Mh Mkuu wa Mkoa-Arusha tunaomba ktk shuguhuli za kutetea haki siku moja basi nendaga magerezani ukakutane na wafungwa na kesi zao kiongozi wangu. Asante
@user-py8ih8jr4b
@user-py8ih8jr4b 14 күн бұрын
Makonda ww ninavyoweza kusema nimsaidiz wa mungu sku nataman uwe lais
@riazshaikh8577
@riazshaikh8577 14 күн бұрын
Sio laisi ni Raisi bana
@JacksonFrances
@JacksonFrances 14 күн бұрын
Na wewe umekosea Siyo Raisi Bali ni (Rais)"​@@riazshaikh8577
@krizofrancisco5310
@krizofrancisco5310 13 күн бұрын
Acha uchawa Mungu Hana msaidizi
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 12 күн бұрын
​@@krizofrancisco5310m pumbavu wewe hujielewi
@ChristianMwashitete
@ChristianMwashitete 8 күн бұрын
Nzuri sanah hiyo mh.makonda.unafaa kua kiogozi wetu mkumba zaidi ya hapo mungu atakuinua.christian.mwashitete.from mbeya,
@user-rw7ww2yd7i
@user-rw7ww2yd7i 12 күн бұрын
Mungu aendelee kukulinda na kutupigania tumaini letu watanzania mhe makonda piga kazi
@frankchaula8674
@frankchaula8674 14 күн бұрын
Kukusikiliza naona maisha yangu yamekua mepesi
@user-hk2oz2eg4j
@user-hk2oz2eg4j 14 күн бұрын
Duh! Dr Samia mpe huyu kijana nchi kwa miezi mitatu tu akusaidie kisha tuangalie. Hapo nafikiri watu wote watakaa sawa.
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 14 күн бұрын
Apewe kazi isiyo na mipaka
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 14 күн бұрын
Mkurugenzi kashiba rushwa top😮!! RC Makonda chukua maua yako 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌷🌷🌷🌷🌷🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉✔️✔️✔️✔️✔️❤
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 14 күн бұрын
Huyu ndiyo makonda hata ukimsikiliza anaongea kwa kumaanisha kweli kweli kuwa nimpenda haki.
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 11 күн бұрын
Murch love❤❤❤❤Makonda
@rosehaule6765
@rosehaule6765 12 күн бұрын
Hakika ❤kaka Mungu akupe ulinzi mkubwaa barikiwa baba kegan
@HappyAnacondaSnake-zl4vj
@HappyAnacondaSnake-zl4vj 14 күн бұрын
DAMU YA YESU KRISTO UKUFUNIKE JUU DHIDI YAO WANAOKUWAZIA MABAYA,TUMIKA KWA KUTENDA HAKI YESU YUNAWE AMINA
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 13 күн бұрын
@alphoncenerlimbweni6233
@alphoncenerlimbweni6233 14 күн бұрын
KAMA NINGEKUWA RAIS NINGEMTEUWA MAKONDA AWE MKUU WA MIKOA YOTE ILI AWAENDESHE WAKUU WA MIKOA NA KUWAWEKEA MIKAKATI NA KUWAADHIBIWA KAMA HAWAKUTEKELEZWA, MAANA ANA MAONO NA ANAMTANGULIZA MUNGU. HONGERA SANA KAKA YANGU KWA UTENDAJI MZURI KUFUFUA MIOYO ILIOPONDEKA.
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 14 күн бұрын
Makonda piga kazi mpaka wanyooke
@daudimichael7338
@daudimichael7338 14 күн бұрын
Unawazidi wenzio kwa mbali sana. Mungu akulinde.
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 14 күн бұрын
Mhe Makonda hao watu watakua ni waizi wazoefu hata majuzi fulani tu miezi mitatu iliyopita kulikuwa na kikao kama hicho na huyo muhindi alipasua majipu hayo hivo hivo lkn nikashangaa hakuna kilichofanyika.
@user-qg7fw7si5i
@user-qg7fw7si5i 13 күн бұрын
Mungu akibariki kaka yangu Makonda
@michaelmatonange630
@michaelmatonange630 14 күн бұрын
Akili mingi sana bro
@simonmasunga7398
@simonmasunga7398 14 күн бұрын
Congratulations Mr. Makonda. you have well said/ruled
@allykassim1120
@allykassim1120 14 күн бұрын
kamanda makonda pereka lumande huyo Kwa makosa yake mabaya
@dionizemmanuel-ml2vf
@dionizemmanuel-ml2vf 9 күн бұрын
Barikiwa mtu wa Mungu . Mwanza tunakutamani sana.
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 13 күн бұрын
Mamayetu Samia akamleta wajina wangu, Arusha Paulo makonda ili atuokoe cc Wana Arusha tunonyanyasea asante mam kutulete chuma hii amen
@allyjumakukulo4972
@allyjumakukulo4972 14 күн бұрын
Hongera sana kiongozi
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 14 күн бұрын
Mh. Makonda mfumo wako wa utawala ni wa Nordic countries. Nchi hii inaendeshwa kimarekani ambapo nguvu hutumika badala Ya akili.
@stanleybupambambogo3334
@stanleybupambambogo3334 11 күн бұрын
Ee bwana, namuona boss wangu wa zamani MR. SANJEE mmoja wa Wakurgenzi wa kampuni ya ROY SAFARIS ya jijini Arusha akiwa amekaa pembeni (kushoto) mwa WILBERT CHAMBULO. I salute you Mr. Sanjee!
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 14 күн бұрын
Mm makonda na Tundu lissu Hawa watu nawapenda sana
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 14 күн бұрын
Ingetakiwa mkuu wa wilaya arusha awe SABAYA alafu na makonda yupo wananchi tutakula bata mbaya sana
@marianmartin7483
@marianmartin7483 12 күн бұрын
Hapa kazi tu, kazi iendelee.
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 14 күн бұрын
Paul Christian Makonda(PCM)
@japhetkarori5230
@japhetkarori5230 13 күн бұрын
Wooh....(PCM)
@laizermaasai6759
@laizermaasai6759 14 күн бұрын
Nilichogundua mkurugenz alijua kila kitu kimeisha ile siku. Ila amesahau Makonda sio mtu wa maneno ni mtu wa vitendooo.(ndan ya siku mia leo day 1. 100/99)
@georgemwakalindile687
@georgemwakalindile687 12 күн бұрын
😀😀😀😀 wamekuja na ajenda yao ya kuzima moto wa millioni 24.....wamelipa m3....wamegawana m20....badala wachange hiyo m20 wairudishe ionekane wazi wazi what there intention was wao wanazidi kuwaudhi wenye akili....sasa ona aibu gani hiyo,wafanyabiashara wamegundua wadudu yao na evidence wanazo......Makondo naomba mahakama itoe mfano huko arusha......nyundo 20 jela au zaidi.....kisha Mama mwamishe Makonda mkoa mwingine au sema tu akimaliza Arusha nampeleka mkoa mwingine bila kuutaja......"utashangaa watendaji wa mikoa watakavyo anza kuuza mali zao😀😀😀
@kalashapastor
@kalashapastor 11 күн бұрын
Makonda Kwa mamlaka niliyopewa na Mungu makonda apewe kuwa waziri mkuu yuko implemented yuko safi kikazi Hata kuwa Raise anaweza kabisa nitamuombea sana
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 11 күн бұрын
Inaendelea kuthibitika kuwa Tanzania inahitaji viongozi wa aina hii (1)Jasiri asiye mwoga (2)mwenye hofu ya Mungu(3) mpinga rushwa kwa kumaanisha (4) mwenye kuwahurumia na kuwatetea wenye kuonewa (6) mkali asiye fanya mizaha katika utumishi wake
@salummussa9871
@salummussa9871 14 күн бұрын
Makonda ni kichwa akili,
@user-oq1zv2nv8n
@user-oq1zv2nv8n 12 күн бұрын
Kakaangu.makonda.vaaaa.basi.ata.zile.bufekti.za.kuzuia.risasi.unatufurahisha.sana.unatenda.haki.zote Bila.kuangalia.uyu.ni.tajiri.au.nimaskini.tutakukumbuka.utakapoamishwa.kupelekwa.mkoa.mwingine.
@agnesmogere413
@agnesmogere413 14 күн бұрын
Mungu akulinde sana mkuu,
@wilbroddaffi66
@wilbroddaffi66 13 күн бұрын
Tukiondoa tabia za kupenda vyama huyu jamaa ni kiongozi bora sana ni vile tu wachumia tumbo wanatumia machawa kutupotosha
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 14 күн бұрын
Daaah, wewe ni mtu na nusu🙏🙏🙏🙏🙏🙏. Mungu akulinde bwana Makonda
@mapinduzisylvester1903
@mapinduzisylvester1903 14 күн бұрын
Mkurugenzi demina ya uso wake anaonekana siyo msafi spiritually na physically 😢
@evanskabende3357
@evanskabende3357 13 күн бұрын
Sure
@yasminmohamed604
@yasminmohamed604 14 күн бұрын
Mikowa yote ingekuwa na mkuu km wewe tanzania ingekuwa dubai igeni bc jmn mungu akulinde
@apolinarymboya3231
@apolinarymboya3231 14 күн бұрын
Kaka kila secta inakufaa mungu akulinde utokapo na uingiapo tunakufuatiliya tuki babati manyata wanyooshe na usicheke na mtu ambae ana adabu na madaraka afilisiwe
@BedaKunguluche
@BedaKunguluche 13 күн бұрын
Huyu mwamba Makonda ni mtu makini saana
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 14 күн бұрын
Mh makonda usiwahurumie Wala rushwa wamewaumiza sana wasio na nguvu Wala nafasi.
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 14 күн бұрын
Ni mazoea machafu TU watu wengi wanafanya mkoa wa Arusha shamba la bibi hawashughuliki na matatizo ya watu
@bongo39
@bongo39 14 күн бұрын
Jamaa kaongea vizuri sana hongera hawa watendaji ndio wanaofanya kodi zisilipwe kwa sahihi huyo babu aliemlaumu atolewe akapumzike nyumbani
@PaulinaLwena
@PaulinaLwena 14 күн бұрын
Makonda Mungu atakucmamia kwenye kazi zako
@CristinLyanga
@CristinLyanga 11 күн бұрын
Mama Samia tafuta utaratibu wa kupeleka na mikoa mingine watu kama Makonda,sisi Watanzania tunataka watenda haki na wachapa kazi kama huyu jamaa. Jamani anachapa kazi eti, wewe fikiria mtu ni mkuu wa mkoa wa Arusha lakini hata sisi wa Mikoa mingine tunamtamani umlete Mikoani kwetu.
@materidaniel2365
@materidaniel2365 14 күн бұрын
Mh makonda mungu aliye hai aendelee kukulinda
@amosmahona433
@amosmahona433 13 күн бұрын
MOja kwa moja kutoka Nchini kenya.MH.Mungu akubaliki sana
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt 14 күн бұрын
Safi sana mheshimiwa Makonda Hawa sio wakukaa kwenye ofisi za umma kama huyu akanyee kwenye debe
@witnessriwa6576
@witnessriwa6576 14 күн бұрын
Makonda nakufunika kwa Damu ya Yesu wasikudhuru hao wezi
@MaryLee-sh4nd
@MaryLee-sh4nd 12 күн бұрын
Yaani makonda zaidi ya jembe, nakupa maua yako.Mungu akulinde
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 14 күн бұрын
Huyu Mkurugenzi Hatufai Kabsa
@user-kg9uz2hh1y
@user-kg9uz2hh1y 14 күн бұрын
hao wafanya kazi wa TRA
@reaganmtesha3007
@reaganmtesha3007 9 күн бұрын
Jembeeee
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 14 күн бұрын
Bando haliishi kama sjamsikiliza makonda
@musaguga
@musaguga 14 күн бұрын
Huyu mkurugenz hana kazi,hiyo nimetabiri
@makondorshimora5017
@makondorshimora5017 9 күн бұрын
Sasa huyu babu mkurugenzi hiyo hela anapekeka kwa waganga? Make hata muonekano wake mmmmh😌😌
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 14 күн бұрын
Uje na Mbeya mwanangu Makonda tunakuhitaji sana
@theodosiahaule5545
@theodosiahaule5545 13 күн бұрын
Mungu akuinue zaidi Kiongozi wetu. Kazi iendelee
@EsterAlex-dn1dx
@EsterAlex-dn1dx 7 күн бұрын
Naomba upambane makonda ugombee urais hiii nnchi itanyooka
@user-ny1tf2gg8g
@user-ny1tf2gg8g 13 күн бұрын
Ishi baba na Mungu akulinde sana
@veronicamokiwa4315
@veronicamokiwa4315 14 күн бұрын
La msingi sana ni maombi kwa ajili ya ulinzi wa Mungu juu yake si wote wanafurahia hii michakato ya kusidia watu
@user-nd9cm6yo9r
@user-nd9cm6yo9r 11 күн бұрын
Yaani Makonda natamani upewe mikoa 5 na ndani yake lindi ikiwemo
@laizermaasai6759
@laizermaasai6759 14 күн бұрын
Makonda yupo vizury sanaaa. Ongeraa pia chambulo
@user-eb2el9kw6m
@user-eb2el9kw6m 13 күн бұрын
Mheshimiwa Makonda ulindwe na malaika wa Mungu. Mimi sasa hivi ni chama cha kijani. Umenifanya nikipende chama kumbe kina watu wazuri kama wewe.
@magiramagesa37
@magiramagesa37 13 күн бұрын
Makonda❤❤❤❤❤ sana
@neemanyerere-drago5570
@neemanyerere-drago5570 14 күн бұрын
Huko kwenye serikali za mitaa, ndipo watendaji wa halmashauri wanajenga matabaka, wanakandamiza wananchi wakiidanganya serikali kuu kwa uongo na unafiki na taarifa za kutunga.
@RASHIDKHEIRBAGHDELLAH
@RASHIDKHEIRBAGHDELLAH 12 күн бұрын
Makonda chapa kazi Mungu wa Mbinguni yupo upande wako
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 13 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 9 күн бұрын
Unaonga kama autaki kumbe ndio unampiga mtu spana.
@victorcephas3618
@victorcephas3618 14 күн бұрын
Rais wetu 2030
@user-oq1zv2nv8n
@user-oq1zv2nv8n 12 күн бұрын
Kwanza.wewe.makonda.kakaangu.unaongea.ukweli.kama.magufuli.ila.nakuomba.usile.vyakula.vyakuletewa.lapili.usalama.wako.uchaguwe.wewe.mwenyewe.nakupenda.sana.unaakili.sana
@user-kt7ic9tg5p
@user-kt7ic9tg5p 14 күн бұрын
Makonda anastahili kua mkuu wa mikoa ,awasimamie wakuu wengine yaani awe mwenyekit wao na kuwafundisha kazi,yuko vizuri xana
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 14 күн бұрын
Hili ni Giza lipo hapo
@neemanyerere-drago5570
@neemanyerere-drago5570 14 күн бұрын
Watanzania tuko tayari kulipa kodi lakini watendaji wanatengeneza mazingira ambayo sio rafiki, lakini kwa style hii ya Mhe Mkuu wa Mkoa, ni wengi watakwenda kulipa kodi bila kukumbushwa. Taasisi za kusimamia kodi zinatakiwa kuwa rafiki kwa wafanyabiashara, maana bila mapato yatokanayo na kodi za wazalishaji uchumi, yaani wafanyabiashara, wakulima, serikali itashindwa kufikia malengo. Hao ni wadau muhimu sana katika maendeleo ya taifa, na hili jambo watendaji wanatakiwa watambue, unamfanyiaje ubabe anayekulisha??
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 14 күн бұрын
Lakini ninachokiona kingine katiba yetu ingerekebishwa, Haiwezekani wakurugenzi wengi wanaboronga hivyo mwisho wa sikubutasikia amehamishwa, Kwamba akaboronge sehemu nyingine!!!!
@user-hg4yy1qs7g
@user-hg4yy1qs7g 14 күн бұрын
Yan hakuna kama kaka makonda asante sana kaka
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 13 күн бұрын
Kwa kweli ufisadi umezidi maana ni kila kona ni bora hizo halmashauri zibinafsishwe Tu, ndio muarobaini wa kuondoa upigaji
@neemaayubu8012
@neemaayubu8012 12 күн бұрын
MUNGU aendelee kukuinua mh.
@StellaMwasha
@StellaMwasha 12 күн бұрын
Mungu akufunike konda
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 13 күн бұрын
Wako wengi sana mkuu asikali ndo kwanza wanakula rushwa kweri kweri
@user-eb2el9kw6m
@user-eb2el9kw6m 13 күн бұрын
Hawa watu wanapataje hizi nafasi? Watu kama hawa hawawezi kututoa hapa kutupeleka mbele
@wemakyagunya1895
@wemakyagunya1895 13 күн бұрын
Makonda wewe ni kiongozi Mkuu ujaye.
@SanareLaizer-en5it
@SanareLaizer-en5it 14 күн бұрын
Mama Samia mwaka 2025 kura yangu ipo
@tumahai157
@tumahai157 14 күн бұрын
Natamani siku Moja ukiwa Rais wa nchi hii ya maziwa na asali
Cat story: from hate to love! 😻 #cat #cute #kitten
00:40
Stocat
Рет қаралды 14 МЛН
Dit plan moet de oorlog in Gaza stoppen
3:05
NOS Jeugdjournaal
Рет қаралды 12 М.
Dit regelt het Europees Parlement voor je
3:41
RTL Nieuws
Рет қаралды 9 М.
Rechtbank: Oud-president Trump schuldig aan liegen over geld
2:07
NOS Jeugdjournaal
Рет қаралды 78 М.
Vierde editie van de 112Groningen Dag in Stad
5:51
RTV Noord
Рет қаралды 360
Cat story: from hate to love! 😻 #cat #cute #kitten
00:40
Stocat
Рет қаралды 14 МЛН