MANZESE WAFUNGA MADUKA WAKUSANYIKA NJE YA OFISI YA MBUNGE KITILA MKUMBO 'AMETUTENGA'

  Рет қаралды 10,643

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

21 күн бұрын

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 36
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 20 күн бұрын
Asante sana wadau . 7:00 Tumebaki na kodi za kikoloni zilizo kua zinazuia wazawa kufanya biashara
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 19 күн бұрын
Huyu mpuuzi anasema kwamba mama hapendi kodi za dhuruma..hivi hajui kwamba masuala yanayohusu kodi na tozo nimaswala yanayomuhusu rais Kila kodi lazima rasi asaini halafu inapelekwa bungeni wabunge kazi yao nikusema ndio Ikiisha pita inarudi kwasamia samia anasaini sasa inaingia mtaani kufanya kazi Halafu haka kadudumtu kanasemanmama hapendi dhuruma Kaka huyo sio mama yako
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 20 күн бұрын
Ninyi manzese vichwa vigumu,msikilize kiongozi wa mwanza wa wafanyabiashara alivyosema,sheria zibadirishwe.sio mama yetu ssH
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 20 күн бұрын
Serikali inajeuli sana haitaki kusikiliza wananchi,angalieni yanayo jili kenya
@salumunsabimana6502
@salumunsabimana6502 19 күн бұрын
Msilalamike fanyeni kama kenya acheni kuregeza ulimi myaka yote raiya wa tz wanakuwa kama hawanahaki uaonaikikaribiya uchaguzi wanapita wakiomba kura wakipata tu basi wote waliyobaki hawana haki raiya wanaishi maisha yatabu myaka yote wanapewa maneno matam wanaregeya.simameni mkagombee haki zenu.ila msifanye uharibifu .nendeni ikulu mkaome kuongeya na mama yenu .wa tz mmepooza sana .
@devangandhl2255
@devangandhl2255 20 күн бұрын
Kweli mkuu hii service levy iwe kwa Waingizaji wa mizigo na viwanda..kwani mali hiyo hiyo kiwanda kinalipa watu wa jumla na rejareja vilevile kwa kiingereza wanaita double taxation
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 19 күн бұрын
Servce revy ni sawa na kikokotoo tozo za wafanya biashara mwiguru atawamaliza
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 20 күн бұрын
Yaani itatuchukua muda sana kuwa na akili,mnaye muomba ndio anatia Saini,ndio anayekopa nje sasa ninyi.mna akili kusema YETU tunaomba rudini shule vichwa viwe na akili
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 20 күн бұрын
Hapo kwenye mama mnazingua
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 20 күн бұрын
Mama Samia out kama ruto
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 19 күн бұрын
Kila mtu mama mama mama kwani utafikiri wote hapa hamna mama zenu Kataeni ushenzi
@kadiakirua7621
@kadiakirua7621 20 күн бұрын
Safi sana boda boda mmeongea kwa hisia sana
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 20 күн бұрын
Hawajaongea CHOCHOTE Cha maana kwakuwa huyo mama wanayemlilia ndio ana kopa nje,anataka akalipe Kwa Kodi yaani apate hela nyie mnasema tunakuomba toa tamko ili kuondoka kodi.pumbavu maansense kuweni na akili nakiongozi wenu huyo
@user-zb5qz6fk1v
@user-zb5qz6fk1v 20 күн бұрын
Pesa za maauzo yabandari haitoshi nanyinyi mchangie kodi ni ndogo sana mnalipa. Badotaisoma number
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 20 күн бұрын
Hii nchi inashida nyingi mkima hataiyona shamba, mjenzi nae hataiyona mbao
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu 20 күн бұрын
Serikali ya kija mbazi
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk 20 күн бұрын
Kizimkazi do to magari huyo
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 19 күн бұрын
Dai aki achana na ujane wala mwanamke wala kusifu rais sheria ni kila kitu nchi yetu inaendedhwa kiujima enzi izoo utazani ndipo imezariwatz
@beinafuu6219
@beinafuu6219 19 күн бұрын
Mtu yupo na milion.moja heti kod 450000.tra.lesen 100000.sevilev 108000 bado usafi bado uliznz bado dod ya nyumba kujilipa mwenyewe kiukwel kazi ngum
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 20 күн бұрын
Sasa wananchi waungwana gomeni mpaka majibu yapatikane sio kuanza kukata tamaa mmoja mmoja hii serikali ina jambo lake! Ndio mpeni masifa ndipo atajibu matatizo ya wananchi kwa maelekezo...
@hurumalunda2490
@hurumalunda2490 20 күн бұрын
Nisikilizenii watanzania TRA sio tatizo tatizo ni wawekezaji wa kihindi na kichina ndio wameharibu biashara tunashindwa kusimamia bei kwa sababu Yao wawekezaji Hadi wateja wamekuwa na kiburi kutokana na uhorela wa bei zao
@peterrandego1489
@peterrandego1489 20 күн бұрын
Tatizo kwenye Kodi hizo za kiuni ni mwigulu hata magu alimfukuza kwa matendo yake hayo
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 20 күн бұрын
Sio mchemba ni Sheria Zetu. Sheria Zetu shida tunatunga bila kuzingatia mazingira fulani fulani. Hivyo zinatoa mwanya wa rushwa na ukandamizaji. Kodi Zetu kipimo kinatakiwa kiendane na mapato sio aina ya biashara. Tatizo mfano lesseni ya hardware kubwa na ndogo viwango sawa. Viwanda vidogo na vikubwa viwango sawa huku ukweli uchumi unatwambia kiwanda kikubwa na kidogo haviwezi kuwa na gharama sawa za uzalishaji. Na mara nyingi viwanda vidogo hûwa na gharama kubwa za uzalishaji. Ila Kwa uzoefu wetu tozo tz Kwa bidhaa zinalinganishwa. Ugonvi mkubwa upo Kati ya TRA na wazalishaji wa bidhaa zinazo zalisha bidhaa zinalipa kodi ya Zuio. Watendaji wanajua kwamba compliance ni ngumu. Iyo inakaribisha rushwa. Tatizo sheria wakati zinatungwa, hatazamwi kimakini na kizalendo. Zingine ni kana kwamba ni hujuma ya uchumi.
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk 20 күн бұрын
Maandamano jamani tunayaita kwa nguvu.. Hali ni tete mno mtaani...
@devangandhl2255
@devangandhl2255 20 күн бұрын
Hata sisi wafanyabiashara tunamia msituone kama tunagoma
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 20 күн бұрын
Hili mwigulu ni bonge la fisadi
@ambelemwakalobo3327
@ambelemwakalobo3327 20 күн бұрын
Mbona mota vieko walitoa
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 20 күн бұрын
Acheni ujinga mmeambiwa Kila Sheria ya fedha zinazohusu fedha,rais ndio anatia saini.nanyi mnasema mama YETU atusikilize.pumbavu sana manzese
@othmanali5362
@othmanali5362 20 күн бұрын
Ukiona mwezako ananyo lewa ww anza kujitia maji
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 20 күн бұрын
Eti mama yetu mpedwa samia stupid sana samia nae ni hivi ni raisi hayo yanatokea kwa sababu mama yetu samia hana level na sifa ya kuwa kiongozi wa taifa kubwa Africa kama bongo
@user-cp8df8ik5h
@user-cp8df8ik5h 16 күн бұрын
Nimekuelewa sana
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 20 күн бұрын
Rais Hana sifa za kuongoza hii nchi amepachikwa tu matzo yoote chazo ni uongoz mbovu Toka juu mbona kpndi Cha magu hatujackia haya
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 19 күн бұрын
Kama ni kweli mwenye mtaji 50,000,000 unakuja kumdai 700 ,000,000?!!!ww unaedainess hivi kweli una akili?au ww pia una biashara n'a un alipà hivyo? Nindiqué watu wa kodi mnamatatizo gani?Au kwa kuwa mmepewa tu mamlaka hayo?
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 19 күн бұрын
Lipeni Kodi na tuache janja janja Ila Watumishi wasio waadilifu waondolewe faini zingine Sidhani hata kama zinafika Serikalini
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo 20 күн бұрын
Swala sio mama kutamka Shelia zibadilishwa ndio utakuwa msngi wawafanya biashara matamko yanatolewa kila siku hakuna utekelezaji kwasababu matamko na Sheria vinatofautiana
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 20 күн бұрын
Shida ni Samia anabembeleza wez wanafanya wanachokitaka nyinyi ni wajinga et mama yetu wajinga nyie
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 5 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 55 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 27 МЛН
UPENDO PENDEZA WA CHADEMA AMTAJA TUNDU LISU KUHUSU RUSHWA
4:50
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 535
Something Strange Happens When You Follow Einstein's Math
37:03
Veritasium
Рет қаралды 11 МЛН
UTITIRI WA KODI TUNDUMA WAFUNGA MADUKA
4:33
NVP MEDIA
Рет қаралды 258
MAKALA AMVUA NGUO FREEMAN MBOWE, "WANAFUKUZANA"
3:13
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 486
OSTAZ AOMBA ULINZI KWA WAZIRI MKUU BAADA YA KUWANYEA TRA
9:21
Mbengo Tv
Рет қаралды 198 М.