No video

TUNA BAHATI MBAYA SANA TANZANIA KUWA NA MWIGULU WIZARA WA FEDHA. VURUGU ZITAANZIA KARIAKOO.

  Рет қаралды 19,571

huduma ya kristo

huduma ya kristo

Күн бұрын

Пікірлер: 184
@user-pn5gv7ix3g
@user-pn5gv7ix3g Ай бұрын
Mtumishi wa Mungu..barikiwa kwa nguvu ya upako na maono kwa wanakondoo. Nikuombe na watumishi wa kweli mfanye maombi maalumu ya kutuondolea Watanganyika upofu na uoga wa kinafiki yanapojitokeza masuala na maamuzi kandamizi dhidi ya maslahi ya nchi. Watanganyika kwa ujumla tuweze kujua maamuzi magumu juu ya nchi hii hayaletwa na Watumishi, viongozi wa vyama vya siasa au majasiri wachache! Tuamke kutoka uzuzu!!!! Amina
@rastheunique
@rastheunique Ай бұрын
Na utekelezaji wa Mwenye Enzi Mungu juu ya maneno ya mtumishi wake na uwe haraka 😭😭😭
@user-vr8vv5gm4s
@user-vr8vv5gm4s Ай бұрын
Mungu atusaidie
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 Ай бұрын
Mwigulu ni jambazi la Taifa viongozi wetu wanaongozwa na uchawi,uganga na wizi na uchawa wa mama hawana huruma hata siku Moja nawashangaa wanawaombea wabarikiwe waombeeni waache wizi na dhuluma nyinyi mitume na manabii
@salmajafari6838
@salmajafari6838 Ай бұрын
Tunaruhusiwa pia kuwaombe wafe kabisa
@migerajacob581
@migerajacob581 Ай бұрын
Mwigulu bongox2 ndogo,,hakustahi kuwa hata naibu waziri,,
@saidmussongo1527
@saidmussongo1527 Ай бұрын
Mwigulu ana matusi sana,aliwahi kusema hadharani kuwa tuhamie Rwanda.
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Ай бұрын
mtumidhi sisi tuko pamoja na wewe mungu akutunze na azidi kukuinua 🎉🎉🎉
@NdelemaPosta-bi5zc
@NdelemaPosta-bi5zc Ай бұрын
Yaan kazi sana kasomea kuiba na uchawi ndio pingo za mawazili wa Tz ila muda ukifika tutaelewana tu maana miladi Yao tunaijua na mabass Yao yanajulikana
@MeridaChawe-kd9is
@MeridaChawe-kd9is Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi, unafungua wengi kifkira.
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf 29 күн бұрын
Nazani hawatuelewi kilatunacho wambia wanaona hii tanzania niile yanyelele subili majipu yanze kupasuka
@user-ig6pg6oz9i
@user-ig6pg6oz9i Ай бұрын
Mungu ibariki tanzania kwa kutupa upofu kenya madume
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Mwalimu Jackob unayoyasema ni kweli,kama Neno la Mungu lilivyo kweli na amina. Je,tutapigwa wote na gadhabu ya Mungu kama Kitabu cha Kutoka kinavyosema:Mnapigwa kwa dhambi za baba zenu nao hawapo tena? Mwalimu tunaomba ufafanuzi zaidi kupitia Neno ili tuomboleze,tutubu na kuomba rehema ili tupone...
@ThomasEkama
@ThomasEkama Ай бұрын
mwigulu ni mjinga sana halafu huwa anahasira sana
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Ай бұрын
Mwalimu mzuri sana ...KIkubwa Mungu atusaidie
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Ай бұрын
Kama mzuri mpe mkeo amshugulikie
@user-iy8mq9ii8t
@user-iy8mq9ii8t Ай бұрын
Usipoipenda haki utakuwa chukizo mbele za Mungu na utadidimiza taifa.Mungu habadilishi misimamo yake hata usipoikubali.viongozi iweni na hofu ya Mungu mtatenda vyema na kuwahurmia wengine na kodi iwe ndogo iwe rafiki na mlipaji isimuumize.
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Hongera Mchungaji Mungu akulinde na mabaya nchi hii haitaki watu kama wewe
@camilomassao8971
@camilomassao8971 Ай бұрын
Mwigulu hakustahili kuwa waziri wa fedha,
@user-iy8mq9ii8t
@user-iy8mq9ii8t Ай бұрын
Kwani Jpm kipindi alipokuwwpo alisemaje kuhusu mwingul?
@RICHARDMADEBE
@RICHARDMADEBE Ай бұрын
Watzania tuache kulalamika tuchukuwe hatua kama Kenya hapo watatuelewa watatoa kikokotoo watatoa tozo nk vinginevyo tumeumia
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
Sawa sawa kaka maneno yako ni ya kweli
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 Ай бұрын
Mwigulu hafai
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 Ай бұрын
Mnaponishangaza watumishi wa. Dini hua hamkemei ushoga na madawa ya kulevyaa lakini makini kuingilia siasa 😂😂
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Mwizi
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 Ай бұрын
Hongera yako chura kumbe tuna kiongozi chura
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
WELL SAID MCHUNGAJI
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l Ай бұрын
Dawa yao hawa wabunge wa ccm nikuwaletea wabunge wa upizani wakutosha bungeni 2025 ndo wataelewa maana wanchi wamtusahau
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l Ай бұрын
Sasa hivi mumeongeza makato ya umeme kimyakimya juzi nimenunua umeme 10000 nikatwa 4000 kweli ccm shikamoo
@user-jx5ze9wz8e
@user-jx5ze9wz8e Ай бұрын
Mungu akubariki san baba
@victorrobert7797
@victorrobert7797 Ай бұрын
Akili zao ni tozo tu
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf 29 күн бұрын
Yani ss tunateseka majizi wachache wana chekelea lijitu linasema akishusha asilimia mbili tu bajeti inahakubika kweli
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 Ай бұрын
Huyu chura kiziwi hatafika juu aache kujifariji hatafika juu kwa jinsi hii atadondoka tuu . Asikilize wananchi
@karimmveyange280
@karimmveyange280 Ай бұрын
SAWA MWALIMU,MUNGU YUPO,WATU WAKICHAGUA SHETANI AWE NDIYE KIONGOZI,MACHUNGU WATAKULA
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 Ай бұрын
MWIGULU NI MLEMAVU WA AKILI JAMANI. HUYU HANA MBINU ZA UCHUMI KAZI YAKE NI TOZO TU
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 Ай бұрын
Mama samia mtoe waziri wa fedha itakugarimu
@JohnMiligwa-vj2ji
@JohnMiligwa-vj2ji Ай бұрын
Mwingulu amehalibu Kila kitu
@musajoseph7896
@musajoseph7896 Ай бұрын
Dawa ni kuyatiya moto majumba Yao, biashara zao na magali yao
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Ай бұрын
Kama Kenya
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile Ай бұрын
Mali ya wizi huwa haidumu ​@@pirminmatumizi5464
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu Ай бұрын
Kazi ipo maisha ya viongozi si sawa na raia wao maisha mazuri mishahara mizuri nyumba nzur magari mazur posho nzur
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Ай бұрын
Yaani mwigulu hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi hiyo secter haimfai kabisa kana hekima busara Hana kabisa alafu ni jambazi no Moja sijui kwanini anapigiwa kelele alafu rais Samia amemwacha kuwa waziri wa fedha
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Ай бұрын
Ndege wafananao huruka pamoja.
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Ай бұрын
Ila bajet za magari ya kifahari mnayo ipo siku
@SANGOSAIDY
@SANGOSAIDY Ай бұрын
Hiyo PhD ya mwiguru ni PhD uchura sio PhD yafaida kwataifa bali kwa familia yake tu
@kwasmokweka9598
@kwasmokweka9598 Ай бұрын
Eee MUNGU wetu, toa watumishi wako wanaokuogopa, wanaotaka haki, uwasimamishe wakutetee, na watee watu wako.Ukiwaruhusu 100 tuu wanatosha kudhiirisha ukuu wako.
@SANGOSAIDY
@SANGOSAIDY Ай бұрын
Upo sahihi sana mwiguru hafai hatakidogo ila sikumoja watatambua
@salummohamed2689
@salummohamed2689 Ай бұрын
Huyu mama amesemwa sana, kujitathini kunamhusu!
@corrolesscps
@corrolesscps Ай бұрын
Magufuri alimtoa Huyu Mama kamrudisha tena
@mukeshramji1537
@mukeshramji1537 Ай бұрын
TUNATAKA KAMA waziri WA kitengo fulani HAFAI KABISA TUACHIYE SISI WANANCHI TUPIGE KURA NA RAIS AJUE KWAMBA WANANCHI NDIYO WENYE UAMUZI KATIKA HILI TUNAOMBA UWAJIBIKAJI.
@user-qy4gb1kn4z
@user-qy4gb1kn4z Ай бұрын
mama samia ipo siku utagundua kwa mwigulu alikwa hakujengi anakubomowa kilio cha watu wengi kina kishindo kikubwa kwa hio wizara ya fedha mawaziri wamekaa wengi hatukuona wanapigiwa kelele kama mwigulu akina mzee mpango mzee wa watu hakuwa naneno mwigulu aligombea uraisi akashindwa kwa hio anakuhalipia baadae atachukuwa fom ya kugombea urais atatumia mapunguvu aliokusababishia kunadi sela zake n
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Ай бұрын
Hiyo kampuni ya Easter Ina Tirion 4 serikali inashindwa kumake kupitia mirad mbalimbali
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q Ай бұрын
Tatizo sio mawziri tatizo. Wabunge wetu tuombe mungu awajalie hekima busara uchaji kipawa waflme oneni ajira hakuna kopeni. Mkishakopa wekezen kwenye viwanda vingi viwanda vitoe vitu vya kitengeneza hizo reli madawa nguo vfaa vya kuchimba madini :N;K tuliowasomesha wapate ajira hukoooo tunasomesha wengi wametundika. Mavyeti ukutani mainjinia madocta waalimu wapooo tuuuuu tatizo wabunge wetu kuto kujitambua tulizaliwa watupu na tunazikwa watupu mali ni rasimali watu wakitumika kwa haki stapokea na wala sitatoa rushwa ni adui wa haki nitajielimisha kwa uwezo wangu kwa manufa ya uma taifa. Langu binadamu wote ni sawa na Afrika wote ni ndugu asanteee mkuuuu tupo safarini tuu Duniani tunapita tuu safarini
@eliasamsonofficialtz6600
@eliasamsonofficialtz6600 Ай бұрын
Tatizo la nchi yetu watumishi wa Mungu ni waoga kukemea viongoz wa serikali,maana wao ndio wangekemea uovu unao endelea ktk Taifa letu na wange sikilizwa sana,ila sasa mmmh😭😭
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Usiwasingizie viongozi wa dini au watumishi wa Mungu, tatizo ni letu wenyewe tunaoshindwa kutambua haki zetu kwa kupigania Katiba mpya na utawala wa sheria. Hivi waziri mmoja anayelalamikiwa na wananchi walio wengi inashindikana nini kubadilishwa naamlaka ya uteuzi? Sasa kätika Hali hiyo watumishi wa Mungu wafanyeje, wakamng'oe ofisini?
@salummohamed2689
@salummohamed2689 Ай бұрын
Mwigulu anajitosa mwenyewe anataka kutufanya sisi ni familia yake
@jesaminzo
@jesaminzo Ай бұрын
Ukweli mtupu!
@user-wl8ns6hh8l
@user-wl8ns6hh8l Ай бұрын
NimekuewA sana mchungaji mfano mzuri wa kimungu umetufungua vizuri sana
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym Ай бұрын
Mwigulu ni tatizo kubwa sana kwa Taifa lletu.Wizi wake umevuka mpaka.
@janengaga2928
@janengaga2928 Ай бұрын
Tuombee sana nchi yetu Tanzania.Mungu ibariki Tanzania.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Ай бұрын
Pointing kubwa ni kweli ....kama watu wanataka ubaya wao wapatie...kwa sababu ndiyo wanaoutaka wao.....wape watu kile wanataka..
@DaurdCharles
@DaurdCharles Ай бұрын
Inauma sana kama kiongozi anashindwa kuwa nahuruma nawatu wake sasaivi mitaani wamachinga wote mitaji imeisha kwaajiri ya vitu kupanda bei tutaishije Bora watuuwe2 viongozi wote wametutenga hawana huruma hata tone mafuta yakula yamepanda bei sabuni zimepanda bei Kila k2 ovyo kabisa watu tunateseka madeni yamejaa mitaani Iko siku mungu atawaacha pia napenyewe
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f Ай бұрын
Walizi wa fedha hi nchi ni ya watanzaia wote.wote tunaitaji maisha mazuri.kwaiyo kuwa makini na unacho kiongoza
@ramadhaniathumani1025
@ramadhaniathumani1025 Ай бұрын
Asili ya viongozi wetu ni chini huko kuzimu na kuzimu huwa haishibi mapato!kama asili yao ingukua juu mawinguni huko mvua itokapo na mapato yangekua mengi!!! Tumuombe Mungu abadili asili ya viongozi wetu tutapona!!
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 Ай бұрын
Madini yanatusaidiaje jamani. Si tuuze tanzanite tujenge miradi!
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 Ай бұрын
watanzania amkeni mwiguru hafai
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
MMI NACHO AMINI MUNGU NI WA WOTE ACHA TULIE IPO SIKU MUNGU ATATUFUTA MACHOZI
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Wezi wamefrahi baraaa
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 Ай бұрын
Ukweli mwigulu hafai Hata Kwa kuumangia nikatiri sana, nahiyo nafasi aliyonayo nihuruma ya mama tu.
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u Ай бұрын
Mwizi huyo
@saadune
@saadune Ай бұрын
Point❤
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Ай бұрын
Kwahiyo huyomwigulutangu lini awena akili au elimu kuliko watanzania wanaomuona ni boyalinaloelea bilamerikubu...
@user-bf7sr1cv1g
@user-bf7sr1cv1g Ай бұрын
Haya
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo Ай бұрын
Mbunge ni yeye pekee wengine wooote ni waganga kienyeji
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Ай бұрын
Mwigulu mnyonyaji mkubwa tozo kodi za nyumba wewe endelea na biashara ya mabasi tu
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 Ай бұрын
Ukitaka kujua kama watanzania ni vigeugeu wao na dini zao chunguza miamala yao ya kibenki na kwenye simu na kila mmoja atoe maelezo ya fedha alizonazo na Dini nazo zitoe maelezo ya kipato, utagundua kuwa wezi wanalalamika kuwa mlinzi hafanyi kazi vizuri
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Ай бұрын
Mwigulu siyo muzalendo anahalibu uchumi wetu
@user-qm2ve7tx3s
@user-qm2ve7tx3s Ай бұрын
Nchi hii inahitaji lakupata viongozi wanao simamia lasilimali kwa kujitowa sio hawa wanao ogopa kuwa na maadui wakati maadui haohao ndio wanao pokonya lasilimali za nchi
@MauBonde
@MauBonde Ай бұрын
Huyu jamaa kaniudhi kuhusu kauli ya mikopo ,huwezi kuwa tajiri wakati matajiri duniani wanakopesha watu,pumba ndani ya bunge tukufu.......
@oswardjaphal-cd6np
@oswardjaphal-cd6np Ай бұрын
Watanzania. Muna furahisha. Tatizo lenu kujifanya munajuwa sana. Subili chamoto bola uishi na muchawi kuliko kuishi na muongo uongo ndo unataka kuharibu inchi yenu kusema. UKweli. Nishida sana Kuna. Story fulani. ,ya mufanya biashara. Jina lake Ntunzwe kazurumia. Na. TRA. Muchana kweupe. Uongoooooo tu mpaka kaamua kujipiga risasi
@PcgtMsalato
@PcgtMsalato Ай бұрын
Chura aondoshwe 2025. Tunaongozwaje na Chura ?
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Ай бұрын
Mtumishi cha kufanya ni Toba ili matengenezo yatokee lakini ukiwa mlalamikaji hamna namna Mungu atakusaidia MUNGU anaweza lakini tumwendee yeye sio kulalamika wakati tepewa mamlaka nanYesu ya kufunga na kufungua😊
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi Ай бұрын
Huyu ndo anataka twende Gurundi ? Aangalie kauli zake,asije kuwa anajitabiria yeye ndo akaenda Burundi
@NicksonAlphacapitalGroup
@NicksonAlphacapitalGroup Ай бұрын
Ni kweli ni hatariiiiiii sana kuwa mpiga deal wizara ya fedha
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Ай бұрын
Mwigulu atakuwa Mshirikina? Na akili zake za MATOPE, bado Lina survive tu, analaumiwa kila mahali. Mama bado anamtetea Duh?!! Na wewe mama niña mashaka na wewe! Kwa sababu ni Kama hutumii bongo yako. Kwa kuwa sasa wewe ni CHURA DUH?? HUTASIKIA!
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Ай бұрын
Rais anapata mgao wa kodi kwahiyo wewe Rais ni kiziwi kelele zetu ni ujinga maana ninyi mmeshiba
@AbrahamMjema-di1li
@AbrahamMjema-di1li Ай бұрын
Ni kweli hii hali inayoendelea kati ya wafanyabiashara na serikali itaumiza wananchi
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 Ай бұрын
Mwigulu ni muongo
@oscarwasenga1333
@oscarwasenga1333 Ай бұрын
We unajua sana
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub Ай бұрын
Nakuelewa sana mtumishi ila Mungu atatenda tu
@coolsinare8824
@coolsinare8824 Ай бұрын
tatizo la Tanzania ni giza nene..viongozi hawajui hatari yakuongoza watu..dhamana utayoipasa uilipe wewe na jamaa yako..ni hatari sana kuwa kiongozi kwa sababu unamulikwa kwa karibu sana na utalipwa
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x Ай бұрын
Shule gani amesoma, chura chura
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Sasa kiongozi akisema ameziba sikio sasa watu wamueleze nani? Kwa nini uendelee kuongoza wakati hutaki kuwasikiliza hao watu kweli ni sawa? Mwalimu huyo akitaka kuwa chura wanafunzi wataenda wapi? Basi raisi tuwekee mtu wa kueleza shida zetu ambaye siyo chura ili watu wamkimbilie kueleza matatizo yao.
@shaimamabrouk9937
@shaimamabrouk9937 Ай бұрын
ipo siku amabayo Haina jina Watanzania watachoka na hawata, ogopa Tena ndipo atajua kumbe uziwi wake kuto kuwapa sikio Watanzania Sasa atazibuka hapo watapo amua kufanya watakayo yafanya soon as possible Tumechoka sanaa
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 Ай бұрын
Hatuna umoja sisi tukubali ni wapumbavu TU
@user-oy2gp3nq4j
@user-oy2gp3nq4j Ай бұрын
Mzee wa mabasi ya Ester hana huruma
@NanaMaembe
@NanaMaembe Ай бұрын
ATA CIRLY RAMAPHOSA ALIJIFANYA CHURA NA YEYE...... SASA HIVI KIMEMKUTA MPAKA AKAIBA KULA ZA VYAMA VINGINE...... SASA ANATAKA KUUNDA SERIKARI YA MSETO NA MAKABURU....... LAKINI NDANI YA CHAMA CHAKE WANAKATAA WANATAKA HASIUNGANE NA MAKABURU NA AUNGANE NA VYAMA VYA WATU WEUSI NA SIYO CHAMA CHA MAKABURU.
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 Ай бұрын
Uko sahihi kiongozi
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 Ай бұрын
Ndio maana uncle magu alimpiga chini Kila sehemu
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 Ай бұрын
mtumishi piga kelele tutakuunga mkono
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 Ай бұрын
Huyu ni mpga dili tu chumia tumbo lake,.Mwigulu-Chemba cha Choo,..mchumia tumbo,..hufai kuwa wazri wa fedha
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Ай бұрын
Huyu mama mwenyewe atupishe tu aeende kizim kazi akatulie
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 Ай бұрын
Wakanda,dola yamangi meza, ndio tatizo
@kwasmokweka9598
@kwasmokweka9598 Ай бұрын
Msomee na Isaya 10:1-5.
@StevenMtambo
@StevenMtambo Ай бұрын
Tz tupate watumishi kama huyu mtumishi tutafika kaanani
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 Ай бұрын
Atapotezwa sasa na machawa hujui
@PcgtMsalato
@PcgtMsalato Ай бұрын
Kuna haja ya kubadili Kiongozi 2025
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 Ай бұрын
Kama hivyo ndivyo tozo zinatekeleza miradi, je mwigulu mikopo mnayokopa ni za nini?? MNATUTESA SANA RAIA, hadi kujifananisha na CHURA!! kweli inatisha!!
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Ай бұрын
Wenye akili nchihii hufedheheshwa nakudhalilishwa kinyume chake ni wenye hekima kama mwigulu anayetusi hatawananchi.
@enockmwantyala281
@enockmwantyala281 Ай бұрын
Kumbe kumbe kumbe
@ThomasEkama
@ThomasEkama Ай бұрын
ILO ni fisadi
UTAWALA WA KIJESHI NA WAPELELEZI.MMEWEKEWA MTEGO WA KUFANANA.
29:02
huduma ya kristo
Рет қаралды 11 М.
MCHUNGAJI MSIGWA KUHAMIA CCM NI MUNGU KAMUAGIZA AU NI TAMAA YA MADARAKA.
30:26
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 47 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
MGOGORO WA ELIMU. ISHARA ZA UNABII WA RAISI SAMIA WAZIDI KUTIMIA.
16:03
huduma ya kristo
Рет қаралды 19 М.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Lasalo Comedian
Рет қаралды 462 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 85 М.
DR.GWAJIMA AWEKA WAZI NDOTO YA UKOMBOZI WA UCHUMI WA TANZANIA
59:18
huduma ya kristo
Рет қаралды 18 М.
TROUBLE IN PARADISE! WILL HE SURVIVE THIS??
17:19
Herman Manyora
Рет қаралды 1,6 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 47 МЛН