Ameen MTUMISHI na Leo ni mwisho wa shida zangu zote nimechoka kuchezewa maisha na huyu shetani Sasa mm Ni NURU sio Giza tena kwa Sasa na limeshindwa Giza kwa DAMU YA YESU ,BWANA wa MAJESHI NDO KIMBILIO langu Mimi sitamwacha maisha yangu yote .🙏⛪
@user-mf9uu4fu5o7 ай бұрын
Naomba maombi ya kuvunja vizuizi kwenye uchumi wangu na afya
@NuruBeth-hu1ymАй бұрын
Nilikata tamaa baada ya kufuatilia maomb yako nimeanza kusikia aman moyon mwang mungu akubalik baba ameen nipo oman naitaj sana msaada wa mungu pekeang siwez
@faithnasimiyu7455Ай бұрын
Shetani achia maisha yangu kwa jina la yesu kupitia haya madhabahu
@irenmendezАй бұрын
Najiunganisha na maombi haya navunja Kila vizuizi vinavyo nizuia kuomba 🙏 nakuwa mazito saana Mungu wa Mbinguni anitete
@ShakiSkys2 ай бұрын
E mungu nifungue kwa hii Hari ya mikosi,kutengwa,na kutofanikwa kwa Kira ninacho kipanga vikwazo vimekuwa vikwazo na medeni e baba nimekuwa mtu wa omba omba Kira sehemu 😢 baba nimechoka na hii ari 😭😭😭😭
@rehemasilasi29853 ай бұрын
Roho ya kukataliwa naondoa kuanzia leo Amen
@AdmiringBeachHammock-qv3nkАй бұрын
Kila vizuizi vya kila aina vinavyo tuzuilia Kwa kila namna iwe nikutokupata kazi,kutofanikiwa,kutokuwa na amani upande wangu na wànangu popote walipo vishindwe Kwa jina là Yesu Amina
@DenissMezza3 ай бұрын
Amen mchungaji umenigusa sana kupitia maombi haya naimani nimefunguliwa tarejea katika nafasi yangu katika jina la yesu 🙏🙏
@user-ow5zy8hn8v3 ай бұрын
Mungu naomba kwa uwezo wako naomba uniondolee vifungo viote ambavyo vimefunga hatima za watoto wangu kujijenga kimaisha
@consolataanyambilile-mr5ph8 ай бұрын
Amen Mungu nimepokea kwa jina la yesu
@user-ey1bv7qt1h4 ай бұрын
amen.amen.and.amen❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EvaJulius-nr3mx3 ай бұрын
Naomba maombi ya kufunguliwa maisha yangu yapo kifungoni naomba kufunguliwa kwa jina la yesu
Amen Amen Amen baba mtumishi napokea uzima uponyaji kwa jina ka yesu kristo🔥🔥🙏🙏
@SaraphinaPeter-rx1smАй бұрын
Amina kubwa pastor mungu akubariki sana
@GladysTabu28 күн бұрын
Shetani wacha maisha yangu na Familia yangu tunavunja. Mathabau ya mgojwa yashidwe Katika Jina la Yesu
@elishaathumanathuman166 ай бұрын
Amen Amen I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I
@elishamafulu1069 ай бұрын
Naomba maobezi ya kuvunja vikwazo kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏👏🙏🙏🙏
@user-qe2lb9ns8hАй бұрын
Naomba maombi yakufungua kizazi changu na tumbo langu ka kina la Yesu
@ElizabethChristian-yg4jx19 күн бұрын
Ameni mtumishi
@cydohGen5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu acha mungu akutie nguvu...ila nipo kenya na kila nikijaribi kukupigia ninakuta haiendi
@user-ko1nb4sd8l3 ай бұрын
Amen and Amen Amen Amen Amen Amen
@user-in7vg5vt4w4 ай бұрын
Amen amen amen
@NellyKadenyi-qc3em2 ай бұрын
Nelly kadenyi midikila mungu fungus baba mzazi ndungu zangu wapate kazi
@user-xy6jr8ew5w4 ай бұрын
Najiungamanisha kwa jina la Yesu.
@innahathern2 ай бұрын
Nina Imani Naenda Kufunguliwa Amina🙏
@salmaprice91003 ай бұрын
Amen and amen 🙏🙏🙏
@FelisianaMapunda-dw3db3 ай бұрын
Ameen, naomb nifunguliwe katika njia na mafanikio yangu
@AdmiringBeachHammock-qv3nk4 ай бұрын
Amen amen
@valentinanduku87185 ай бұрын
Amen asante Yesu
@MagrathOmmary-lo4xc10 ай бұрын
Pasita wangu mungu akubaliki sana kwa maombi
@OlivaElias-vv7jf5 ай бұрын
naomba mungu afungue maisha yangu nadoa yangu
@user-oj6qq8up7f2 ай бұрын
Amen
@HappyAlpineVillage-zz5bcАй бұрын
Eeeeeee Mungu naomba vizuizi viniondoke kwajina layesu
@user-mj3zp5ht3b3 ай бұрын
Amen maombi nidawa🙏🙏
@user-kd5xq3kq7d6 ай бұрын
Amen mungu niponye nikutumikie
@user-dq3op3gs2d2 ай бұрын
Amina amina
@jescaokido55807 ай бұрын
Amen 🙏
@user-ub8yn7ev3dАй бұрын
Naomba niondolewa kizuizi Cha mafanikio na afya
@user-io1tp6nz8mАй бұрын
Mungu akui nue sana
@user-sw8nz3ms5j10 ай бұрын
Sharom sharom asantee kwa maombi nifarijika sana napopata maombi yako mungu akulinde milele
@allthingdranabeauty10 ай бұрын
Mungu sio mungu
@user-ox6qb8ed3o4 ай бұрын
Naomba maisha yangu yapate kunyook
@gladysonkundi5 ай бұрын
Naombe MAOMBI ya kufungua maisha yangu😭😭😭 katika Jina la Yesu chrito🙏🙏🙏🙏🙏
@user-kh2pv2zb1k7 ай бұрын
Amina mtumishi
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
Powerful prayer imenikuza kwa roho yangu kabisa nashukuru mtumishi wa mungu, from kenya
@breakingnewstz83964 ай бұрын
Navunja vikwazo na vizuizi vya ujenzi wa nyumba yangu kwa Damu ya Yesu
@fatumahassan6364 ай бұрын
Naomba maombi yakuzuia madui zangu kwajina layesu
@tamariamisi35404 ай бұрын
Amen mutumishi wamungu nungu anibariki namiye baba nashukuru kwamaombi nungu akutie nguvu baba niko uganda
@diannajoni86752 ай бұрын
Fungua milango ee mungu fungua biashara
@CatherineVaingaАй бұрын
Ameen
@AncyMerci-un2nu6 ай бұрын
Amen Amen 🙏 yaani haya mafundisho yananiusu mm kwa kweli yaani chetani amepitiya watu ambao naishi nao ili iniondoe kwa Mungu
@elishamafulu1069 ай бұрын
Naomba maobezi ya vikwa JINA LA YESU christo amen baba 🙏
@graceouma10 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏
@ABIGAELGIDION8 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@user-io1tp6nz8m3 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen
@elishamafulu1069 ай бұрын
Kila vikwa kwa Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@elishamafulu1068 ай бұрын
I received i received
@mzungubayyo9559 Жыл бұрын
Amen nafanikia na mwanangu atapona kwajina la yesu
@macfadyneminja5 ай бұрын
Nimeguswa sana na haya maombi siku zote. Barikiwa Pastor Amen
@gracekayandakayanda3428 Жыл бұрын
Amen 🙏🤲🙏 Duuuuh Nimepokea Kwajina la Yesu🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@user-xy6jr8ew5w4 ай бұрын
Jamani Mimi ninaishi kijijini huku watu wengine Ni wapaganituombeeni na sisi watu wafunguliwe na huku.
@user-sb4ok6db8c4 ай бұрын
Allelujah nilipokua katikati ya maombi nikayaona matendo makuu ya bwana nilikua nimeeka earphones nikijiunga na apo tulikua tukipiga na bi boss ambaye ni mpinga kristo thn akawawa ansfry potato yakaungua zote alipoeka Kwa zahani zote zikaanguka nakumwagika
@jack-mx8et Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe, mtumishi kama wanasema mimi
@alisiageofrey6227 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana baba
@veroniquenizigiyimana8648 Жыл бұрын
Amen Amen Ulivyo kuwa unaomba nimebisikiya mikono yangu kutetemeka Sana alafu ika aciya Nika hisi moto kwenye vitanga bya mikono nasukuru Sana kufunguliwa