SIKU YA 3 YA KONGAMANO LA 15 LA MAOMBI KITAIFA 2023.
Пікірлер: 33
@ojokfredrickrichard303910 ай бұрын
Live from Uganda. Bwana Yesu asifiwe sana!!!
@innocentmushi795910 ай бұрын
Eee h mugu nakuomba uni hongoze maisha yangu apa dunian
@gertrudemosangamabusipaul407810 ай бұрын
Bwana Yesu nionyeshe zuio linalozuia nisijue zuio lauponyaji wangu na uchumi wangu
@wemawestern19714 ай бұрын
Kila zuio linalozuia me kufanikiwa kwenye Kila kitu changu nayaondolewe Kwa Damu ya Yesu kiristo Amen
@theresiamichael664110 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu Mwalimu na azidi kukutumia!
@astridathadei870010 ай бұрын
Mbarkiwe sana watumishi
@kyalagwamaka155010 ай бұрын
Eeeh Mungu nikumbuke uniponye namimi nimechoka kwa mateso haya ya afya nataman niwe kama wenzangu nikutumie kwa nguvu na uwezo wangu wote. Naomba maombi yetu wapendwa ndugu katika Kristo
@stellanjella579010 ай бұрын
Mungu akumbuke maombi yako na akuponye sawasawa na mapenzi yake. Kwa jina la Yesu
@carolinemtulo760710 ай бұрын
Mungu akukumbuke katika siku ya taabu yako mpendwa sawa na zaburi 41:2, 3 Mungu asikie maombi yako sawa na uombavyo
@janetjanet866910 ай бұрын
Amen tuko pamoja wapendwa wa Mungu na wasalim Mungu kwa kunaungansha na wewe mwalim hakika Mungu wako ananfandisha
@paulpeter724410 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe , Nabarikiwa sana na mafundisho yako Mtumishi wa Mungu
@aidanfelson83839 ай бұрын
Barikiwa Mtumishi 🙏
@allthingdranabeauty10 ай бұрын
Amen thanks Jesus thanks for pray for us,very powerful
@AgnesMgina-ud6ho9 ай бұрын
Ameni mungu akutunze mtumishi
@namsifubwana215210 ай бұрын
Wenzetu hao wanabudu mizimu hawezi kuisikia roho wa Bwana na kutambua vizuio. Labda upande mwingine waombe Mungu awaonyeshe vizuio
@tuchannyitike10 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe
@WinnieJohaness-io5co10 ай бұрын
Shalom shalom momumwwe
@paulaugustino324210 ай бұрын
Amen I receive all blessing
@namsifubwana215210 ай бұрын
Ameen ameen
@mankakunda422410 ай бұрын
AMEN😊
@kamikazineema195710 ай бұрын
Amen tuko wote from Rwanda
@christinakiula374310 ай бұрын
Mungu wa mbingunii nakuomba utondolee zuio linalozuia kutokusonga mbele kiroho na kimwili. (Kiuchumi) kuanzia familia yangu, ukoo wangu, kabila langu, na makabila yote na Tanzania kwa ujumla ili neno lako liendelee kushuhudiwa Tanzania na dunia nzima. Ulituombea kupitia waraka wa Yohana3, 1:2 “Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo. ” - 3 Yohana 1:2 (Biblia Takatifu) ikawe hivyo katika jina la Yesu. Wakumbuke watoto wangu wa kiroho wakafanikiwe kimwili na kiroho. Ili wawezevkukutymikia vyema. Tuondolee zuio linalozuioa tusisonge mbele kiroho na kiuchumi. Tupe macho ya rohoni. Zikumbuke sadaka zetu katika jina la Yesu. Amen
@jonathansimbeye72489 ай бұрын
Blessed
@christinewomanoffaith547910 ай бұрын
Amen
@kulwashimiyu10 ай бұрын
Very powerful session🔥🔥🔥
@aidanongole934110 ай бұрын
amen
@namsifubwana215210 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu nakutafuta nitoe shuhuda zangu uliniombea kabla ya kuruka kuja Ulaya. Nimekutafuta hata nitoe fungu langu la kumi sikupati kwa whatsapp
@user-lx3zz2zu4e10 ай бұрын
❤
@jenniferemmanuel72967 ай бұрын
Naomba mwenye namba ya mtumishi WA mwakasege
@adelinatraseas709710 ай бұрын
Glory to God 🙏
@namsifubwana215210 ай бұрын
Naomba sana whatsup no niongee na Mtumishi wa Mungu nimpe shuhuda