UKIOTA NYOKA-Aina Ya Ndoto Za Kutisha Na Tafsiri Zake ( Ukimuota Nyoka ) - Sheikh Khamis Suleyman

  Рет қаралды 40,519

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

4 жыл бұрын

Пікірлер: 53
@BurudaniOfficialTz
@BurudaniOfficialTz 4 жыл бұрын
جزاك الله خير 🌹
@gladys.yapsanga9845
@gladys.yapsanga9845 4 жыл бұрын
Mimi Mara nyengi hua na ota nyoka mara nyingi
@damakatana
@damakatana Жыл бұрын
Hapo umenisema mm tu
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 4 жыл бұрын
Jazzaka Allah kheir
@nurfatykabeke8244
@nurfatykabeke8244 4 жыл бұрын
Shukran Sheikh
@omaryandrew2584
@omaryandrew2584 4 жыл бұрын
Duuh sheikh wang hyo njoz ya nyoka me inanitawala sana
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Pole sana akhuy
@jasminali5921
@jasminali5921 4 жыл бұрын
جزك الله خير
@omaryngozy2016
@omaryngozy2016 4 жыл бұрын
Jasmin Ali ,together
@aminajuma5664
@aminajuma5664 4 жыл бұрын
Asantee xna sheikh
@dotomzungu7855
@dotomzungu7855 4 жыл бұрын
Daaah sawa sawa kabisa asante kk
@sabrinaluckson4797
@sabrinaluckson4797 3 жыл бұрын
Naota sana nang'atwa na nyoka wadogo wadogo kidole gumba...iki cha mwisho kikubwa huu mwaka wa pili nikilala tu
@abudimuddy517
@abudimuddy517 4 жыл бұрын
Kwanini usiisome wazi hiyo dua hapa hapa kwa KZfaq waislamu wakaiskia ?
@jasminali5921
@jasminali5921 4 жыл бұрын
Shukrani sana shekh
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Ahsant sana bi jasmin ali
@dotomzungu7855
@dotomzungu7855 4 жыл бұрын
Thnk you
@halimomar1617
@halimomar1617 3 жыл бұрын
Shehe mm n Moga sana wa nyoka na huwa stk hata kumskia mna huwa nakosa usingz na nakuwa moga vbya naomba unijbu
@munezerolyna4787
@munezerolyna4787 3 жыл бұрын
Mara nyingi ndoto ya nyoka uja ndotoni kukuonesha kuwa kuna mtu unasogeleyana naye ndoto iyo mara nyingi inatujuza kuna watu wenye malengo yasiyo kuwa mazuri.
@munezerolyna4787
@munezerolyna4787 3 жыл бұрын
Mara nyingi inakuwa inatujuza kuwa kuna watu ambawo tuko nawo ambawo tunaongeya nawo awo tunajuwana nawo kuwa siyo wazuri kwetu
@nasranassor2333
@nasranassor2333 4 жыл бұрын
Mara nyingi huota naua nyoka wa rangi ya brown
@winniedorah778
@winniedorah778 4 жыл бұрын
Hiyo umemshinda adui zako
@sasa-py8jz
@sasa-py8jz 4 жыл бұрын
Slm alykm na je ukiota mtoto wako ameanguka kwenye shimo refu na liko na maji tena badae atolewe na awe amevaa nguo nyeupe hii inamaanisha nn nisaidieni
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WhatsApp +255758678552
@dotomzungu7855
@dotomzungu7855 4 жыл бұрын
Majanga hayo
@sasa-py8jz
@sasa-py8jz 4 жыл бұрын
Nyumba ya Tiba na Dua sawa
@elianeniragira1677
@elianeniragira1677 4 жыл бұрын
Nauliza ukiota uko Mumavi
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 4 жыл бұрын
Sheikh miminimeota nyoka weusi wawili wanavimeno vikali vimetokea kwannje nilivokimbiya nyoka mmoja karuka kwajuu akanitoboa najinolake kidole cha shahada nadam zikatokaa sanaaa namaumivu makali samaa lakini kilamuda ukienda namaumivu yakapungua biladawa nadam ikaacha kutoka nisaidie kwamaana niponakhofu. Hatakijani kikinigusa nahisi ninyokatu
@AmiraAhmed-zv6zp
@AmiraAhmed-zv6zp 4 жыл бұрын
MashaaAllah
@ozairsaid8304
@ozairsaid8304 4 жыл бұрын
Shekhe wng naomba unisaidie mwanangu anapata ndoto ya kuruka hewan Tangu mwanzo hawez kuruka vizur mpk sasa anaweza kuruka kabsa
@khadijaahmada2544
@khadijaahmada2544 4 жыл бұрын
Kheri uote mimi ilinitokea nko macho naongea na simu kama saa saba usiku ghafla niliskia sauti ya mamangu ikiniita kwa nje wakat mamangu alikua hayupo siku hio. Kwa hofu na woga wangu sikuitikia ghfla ile sauti ikageuka ya kiume tena ya kungunguruma mithil ya rad baada yako yule mtu nkamuhisi yupo chumbani alisimama pemben ya kitanda na kunishika kidole cha mguu apo apo nilipoteza faham nikahis kama npo usingizin ghfla kitanda kilipasuka kati na chini kulikua kuna nyoka anatoka kwenye shimo refu anataka kunimeza sura yangu..kilichosaidia ni kwamba pale katika ile ndoto nilikua nasoma aya flan ila nliposhtuka siijuia ile aya nshaisahau..
@KhadijaAbdulySuleiman-su9nr
@KhadijaAbdulySuleiman-su9nr Жыл бұрын
Makubwa
@damakatana
@damakatana Жыл бұрын
Je naeza kupata wapi unisaidie
@mkuuali9469
@mkuuali9469 2 жыл бұрын
Assalam alaykum?mm huwa naota nyoka lkn tuko wawili mimi yule nyoka hanidhuru lkn yule mwenzangu ndio yuwafukuzwa nahuyo nyoka kila nkiota mwenzangu ndio yuwafukuzwa na nyoka nini maana yke plz.
@happyhamza1895
@happyhamza1895 4 жыл бұрын
Nimeota joka Jana nyoka anavichwa viwili alafu anakimbiza baada ya Apo nikawa napaa mda,baada ya Apo akaningia akanipanda kwenye nguo nikavua nguo zote nikamuona akauwawa na mtu mwingine.
@rashidimustapha2915
@rashidimustapha2915 4 жыл бұрын
Utachukuliwa mume
@mbisicharlesmbisi4492
@mbisicharlesmbisi4492 3 жыл бұрын
Patricia muli. Mm niliota ivi kunadada ninaye mjua alipitia kwangu akaniomba nimzindikiche nikawa nachindwa lakini akanisihi basi tukatoka nilikuwa Na mtoto natembea naye Na mchika mkono Sasa Yule dada alikuwa mbele Na Mimi nyuma Na mtoto Wangu tulienda kiasi kidogo Ilikuwa kwenye Kona mtoto Wangu animbia amendungwa Na mwiba nikainama ili kumtoa mwiba alafu kuinuka Yule dada tulikuwa naye sikumwona nilimwona mwanamke mwingine alitokea kwa ile Kona Kama jini akiwa amejifunga lezo tu hakuwa Na nguo ingine akanichika mkono akaniuma mziba wa damu akaanza kunywa damu uku napiga Duru apo Sasa nikachituka usingizini Nini maana take ?
@leilajumap1891
@leilajumap1891 4 жыл бұрын
Mimi naotaga nakula kitu alfu nashituka gafra ila nikistuka nakuta kile kitu kinatelemka kwenye kolomeo kinaenda tumbon maana yake ninini sheh
@rashidimustapha2915
@rashidimustapha2915 4 жыл бұрын
Duh,
@fahadkhalfan2079
@fahadkhalfan2079 4 жыл бұрын
Unalishwa sihri (uchawi) tafuta tiba haraka ndugu kabla hujaanza kuumwa
@farhafarhan4393
@farhafarhan4393 4 жыл бұрын
Asalam Alaykum shekhe mm niliota tupo matembezin na wifi yang gafra police waka mvamia nakumtia ping mikononi mm nikaanza kukimbia naenda mbele tena nikakutana tena napolic wengine wamemkamat mkaka. Ana lalamika niacheni mm nimalizie mtihani wakidato cha6
@mariamkingazi6416
@mariamkingazi6416 4 жыл бұрын
Ubaya huo umewapata lkn ww umepona
@puritylobun5313
@puritylobun5313 2 жыл бұрын
Na ukiota ukiendesha gari maana Yake nini?
@khalila.matingas2448
@khalila.matingas2448 4 жыл бұрын
Nimekuwa nikiota naachwa na ndege mara mbili mfululizo wiki iliyopita, nini maana yake
@kimnajim8724
@kimnajim8724 4 жыл бұрын
Sheikh mm nimeota naandamwa na boko/kiboko maana yake nini
@farhafarhan4393
@farhafarhan4393 4 жыл бұрын
Yan mpka sasahivi sielewi mana yake naomba unisadie
@hamisaadam6588
@hamisaadam6588 4 жыл бұрын
Nimeota ndoto nyoka watatu mmoja nimkubwa sana unene kama ndoo kubwa ya mafuta arafu ana miguu miwili mwingine nimdogo ila unene wake kama ndoo ndogo ya mafuta mwingine ni mdogo sana na nmwembamba
@asajileshem8235
@asajileshem8235 4 жыл бұрын
Nini hatima yake shekhe
@aminahmohammad5866
@aminahmohammad5866 4 жыл бұрын
Shekhe mi naota mara mara sio kila siku naota nyoka but huyo nyoka hanifanyi kitu hua anakaa tu na mimi tene ni wale nyoka wakubwa kama chatu maana yake ni nini?
@farhafarhan4393
@farhafarhan4393 4 жыл бұрын
Leo tena nimeota msanii mkubwa kafalik kwaku rushwa gorofan
@hamisaadam6588
@hamisaadam6588 4 жыл бұрын
Mm nawaotaga sana ila nikiota inakua kwel ila nikimuota mtu hafi yeye anakufa mwingine kwamfano nikimuota wema basi atakufa mtu mwingine ila atakua maarufu haijalishi nimsanii au mwana siasa chamsingi awe maarufu tu
@suleimanshaban2140
@suleimanshaban2140 4 жыл бұрын
Shekh,,, mtu akiota amemshika NJIWA MWEUPE na watu wanampenda yule njiwa wataka wampate wao.... inamaana gani???? Naomba jibu
@fahadkhalfan2079
@fahadkhalfan2079 4 жыл бұрын
Njiwa ni neema na rangi yake kuwa ni nyeupe pia ni wema na watu kumtaka wao ina maana ya hasadi kwa hyo aliyeota ndoto hiyo km ni ww au mwengine bas ajue kuna heri kubwa anabashiriwa.
@suleimanshaban2140
@suleimanshaban2140 4 жыл бұрын
Aamiin
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Virtuous Islam
Рет қаралды 386 М.
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 1,3 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 28 МЛН
1,000 Diamonds! (Funny Minecraft Animation) #shorts #cartoon
00:31
toonz CRAFT
Рет қаралды 38 МЛН
MAUMIVU YA MGONGO, CHANZO ,DALILI NA TIBA
19:17
MOI TV
Рет қаралды 22 М.
JUA KU ISHI NA MARAFIKI NA MA ADUI... OTHMAN MAALIM
34:54
Said Salim Matango
Рет қаралды 1,6 МЛН
7 Fatiha 7 Ayetel Kürsi 7 İhlas 7 Felak 7 Nas Kur'an-ı Kerim Rukye
24:23
fussilet Kuran Merkezi
Рет қаралды 77 МЛН