No video

MAUAJI YA WATOTO MBAGALA, POLISI KUTOA DONGE NONO LA MILIONI MBILI, "WANADANGANYWA NA VITU VIDOGO"

  Рет қаралды 17,199

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Ай бұрын
Hamna haja hata ya kutoa hiyo m2 mm nikimkamata nawaletea nyama kwenye mfuko tu
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Huu ni msiba mzito kwa Taifa la Tz. Kwakweli wananchi kwasasa inabidi tuchukue sheria mkononi tukimkamata mhalifu ni kuua tu. Lawama baadae. Kuua tu
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Ай бұрын
Nikweli usemacho umeniwahi haifanyi chochote muhusika akikamatwa na ushahidi utasikia tuanendelea na uchunguzi police wamejawa na tamaa ya rushwa dawa kuwauwa
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
@@user-fs7xc2bb5d Watoto wanauliwa, wanabakwa lkn utasikia tunafanya uchunguzi police kwakweli wanatuangusha kikubwa wauaji, wabakaji, wezi, ni kuwaua tu na wananchi tumechoka
@SaudaMahmoud-yf4zb
@SaudaMahmoud-yf4zb 26 күн бұрын
Kweli keshi la polisi linakatisha tamaa
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 26 күн бұрын
@@user-xk7vy4gb6g wauwaji wote wanaopatikana na hatia wote wangeuliwa mauaji yangeisha
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 26 күн бұрын
@@SaudaMahmoud-yf4zb tamaa ya pesa ndicho kinachowafanya waachie watuhumiwa
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
Poleni sana wazazi nihatali sana nawaomba mkiwashika muwaue kabisa
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
dah mna mwingne mahakama zetu za hovyo sana watu kama hawa wakatili ila utashangaa wakishikwa wanapata zamana
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Ай бұрын
Kila ikifika nyakati za uchaguzi matukio haya hutokea
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Ай бұрын
Poleni wana mbagala kibonde maji watoto wanaisha😢😢😢
@AmenaJeogh
@AmenaJeogh 28 күн бұрын
Jamani ili swala ni mitihan mkubwa Sana kwasababu mtoto utakuta yupo apo jiran tu linatokea shetani uko linakuja kumtia magumi ili amuuwe mm mwanangu walitaka kuniulia nashukuru mungu aka tokea msabaria mwema akamuokota mwanangu lile lishetan likakimbia adi vikindu mashetan wamejaa Hee mungu warahan awa wauwaji wawatoto🤲🤲🤲
@fadhilishaha8000
@fadhilishaha8000 Ай бұрын
Makafala ya uchaguzi hayo yameanza
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 29 күн бұрын
🎉
@MukazayireFina-li8ft
@MukazayireFina-li8ft Ай бұрын
Pamoja na wazazi kua makini lkn hebu niwaulize nyie polisi . kweli hawa watu wamewashinda kuakomesha? maana haya ninyi mnaishi kwa jamii hii hii!inachoamini uwezo wenu ni mkubwa.hamjaamua au bado mna jambo lenu.
@tunudimandogreek9683
@tunudimandogreek9683 Ай бұрын
Watoto wapelekwe na wafuutwe kurudi nyumbani kuanzia shule chekechea mpaka darsa la pili na walimu washirikishwe ktk upelekaji wa watoto na mzazi au aliye hakikishwa kumfuata
@AmenaJeogh
@AmenaJeogh 28 күн бұрын
Hee ndugu adi watoto wadarasa LA saba vikindu wamechukuriwa
@MasterPetro-oj1fd
@MasterPetro-oj1fd Ай бұрын
Sasa mbona wamejaa wanaccm. Kesi hizo zinawahusu ccmtu?
@TajiwidiRajabu
@TajiwidiRajabu 28 күн бұрын
wamama pia wawe makini nawatoto unamkuta mama anachati na simu anamuacha mtoto nyuma
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 Ай бұрын
Hawa wakkienda mahakamani kesi inaisha nyie hamjui
@mikidadymohammedy7603
@mikidadymohammedy7603 Ай бұрын
Uchaguzi ukikaribia tu madhara yake ndio haya sasa
@TajiwidiRajabu
@TajiwidiRajabu 28 күн бұрын
hafwatiliwe wakichukua hao watoto wanawapeleka wapi ili huo mtandao ukomeshwe
@MukazayireFina-li8ft
@MukazayireFina-li8ft Ай бұрын
Niwaombe serikali yetu, msimamishe mauaji ya viumbe ambao hawana hatia uwezo mnao.kwakweli raia wenzangu tuombe Mungu aokoe kizazi chetu Na nchi yetu.mama yetu uchungu unaujua toa tamko rasmi tukuonyeshe .kama ulivyo toa tamko kwa panya road
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 Ай бұрын
Una uhakika ni wao ndiyo wanahusika? Hata wengine siku hizi wana tamaa sana
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 Ай бұрын
Mtu akibaka akilawiti akiua adhabu yake anyongwe au afie jela kabisa asionekane tena
@SaudaMahmoud-yf4zb
@SaudaMahmoud-yf4zb 26 күн бұрын
Rushwa imechukua nafasi kubwa hamna liwalo
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Ай бұрын
Kumbe nanyi mnatoa dau kama kubeti mi naona hio ndogo ukifananishwa na uhai wa watoto wetu mimi ningeweka milioni 10 iri juhudi zifanyike
@MbatiaZakaria-ti5kt
@MbatiaZakaria-ti5kt Ай бұрын
Kazi kweli bongo
@MarryKigina
@MarryKigina Ай бұрын
Arobaini yao itafika tu na maji wataita mma wakikamatwa na wao watolewe viungo
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Ай бұрын
Lakini mbona km fashion,miuwaji ingekuwa inachomwa moto hadharani,hii Tabia ingekoma.
@MarryKigina
@MarryKigina Ай бұрын
Hao watakuwa wanatumwa kuichafua serikali hakuna cha kafara wala nini?
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Ай бұрын
Wananchi mkimpata muharifu dawa yake auliwe hakuna kumoeleka police Serikal ndio tatizo wauwaji wangeuliwa kwa wakati mauaji yangeisha lakini baada muda utasikia watuhumiwa wako nje kwa dhama kuchelewa kuwauwa familia zao zinaroga lakini siku 2 au 3 uwa muone kama wataendelea kuuwa mbwa hao. inauma serikal uweniiiiii mnatuchosha
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Panya road tu ndy wanauliwa tena pasikuwa na uhakika wanawafata majumbani lkn wahalifu km hawa wakikamatwa na kidhibiti bado utasikia wapo nje mfano waliomuua mtoto alibino hd leo wanatembezwa tu hukumu hakuna aliyechoma picha ya Rais kahukumiwa ndani ya wiki moja
@user-xc5tv9dl5k
@user-xc5tv9dl5k Ай бұрын
Matatizo nyie selikali mnayataka.nanukuu shida ni kwamba nyie Malaya mnawakamata badala yake hayo mambo ya kijinga ndo hayo.tumieni hakili
@nicksonnewton1540
@nicksonnewton1540 Ай бұрын
naombeni kuliza ivi mbagala ni wilaya
@anthonyrwaitale110
@anthonyrwaitale110 Ай бұрын
Wilaya ya Kipolisi
@YahyaNyorido
@YahyaNyorido 2 күн бұрын
gkgi
@MikaelJoseph-od4nj
@MikaelJoseph-od4nj Ай бұрын
Boda boda wanini wakati watoto wanafwatwa shuleni .SHULE ZOTE ZINGEFUNGWA ILI WATOTO WABAKI SALAMA
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 87 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 17 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 69 МЛН
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 87 МЛН