Mbarikiwa +Makonda +mke wa Mbarikiwa hata utawala ubadiliashwe kama hakuna atakayesimamia haki hamna

  Рет қаралды 3,371

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

2 ай бұрын

Пікірлер: 17
@joshuangonya-jt5dj
@joshuangonya-jt5dj 2 ай бұрын
Hakika makonda ana sehemu ya ucha mungu ndani ya moyo wake.
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 2 ай бұрын
Nimeanza kumona magufuli
@neemanziku5403
@neemanziku5403 2 ай бұрын
Tumuombee Sana Makonda watanzania weng hawapendi ukweli Mung mulinde Makonda wetu
@ombendaud5938
@ombendaud5938 2 ай бұрын
Hakika Mungu pamoja na uovu wowote uliopo duniani bado Mungu unawatu wako wanaosema haki yako na wokovu wako.Barikiwa sana Mama yng na baba hakika Mungu mimi umenipendelea
@kikosikaziupdate
@kikosikaziupdate 2 ай бұрын
Amen, waovu hawana furaha hata wakidhurumu
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n 2 ай бұрын
Kaka Makonda mimi Sina chama ila mimi napenda haki mungu wa mbingu na nchi akubariki sana sana hii nchi watu wanaonewa sana ila najua wewe umeleta tumaini tena baada Magufuli hata ukifa damu yako itanena
@geraldsenkondo4334
@geraldsenkondo4334 2 ай бұрын
Mbarikiwa hapa unamke aisee punguza uchungu farijika Kwa huyu mama. Ni mke kweli kweli.
@UAMSHOTV
@UAMSHOTV 2 ай бұрын
Mama mchungaji Mungu akubariki Sana Sana, wewe ni Nuru ya Mungu duniani
@geraldsenkondo4334
@geraldsenkondo4334 2 ай бұрын
Hii kichwa makonda kwa kweli imetulia sana. Mungu amlinde tu.
@mercyzakariah
@mercyzakariah 2 ай бұрын
Makonda tuna muombea sana, huyu ndie anae tufariji, baada ya kuondokewa na chuma magufuli,, najua maadui wanajipanga juu yake lakini safarihii hatuta kubali makonda apotezwe.. milion 68 ya wa tz tunajua magufuli, aliuliwa..
@user-iv7mn4qd4q
@user-iv7mn4qd4q 2 ай бұрын
MUNGU awatunze watumishi wetu woote
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 2 ай бұрын
Mungu akulinde makonda , 2030,, wewe ndie RAIS wa jamhuri ya ,mungano wa , Tanzania,,,wazirri, wako ,ni mbarikiwa ,mwakipesile
@SamweliMwalindu
@SamweliMwalindu 2 ай бұрын
kweli kabisa hakiba a
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 2 ай бұрын
Kutokuwa na akili kwasababu Leo wapo kesho wakiwa hawapo huko maofisini
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 2 ай бұрын
Cjakuelewa hapo unamsema makonda au unamsema nanii? Nyoshaa maelezo vizurii mama mchungaji cjakupataa badoo
@UAMSHOTV
@UAMSHOTV 2 ай бұрын
Msikilize vizuri utampata tu
@jafarmlawa9627
@jafarmlawa9627 2 ай бұрын
Acha ushogaaa
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 5 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 151 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 105 МЛН
Wimbo mzito uliokusanya vilio vya watu mbalimbali. Mbarikiwa
9:44
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 661
Hakuna muujiza utakao kufanya uendelee na Mungu. &  Mch Mbarikiwa Mwakipesile
1:20:06
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 219
Mpaka Home MAISHA HALISI YA MUIGIZAJI KINGWENDU NYUMBANI KWAKE
18:31
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН