EXCLUSIVE NA MAMA TAJIRI ALIYE MPATIA GARI STEVE MWEUSI

  Рет қаралды 22,355

Mbengo Tv

Mbengo Tv

22 күн бұрын

Пікірлер: 43
@manp9091
@manp9091 11 күн бұрын
Iyo gari ya kwanza ameipataje tambueni wanangu hili ni tangazo la magari kama nawewe kama umegundua ilo gonga like hapa 😂😂😂
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 15 күн бұрын
Mwenyezi Mungu anijaalie moyo mzuri wa waja wema kama Hawa
@charlesibiga4429
@charlesibiga4429 10 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi nimepanda jitihada zako Mungu apanue uchumi wako 1NYAKATI:4:9-10; nakuombea hiyo biashara yako ikue.
@JudicaMboye
@JudicaMboye Күн бұрын
Dada up Safi aixee mungu atakubariki sana naomba KAZI dada nipo mbagala aixee
@MartinSilungwe-ws2se
@MartinSilungwe-ws2se 5 күн бұрын
Nice dada uondokweri❤
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 18 күн бұрын
Hongeraa.. dada kwa historia fupi ya mwanzo wa ndoto yako, pia ubunifu wa mauzo. Vipi! Kuhusu mkopo kwa utanguliz wa 50% kama wafanyavyo wengineo. Salaam toka Mwanza 🐟
@denisjoel1592
@denisjoel1592 15 күн бұрын
Uko vzr Dada unaonekana roho mbaya huna be bless
@salummindu682
@salummindu682 15 күн бұрын
Dada yupo na akili nyingi sana ya kibiashara hongera dada
@mupendwajagarasteve341
@mupendwajagarasteve341 12 күн бұрын
Big up dada
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz Күн бұрын
Noma
@AvityNjau-tz8gq
@AvityNjau-tz8gq 20 күн бұрын
Huyo mama anamtumia steve ku brand magari yake
@samirasalim4203
@samirasalim4203 16 күн бұрын
MashaaAllah Tabaraka Rahman umepedeza umevaa hijjabu.
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 20 күн бұрын
Ni kweli kabisa ukiweka faida kindogo unuza sana
@kastorkidumu6579
@kastorkidumu6579 9 күн бұрын
Shangazi hongera
@DishaniDisha-zm2gm
@DishaniDisha-zm2gm 20 күн бұрын
Kweli kabisa 👍👍👍
@mkatakonapeleka1476
@mkatakonapeleka1476 16 күн бұрын
Hongera kwa usubutu wako wa awali
@MbongoBoy-yg9tq
@MbongoBoy-yg9tq 17 күн бұрын
Stiv bwaaana
@Kabwela776
@Kabwela776 15 күн бұрын
Unaweza kujiuliza huo utajiri ameupata wapi kwa miaka michache Na haingii akilini anavyosema jinsi alivyopata utajiri basi kila mtu angekuwa tajiri, kuna mambo mengi ya kishetani uwa wanafanya na hawasemi mfano ujambazi kuuwa watu ! Kwenye utajiri wengi wana historia zako wakisema siku ukweli unaweza kuzimia au ukawakimbia matajiri, kama utajiri ingekuwa kama like walking in the park watu wengi sana wangekuwa matajiri, matajiri wamefanya mambo mengi ya dhuluma, ukatili Na kuuwa kwa aina tofauti tofauti, kwanza kama kama unayo hofu ya Mungu huwezi kuwa tajiri labda ushinde bahati nasibu ya mabillioni!
@lailatbakar5829
@lailatbakar5829 14 күн бұрын
Hata kwenye kitabu cha mafanikio kuna kurasa hazisomwi kwa sauti
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 13 күн бұрын
Jina kabwela haliruhusu kupata pesa ndo maana unashangaa
@Nick16697
@Nick16697 12 күн бұрын
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo,
@YoshuaSeverino
@YoshuaSeverino 11 күн бұрын
Hizo ni roho za umaskini, pesa ni ya Mungu, huyo mama amejitafuta na amejipata.
@YoshuaSeverino
@YoshuaSeverino 11 күн бұрын
Fedha na dhahabu ni mali ya Bwana, kwa mawazo yako hata kizazi chako kitakuwa masikini, pia biblia inasema umaskini siyo baraka bali ni laana, kwa hiyo una laana.
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 10 күн бұрын
Dada nimkupenda bure mpatiepo mwanangu kakazi uko amemariza chuo yupo tu bado ananitegemea
@user-id7lc7tk4d
@user-id7lc7tk4d 14 күн бұрын
Facebook anatumia jina gani tuwe tunafatilia magari
@barakamwasenga2143
@barakamwasenga2143 13 күн бұрын
Naomba mawasiliano yake huyu mama
@andreamwangu2647
@andreamwangu2647 19 күн бұрын
Contacts please
@user-ti1ol3ti9j
@user-ti1ol3ti9j 17 күн бұрын
Lishangazi pesa acawivu 😮😮😮😮
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 16 күн бұрын
Steve ni balozi sio kuwa kahongwa😂😂😂😂vijana wa hovyo nyie
@EMMANUELNGWENDESHA
@EMMANUELNGWENDESHA 12 күн бұрын
Nitumie contact za huyo mama
@EzekielMateru
@EzekielMateru 15 күн бұрын
Una ast bei rahis au corona ileven
@francomwacha2262
@francomwacha2262 17 күн бұрын
Office iko mseneo gani?
@MlokoziMjeruman-yf4uu
@MlokoziMjeruman-yf4uu 15 күн бұрын
Nikuelekeze ilipo ofcn
@reubenjoas6029
@reubenjoas6029 16 күн бұрын
Steve hayuko sawa?
@user-ce7dl4qc2t
@user-ce7dl4qc2t 16 күн бұрын
Mashaallah umetia hijabu
@haimanlivingstoned1278
@haimanlivingstoned1278 20 күн бұрын
Li shangazi
@MartinSiame-zi9nz
@MartinSiame-zi9nz 17 күн бұрын
Nitafute probox DX ya mil 8
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 16 күн бұрын
Mke wa mtu huyu wewe. Ni mwl alieacha kazi. Wee endelea kushoboka
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 16 күн бұрын
Hakuna mwnamke wa kimeru mjinga
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 15 күн бұрын
​@@hellendaniel3809Ndo umedanganywa hivi,wapo wajinga kama ww.
MARY AFICHUA TABIA YA STEVE MWEUSI, KIMEUMANA NA MREMBO HUYU
13:04
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 43 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
MAPENZI YA BODABODA YAME MPONZA
8:52
Mr Uky
Рет қаралды 62 М.
TOKENI NJIANI NDARO NA STEVE MWEUSI
8:10
Ndaro Tz
Рет қаралды 311 М.
NACHATI NA MWARABU
10:31
Joti TV
Рет қаралды 119 М.
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Eliud Samwel
Рет қаралды 35 М.