No video

MBOWE AKIWASHA, OCD WA HAI WA WAKATI WA MAGUFULI, AKUTANA NAYE AMKIMBIA, "MLIWASAIDIA HAWA KIJANI"

  Рет қаралды 19,448

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZfaq Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 46
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 Ай бұрын
Kila mara ni kumkashfu Mbowe, wewe ulitoa nini ! Big up Freeman, together we can.
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 Ай бұрын
Mungu akutunze mpambanaji
@user-kj5jp2ii5n
@user-kj5jp2ii5n Ай бұрын
Kwa maoni yangu huyu jamaa anastahili heshima kubwa kabisa nchi hii kuliko hata Nyerere! Hii kazi ni kubwa kuliko hata aliyo ifanya Nyerere kwa sababu wazungu walikuwa wastaarabu ukiwalinganisha na hawa watawala wa sasa anao pamba nao!
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Ай бұрын
Huwezi mfananisha kiongozi msaka tonge na Nyerere hiyo helicopter analipiwa na mama Samia. Hata msigwa alipiga kelele siku ya pili akajiunga na CCM. Huyu si ndio alimkaribisha mama Samia kwenye mkutano mkuu wa chadema. Sasa hivi anajenga magorofa hela anapata wapi anagaiwa keki maana ndio ilikuwa kilio chake. Magufuri ndio alikuwa kiongozi mwaminifu alikuwa hapendi wezi na Mbowe ni mmoja wapo. Kama anadhurumu ndugu zake mali za ulithi ataweza kulinda mali za taifa?
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale Ай бұрын
sahihi!
@deomponzi2459
@deomponzi2459 Ай бұрын
Mbowe heshima yako mkuu wewe ni kamanda
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 Ай бұрын
Wew una akili kabsa mpka umuongee maguful lala salam maguful baba
@munuoisaack418
@munuoisaack418 Ай бұрын
Nyi ikwai ndii😂😂😂😂😂😂
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 23 күн бұрын
Kamanda apeqe maua yake umenifuraxha vitanda 60 si mchezo ccm wametoa vingapi
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Ай бұрын
4R lazima zihubiriwe kwa nguvu. Watz hawajazifahamu
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Ай бұрын
Duuh
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Ай бұрын
Uungwana ni kuzuia kutukanana na kukwazana siasa za uungwana zitawale.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Kiswahili kinanisumbua sana hivi akiuliza "UONGO AU KWELI " jibu "KWELI" sasa hii "KWELI' maana yake nini. KWELI ni Uongo au SIo KWELI.
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Ай бұрын
Maana yake Mama yako alikubemenda unafikiri kwa tabu Sana!
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Ай бұрын
​@@IsayaSosolo-nx8zk😅😅😅😅
@edwardmwambene3748
@edwardmwambene3748 Ай бұрын
Wewawapi unauliza ivyo🤔
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d Ай бұрын
Mbowe apeqe maua yake
@Naomianthonyreige
@Naomianthonyreige Ай бұрын
Tanganyika ni wajinga, hamjagundua Bado Nia ya mama, mama ana Nia mbaya sana, mpaka tunyooke, tukishtuka tuvunje muungano.
@edenusmrosso9225
@edenusmrosso9225 Ай бұрын
Mimi mchaga niliajiriwa wakati wa Magufuli
@majidimussa8678
@majidimussa8678 Ай бұрын
wa sehem gn
@geey7893
@geey7893 Ай бұрын
huyu Macho pinda muongo
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Ай бұрын
Huyu mzee Kwayu alinyanyasika .
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Ай бұрын
Ulitowa siulikuwa ni mbunge Matusi hayo ndiyo Wananchi wanakuona mjinga kabisa .
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Ай бұрын
kabisa
@user-lt1nr4tk9r
@user-lt1nr4tk9r Ай бұрын
Mjinga n wewe chawa alio miona warioba
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf Ай бұрын
Fara niwewe tu, mujinga wewe
@albertjames6845
@albertjames6845 Ай бұрын
Mbona wengine hawajengi sio wabunge? Ng’ombe kweli
@RajabuLanda
@RajabuLanda Ай бұрын
Mujinga usiye jurikana ww nyoko uliyeka pabaya
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 Ай бұрын
Hili jamaa liongo na linaukabila ile mbaya halifai anafikili Kilimanjaro itampeleka ikulu never.
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Ай бұрын
SIASA ZA MAJI TAKATAKA
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 Ай бұрын
Tupe za kwako zenye faida kwa wananchi
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 Ай бұрын
Tupe za kwako zenye faida kwa wananchi
@munuoisaack418
@munuoisaack418 Ай бұрын
Hata maji taka yanatoa mazao bora kaa mkao wa kula kilicho chema
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Ай бұрын
Kafilwe ccm
@YusuphRamadhan-oz4fi
@YusuphRamadhan-oz4fi Ай бұрын
@@nabimanyafesto5014 fachenu
@eliasmakoye3939
@eliasmakoye3939 Ай бұрын
Siasa hizi za ukabila hazifai ndani ya nchi hii ulisikia wapi rais katangaza kuwa watu wa Moshi wasiajiliwe? Mboe acha ukabila
@geey7893
@geey7893 Ай бұрын
Mpumbavu huyu Mzee kumanina, Nimeajiriwa na jamaa zangu wa3 wachaga Kwa pamoja kipind Cha Magu
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Ай бұрын
Chuki itakuua mwenyewe.
@geey7893
@geey7893 Ай бұрын
@@TM-zs3rm Kama vile yeye anavomchukia Marehemu.
@joojombi2341
@joojombi2341 Ай бұрын
Muongo mkubwa fatani mkubwa huyo bora uendelee na biashara zako. Muongo mkubwa sana
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Ай бұрын
Kafilwe ccm
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 Ай бұрын
Mwoga mama yako
@joojombi2341
@joojombi2341 Ай бұрын
@@frankkimaro1354 kumbe wee umezaliwa na punda huna mama. Maandazi wahed usokua na adabu hata mama yako wamtukana kenge wahed
GOODBLES LEMA AMPIGIA OLE SABAYA NA KUMTAKA AACHE KUTESA WATU
3:14
Chadema Media TV
Рет қаралды 401 М.
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 7 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 38 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 29 МЛН
PAMECHIMBIK! MWABUKUSI AKIRI WAMAASAI WANYANYASWA
4:41
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 7 М.
ANGALIA VITIMBI VYA MTOTO HUYU 🤣🤣🤣
20:05
Chitoto Family
Рет қаралды 32 М.
DUDU BAYA ACHUKIZWA NA KIBOKO YA WACHAWI, ONA AIVYO MUUMBUA
14:43
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 7 МЛН