MBUNGE KISHIMBA AWACHANA MAWAZIRI, AONGEA KWA UCHUNGU "HAKUNA PESA MADUKA YOTE YAMEJAA PLASTIKI"

  Рет қаралды 11,163

Millard Ayo

Millard Ayo

12 күн бұрын

Пікірлер: 19
@obbybenitho5803
@obbybenitho5803 10 күн бұрын
Mbunge kishimba namuamini sana father 😢😢😢😢
@robertphilip385
@robertphilip385 10 күн бұрын
Prof Kishimba ule mpango wako wa bangi kuazao la bishara iliishiwapi?
@stevenmahinda657
@stevenmahinda657 10 күн бұрын
Sheria nyingii za faini hazitekelezeki so inatengeneza mazingira ya rushwa...ni afadhali kwa mfanyabiashara kutoa rushwa ya 50,000 kuliko million 15
@BlazeSunshine-je1zt
@BlazeSunshine-je1zt 9 күн бұрын
Safi mbonge wetu mungu akusimamie
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 10 күн бұрын
Unajua nchi hii wafanyabishara wanashughulika sana kuhakikisha wanajenga uchumi wao binafsi na ili mitaji izidi kukua wachangie pato kwa umma lakn ubaya unakuja serikali inatumia nguvu nying sana kuwabana wafanya biashara wadogo na wa kati huku pesa hizo zikikusanywa zinaenda kupotelea mikononi mwa serikali yenye dhamana ya kusitawisha nchi. Si bora na wao wakwepe kodi.
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 10 күн бұрын
Mil'15 watafunga wengi ndy maana wafanyaBiashara wametangaza Kugoma
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 күн бұрын
Unasema ukweli Mbunge Kishimba uko wazi hali ni mbaya sanaaaa kwenye mahospitalini
@user-jn3jh7yp3w
@user-jn3jh7yp3w 10 күн бұрын
Asante Sana kishimba, Chloroquine ndyo Dawa halisi ya malaria,huu mpango wa mseto ni mpango wa kutupunguza tu watanzania
@dottomatola5905
@dottomatola5905 10 күн бұрын
Khasante mbunge wangu mitano tena
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 4 күн бұрын
Hayo mawazo yako kishimba ni ya kipuzi. Ukisha waruhusu madoctor wataanzania wataiba dawa nakuziuza kwenye hospital zao..
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 9 күн бұрын
Huyu mzee anasema ukweli hii sheria itasababisha TRA wote wakae mtaani wawe wanakagua risiti ili wapige watu fine na kukusanya rushwa
@user-ku4xq4nd9v
@user-ku4xq4nd9v 10 күн бұрын
Tunaogopa hata kufanya biashara
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 10 күн бұрын
Sema baba japo ukweli unauma waambie tu mana nikweli kabisa mtu kama hanapesa anafia kitandani bila matibabu na akifa ndugu watalipa bili yote wakati mtu akutibiwa nyie nchi hii Ina waywa damu sana
@titus_maridhia
@titus_maridhia 10 күн бұрын
Genius
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 10 күн бұрын
Shamba la serikali ni walipa kodi wake. Serikali inachukua kingi na kuchukua kingi ni kutumia nguvu. Hilo chimboko la kutotoa listi
@ibrahimbaila7764
@ibrahimbaila7764 10 күн бұрын
Nilisema ata ile sheria ya mimba wangekua wanashikwa wanawake .
@JacklineswaniMakindo
@JacklineswaniMakindo 10 күн бұрын
Ni wajibu wa muuzaji kutoa risiti..na si ombi
@ce-08
@ce-08 9 күн бұрын
Na ww mteja n wajibu kudai
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 91 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 34 МЛН
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 46 М.
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 91 МЛН