MBUNIFU NJOMBE AOMBA APELEKWE NJE YA NCHI

  Рет қаралды 1,148

NJB TV NEWS

NJB TV NEWS

2 жыл бұрын

NJOMBE
Wakati Tanzania Leo Ikiungana na Mataifa Mengine Kuadhimisha Siku ya Wabunifu na Wavumbuzi Duniani Baadhi ya Wabunifu Mkoani Njombe Wamesema Wanaamini Maono ya Aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dokta John Magufuli Yataendelezwa Kwa Kuendelea Kuwaunga Mkono.
Wanasema Wanaamini Ubunifu Ndio Unaosaidia Kuongeza Tija Kazini na Kwamba Mataifa Mengi Yaliyoendelea Yalifanikiwa Kwa Kuwaendeleza Wabunifu na Wavumbuzi wa Vitu Mbalimbali Kwa Kuwa Wamekuwa na Mchango Mkubwa Katika Uchumi na Utoaji Ajira.
Kituo Hiki Kimetembelea Chanzo Cha Maji Cha Mbunifu Ruben Mtitu Ali maarifu Kama Kisangani Kilichopo Mkiu Wilayani Ludewa Ambaye Ameanza Kubuni Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Kilowati 100 Utakaoendesha Mitambo Yake ya Kuyeyusha Chuma ambaye Anasema ni Lazima Akamilishe Ndoto Yake Hiyo.

Пікірлер: 5
@angelanikalenga4757
@angelanikalenga4757 2 жыл бұрын
Pogezi sana
@ommynyika6384
@ommynyika6384 2 жыл бұрын
👏👏
@charlesngwembele4541
@charlesngwembele4541 2 жыл бұрын
Kwa tanzania hiyo hawathamimi wanapemds kuwa watumw ingekua nchi za ulaya hyo ni asset
@hanifawaliya7976
@hanifawaliya7976 2 жыл бұрын
Aende nje ya nchi kufanya nini asa. Ubunifu Unahusiana nini na kwenda nje. ye akomae hapahapa ingekuwa wabunifu wanapelekwa nje Kuna mtu angebaki apa
@zuberimkuba2324
@zuberimkuba2324 2 жыл бұрын
Chas hyo ni kwel kabisa
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 182 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
Visiting the Divorced Women's Market in Mauritania 🇲🇷
9:40
Joe HaTTab
Рет қаралды 19 МЛН
Brides for sale - Bulgaria's Roma marriage market 🇧🇬
9:38
Joe HaTTab
Рет қаралды 19 МЛН
80 Year Olds Share Advice for Younger Self
12:22
Sprouht
Рет қаралды 1,4 МЛН
DC NJOMBE  AWAPA MASAA 48 VIJANA 80 KUHAMA  WILAYA YA NJOMBE
10:35
NJB TV NEWS
Рет қаралды 27 М.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 182 МЛН