Haaa usimsahu hakim pia nasikia mhandisi wetu anataka wino wake 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 izo za ndaniii uwezi elewa
@BasuleBasule6 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@SalimAbdallah-tk9hs4 күн бұрын
Mala paa uku chama,dube,ki azz,pacome,max mhhhhhh
@JohnKavula-xw7xl7 күн бұрын
Ah nikajua ameshasaini yanga kumbe ni mbwembwe tuu??🤔🤔🤔🤔🤔
@DeusChakiza6 күн бұрын
C.C.C TUNA MUITAJI YANGA.
@KarokoraJeremia7 күн бұрын
Jua risemaro ripo nakama aripo raja iyo mariyetu
@DeusChakiza6 күн бұрын
C.C.C (clatus chota chama)
@gasperelasto88427 күн бұрын
Asante kw taarfa hii kaka
@SaidiMshua6 күн бұрын
Kaka unajua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@saidially58926 күн бұрын
Pacome, azizi, chama, max, dube, yao kwasi, aucho mmmmmh!. Ili tatizo 😂😂😂😂😂
@djgaswamitulinga71854 күн бұрын
Hahaha
@longinoSimon-dz2eb7 күн бұрын
Nimekusomaaa
@gasperelasto88427 күн бұрын
Kaka nakuomba siku 1 utufafanulie malipo wanayopata timu zinazoshirik ligi kuu na ligi daraja zngne nchini il tujue. Nna imani utatusaidia kutuletea hilo somo ndugu yngu. Mungu akubarik sana.
@user-ht5tc5yv5t6 күн бұрын
Ngoja niwaambie mwanzo simba walikuwa wameamua kuachana nae chama, lkn siku mbili hzi wameliamsha tena wanamtaka kwahyo now ni 50/50 hajui aende wapi😅😅😅 maamuz yamebaki kwake
@errydeo88655 күн бұрын
Chama anataka kucheza CHAMPIONS LEAGUE mkuu! Kucheza shirikisho ataona kadharirika! Wachezaji huwajui wewe😂😂😂 simba watahangaika kusajili QUALITY PLAYERS kwasababu hawamo CAFCL 🤣🤣
@errydeo88655 күн бұрын
Mimi nafikiri Yanga wakiamua kumsajili Chama si kwasababu ya kiwango au Ligi, nafikiri watamsajili kwa uzoefu wake Kwenye CAFCL! Kwenye ligi yanga wako ok!? Michuano mikubwa huitaji Wachezaji wenye vast experience!( Chama has that) Ndo maana bado tunamuona Ronaldo bado anachezea timu ya taifa kwa mfano! Sio kwasababu CR7 is at his best( kesha pita huko zamani) lkn UZOEFU wake kwenye michuano mikubwa,bado unaoneka in the EUROs! For me ,Chama will b a good asset for Yanga in CAFCL Rather than in the LEAGUE!