Asante eng.Hersi hakika ww ni mfano kwa vjn wenzako kwa kuthamini/kuipenda Tz yetu pia kuunganisha wenye upendo wa kutoa kwa wenye uhitaji,Allah akulipe mema ww pia wazazi wako wawili,Aamin
@chrissantkaunda99582 күн бұрын
Asante kwa kuja Ashraf hakimi
@MNAZARETYTV2 күн бұрын
Wakwanza kabisa,wananchiii💚💛💚💛
@joelmwanje20082 күн бұрын
Uyo ndo Rais wa vilabu vyote Africa 👏
@ChenchiKing2 күн бұрын
Thanks For Coming In Tanzania Achraf We Happy To See Big Player In Tanzania 🇹🇿 Congrats President Ersi💚
@timcee26702 күн бұрын
hapo engineer ana mipngo ya miaka 5 ijayo, hii ni misingi tu
@augustinomkongwa544417 сағат бұрын
Haswaaaa anaiona yanga ya 2040
@eliyaomali2 күн бұрын
Asante kututembelea tunashukulu sana
@chazzmgonja40772 күн бұрын
Welcom brother Achraf Hakimi
@hanifamziray2772 күн бұрын
Safiii sn heris una mambo mazuri kwa mama samia
@jacobnduya7982 күн бұрын
Mi Simba lkn Injia kapiga mwingi sana👏
@MomoMaoukilКүн бұрын
Merci achraf hakimi .nous sommes des frères avecc les poubelles tanzanie 👍❤️❤️🇲🇦🇲🇦🇲🇦
@oussamaelmokhtari473315 сағат бұрын
Wtf bro!! who are you ?
@azizcherkaoui2135Күн бұрын
👍🏼👍🏼👍🏼Hakimi you make Morocco proud
@Kimweri_tz2 күн бұрын
Engneer the best president ever since everlast
@user-st3es5hu9f2 күн бұрын
Wajua kwa pesa anazovuna anaweza kuwa mdhamini kiasi flan hiv Hakimi😊
@selemanmcharazo12 сағат бұрын
Ila Safi sanaaaa Engineer kwa kuzidi kuitangaza Tanzania na club yetu ulimwenguni itafanya ifike mbali kimafankio ikiwezekana hata kuvutia wadhamini toka nje.
@AmanaAmos-hv3yz2 күн бұрын
Welcome again❤❤❤
@user-gx9jr5le2f2 күн бұрын
Yanga wanapenda sifa
@AdyanMbuyu2 күн бұрын
Yani ao makolo awajaona ata kasura cha hakimi wanaishia kusikia bombani🤣🤣🤣
@shaibusaady24202 күн бұрын
Allaah Akbar
@mohamedikassimu70162 күн бұрын
Hii imeenda. Historically
@mariajames55582 күн бұрын
💛💚🧡💛💚🧡 yanga
@ayubumwalunenge49802 күн бұрын
Welcome again...
@PanchoValentino-wh7wt2 күн бұрын
Pamoja saana MWAMBA
@mussandikumana35612 күн бұрын
Karibu sana Bongo
@alimkumbukwa83632 күн бұрын
Asante hesi da aaa kwa kwel Salm nyingi kutoka kahama
@barakayusuph46172 күн бұрын
sasa ahsante kwa lipi😂😂
@alimkumbukwa83632 күн бұрын
😂 uyu mtu S unajua n clbrt ivo at a said I a kuitngz ynga pia
@barakayusuph46172 күн бұрын
@@alimkumbukwa8363ila watani😁
@MoajGraphics2 күн бұрын
Yanga Bingwa
@fahadrashid97542 күн бұрын
Rais wa wanaume ashraf hakim in tanzania
@baddiekid2 күн бұрын
😂😂😂
@ezrayohana35412 күн бұрын
Siujanja wa kutunza mali lakini pia anasaidia wanyonge😢😢😢
@emmanuelnyakunga83202 күн бұрын
Awo walinzi wanawatisha wageni Kuona Kama vile Tanzania hakuna Amani😂😂
@umojamedia41672 күн бұрын
Iyo ni mali ya psg lazima iwe salama
@JastinRuben-lg9goКүн бұрын
mimi ni mwanasimba lakin engeerer umeupiga mwingi sana
@dmswaggbamboostick45762 күн бұрын
Hakimi ni mwananchi
@marcobulili43412 күн бұрын
Hao walinzi utafikiri wanataka kumteka mgeni! Haya makampuni ya ulinzi yanatishia mani yetu. Tanzania ni salama haihitaji ulinzi wa kupitiliza kama huu. Tunawaogopesha wageni
@husseinmbwana81602 күн бұрын
Kusema haya ni matumiz mabaya ya mabodygard😅😂
@bahatinassorali52222 күн бұрын
Kaa kwa kutulia😂😂
@amosalfred4182 күн бұрын
Kuna mwenzao hapo kaja kuwatoa😂😂😂😂
@anuarymzee98982 күн бұрын
😂😂😂😂
@makenzijoseph97322 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-mw3yp6kl5c2 күн бұрын
Uyu jamaa namtumia kwenye game langu ni anaoverlap balaa ndo anaongoza kwa goli la mbali😅😅😅😂
@YohanaEsborn2 күн бұрын
😂😂😂
@saidihermes31072 күн бұрын
😂😂😂😂
@domisonrichman64992 күн бұрын
Karibu
@selemanmcharazo12 сағат бұрын
Kama tutafanikiwa kumsajili Dube ni usajili nzuri lakini pia kutengeneza heshima Kwa sababu Azam Kwa muda mrefu wamekuwa wakirubuni wachezaji wetu ukiacha Fei Kuna ngasa, chirwa, Ngoma, Dumayo Ili kama Wana viongozi wanaojitambua waache huo ujinga sisi tunaushawish mkubwa Kwa wachezaji wao tukiwataka team kubwa.
@user-jo9vb9qi3p14 сағат бұрын
Good congratulations
@KELVANNYJUNIOR2 күн бұрын
Welcome brother
@SussankhanKhan16 сағат бұрын
👏👏👏👏💛💛💛
@DicksonNasibu-tv7vrКүн бұрын
Amazing situation
@amanididas76602 күн бұрын
ashraf ameduaa baada ya kusikia mama samia hoyeee,,anajiwazia ndo nn hiki yarab leo nmejichanganya😂😂
@haidhabushiri95582 күн бұрын
Kumbe walikutana Paris engineer noma
@Mindcmusicc8 сағат бұрын
Wa pili kabisaa❤❤❤❤
@emanuelyngoi44402 күн бұрын
nice🎉🎉🎉🎉🎉
@Ertanza20Күн бұрын
🎉🎉🎉Asante Rais wetu kwa mgen mkubwa Daima mbele nyuma mwiko🎉
@SadikiSaid-cp1pt2 күн бұрын
😂😂😂😂 yanga washamba sana yani sandio nn iki
@yahayaannu36632 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@chamimdesa1482 күн бұрын
Well come again
@naftalykaaya95462 күн бұрын
Alikuwa nyumbani kabisa
@balikiabdala8232 күн бұрын
🎉
@aproniamasatu58102 күн бұрын
miaka ijayo wazee wetu wa kitoka unaweza hata kuongoza nchi una hekima saaana
@JastinRuben-lg9goКүн бұрын
duuuuu.jaman tokeni mbere ya hakim anaogopa mtamporaa
@Ushashi262 күн бұрын
Amakweli tunamegwa tz pakubwa San nimtazamo tuu😢😢
@poncianbwiho28102 күн бұрын
Naona atasajiliwa😅😊
@sadikidaudi4602 күн бұрын
Kote mnafanya sawa ila hao walinzi nikituko pia mnawatisha wageni
@poncianbwiho28102 күн бұрын
🎉😢
@Sumaiyafisoo2 күн бұрын
Manshaallah 😂😂😂😂
@Lamekkiria15 сағат бұрын
Akipiga mwingi engneer
@user-nl3fk6it3eКүн бұрын
Roho zinawauma makolo
@ikramerasmus19552 күн бұрын
Kalibu bongo hakim
@simonjoshua12332 күн бұрын
Uzeni club mumsajir hakimi
@chinxk33062 күн бұрын
Hao washkaj hapo nyuma kama vile wanalinda dhahabu mpaka wakatolewa 😂😂
@HasnatShaban2 күн бұрын
💚💚💚💚💚💚
@AyubuMsindo2 күн бұрын
Yni hapo ndomnaona kma mmmechukuwa ubingwa wa Afrika mngecheza nasevila ingekuwaje
@zachmaselle66352 күн бұрын
Na mimi naomba hao walinzi kwa robo saa tu nishushe presha.
@MwakilaFredrickКүн бұрын
😂😂😂 dar nimecheka Kwa sauti
@hamidabakari-cs5sk2 күн бұрын
Safi sana
@omaryamiri31752 күн бұрын
Anateseka kama Ruto
@user-jo5uu9un4b2 күн бұрын
Eti mtu analindwa kama anataka kutekwa
@amanididas76602 күн бұрын
alaf tusibebe mara 4 ??co kweli
@josephsamwel28452 күн бұрын
Sadik said ww ndo mshamba kama kimya kolo
@batalingayachristopher-ry5lv2 күн бұрын
Hauna Akili,kama unaona tanzania niamani lala mrango wazi
@ummusumayyah-e8kКүн бұрын
😂😂😂
@owenfweta32392 күн бұрын
Hayo mavazi ya walinzi yasikubabaishe, yasikutishe 😂 Hizo zote ni MBWEMBWE tuuuu 😂😂
@malietamalieta96582 күн бұрын
Makolo jemedari Mzee wa jambia mezeni wembe Raha sivyo mtasonya sana😂😂
@Mary-fs4mc2 күн бұрын
Wembe watachelewa kusema bye bye kale kasumu ka panya katafaa zaidi, na safari Yao itakuwa ya haraka zaidi😂.
@malietamalieta96582 күн бұрын
@@Mary-fs4mc 🤣🤣🤣🤣 nimechek kinoma
@Mary-fs4mc2 күн бұрын
@malietamalieta9658 furahi kipenzi maisha yenyewe mafupi haya, jamaa wanaroho mbaya sana hao, kwahiyo tuwawahishe sehemu husika na tusiwachoshe sana.
@malietamalieta96582 күн бұрын
@@Mary-fs4mc nawajua vizuri Yani kitu Ata kama ni kidog na kipo upande wetu wanakipamba na kukikuza vizuri awavioni na emagine
@Mary-fs4mc2 күн бұрын
@malietamalieta9658 Hawapendi mafanikio yetu na raisi wetu , sasa acha roho ziwafukute wakishindwa kuvumilia basi vitanzi ,sumu nk.vipo bila order ni wao tu.
@DANIELSARAKIKYA-o6n2 күн бұрын
kutalii tuu ila kusajiliwa ahaaaaa😂🤣
@user-iu2cm5um6e2 күн бұрын
Welcome once again,hakimi feel free.
@SurprisedMacawBird-qh7dg2 күн бұрын
Mbona hakim anaogopa nini?
@Djugaripro2 күн бұрын
samaani muwe munaweka subtitle sio wote tunajua lugha zote asante