MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA DHANA YAKUSHINDA NA KUSHINDWA KWENYE VITA

  Рет қаралды 9,463

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

2 жыл бұрын

Пікірлер: 24
@falulukata212
@falulukata212 2 жыл бұрын
Kaka wewe ni azina kubwa Sana hapa nchini lakini je viongozi wa taifa letu wanatambua uwepo wako?
@user-sz1lw9kq5s
@user-sz1lw9kq5s 6 ай бұрын
kaka umetisha sana
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 2 жыл бұрын
Kaka mle siku nyingene aongolee zaidi kuhusu opareshen ya konk Putin naona Leo mmetuonjesha tu💪💪💪💪💪
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 жыл бұрын
Huyu bro bwna hunifanya niingiapo KZfaq nitafute Kwanza update yake
@mwakasagule
@mwakasagule 2 жыл бұрын
Nafurahi kuwa mtu wa 2 kuangalia interview hii tamu.
@franknyigu97
@franknyigu97 Жыл бұрын
Ligagana tulietee mchambuzi kuhusu congo
@MrJediahmed
@MrJediahmed Жыл бұрын
Thabit nini mchango wako kwenye Imani yako
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q 9 ай бұрын
Tanzania kua na kichwa km ichi wajivunie sna je unapata ruzuku yyte kw taaluma kubwa ya siasa ya dunia km hii km hujaajiriwa nikuajiri ktk kampuni yngu
@deusrobart8181
@deusrobart8181 Жыл бұрын
Nimefulai sana et usijiunge nato najiunga nato nakupiga😅😅
@husseinyusuph5263
@husseinyusuph5263 2 жыл бұрын
Hatimae leo nimekuwa wa kwanza kuview. Kaz nzur kaka gangana. Brother tulimiss sana.asante kwa kutuletea. Je naweza kuwa mmoja ya mwanafunzi wake. Unaweza kunisaidia kaka gangana kwa ombi ilo.?
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 2 жыл бұрын
Karibu sana, mpigie Thabit 0652079640
@husseinyusuph5263
@husseinyusuph5263 2 жыл бұрын
Asante sana kaka. Mungu akubaliki endelea kutuelimishe vijana wa kitanzania.
@producerema291
@producerema291 2 жыл бұрын
Namkubali sana mchambuzi Thabit
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 Күн бұрын
Nikweli kabisa vita nikushindwa Kwa siasa Putin akili mbovoo sana mungu yupo Putin atashindaa kamweee mnaosapoti hii vitaa amuelewii mnakurupuka kushabikiaa watu wafee
@isaacalex6327
@isaacalex6327 Жыл бұрын
mimi uchambuzi wako nimeuelewa lakini ulusi nitaifa la kigaidi sana
@johnjoseph1106
@johnjoseph1106 Жыл бұрын
Hili jamaa inaonekana liko vizuri katika uchambuzi wake
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 2 жыл бұрын
Huyu Jamaa anajua sana
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 Жыл бұрын
Putini ameshindwa vita mpakasasa
@BernadPeter-zy8tv
@BernadPeter-zy8tv 10 ай бұрын
Kapotea uwanja wa vita
@victorfocus7882
@victorfocus7882 Жыл бұрын
P
@falulukata212
@falulukata212 Жыл бұрын
kaka turetee huyu jamaa darasa lake tunalielewa,
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel Жыл бұрын
Yupo busy atakuja soon
@hassanhamudy982
@hassanhamudy982 2 жыл бұрын
The mobile university....tunamuitaji huyu jamaa kila dakika gangana!!!!!ndio sababu ya Mimi ku subscribe Chanel yako
@zakayodionis7748
@zakayodionis7748 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua sana
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,4 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 46 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 26 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 21 МЛН
MCHAMBUZI THABIT, ELIMU BONGO IFUNDISHWE KISWAHILI AU KINGEREZA ?
42:38
Gangana Info Channel
Рет қаралды 6 М.
MCHAMBUZI THABIT :UONGOZI WA KIPEKEE /GREAT STRATEGIC THINKERS
38:23
Gangana Info Channel
Рет қаралды 9 М.
MCHAMBUZI THABIT ATOA SOMO MFUMO WA UTEUZI
38:00
Gangana Info Channel
Рет қаралды 4 М.
MCHAMBUZI THABITI, AIBUKA VITA BARIDI, MAWASILIANO KIMKAKATI, TAARIFA ZA CORONA
29:00
"The Real Power of Google" (2018) | 60 Minutes Archive
13:23
60 Minutes
Рет қаралды 14 М.
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,4 МЛН