MCHUNGAJI HANANJA AFUNGUKA NILITAKA KUJIUNGA FREEMANSON ILA HAWANA PESA

  Рет қаралды 82,997

MIKASA TV

MIKASA TV

Жыл бұрын

Пікірлер: 47
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 5 ай бұрын
HANANJA una jitahidi sana waelimisha wakristo na watu wa DINI nyingine
@user-bs9zq8lw5x
@user-bs9zq8lw5x 5 ай бұрын
Tuko pamoja mueshimiwa nimepnda sana elimu Yako. Be blessed Dr pastor
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg 5 ай бұрын
Na kukubari baba, hongera sana na barikiwa na bwana.
@user-xd9ye7wk6c
@user-xd9ye7wk6c 6 ай бұрын
Yesu alisema yeye anamuheshimu mungu ila nyinyi mnamvunjia heshima huu msitari nimeuelewa
@st.alvincollege6184
@st.alvincollege6184 6 ай бұрын
We mzee ni hatar sana Mungu yupo ndani yako
@SamwelMwedipando-zq7yg
@SamwelMwedipando-zq7yg Ай бұрын
Upo vizuri mchungaji
@omarsakwa-zs2zy
@omarsakwa-zs2zy 5 ай бұрын
Pastor, God bless you 🙏
@jomba6514
@jomba6514 6 ай бұрын
Mtu muhimu sana asnte 👊🏿
@dinnakasika6377
@dinnakasika6377 6 ай бұрын
Umenifungua akili sana mchungaji, ubarikiwe.
@SunguraFesto-ir2mp
@SunguraFesto-ir2mp 10 ай бұрын
Huyu mzee ni kiboko sana
@user-wf7oh9jr7v
@user-wf7oh9jr7v 6 ай бұрын
Unasema kweli.
@elinazadaniel3721
@elinazadaniel3721 5 ай бұрын
Amina mtumishi
@gabrielpott3325
@gabrielpott3325 5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣Mzee uko saawa saana mw MUNGU azidi kukupa neema zake daima..
@naftalywaweru5321
@naftalywaweru5321 5 ай бұрын
Barikiwa baba .... nakufuatilia
@pastoralexanderofficial6023
@pastoralexanderofficial6023 14 күн бұрын
Unanofuraisha barikiwa
@steveobwoge3315
@steveobwoge3315 5 ай бұрын
Elimu ni kazi napenda hapo sana na tutubu na kumrudia Mungu
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 5 ай бұрын
SASA HANANJA UNGE FUNGUA TV ONLINE YANGU INGE KUINGIZIA PESA KUPITIA MDOMO YAKO NA ELIMU YAKO
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 6 ай бұрын
Nakuelewa
@luganomwaipaja-bj6qz
@luganomwaipaja-bj6qz Жыл бұрын
Tumeroga lakini hatujaenda kombe la dunia
@user-tz5mj5oq4r
@user-tz5mj5oq4r 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅nakunda
@lucyheigre3125
@lucyheigre3125 5 ай бұрын
Jamani mchungaji Hananja atutafsilie yule nabii wa buza kwa lulenge kiboko ya wachawi.zile simu za kufufua watu .ipoje?😢
@emilianazumbe5521
@emilianazumbe5521 5 ай бұрын
Ngastuka kutikisa kichwa
@user-vi6lq5yw5j
@user-vi6lq5yw5j 6 ай бұрын
Haaaaaaaaaa amna
@izobinyoizobinyo
@izobinyoizobinyo 6 ай бұрын
Genious
@obedymwasikil
@obedymwasikil 11 ай бұрын
Pasco
@emilianazumbe5521
@emilianazumbe5521 5 ай бұрын
Mtu wa hovyohovyo😂😂😂
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁
@jayachatokwetu-lu2bn
@jayachatokwetu-lu2bn 8 ай бұрын
nakukubali sana mchungani
@user-wf7oh9jr7v
@user-wf7oh9jr7v 6 ай бұрын
Sambuwa baba.
@albertachuka6201
@albertachuka6201 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@faustinamwamwezi2100
@faustinamwamwezi2100 5 ай бұрын
Yani ukiona mtu anakataa uchawi haupo ujue yeye ndio mchawi mwenyewe
@svt3
@svt3 5 ай бұрын
@faustimwamwezi2100 mtu mweusi na akili nyeusi na ndio sababu Africa umaskini ni mwingi munaamini uchawi ila umaskini hatari uchawi hauwasaidie hata kidogo, elimu finyu ni wa afrika na ichi ambao haziamini hizo uchawi ndio zinaendelea kwa kila kitu ,ki technology, ki siasa, ki matibabu,.... afrika itabaki kuwa masikini kwa ku amini uchawi na ushirikina
@davidmghanga8502
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
😂🤝
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Ndio ujue km mnaowaita wachungaji ni wajanja tu wa kutafuta pesa😂😂😂
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 6 ай бұрын
Na wale wanaofuga majini msikitini? Au hujui kwamba na wenyewe siku hizi wanauza mafuta? Tena ni yule mnaemuita profesa mazinge!
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 6 ай бұрын
​.... Wewe ni nguruwe Sana taja msikit uliona umefugwa majin. Wakristo washirikina wakubwa. Freemasons ni wakristo ndio maana makanisa ya shetan yamejaa. Ati waona kanisa imeandikwa kanisa la shetani. Uliona msikit umeandikwa msikit wa shetan. Toa ushenzi wako. Ndio maana maana mlitengezewa mashonde mkambiwa ni mkate wa Yesu. Wew mpumbavu tuuu😏😏😏😏😏
@yuzotv458
@yuzotv458 6 ай бұрын
​@@miltonjohn9779weee ni mpuuz ulienda nyumbani kwa mazinge ukakuta anafuga majini?!.,choko mmoja wewe.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 6 ай бұрын
@@yuzotv458 kwenda huko, Kwan ni uongo? Hamfugi majini nyie.
@daudykasherente8667
@daudykasherente8667 6 ай бұрын
Hata wakiristo wapo wenye majini
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
😂🤣😁😀😅
@abdallahchingua1630
@abdallahchingua1630 6 ай бұрын
Kwan unaniunga mara mbili? Apo ushajiunga
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 6 ай бұрын
Na.kama.umevaa.kora.huamini.kuwa.mafreemason ni tatizo utaumbuka tunaenda.mbele.uchungaji.utakushinda
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 6 ай бұрын
Watu wameenda.freemason.wanajua kabisa hata.ata.amri.ya.pili.inaonyesha.kuzimu mchungaji.hananja.itakuwa na wewe.umo.unasemaje ufreemasoni.haupo umo
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 6 ай бұрын
Mchungaji hananja ila swala.la mafreemason.usilahisishe.biblia.inasema.yesu.alikuja.kwa.ajili ya.mafreemaso.na.wewe.umo
@BoyTonya
@BoyTonya 6 ай бұрын
😂😂😂😂
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,8 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 15 МЛН
DAKIKA 10 ZA MCH. HANANJA ZINAZOPENDWA ZAIDI NDANI YA UDSM CCT MEDIA.
9:47
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Circle?
0:55
Stokes Twins
Рет қаралды 44 МЛН
Когда встаёшь первым после посадки самолёта
0:34
Время горячей озвучки
Рет қаралды 1,4 МЛН
КТО СОЖРАЛ АРБУЗ #cat #pets #топ
0:17
Лайки Like
Рет қаралды 1,2 МЛН