MCHUNGAJI HANANJA AMJIBU MZEE WA UPAKO KUSEMA WAKRISTO WENGI HAWAJUI BIBLIA // INJILI HAIPO HIVO...

  Рет қаралды 40,596

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

7 күн бұрын

Пікірлер: 312
@EvordThomas-uz8fw
@EvordThomas-uz8fw 15 сағат бұрын
Kusoma Biblia na vyuo vyake sio tiketi ya kumjua Mungu, ila unapata wigo wa kutafakari kwa kina juu ya habari za Mungu. Tafakari vizuri kabla hujasema acha kuleta mapokeo.HEKIMA ni muhimu zaidi Big up sana Mch. Hananja Mungu aendelee kukulinda
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 2 күн бұрын
Mchungaji Hananja nimekupenda kwa ukweli huu uliotufafanulia Barikiwa xana🙏🙏🙏
@erickclaudio2978
@erickclaudio2978 4 күн бұрын
Kwa kigezo cha utendaji kazi mchungaji hananja umeeleweka Mungu ni mmoja haswa .Mungu akubariki sana kwa fundisho lako pia la siku,siku zote ni siku za ibada
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 2 күн бұрын
Mchungaji wangu Mungu aendelee kukupa hekima ili wengi wapate Elimu hii.
@naftalimutahi5591
@naftalimutahi5591 4 күн бұрын
Hanaja mkuluma,hanaja mume wa...hanaja daktari,hanaja mwalimu . Kweli ni yule yule hanaja. Kweli turundi katika bibilia. Basi jina la baba mwana roho mtakatifu ni bwana yesu kristo. Hiyo ndiyo sababu bibilia imebatiza katika Hilo jina.acts 2:36-40.acts.10 acts19. Colossians 3:7 And whatsoever ye do in word or deed, do all in the name of the Lord Jesus, giving thanks to God and the Father by him
@TheMakala21
@TheMakala21 4 күн бұрын
Asante sana MASTER Hananja! kama hajakuelewa hapa hato elewa tena!
@isackchilewa1232
@isackchilewa1232 Күн бұрын
Mungu akubariki umesaidia wengi sana juu ya nafsi tatu Mungu mmoja. Asante mtangazaji kwa kuuliza swali kwa ajili ya maelfu
@GIBSONMWABILI-po3wf
@GIBSONMWABILI-po3wf Күн бұрын
Nakupenda bure mchungaji,Kenya tunakifuatillia kwa utendeti
@Apostlevincent254
@Apostlevincent254 Күн бұрын
Sahili Mchungaji. Naamini walimu wa uongo .Tutubu tuiniamini injili tuokolewe. Mambo ya sirini ni ya Mungu. Mzee wa upako uongozwe na Roho Mtakatifu kuliko hekima za Dunia hii.
@mrafm7285
@mrafm7285 14 сағат бұрын
Mungu ni mmoja tu Hana mshirika yoyote Wala Hana mtoto isipokua ameumba malaika Kwa ajili ya kufanya kazi zake
@abubakarmustwafa-lg8fe
@abubakarmustwafa-lg8fe Күн бұрын
😂😂😂Ufahamu mpana sana...hongera sana Mzee Hananja
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Күн бұрын
Kumbe Mungu ni Mmoja takbiiir.
@AbasiJuma-vc5vw
@AbasiJuma-vc5vw 3 сағат бұрын
wakristo wote hawamjui mungu wapo tu
@wisemanfromzerotohero970
@wisemanfromzerotohero970 4 күн бұрын
Muze uyu ni mutumishi wa Mungu na Kweli kumuelewa inahitaji utulivu saana
@richardstephano6441
@richardstephano6441 Күн бұрын
Tubuni na kuamini injili
@Fundi12345
@Fundi12345 4 сағат бұрын
Kuna watu wanatii sana shelia na wanavunja san sheria hapo panamatatizo makubwa mungu wetu anataka tuwe watakatifu kwisha habar
@godfreylushiku3081
@godfreylushiku3081 4 күн бұрын
Kwa anayetaka kujua Yesu ni nani kwa mujibu wa Ukristo na biblia. Soma Injili ya Yohana sura ya 1 yote na Waraka kwa webrania sura ya 1. Maamuzi yanabaki kwako. Roho wa Mungu akuongoze kumtambua na kuelewa maandiko. Amina
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 3 күн бұрын
Na nyongeza kidogo hii apa nakuongezea 👇👇👇 Jitahidi sana kuelewa na kutenga hisia juu ya unachosoma.👇👇 1. Mwanzo 1:26: “Mungu akasema, ‘Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; nao watauwa samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama wa mwituni, na nchi yote pia, na kila kitambaacho kitambaacho juu ya nchi.’” 2. Mathayo 28:19: “Basi, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.” 3. 2 Wakorintho 13:14: “Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu, ukae nanyi nyote.” 4. Yohana 14:26: “Lakini Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote na kuwakumbusha yote niliyowaambia.” 5. Mathayo 3:16-17: “Naye Yesu alipokwisha kubatizwa, mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake; na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, ‘Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.’” 6. Yohana 1:1-2: “Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.” 7. Yohana 10:30: “Mimi na Baba tu umoja.” 8. Yohana 14:9-10: “Yesu akamwambia, ‘Ee Filipo, nimekuwako pamoja nanyi muda wote huu, nawe hujanijua? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba? Huamini ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Maneno ninenayo mimi siyasemi kwa shauri langu mwenyewe, bali Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.’” 9. 1 Yohana 5:7: “Kwa maana wako watatu washuhudiao mbinguni, Baba, Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.” 10. Waefeso 4:4-6: “Mwili mmoja, na Roho mmoja, kama na mlivyoitwa katika tumaini moja la wito wenu; Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja; Mungu mmoja, naye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote.”
@elishampoki8751
@elishampoki8751 5 күн бұрын
Lusekelo Roho mtakatifu Alimwacha, sass hivi yupo yeye kama yeye tofauti kabisa alivyokuwa anaanza uduma mwanzo lusekelo alikuwa vizuri mno sijui amelogwa nani, Lusekelo ni mtumishi wa Mungu,kanisa tuombe kwajili ya lusekelo aludi kama mwanzo, jamani hii inatisha,
@mossesmichaelnzowa3378
@mossesmichaelnzowa3378 4 күн бұрын
Kweli kabisa huyu Mzee ameiacha njia ya kweli.
@neemamdami7466
@neemamdami7466 3 күн бұрын
Upo sahihi
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Күн бұрын
Wewe ndiyo umepotoka
@andrewkaswagula3367
@andrewkaswagula3367 5 күн бұрын
Hananja is the best.. kila leo nisikilizapo maelezo yako hasa kuhusu tafsiri ya Biblia inanifanya niendelee kujivunia kuwa mkristo...
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 5 күн бұрын
Ndugu yangu, naomba uelewe kuwa siku ya hukumu hatokuwepo mkalimani, mwanasaikolojia, mwanafalsafa, roho mtakatifu wala Hananja katikati ni wewe pekee na Mungu wako. Hivyo ni vyema ukawa unasikiliza pande zote mbili na kurejelea maandiko na kuyachambua kwa akili yako ndio msingi wa hoja zako kwa Mungu na si kushabikia fulani kwasababu ni binadamu anaweza kuteleza. Nimefuatilia clips zote mbili, Hananja anapotosha, hana hoja za kimaandiko, ni mapokeo ya waleta dini, wazungu. Mzee wa Upako yuko sahihi maana ana hoja kutoka kwenye biblia. Na wewe, ungejitahidi kufuatilia clips zote mbili. Asante.
@AllDesigningTZ
@AllDesigningTZ 5 күн бұрын
Kweli mzee wa upako yuko sahihi
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Сағат бұрын
Kwani Mzee wa upako yeye anaabudu siku gani
@user-ft2uv9tv3i
@user-ft2uv9tv3i 2 күн бұрын
Hananja yuko vizuri anakuelimisha na anakupa na mafundisho ya kueleweka
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 2 күн бұрын
Jamani hivi amri za Mungu !!! Mnazipitia zote?? Kumbuka n amri , hazijabadilishwa na hazitabadilishwa
@DelphinaFidelis
@DelphinaFidelis 3 күн бұрын
Unaachaje kusali!!!! hatuabudu binadamu,tunamwabudu Mungu wetu aliye hai.
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 5 күн бұрын
Hananja leo nimegundua ana Mungu;na anamjuwa Mungu
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 5 күн бұрын
Hananja anajibu kwa kurejelea mapokeo ya Wazungu na Mzee wa Upako ana hoja kwa kurejelea maandiko ya Waisrael wenyewe. Mf. Ishu ya siku, biblia inaeleza mwanzo 2:2 Amri kumi za Musa, moja, Mungu anakataa asifananishwe na chochote majini ardhini na mbinguni na Yesu anasema wakujue wewe Mungu wa pekee na mimi uliyenituma. Viongozi wajuu waongo na Wakristu wengi hawaijui biblia na wakisoma wanaathiriwa na mapokeo kutoka kwa wazungu. Na kwa akili ya kuzaliwa yenye afya, Mungu aliyesimamisha ardhi na mbingu bila nguzo, anaweza kuwa binadamu (Yesu)? Yesu katahiriwa, kusujudu, alivaa kanzu, alilia, alilala na alikuwa fundi seremala. Mungu wa Alpha na Omega hawezi kuwa wa namna hiyo. Mungu gang dhaifu.
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 5 күн бұрын
@@jabirkasunzu6841 Mr Jabir hebu nifafanulie hii hadhith sahihi imeandikwa vitabu vifuatavyo vya Kiisilamu; Muslim,Imani,302;Bukhari 97/24,10/29;Hanbal III/1 One day of Judgement,Allah will open his leg and show his thigh to the prophet (S.A.W) to prove his Identity. Allah atafunua nguo yake amuonyeshe Muhammad paja lake,kumhakikishia kwa alama iliyo ktk paja lake; Allah hakuzaa,Wala hakuzaliwa,Wala Hana wa kufanana naye: .Kumbe anavaa nguo, na ana mguu na una alama? Vipi ni Mungu Allah? Ni jibu then nitakujibu kuhusu mashaka uliyonayo kwa Maandiko
@johnkmjema9727
@johnkmjema9727 5 күн бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji achana na wachumia Trumbo!!!?
@Fundi12345
@Fundi12345 4 сағат бұрын
Anasema ukwelinmtup safi sana
@nicholausmeela3354
@nicholausmeela3354 3 күн бұрын
Asante sana Mch. Hananja kwa kalenda ya siku hizi Yesu ni kweli alifufuka siku moja na nusu
@IssacNtacho
@IssacNtacho 4 күн бұрын
Hananja simsifii kwakuwa amesoma namsifia kwa kuwa amefunulia neema hyo yakuijua kweli,,
@vinhaule8617
@vinhaule8617 23 сағат бұрын
Mungu ni mwema sana
@andrewkaswagula3367
@andrewkaswagula3367 5 күн бұрын
Anayejiita sijui mzee wa Upako akajifunze upya Biblia.. Asikilize wenzake kama hawa wanavyo elezea tafsiri ya Biblia
@MartinLaban
@MartinLaban 3 күн бұрын
Huyo alipigwa kitu kizito akaambiwa aanze kupotosha watu, ukiskiza hananja utafurahi hajifagilii na anajibu kifasaha sana.
@kiatu
@kiatu 3 күн бұрын
Elimu yake ndogo (theology)
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 4 күн бұрын
Lusekelo asemee kanisa lake, na siku wakijua Biblia watarudi kwa watumishi wa kweli wa Mungu. Wewe SALI jumamosi au siku yoyote uliyoelekezwa na chama chako kuwa haina makali ya utukufu, Rangi zake zimeanza kuonekana kama Kibwetele tu.Kanisa Lisilo kuwa na Sunday school, kipaimara ili kujifunza Biblia.Kanisa ambalo limejaa porojo kibao,kiki, kujipashia umaarufu na ukubwa, stori za mitandaoni na kuaminisha watu vitu ambavyo sio vya kibiblia ni kweli watu wale wa kanisa lake hawajui Biblia.
@shariduidrisa1993
@shariduidrisa1993 4 күн бұрын
Hameniiii islam is the best❤
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Күн бұрын
Fanya kazi lisha familia Yako hizi dini zililetwa na watu huku Africa hakuna na dini yeyote, jiulize kwanini sisi Bado maskini na ndo tunaongoza kushika dini alafu wao matajiri japo kuwa wanafanya uovu mwingi kuliko sisi?
@venanceJohnbosko
@venanceJohnbosko Күн бұрын
Utajiri wa mwili au utajiri wa roho.....
@LIBERATUSNSEKELA
@LIBERATUSNSEKELA Күн бұрын
​​@@Oldskulgemini9991 Siyo dini tu zililetwa na watu. Hata hizo kazi zenyewe unazofanya ili kulisha familia yako zililetwa na watu hao hao. Kwahiyo ukipuuzia hizo dini walizoleta, puzia na hizo kazi pia. Hata hizo nguo unazovaa, zipuzie.
@ASALABOY
@ASALABOY 5 күн бұрын
SIKU ZOTE NAKUWA NADIFUNZA KITU HAPA KWA MZEE HANANJA SABU YEYE ANARUDI KWENYE NENO TU 👏👏
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 5 күн бұрын
Soma biblia Mwanzo 2:2. Masuala ya siku yapo. Usishabikie mtu, soma maandiko. Siku ya hukumu, hatokuwepo mkalimani, mwanasaikolojia, mwanafalsafa, roho mtakatifu wala Hananja katikati ni wewe na Mungu wako.
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 5 күн бұрын
❤❤❤ umesema kweli kapisa papa
@elishampoki8751
@elishampoki8751 5 күн бұрын
Mungu ni mmoja kstika utatu, Mungu Baba mwana na Roho mtakatifu Mbinguni vinashudia mambo matatu Mungu Baba na Neno na Roho mtakatifu Duniani vinashudia mambo matatu Damu maji na Neno
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 3 күн бұрын
Hivi unamanisha kusema ATI yesu ni mungu na roho mtakatifu ni mungu
@fridalyanguka1733
@fridalyanguka1733 Сағат бұрын
Mungu ni mmoja na utatu ni uongo mtupu.
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu Күн бұрын
Saa zote ni za bwana, ck zote ni za bwana amua wew usali jpil au alhamis
@BroDanielShekiyao
@BroDanielShekiyao 5 күн бұрын
Hananji nilikua nakuona mchekeshaji kumbe unajua biblia
@vinhaule8617
@vinhaule8617 23 сағат бұрын
Anaenda na majira mungu ambariki
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q 5 күн бұрын
MCHUNGAJI AKISHA KUWA MLEVI HAFAI TENA, MAANA ATAWAPOTEZA WENGI WAIFUATE NJIA OVU
@wanguwangu34
@wanguwangu34 5 күн бұрын
Mzee wa upako inawezekana kabisa hajui Biblia na hakwenda Bible School maana angejua hayo matatu asingesema habari ya siku ya kusali, Lkn Dr. Hananja kajibu vizuri sana.be blessed Dr.Hananja.
@JacksonSimbeye-qz1zp
@JacksonSimbeye-qz1zp 4 күн бұрын
Ebrania 4:9soma mungu akusaidie kuelewa
@iddykwangaya2794
@iddykwangaya2794 Күн бұрын
Kazi kweli kweli 😊
@GeorgeAmbart
@GeorgeAmbart 2 сағат бұрын
Yesu ni Mungu
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 4 күн бұрын
Muongo huyu bwana anajua fika jumamosi ya marekani ni jumamosi lakini anadai nao waswali kama sisi Tanzania. Hii haiwezekani maana sisi ikiwa mchana wao Marekani ni usiku Yesu ni myahudi na walitumia kalenda la mwezi kwa maana siku za kiyahudi huanza baada ya jua kuzama. Huyu mchungaji anatumia falsafa ujanjaujanja na kuchanganya na ukweli na urongo na kuwauzia waumini kama ndio ukweli lakini si mtu wa kumuamini hata kidogo
@user-cz5oy1od5d
@user-cz5oy1od5d 3 күн бұрын
Wewe ndio wa kuaminika?
@martintito2824
@martintito2824 2 күн бұрын
Soma biblia wewe
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 3 күн бұрын
Yesu alitamka watakuja manabii wa uongo muwaepuke ndiyo haya yana tokea
@user-le1mo8ru7u
@user-le1mo8ru7u 5 күн бұрын
Mchg hananja wewe una akili sana na umesoma kweli kweli
@cecyMathias-om2tj
@cecyMathias-om2tj 6 күн бұрын
ananja is the best
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 5 күн бұрын
@@cecyMathias-om2tj amuna kitu apo,the best one is francis-ndacha!
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 5 күн бұрын
Andiko linasemaje? Mtu anaweza kuteleza kama binadamu. Siku ya hukumu hatokuwepo mkalimani, mwanasaikolojia, mwanafalsafa, roho mtakatifu wala Hananja au Mzee wa Upako, wewe peke yako na muumba. Biblia Mwanzo 2:2 inasemaje kuhusu siku. Amri 10 za Mungu kwa Waistael anasema msinifananishe na chochote majini, ardhini na mbinguni. Yesu anasema wakujue wewe Mungu wa pekee na mimi uliyenituma, Yesu anakataa kuwa yeye si Mungu waziwazi. Alilia, alisujudu, alikuwa fundi seremala, aliswali katika sinagogi, alivaa kanzu, aliwasalimu wanafunzi wake amani ya Mungu iwe juu yenu kwa kiarabu Assalaam 'alaykum. Na aya nyingine nyingi zinathibitisha kuwa Yesu alikuwa muislamu na ni mtume. Na kama kuna aya zinazokinzana, sasa kitabu gani cha Mungu kina ndimi mbili? Uzushi wa wazungu na Injili aliyokuja nayo Yesu kwa waisraeli... Jiongeze, ukisubiri wajuu wakushitue wakati wanataka sadaka zenu waendeshe magari makubwa MTACHELEWA.
@user-zf5lk3gq2b
@user-zf5lk3gq2b 17 сағат бұрын
Habari za asubuhi ndugu mwandishi wa PTV.TZ ninakuomba unipe namba nitowe majibu sahihi juu ya hoja hii ya siku ya sabato
@DavidNdaha
@DavidNdaha 5 күн бұрын
Kweli mida wote ni wakusali
@jumamario-vr1mw
@jumamario-vr1mw 6 күн бұрын
Kweli baba unajua
@mosesmbushi
@mosesmbushi Күн бұрын
Kama huyo Mzee asiye na Upako kasema ukweli ,Siku ya Kusali Mungu ameagiza ni siku gani atuambie,na aonyeshe ushahidi wa Maamdiko yatosha
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 5 күн бұрын
Dunia imeisha ..manabii wa uwongo ni wengi....
@besttrendingcovers1838
@besttrendingcovers1838 5 күн бұрын
Mi nlikuwa nasali sana lakini nlipoona viongozi wa dini hawa wanapingana kila siku ikabidi niache kabsa kusali. Ninachojua Mungu alikuwepo kabla ya hizi dini na dini haiwezi fanya ukamjua Mungu ata siku moja. Zaidi dini zimejaa sheria kibao za kumbana muumini asiwe huru kufikiri zaidi
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 5 күн бұрын
Yesu akirudi huuingii mbinguni
@besttrendingcovers1838
@besttrendingcovers1838 5 күн бұрын
@@GeorgeChitemo-kt8sw mbingu ipo ila suala la yesu kurudi si la kweli ni stori tuu za wazungu, mbingu utaiona kwa sabab unaish pow na watu na huwafanyi ubaya. Ni mamb ya ajab yaan inahtaji mahubir kujua kuwa kuua sio kit kizur. In short dini ililetwa kufunga akili za waafrika wasifikir zaid. Ndio maana mchawi anaroga hadi awo wachungaj
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 5 күн бұрын
​@@besttrendingcovers1838Busara inayohitajika ni utashi wako kuamini au kuacha. Hulazimiki wala kushurutishwa kuwa mfuasi wa imani fulani. Haya unayoyaandandika yana mapungufu mengi. Kwanza dini haipumbazi mtu, kwani elimu uliyopitia ambayo ni formal education mpaka ukajua kuandika na kusoma (universal education) ni mfumo wa dini wa Kanisa Katoliki. Mfumo wa matibabu ya hospitali ni wa Kanisa Katoliki. Chuo kikuu Cha kwanza katika mfumo tuliokuwa nao wa elimu ni Cha kikatoliki Kiko Bologna Italy. Mfumo wa kimahakana (judicial system) ni mfumo wa Kanisa Katoliki na mfumo wa utawala wa kihairakia ni wa kikanisa. Kanisa Katoliki Lina taasisi za kielimu shule na vyuo vikuu duniani kuliko serikali yoyote duniani. Kwa hiyo tuhuma kwamba akili yako imedumazwa na dini ni illogical statement. Mwisho dini ya Kikristo hakuanzishwa na wazungu Bali wazungu waliipikea kama tulivyoipokea sisi, wenyewe waliitumia wakapata maendeleo!
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 5 күн бұрын
ivi nyinyi nduguzetu wakristo ambacho hamuelewi ninihasa yesu amekataa sio mungu wala mtoto nimtumetu katumwa na mungu kama alivo fundisha acheni kung,ang,ania mambo yatakayo waweka jikoni
@user-cv4yi5hz9b
@user-cv4yi5hz9b 5 күн бұрын
The big thinker 🙌🏿🔥 one love 💪🏿💪🏿🤲🏻✌🏿
@user-so3gy2io8l
@user-so3gy2io8l Күн бұрын
Hata uislam tumeambiwa jumamos Sura Al-Aaraf 7 ayah ya 163 & 164
@maruruedward5735
@maruruedward5735 3 күн бұрын
Licha ya comedy zake ila ndy mwelimishaji wa neno la mungu
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Сағат бұрын
Mungu aangalii wewe unasali siku gani mana wapo wengine wanasali kila siku Mungu anangalia matendo yetu na tujiulize je tunaliishi neno lake na vp kuhusu amri zake je tunazitii kweli,
@silassaitoti7689
@silassaitoti7689 2 күн бұрын
KKKT KWELI WANA WACHUNGAJI WATULIVU🎉
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 4 күн бұрын
Nimekuja kuwasikiliza Wakristo. Kila ukimuuliza Mkristo akuambie mungu ni nani, basi Kila mmoja atakupa jibu tofauti na la mwingine. Halafu mungu haguswi na kifo daima lakini mungu mwana aliguswa na kifo. Mungu anachoka na kumbonji na anamuomba mungu baba amuokoe wakati mungu huwa haombi bali ndio huombwa na viumbe wake
@denismugisha2
@denismugisha2 4 күн бұрын
Wewe ndo una mungu wa ajabu asiyejulikana alipo
@EzzyEddy-nv6ti
@EzzyEddy-nv6ti 3 күн бұрын
Watu ni wagumu Sana kuelewa umeambiwa hakuna Mungu mwana ila Kuna Mungu anatambulishwa Kwa utatu,ila Mungu ni mmoja
@Ephraim-n9q
@Ephraim-n9q Сағат бұрын
Amri mnazikumbuka lakin au mnamsifu hananja tu pitieni amri mtamwelewa lusekelo
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx 17 сағат бұрын
Mchungaji ❤❤❤
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 9 сағат бұрын
Lkn amri kumi za Mungu zinasema kusali lini????
@simonanthonykayombo6913
@simonanthonykayombo6913 3 күн бұрын
Simple, funny and clear
@user-cf9sk4us6u
@user-cf9sk4us6u 9 сағат бұрын
Vema mchungaji.Asnte.
@weiryalema8057
@weiryalema8057 3 күн бұрын
Noted
@mosesmbushi
@mosesmbushi Күн бұрын
Pamoja na hayo yote Hakuna andiko au agizo ndani ya Kitabu kitakatifu kiitwacho Biblia linaangiza watu Wasali Jumamosi..Kama lipo agizo kama hilo naomba nionyeshwe
@ElishaSichone-wk6uy
@ElishaSichone-wk6uy 2 сағат бұрын
Usipo mwelewa ananja utamwelewa nani.
@nelsonkikotimandela9819
@nelsonkikotimandela9819 Күн бұрын
Hananja is the Best
@mrmtei9654
@mrmtei9654 16 сағат бұрын
Mchungani safi kabisa mzee wa upako hana lolote
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 4 күн бұрын
Huyu mzee wa Upako amekosa elimu ya dini tu!
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 17 сағат бұрын
Mzee wa upako gongo inasumbua kuchwa
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 11 сағат бұрын
mzee wa upako hakijui anachokiamini
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 5 күн бұрын
Huyo anataka uende kanisani kwake kwenda kutoa sadaka ili azidin.kutajirika😢
@solomonmugao4733
@solomonmugao4733 2 күн бұрын
Na Kwa sababu ya utapeli Ndio unaona kila MTU akisema bwana asifiwe. Lakini mchungaji hanaja ndiye ansema watu wasiwe Kwa Sala kila siku, lakini ndiye badoanasema Sala kila siku. Utakanganya watu. .pili biblia ilanza Na wayahudi Tuki kataa isemavyo Basi tuna asi sababu tunasoma biblia baada ya Wa Israeli kuikataa Kwa tabia Zhao.paulo ameandika
@bobwhite9252
@bobwhite9252 2 күн бұрын
Hananja anajua mamae..nyie...duh..ukimwona anaongea kisela sela ila akili yake ni kubwa mno
@user-xn3kv9ir4q
@user-xn3kv9ir4q 5 күн бұрын
Baada ya kula nakula na kusaza hajui anachohubiri
@mosesmbushi
@mosesmbushi Күн бұрын
mbona huyo mzee mchenga anatuchanganya ,maana yeye mweyewe na kanisa lake Wanasali Jumapili??.
@solomonmugao4733
@solomonmugao4733 2 күн бұрын
Ni an ukweli asili Mia sabini by hawajui sababu mambo mengi yanayo husu ukristo. Angaliakama Sasa. Johana 14:15 halafu 15:10
@GodfreyGeorge-bj3ub
@GodfreyGeorge-bj3ub Күн бұрын
Siku ya ibada ni jumamosi
@IssacNtacho
@IssacNtacho 4 күн бұрын
Hananja hakik umenibariki
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 3 күн бұрын
Mchunguji hananja mbona unakwepa bibilia mungu mwenyewe kapmzika siku moja tu ila siku hizi weee
@timothmatiku6115
@timothmatiku6115 Күн бұрын
Majina ya siku chanzo chake ni miungu ya warumi na wagiriki, Saturday ni jina la miungu ya warumi na wagiriki lenye maana ya satan day yaani Mungu wa Mauaji au Mungu wa uharibifu.
@rwabu
@rwabu 15 сағат бұрын
Hapo umetaja kwa kizungu... kwa kiswahili Alhamisi... sasa Alhamisi ina maana gani?
@AbasiJuma-vc5vw
@AbasiJuma-vc5vw 3 сағат бұрын
aliyetumwa hawezi kuwa mungu ila yupo mungu aliyemtuma
@AlfaMwahasanga-j1q
@AlfaMwahasanga-j1q Күн бұрын
Hananja acha upotoshaji. Mzee wa upako anajua ukweli wala hakukurupuka. Ukweli haufungwi natazamo wa kibinadamu. Soma isaya 66:22,23 hata mbinguni ibada ni siku ya saba. Karagabaho.
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym 5 күн бұрын
Lusekelo ni Mchungaji mlevi wala asiwasumbue.
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Күн бұрын
Wakristo ni figisu vitu vingi wametunga kwa faida za wazungu Yesu ni nabii tu. Hakujua siku ya mwisho lini, na siku ya hukumu atakuwa upande wa kulia wa kiti cha.enzi wala siyo kwenye kiti chenyewe 😂😂😂
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 2 күн бұрын
Huyu mzee wa upako tuache utani sio mzima, siku zinavyokwenda anazidi kuchanyikiwa, sasa hapo anagombana na nani?
@elishampoki8751
@elishampoki8751 5 күн бұрын
Kweli kabisa masaa na tarehe nimapokeo ya wanadamu
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 4 күн бұрын
Mungu ameumba masaa na majira ya masika jua baridi joto kwa madhumuni maalum na akazichagua siku maalum kuwa tukufu na akaumba viumbe na ktk hao akawachagua anaowataka kuwa juu ya wengine kama mitume. Hata ktk siku, mungu ameweka usiku ili watu walale na kupumzika. Kwahiyo mungu hakuwaachia viumbe wake mambo wagesi, kawapangia kila kitu. Ndio maana akaitwa mungu mlezi Muumba wa kila kitu. Nakukar8bisha ktk uislamu. Utakuta mitume wote na hata Yesu (rehema na amani za mungu ziwe juu yake) naye utamkuta. Na hautopoteza kitu isipokuwa utakuwa ktk njia iliyonyooka
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy 3 күн бұрын
Mzee Hannanja silimu uwe muislam,mbona unajielewa tu, unakwama wapi?
@ChemmbayaAbdul
@ChemmbayaAbdul Күн бұрын
Mungu ni Mmoja. Hakuna nafsi tatu. Mungu hana mshirika na mtu hawezi kuuva Uungu. na Yesu ni mtume na Nabii siyo Mungu. wacha kuzunguka. Mzee wa Upako yupo Sahihi.. Someni Biblia msisubiri kusomewa..
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 17 сағат бұрын
Fuata Iman yako ya Mo,huku aikuhux
@rwabu
@rwabu 15 сағат бұрын
Jiwe la macca linafuta dhambi!!!
@petrofabian4523
@petrofabian4523 6 сағат бұрын
Ila hananja Kwa hili hauko sawa neno la Mungu sio mawazo binafsi unapoliongelea lazima utupe lejea
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Сағат бұрын
Tukumbuke kuwa hata walio andika ni watu Kama Sisi wakiongizwa na Roho mtakatifu
@user-zf5lk3gq2b
@user-zf5lk3gq2b 17 сағат бұрын
Kaka ninamajibu kwa maandiko tafandali naomba nafasi tafadhali kaka
@benjaminmiselya2622
@benjaminmiselya2622 5 күн бұрын
Hahaha vitabu vya wakoloni vitawasubua Sana wenye kitahu chao wametulia Sasa nyie munahangaika🤣🤣🤣🤣
@shekimachaku233
@shekimachaku233 4 сағат бұрын
Agizo la Mungu kwa Israel lilikuwa ... waitakase sabato (sanctify the sabbath), wasifanye kazi yoyote siku hiyo, hata manna wasiende kuokota siku hiyo. Nadhani shida hapa ni tafsiri ya neno sanctify au keep it holy. Mpaka leo siku ya Jumamosi, Wayahudi hata simu hawagusi. Hawawashi moto, hawapiki, hawadeki nyumba etc. Sisi vipi? Na ndio maana hata wafilisti wanapopanga kuwashambulia, wafanya hivyo Jumamosi. Sasa Hii Sabato ya kwetu na yao ni tofauti?
@jacklinesivitie7462
@jacklinesivitie7462 Күн бұрын
Huyu lusekelo anaropoka siku hiz shida nini
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 5 күн бұрын
Mzee wa upako ni mkurupukaji tu bendera fuata upepo hajulika ni muislamu msabato au mpentekoste anapinga kusali juma pili lakini yeye anasali jumapili zamanu aliweka bendera ya israel kanisani kwake lkn sikuizi katoa ni mtu wa ajabu sana mahubiri yake hayana msimamo yeye kila linalo mjia usiku kichwani ndo analifundisha kanisani kwake
@EmanuelStart-jd1vr
@EmanuelStart-jd1vr 5 күн бұрын
Kweli kabisa mabii wa uwongo walitabiriwa watatokea 😮
@bnsonimakle1155
@bnsonimakle1155 5 күн бұрын
Kabisa, kakurupuk huy,,
@mujwasteven
@mujwasteven 5 күн бұрын
Hana shule
@AllDesigningTZ
@AllDesigningTZ 5 күн бұрын
Hananja anawadanganya na nyinyi mkasome bibilia sio awasomee mchungaji
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 күн бұрын
@@AllDesigningTZ sisi wakiristo tuna soma biblia na tunatembea nayo popote tuendapo ila nyie waislamu mamuma ndio mnasomewa Quran na masheikh wenu
@JoshuaMuyanjizi
@JoshuaMuyanjizi 16 сағат бұрын
Hananja kwa majibu yako hata 13:29 wangemuuliza yesu angewajibu hivyo hivyo 13:29 1
@Ezeqsweya1116
@Ezeqsweya1116 5 күн бұрын
Hananja is the best
@othmanmaulid4867
@othmanmaulid4867 4 күн бұрын
Nae haelewi Trinity
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Күн бұрын
Huyo ni comedy hananja. Lkn nyinyi mupo kama wahindi chochote unachoambiwa kiabudu kwenu poa tu ilimradi kasema mzungu
@JumanneMkwawa
@JumanneMkwawa 2 күн бұрын
Sasa wakat yesu yupo duniani kiti alikalia nani mbinguni
@calvinkigulu8328
@calvinkigulu8328 6 күн бұрын
Ebrania 4;9
@josephmchila6467
@josephmchila6467 3 күн бұрын
Kwa maneno haya Mzee wa upako kanikwaza, hana hoja anavuruga dini,hafai kabisa huyu
@user-cf9sk4us6u
@user-cf9sk4us6u 9 сағат бұрын
USIACHE KUSALI SHIKILIA PALE ULIPOAMINI.Soma maandiko tafakari kisha jiongeze. Mengine waachie hao wachumia tumbo warumbane.
@OmaryGraysonog-d1u
@OmaryGraysonog-d1u 4 күн бұрын
Mungu yupo yeye muumba wa mbingu na ardhi na kusali ni kila siku habari ya siku sio ishu
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 4 күн бұрын
Katika zama, watu, vyakula hadi siku nk. baadhi ni tukufu, mf., soma biblia Mwanzo 2:2 Ungefuatilia clips zote mbili, na Mzee wa Upako yuko sahihi maana anarejelea biblia, Hananja anachezacheza na maneno tu. Kwa mf. Katika amri 10 za Mungu kwa Musa, Mungu anasema msinifananishe na chochote majini, ardhini na mbinguni na Yesu, baadaye, anasema wakujue wewe Mungu wa pekee na mimi uliyenituma. Maandiko yanathibitisha kuwa Mungu ni mmoja wa aina yake na Yesu ni mtume wake na ni binadamu. Hananja anarejelea mapokeo kutoka kwa wazungu. Mzee wa Upako anarejelea biblia ya waisraeli ambao ni waasia.
@user-pe8pp4yu1m
@user-pe8pp4yu1m 17 сағат бұрын
Hananja giniaus yule mzee
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 5 күн бұрын
Lusekelo hajui biblia
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 5 күн бұрын
Hananja anajibu kwa kurejelea mapokeo ya Wazungu na Mzee wa Upako ana hoja kwa kurejelea maandiko ya Waisrael wenyewe. Mf. Ishu ya siku, biblia inaeleza mwanzo 2:2 Amri kumi za Musa, moja, Mungu anakataa asifananishwe na chochote majini ardhini na mbinguni na Yesu anasema wakujue wewe Mungu wa pekee na mimi uliyenituma. Viongozi wajuu waongo na Wakristu wengi hawaijui biblia na wakisoma wanaathiriwa na mapokeo kutoka kwa wazungu. Na kwa akili ya kuzaliwa yenye afya, Mungu aliyesimamisha ardhi na mbingu bila nguzo, anaweza kuwa binadamu (Yesu)? Yesu katahiriwa, kusujudu, alivaa kanzu, alilia, alilala na alikuwa fundi seremala. Mungu wa Alpha na Omega hawezi kuwa wa namna hiyo. Mungu gang dhaifu.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 5 күн бұрын
@@jabirkasunzu6841 Yesu siyo dhaifu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 5 күн бұрын
@@jabirkasunzu6841 tangu lini muislamu akajua mambo ya rohoni muislamu hajui mambo ya rohoni na hajagizwa na mhammad kujua mambo ya rohoni mhammad aliwaagiza waislamu kuzingatia mambo ya mwilini tu kama vile usafi kuoa wake wengi nakazalika lkn mKiristo wamepewa roho mtakatifu wa kujua mambo ya rohoni ndomana siku zote muislamu anamtambua yesu kristo katika hali ya kimwili hamtambui yesu kristo katika hali ya kiroho ndo mana utakuta wanasema "yesu kristo alitahiliwa, alikula, alikuwa selemala, muislamu anaishia kujua yesu kristo katika hali hiyo tu
@martinisadru9899
@martinisadru9899 4 күн бұрын
​@@jabirkasunzu6841 na wewe utajibu kwa kupokea mapokeo kutoka kwa warabu kuhusu Quran,,, hivi wewe? Kabla warabu, hawajaleta dini yao ya uislamu,, hapa Africa karne ya 7,, je! babu zetu walikufa ktk imani gani? Acha kuona kama uslamu ndio bora kuliko ukristo, kila mtu abaki na mapokeo kutoka kwa watu awapendao,, hata elimu dunia ni mapokeo kutoka kwa wazungu,, na inatufanya tunaendesha maisha yetu vizuri. Na hakuna dini ya mzungu! Dini zote chanzo chake ni mashariki ya kati,, kuanzia, ibrahimu,musa,daudi,sulemani,yesu, paulo, muhamadi, wooote hao, wana asili ya kutoka arabuni,, tafuta ramani ya dunia ya zamani, itakuonyesha,, hata wakati yesu anazariwa,, wazungu walikuwepo, na walishaungana, kitambo, na muungano wao uliitwa rumi empire, kwa mataifa kumi, na walikua na dini zao, na dini hizo! Sio uslamu wala ukristo. Hivo,, uslamu na ukristo vyanzo vyake ni arabuni.
@murjiibrahim5932
@murjiibrahim5932 3 күн бұрын
Sahhi ubalikiwe
JE YESU NI MUNGU?
29:27
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 31 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 14 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,6 МЛН
YESU SI MUNGU MASKOFU WAMJIA JUU MZEE WA UPAKO
6:33
Mzee wa upako
Рет қаралды 24 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 14 МЛН