MCHUNGAJI HANANJA AMUONYA ZUMARIDI KWENDA MBINGUNI NA KUMDHIHAKI MUNGU

  Рет қаралды 23,717

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

Жыл бұрын

HUYU HAPA MCHUNGAJI RICHARD HANANJA AKIUKATAA UONGO WA MFALME ZUMARIDI KUJIFANYA ALIENDA MBINGUNI AKAONANA NA PETRO

Пікірлер: 31
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 Жыл бұрын
KAMA UNAMKUBALI HANANJA SEMA AIMEEE
@AnomieKashindi-to9ep
@AnomieKashindi-to9ep 11 ай бұрын
Amen
@felisteryonah5432
@felisteryonah5432 Жыл бұрын
Wewe mchugaji Mungu akuinue Sana tena Sana unabusala Sana nakufatiliaga Sana kwenye pej yako nakupenda bureeeeee
@panoscompany9134
@panoscompany9134 Жыл бұрын
Mungu hakuinue zaidi na zaidi
@user-uv5jf6he8r
@user-uv5jf6he8r 7 ай бұрын
Baba endelea na kazi 🎉
@user-sq3uo6zp6y
@user-sq3uo6zp6y 9 ай бұрын
Nakukubali mchungaji
@musarashid7873
@musarashid7873 Жыл бұрын
Hananja Hoyyeeeee Nakukubali sn Mchungaji
@dorothyannan8184
@dorothyannan8184 Жыл бұрын
Hananja tuko pamoja.Mimi nakuelewa sana.
@johnmizunguofficial
@johnmizunguofficial Жыл бұрын
Mungu akukumbuke hananja
@robertromanus8491
@robertromanus8491 Жыл бұрын
Asante
@user-jw8pw2pd9l
@user-jw8pw2pd9l 5 ай бұрын
Mbona kama unahekima fulani unakosea wapi kuelewa kile mungu anahitaji kwako mtumishi laiti kama ungeelewa maana ya sheria ya mungu
@panoscompany9134
@panoscompany9134 Жыл бұрын
Kweli baba yangu
@boscobishenga1263
@boscobishenga1263 Жыл бұрын
Mungu awabariki waandishi WA abari
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 Жыл бұрын
Amen🤗🤗
@erickzephania1030
@erickzephania1030 Жыл бұрын
Mzee una IQ kubwa
@joshuathomas5551
@joshuathomas5551 Жыл бұрын
Ubarkiwe Sana kwa mafundisho yako mazur,,ningekuwa na uwezo ningekutunuku shahada ya sycology🇮🇱
@willymaulidi3991
@willymaulidi3991 Жыл бұрын
Ingekuwa unazungumuza mambo ya kipuuzi ungeona comment nyingi.lakini mambo ya mdingi hawa comment
@matswelomphela972
@matswelomphela972 7 ай бұрын
Hakika hawa ndio wachungaji wanaotakiwa
@user-bj5tm3ne8g
@user-bj5tm3ne8g 11 ай бұрын
Wewe Mzee fanta Yako a Hana na Zumaridi
@geraldshoo9410
@geraldshoo9410 Жыл бұрын
Kwanini kichwa chabari kinatofaui na mazunguzo uoni upuuzi
@EsterNyihita-mr2lb
@EsterNyihita-mr2lb Жыл бұрын
Kati yako hananja na Zumaridi binafsi naona we ndo unadhihaki maana Mambo ya Mungu na maono ya Mtu ni binafsi yeye ndo kaona utazuiaje asione huku nineema yake kuonana pia huyu ni mutumishi wa Mungu lazima apewe utaratibu wa kuziongoza roho maana hata katika historia ya watumishi walopita walisema na Mungu juu ya utumishi wao, je ka we nimtumishi wa Mungu na hujawahi isikia sauti ya Mungu wala kuonana nae katika maono hizo roho zinaerekea wapi? Unawezaje Ajiriwa alafu usimujue boss wako? Pia wawezaje sema mutumishi wa Mungu humujui unaemtumikia, Mfalme Zumaridi uko sahihi zaidi ya wote maana wamujuwa boss wako.
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 Жыл бұрын
elimu yako ndogo sana ndo ilipo komea nani binadam kaenda mbinguni.
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 Жыл бұрын
Huyo atakua mfuasi wa zumaridi😂😂
@EsterNyihita-mr2lb
@EsterNyihita-mr2lb Жыл бұрын
@@rashidkihunga2938 ulishawahi sikia fisi ama chura wanaenda mbinguni? Broo mbingu ni ya wanadamu na mwanadamu haendi kwa mwili wa nyama Bali katika roho. Ni mfano ka vile uonapo ndoto hujiona upo mahari ukifanya Jambo fulani Kama ulivyo Ila ukiamuka hujikuta uko kitandani je huwa umeondoka na mwili wako? Kinachosemezana ni roho na ndo maana roho ichokapo mwili hauna thamani tena.
@EsterNyihita-mr2lb
@EsterNyihita-mr2lb Жыл бұрын
@@fatumaaybu8648 hujakosea
@sigifridkapinga7565
@sigifridkapinga7565 Жыл бұрын
Upuuzi
@sosom14
@sosom14 Жыл бұрын
Amen
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 36 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,2 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 4,1 МЛН
Watu Walinielewa Vibaya Kuhusu Mtume Mwamposa Richard Hananja
19:13
MCHUNGAJI HANANJA APINGANA NA KAULI YA KUWABARIKI MASHOGA KANISANI
17:00
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 36 МЛН