No video

MBUNGE MUSUKUMA ALIVYO MTOLEA UVIVU WAZIRI MPINA

  Рет қаралды 301,489

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amemshukia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina alipokuwa akichangia taarifa ya kamati ya bunge ya kilimo, mifugo na maji iliyowasilishwa bungeni, mjini Dodoma leo.

Пікірлер: 87
@st99ngeni35
@st99ngeni35 6 жыл бұрын
Msukuma na kukubali sana ntu wangu. Ki ukweli wewe sio darasa la 7, wewe una digirii 7. Big up sana. Ujielewa wewe ni nani, nini maana ya kuwa mbunge - yaanu muwakilishi wa watu. Uko vzr. Piga kazi na 2020 tunakupa kura zetu japo mimi sikai geita lakin habar ndy hiyo.
@pauletamakinga5040
@pauletamakinga5040 6 жыл бұрын
Big up msukuma,hilo ndio jembe analolitaka JPM......muunge mkono JPM baba tunakuombea...
@erickfordguevvara2119
@erickfordguevvara2119 5 жыл бұрын
NaTAMANI MSUKUMA ANGEKUWA MBUNGE WETU KIGOMA(M) NAKUKUBAL SANAAA
@jumannebundala6779
@jumannebundala6779 6 жыл бұрын
ukwel mzuri my bro msukusu
@jacobmariatabu3675
@jacobmariatabu3675 6 жыл бұрын
hongera kamanda wetu
@elizabethmwakalinga3287
@elizabethmwakalinga3287 6 жыл бұрын
Msukuma wewe ni kiongozi mwenye PHD. Nakukubali sana. Mungu akuzidishie moyo wa kuwatumikia wananchi.
@donaldsamwel683
@donaldsamwel683 6 жыл бұрын
Mh.msukuma unachokisema ni kweli tupu hongera sana.
@khadijamanzi670
@khadijamanzi670 5 жыл бұрын
Uko vizuri mheshimiwa
@ngassaphilipo445
@ngassaphilipo445 6 жыл бұрын
hongera sana musukumaaaaaaaaaa
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 2 ай бұрын
Genius
@emanuelligijr261
@emanuelligijr261 4 жыл бұрын
Natamani sana msukum ungekua mbunge wa geita mjini
@madamcolethaa641
@madamcolethaa641 5 жыл бұрын
Jamani msukuma mpaka raha
@joshuasamson4174
@joshuasamson4174 6 жыл бұрын
msukuma halijasoma sana la saba anajua kujitetea hongera msukuma unajua kuwakilisha mwanachi
@raphaeljuma6843
@raphaeljuma6843 6 жыл бұрын
Huwa msukuma nakupendaga Sana ,,😁😁😁katika kumbukumbu zangu sizani Kama ushawahi kuulizwa swali ukashindwa ((kujibu)).
@ayoubissa977
@ayoubissa977 3 жыл бұрын
Kwakweli msukuma yuko vizuri san good job
@paulinarobert1181
@paulinarobert1181 6 жыл бұрын
kwa kweli kama ni ivo kumbe ukoloni upo ndo tunarudi kwenye mashairi ya form six shairi linaitwa "eat more " duh mungu saidia Tanzania
@tellassekemneke5988
@tellassekemneke5988 6 жыл бұрын
pmj sana msukuma nakuelewa sana Teras wa tbr.
@eversmilek
@eversmilek 6 жыл бұрын
huyo Mpina hana lolote, arudishe mashamba yetu aliyo pora kijiji cha Kilengezi Mvuha. haya ni maisha tu, leo yeye Waziri kesho hicho hicho kiti atakalia mwingine
@user-rl5gf6tj4n
@user-rl5gf6tj4n Жыл бұрын
God bless you brother 🙏
@muhsinsalum2305
@muhsinsalum2305 5 жыл бұрын
Wallahi mimi ninachokiona katika Serikali yetu hizo sheria wamezoziweka sio kwamba nikututaka Raiya tubadilike bali nimfumo Rasmi wa kutafta hela za Serikali na mishahara ya viongozi kupitia migongo ya walala hoi. Maana maskini wa Mungu wengi wetu hatusomi sheria za NCHI nahata tukisoma ukitaka kujitetea tu unaonekana nimkorofi muhalifu unataka kupingana na Serikali mwisho wa yote unapelekwa kituoni mpaka mahakamani unapelekwa hivi mara vile. Mwisho wa yote unahukumiwa miaka 2 Gerezani uende ukapasue mawe. Ukitoka huko ushakua muoga siku nyingine ukikutwa unatetemeka. Napenda kusema tu kua: "maadam alietuumba yupo hii hukumu ya duniani nikitu cha muda, ila malipo yapo mbele za mwenyezimungu. Unadhulumu watu miaka hata ikizidi saana ni 50, ila unaenda kuchomwa moto na Mungu milele. Fikiriaa!!!!
@abuassadalamri.1675
@abuassadalamri.1675 4 жыл бұрын
Well done Msukuma,,wape ukweli 👍
@fridambezi6067
@fridambezi6067 4 жыл бұрын
Msukuma uko sahii kabisa mpina mungu anamwona watu wamefirika
@mankomwita8692
@mankomwita8692 6 жыл бұрын
msukuma oyeeee mpina anatafuta kiki kwa mkuu ila anatuuwa sisi tunao tegemea dagaa na samaki kama biashara
@johnsonfrodianus6237
@johnsonfrodianus6237 5 жыл бұрын
Asante msukuma
@sayraleigh0095
@sayraleigh0095 5 жыл бұрын
Msukuma piga kazi uko vizuri
@ZAKAYOMASOTA
@ZAKAYOMASOTA 3 ай бұрын
Hongera jembe
@margarethsolomon693
@margarethsolomon693 6 жыл бұрын
Izumacheli hahahaaaaaa jamaa yangu wewe huwaachagi salama hawa mawaziri wasiofuatilia kazi zao vizuri, hawajitambui sijui wana shida gani.
@vituszacharia6355
@vituszacharia6355 Жыл бұрын
umeiva sana
@stephenmassawe218
@stephenmassawe218 6 жыл бұрын
Musukuma weeeee nakukubali kwa namna unavyojielekeza kwenye hoja.
@joycecharles2934
@joycecharles2934 6 жыл бұрын
nakukubari sana Msukuma
@estheryangayanga6637
@estheryangayanga6637 5 жыл бұрын
safisana
@josephatalphonce4474
@josephatalphonce4474 5 жыл бұрын
Hahaha umetisha kama umesikia neno kiki twende sawa
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 4 ай бұрын
Msukuma nakukubali, ww ni mkweli, muwazi mpe za uso huyo mtaka kiki kwa gharama ya wananchi
@mariamshija1800
@mariamshija1800 6 жыл бұрын
Safi sana musukuma
@SalumuHerman
@SalumuHerman 2 ай бұрын
Mimi nashauli msukuma uje uwe mbunge wa chalinze na makonda awe mkuu wa mkoa wa pwani mwaka elfumbili na ishirini natano
@brownyjayden3312
@brownyjayden3312 2 жыл бұрын
👌👌👌
@brownyjayden3312
@brownyjayden3312 2 жыл бұрын
Sawah
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 5 жыл бұрын
Asee Msukuma We mashine, nikweli ziwani hakuna Beria...Yote unayoongea ni ukweli hongera sana, Lakini Usimlaum sana Mpina ni jambo la kumueleza ajirekebishe2 Binadamu hatujakamilika.
@amanihamidu2095
@amanihamidu2095 5 жыл бұрын
🔥🔥🔥 king
@imanuelmahenge5461
@imanuelmahenge5461 6 жыл бұрын
Safi sana msukuma
@charlesmwita8193
@charlesmwita8193 6 жыл бұрын
Kuanzi Leo umetimiza wajibu kama chombo cha kuisimamia serikali, Mpina ni mshamba na ajitambui,
@mteswalutema6202
@mteswalutema6202 2 жыл бұрын
Msukuma noma namuoba awe lais
@stevekennedy4678
@stevekennedy4678 2 жыл бұрын
Ukweli usemwe tu
@allymfangavoo6065
@allymfangavoo6065 5 жыл бұрын
#Musukuma unatishaa sana....
@ayadjuma2457
@ayadjuma2457 5 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka msukuma💪
@anamgesi2634
@anamgesi2634 3 жыл бұрын
Hongera Sana msukumaaaaa
@alhajichambo2188
@alhajichambo2188 5 жыл бұрын
msukuma nakubali maoni yko aisee
@masanjaalubert7346
@masanjaalubert7346 2 жыл бұрын
Uko vizur mkuu
@jacksonjohn7378
@jacksonjohn7378 6 жыл бұрын
Asnte msukuma
@thegrandpentahotel3856
@thegrandpentahotel3856 4 жыл бұрын
safi sanaaa
@danieljohn6070
@danieljohn6070 6 жыл бұрын
Nice
@kulwakashindye5546
@kulwakashindye5546 5 жыл бұрын
Hivimtoatalifa naembungee maaana kongeavpumba
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 4 ай бұрын
Mpina ni mzigo hafai kabsaaa
@hassanmwalle5628
@hassanmwalle5628 2 ай бұрын
Mpina hajielewagi kabisa
@maluhismadila9593
@maluhismadila9593 Жыл бұрын
Huyu mpina hafai kabisa
@erodycostantin6866
@erodycostantin6866 5 жыл бұрын
mutoa tarifa huna. Akili
@shekydrake3484
@shekydrake3484 4 жыл бұрын
Kwel kabix mxukuma
@dianamlindo5627
@dianamlindo5627 Жыл бұрын
Magufuli kaacha mtot
@josesizy1315
@josesizy1315 6 жыл бұрын
Kwa kweli hii operation ni kurudisha nyuma maendeleo ya wavuvi haikubaliki.
@denarddavid9202
@denarddavid9202 6 жыл бұрын
Jose Sizy Hao WAVUVI wanachangia kiasi gani KWENYE uchumi WA nchi? ACHENI ubabaishaji na kusifia ujinga.
@hatimalnaamani876
@hatimalnaamani876 6 жыл бұрын
Denard David . Km hujui chochote bora yamaza tu ujui uvuvi unamchango gani. Pole
@khamisrashidy1348
@khamisrashidy1348 5 жыл бұрын
Msukuma wabheja nkwingwa
@revocatusrwakagera3742
@revocatusrwakagera3742 6 жыл бұрын
safi sana msukuma
@sifaelyjoshua1597
@sifaelyjoshua1597 4 жыл бұрын
Nakukubali sana tetea wañyonge wa datasa lasaba tunalia wengi tuuu
@sifaelyjoshua1597
@sifaelyjoshua1597 4 жыл бұрын
Nakukubali sana
@wankyosogorya8115
@wankyosogorya8115 3 жыл бұрын
Nyavu 1 m27 fain
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 4 жыл бұрын
Bahati yako ipo 2 hata kama inacheweshwa uko vzr sn mh msukuma na elimu yako ya darasa la 7
@neliommy3673
@neliommy3673 6 жыл бұрын
mskuma we jembe ndomaan nakkbal San na ninajua ungekuw na elim ya ktosha ungekuwa wazir mkuuuu
@wianomesso6792
@wianomesso6792 5 жыл бұрын
Saf Sana Msukuma Unajua
@mbogomagembe6318
@mbogomagembe6318 6 жыл бұрын
watanzania hamueleweki mnatetewa na msukuma ,wengine wanamkashifu
@jacobmariatabu3675
@jacobmariatabu3675 6 жыл бұрын
nakupa bigapu
@zabronkazimoto5545
@zabronkazimoto5545 6 жыл бұрын
wambie
@josephmagori6172
@josephmagori6172 6 жыл бұрын
msukuma
@denarddavid9202
@denarddavid9202 6 жыл бұрын
Kama na gari lako limekamatwa na samaki haramu, huna maana hata kama dereva ndo alihusika bila IDHINI YAKO, ungepaswa kukemea , hata msipprudi watarudi wengine.
@hatimalnaamani876
@hatimalnaamani876 6 жыл бұрын
Denard David. Ivi ata km si kiwango wanacho kiitaji samaki 3 tena mtu uenda kanunua kwa matumizi ya yumba ndio atue Miliono therathini. Ww si kanda ya ziwa laiti ungekuwa kanda ya ziwa ungejua watu ambavyo hawana amani na delightful
@zamdasaleh6917
@zamdasaleh6917 Жыл бұрын
Mskuma aba degree ya heshima na akili sanaa huyu jmaa ni htriiii sana
@issackdauda5266
@issackdauda5266 6 жыл бұрын
Msukuma wewe noma
@erickkihuru4529
@erickkihuru4529 6 жыл бұрын
Big up Msukuma
@msetimagesa6285
@msetimagesa6285 6 жыл бұрын
Haise lasaba tunajielewa sana
@sofiachilunzo7139
@sofiachilunzo7139 6 жыл бұрын
BP 7
@olivermusanvu2004
@olivermusanvu2004 6 жыл бұрын
asante msukuma waelimishe
@speciozaalloyce8814
@speciozaalloyce8814 6 жыл бұрын
Msukuma kweli .kwao wanakula panki
@magrethmeela2519
@magrethmeela2519 4 жыл бұрын
Watu wengi wenye biashara hii ya samaki wamekufa wengine wamefilisika kwa kushindwa kulipa mikopo yao ktk mabenk walikokopa. Inauma sana.
@msilimnyeme8604
@msilimnyeme8604 Жыл бұрын
𝒖𝒌𝒐 𝒗𝒊𝒛𝒖𝒓 𝒎𝒔𝒖𝒌𝒖𝒎𝒂 𝒎𝒘𝒆𝒛𝒂𝒏𝒈𝒖
@masungaezekieli3490
@masungaezekieli3490 6 жыл бұрын
hongera sana musukuma
@mosesnsagali3912
@mosesnsagali3912 6 жыл бұрын
Hahaha msukuma noma kwamba kule ziwan hakuna beria!
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 11 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 6 МЛН
FULL SPEECH: Barack Obama’s full speech at the DNC
36:08
ABC News
Рет қаралды 3,5 МЛН
Mpina ajibu wanaosema anaipinga Serikali
38:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 46 М.
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,2 МЛН