Рет қаралды 31,384
Ugonjwa wa shinikizo la damu la juu unatajwa kuwa mmoja wa maradhi yanayosababisha vifo vya ghafla kwa watu wengi duniani lakini watu wengi hawafahamu chanzo chake na namna ya kujilinda dhidi ya madhara yake pindi wanapokuwa wameupata.
Dafrosa Prosper amemtafuta daktari bingwa ili kujua kiundani.