Рет қаралды 39
Meya Wa Jiji la Dar es Salaam Mh Omari Kumbilamoto amesema licha ya yeye kushiri kutazama lakini hata maandali atashiriki pale penye mapungufu.
Mabondia watakaocheza pambano la Dar Boxing Derby Watapima Uzito Siku Ya Ijumaa Juni 28,2024 kuanzia Saa nne Asubui kwenye Viwanja vya Posta Kijito Nyama Jijini Dar es salaam.