Рет қаралды 389
Bondia Issa Peche Kutoka Mwananyamala Aahidi Ushindi Wa Kishindo "Ko" Mbaya dhidi Ya Loren Japhet Kuelekea Dar Boxing Derby 2024 Viwanja Vya Posta Kijito Nyama DSM.
Akizungumza Mapema Hii Leo Mwana Nyamala Issa Peche Amesema Loren Japhet Ni Bondia Wa Kawaida Hivyo Atampiga Kama Begi La Mazoezi Kwenye Pambano Lao.
Dar Boxing Derby Kuweka Heshima Ya Wilaya na Mitaa Yake Kwa Watanzania Kushuhudia Mapambano makali Ya Kihistoria Juni 29,2024 Kati Ya Nassibu Ramadhan Dhidi Ya Juma Choki,Tonny Rashid na Oscar Richard,Anuary Mlawa kuoneshana Ufundi Ulingoni Na Ramadhan Migwede,Charls Tondo Na Mkongwe Haidary Mchanjo,Alexender Barnaba na Fredy Sebastian,Kwaupande Wa Wanawake Nasra Msami dhidi Ya Najma Isike.