Рет қаралды 798
Sehemu ya kwanza ya Makala Hii iliishia pale Peter alipo mtishia mwanae
kumnyima urithi akidai Mwanae amekuwa rojorojo sana na inamkatisha tama na kumfedhehesha. Kwa upande wa Alexei hii ilikuwa ni kama nafasi aliyo kuwa akiitamani itokee kwani kiukweli hakuwahi tamani kuwepo kwenye mambo yanayo husu siasa na utawala.
Alexei akamfungukia baba yake kwamba ni heri na hakuwahi tamani kirithi kiti hicho. Peter alikuwa na wasiwasi kwamba wapinzani wake wangemzunguka na kumwingia kupitia mtoto wake. Ili kukubali maombio ya Alexei kutojihusisha na urithi wa utawala, Peter akamwamuru Alexei afanye jambo nalo ni kujiunga na UTAWA wa KANISA..... Endelea!
#simulizi #nianimaarifa #peterthegreat #mauaji