Kwaiyo sasa ivi shetani anatangazwa hadharani Mungu tusaidie jamani
@user-fn7ru1sc1x2 ай бұрын
Mimi naona tofaiti na yule maganga wa mwanzo
@user-xr5lf6pe1n2 ай бұрын
Dunia ineisha sasa mambo waziwazi subhanallah Allah sw atuongoze
@joycegeorge-mf5kn2 ай бұрын
Haitakuja kutokea kwa maisha yangu eti nimuabudu shetani kwa ajiri ya mali wee
@hono12322 ай бұрын
Hongera sana
@ashrafyyousuf68212 ай бұрын
Ww we ulusema mwez Ramadan manake una dini? Subhana Allah mungu tusaidie
@user-cf5li5mf9o2 ай бұрын
Yarabi ninusuru mie mja wako❤🙏🙏🙏
@johnmeshack44312 ай бұрын
Asante sana mungu maana wewe ni muweza wa yote tunaomba utuogoze maana mambo yamekua mengi ❤❤
@user-lq6mt5ji4l2 ай бұрын
Amen 🙏
@sultanaswaleh78132 ай бұрын
🙏
@abdallahmgaya75212 ай бұрын
Kama utakumbuka vizuri, shetani alimchukuwa Yesu Hadi kilele Cha mlima na kumuomyesha utajiri wa dunia na kuzungumza naye, nanukuu maneno ya shetani. Shetani aliniambia YESU, UTAJIRI HUU WOTE WA DUNIA NITAKUPA WEWE KAMA UTANISUJUDIA. YESU akajibu, ONDOKA ZAKO SHETANI, MAANA IMEANDIKWA MSUJUDIE BWANA MUNGU WAKO PEKEE. Kinachofanyika Sasa hivi baadhi ya WATU wameamua kumsujudia shetani Ili wapate mahitaji Yao BADALA ya kumuomba MUNGU. Kumbuka waganga ni mawakala wa shetani na pia ni mashetani
@kilogreekachananawatuwasio40542 ай бұрын
MAJIZI NA MITAPELI YAMEPATA NJIA KUTOKANA YULE DADA KUONESHA JOKA LAKE
@mikemuchannel21482 ай бұрын
God plz forgive us
@RukiyaAbdillahi2 ай бұрын
Mungu awashushiye harka yak mujithafuthe msijion wala kujijuwa lanaatullah
@makhatiddi2 ай бұрын
Innalilah wainna ilahi rajiun
@user-sg6qz3yw7k2 ай бұрын
Wewe muamdishi tafuta vituvyengine ayo mambo ya majini achananyo kitakukuta kitu utoamini majini sio watu shauliyako
@BonnyBonny-sp1tiАй бұрын
Logo logo tu,,wenye tamaa did mtashika
@eliahntoke99602 ай бұрын
Sasa kwa nn nae asichukuee awe tajili au ndugu Mganga hapendi utajili 😁
@mtotowashiru2 ай бұрын
Hapo sasa😂😂😂😂
@user-xw9wo7nh6c2 ай бұрын
mtakao wapotosha ni wale ambao mungu ajawa walidhia lakini wacha mungu watabaki ktk imani zao mpaka kiama kina simama shetan alipotupwa dunia alimuomba mungu apate wa kuingia nao motoni mungu akasema watakao kufata lakin vipenzi vyake mungu amtoweza kuna watu mungu ameshawajua awawezi kulejea kwake japo mungu mwingi wa kusamamee unapokosea ukaomba toba kweiyo wameshapingwa mihuri ya motoni
@user-te9hg2bn5s2 ай бұрын
Maks media,Niko na maneno Moto Moto ya uko tz
@ZaliaRamadhani-ip6qq2 ай бұрын
Hiinchi 🇹🇿 imeingiliwa sas imagine ety nyoka kweli ah
@abuqusay89122 ай бұрын
ج Haya yote ni mtoa huduma na daktari 😂😂😂😂😂😂
@SuzanaMasebo2 ай бұрын
Jamani mimi naona sasa ndio mwisho wa hyo dada kuishi na nyoka maana siri imefichuka
@VeronicaLonginus-sk8ge2 ай бұрын
Huyu nae mganga wa ratifa au biashara?? Jmn hii Kali sasa
@SalumaAmisi27 күн бұрын
Naitaji namba yako dada na mm
@Maryam-vj1rb2 ай бұрын
Mtu wa Zaire huyo
@arjunmutotowadzaleka2 ай бұрын
Kubee tulikuwa tumesha subuka namaneno Sana niatari
@SalomeMitegoАй бұрын
Nataka namba zko
@mayanmlingwa42502 ай бұрын
HAKUNA MGANGA HAPA.,,,na hukuna mganga wa kutoa utajiri wa hivyooo,,,mtafuta views tu.
@abuqusay89122 ай бұрын
Swali: Je, wewe ni Muislamu?
@JaneNderitu-fp6hlАй бұрын
Mganga i need you to help me plz
@JoelTweve2 ай бұрын
SHETANI YUPO KAZINI NA ANA ZIDI KUJI NADI , DUNIA IME USHAAAAA
@user-zq2be4xr1o2 ай бұрын
Unamuomba mungu gani? Mana hata mukuzimu wanamuomba mungu wao shetani, sio Allah
@user-zq2be4xr1o2 ай бұрын
Sasa mbona awape watu utajiri, ila yeye mwenyewe masikini, duu keeli shetani kawatapeli
@bokechacha98022 ай бұрын
Wapinga kristu.mungu anawaona
@AllyEdmundi2 ай бұрын
sasa huo ni uongo, Kila mganga anasema amempa yule dada nyoka
@AwaliAwali-vv6kr2 ай бұрын
Tunaomb namb zako dada tifaah
@user-hi8le2vb7z2 ай бұрын
KALE KADADA NI KACHAWI,,MSIKWEPESHE MAMBO
@BabMuniwe-pg7el2 ай бұрын
Hawa ni matapeli na yule dada wandishi wote ni mchongo mganga huwa hijionyeshi
@samirrubeya23792 ай бұрын
Kina Dr Sule ndio hawa
@CKMO2 ай бұрын
Pole mganga na anaemtafuta mganga kwa sabb kama utajiri unapatikana mbona wewe bado una ngaragara hapo hapo mbona hubadiliki
@AmisisaidiMakotha2 ай бұрын
Uyo ndo ana akili njaa izo kumamake zake
@khajumkhamis79102 ай бұрын
Jamanj naomba kuwauliza, Ivi hii channel inatangaza shirki au ni mimi tuu sielewi?????
@hono12322 ай бұрын
Washenzi hawa kazi zao kutangaza shiriki
@hassanjhassan24912 ай бұрын
Atume namba nimpigie
@patrickmunishi22772 ай бұрын
KWELI DUNIA IMEFIKIA MWISHO WATU WATUBU NA KUMRUDIA YESU
@liverpoolfootballclub99852 ай бұрын
Mimi nasema watu watubie wamrudie MUNGU.
@espererancesudi76002 ай бұрын
To be continued
@boga3552 ай бұрын
Makazi yao ni motoni abadan
@khamisswalehe2 ай бұрын
jahaanam yaswlau naha
@jamuhurialiwazir46852 ай бұрын
Wakati urikuwa tumboni urikua una rindua nanani?
@abuqusay89122 ай бұрын
Je, mtu huyu anasambaza pesa?
@aishatest44512 ай бұрын
duuuu, 😢😢😢😢
@JoyceMunuo-uc9rt2 ай бұрын
Kweli hayo
@AishaKawisa-ic8hj2 ай бұрын
9:44
@abuqusay89122 ай бұрын
Kuua kila mtu kunahitaji uchawi
@fastcheapremovalltd54032 ай бұрын
Mimi nikitaka kuishi na chatu,mamba,simba,cobra, je nitakuwa tajiri kiasi gani.
@abdimajidmohamed14632 ай бұрын
Mwishowe utakufa na Mungu atakuchoma. Sababu huyo shetani yuaweza kukugeuka akuue alafu uende motoni. Hizo pesa pia si tamu, utaishi na hofu na masharti mengi
@epitomeapex2 ай бұрын
VIJANA MNATAKA UTAJIRI WA GHAFLA😂😂😂
@johnmeshack44312 ай бұрын
Njoo chuga usukume mukokoteni acha tamaa
@user-ly8cf1fw8q2 ай бұрын
Nakuongeza na Ndovu, fisi, faru, twiga, na punda milia 😂😂😂😂😂
@nurdinngalo-hj1ow2 ай бұрын
😂😂😂😂😂chizi
@salimumohammedsalimu17202 ай бұрын
😂we huitaji uta.jiri ????
@salmaebrahim20582 ай бұрын
Ww tupishe tumechoka kusikia utajuta mwisho wako utakuwa ni mbaya mnooooooo umeshinda kufanya kazi kwani utajili unachukiya siku kifo unaviacha. Hapa na utawapa shida watu wa family yako
@AzizaSeif-pl5gv2 ай бұрын
Waganga waongo mbona wao hawatajiriki
@leonardtiato12192 ай бұрын
😂😂😂😂 wanajua mwishoo sio mzurii ndio maana hawataki shobo
@livybreezy87542 ай бұрын
😂😂😂😂
@Husna-je1hc2 ай бұрын
Yalabi ninusulu na haya mambo
@MohamedAbdirahman-qs4pl2 ай бұрын
Mbona hamkuweka namba yake ?
@user-xd1zk7tq4p2 ай бұрын
Uzioni hapo juu ndg 😂
@user-hs9qu5gk5l2 ай бұрын
😂 Hi
@abuqusay89122 ай бұрын
🪱😂😂😂😂😂
@user-gi2jv4kl7s2 ай бұрын
Wewe mtangazaji maswali gani ayo kasome tena.uliza maswali y msingi
@user-od6dy8qo7m2 ай бұрын
Hahaha
@user-gi2jv4kl7s2 ай бұрын
@@user-od6dy8qo7m kazingua Sana
@user-fg5zi1ly3r2 ай бұрын
Umaskini unaumiza saana jameni. Bora niishi tajiri miake 10 kuliko kuishi maskini myaka 100. Niko tayari kulala ata na sheteni pekeyake bora nipate pesa tu.
@user-qp6mb7lu8s2 ай бұрын
😅😅😂😂
@user-fg5zi1ly3r2 ай бұрын
Kweli kabisaaaa
@user-ic8di9mw8u2 ай бұрын
Mbinu yenu tunaijua
@ChidiBoy-uo7ws2 ай бұрын
Nynyi n washirikina wakubwa mungu atawaangamiza inshaallah wajinga wakubwa