BIBLIA INAMAKOSA KIBAO

  Рет қаралды 15,098

UNIVERSITY FILMS

UNIVERSITY FILMS

Жыл бұрын

#sheikhmwaipopotv

Пікірлер: 75
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 Күн бұрын
NAONA WAGONJWA NI WENGI SHEIKH MWAIPOPO WAONGEZEE DOZI INSHALLAH
@jumahamad3723
@jumahamad3723 9 ай бұрын
Mwaipopo mungu akujaalie baraka na elimu zaid inshallah
@bilalabdikun2228
@bilalabdikun2228 8 ай бұрын
Mwaipopo mungu akujalie umri mrefu enye ibadah
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Mwaipopo wambie ukweli japo watachukia
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 7 күн бұрын
Maskini pole sana umeshachelewa eti kwa mjibu wa bibilia unachekesha sana
@furahagiselle1235
@furahagiselle1235 26 күн бұрын
Acahabari zako bwana🤔
@issafaquedalaura8279
@issafaquedalaura8279 8 ай бұрын
Masha Allah 🥰
@marionoti5760
@marionoti5760 9 ай бұрын
Pole sana, kuruani ni kitabu kilichonukuliwa kutoka biblia, na imeanzishwa na mfanyabiashara kati ya uarabuni na Israeli Muhamedi mwaka 630 baada ya kristo.
@moshinyashebo7981
@moshinyashebo7981 8 ай бұрын
Uzima wa milele haupatikani kwa kuamini dini dini ni vikindi vya kutukusanya pamoja katika kujifunza kumtafuta mungu na uzima wa milele unapatikana ndani ya yesu kwa imani
@RashidKasanduku
@RashidKasanduku 8 ай бұрын
Yesu ni MUNGU 😂😂😂
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 2 ай бұрын
Yesu ni mtume wa 24 kati ya mitume 25 wa mwenyezi Mungu.Acha Yale mengi aliyosema kuhusu baba yake mfano wasamehe hawajui watendalo kesho tutakua sote katika ufalme wa baba yangu pale alipoomba kucha nzima kama yeye ndio Mungu alikua anamuomba nani ? Hivi Mungu alitahiriwa jamani?!?! Haya ni maajabu eti Mungu kazaliwa halafu kauawa na aliowaumba hivi ni vichekesho. Mungu hakuzaa hakuzaliwa hana mshirika hafananishwi nachajatairiwa wala hana jinsia. Hiyo ni elimu ya juu juu na tosha kabisa. Yesu ni mtume tu alitumwa kuwakomboa wana Israel.
@user-fg1gg3ec2o
@user-fg1gg3ec2o 8 ай бұрын
Anaeongea mwenyewe sijui kalewa
@bahatinyandula6425
@bahatinyandula6425 Жыл бұрын
Mungu akulaani mwamposa unapotosha watu wewe unatumiwa na shetani
@dorothswai
@dorothswai Жыл бұрын
Usipomkubali Yesu Kristo Awe Bwana Na Mwokozi wako hautamwona Mungu.usijifariji.
@dulividuli5237
@dulividuli5237 9 ай бұрын
Mungu yupi tna na mnasema Yesu ndie Mungu mwenyew
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 9 ай бұрын
Waislamu yesu tunamkubali ni mtume wa mungu lakn nyinyi mnasema ni mwana wa mungu apo ndio mnakufuru mungu hazai tumieni akili
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 2 ай бұрын
Na wale walioishi kabla ya kuzaliwa Yesu?!?? Lakini hats Wayahudi alikotumwa Yesu kuwakomboa hawamwamini na walimuua msalabani. Huoni kama mawazo yako ni finyu.Amini tu kwamba mitume walikua jumla 25 Yesu alikua mtume wa 24. Hayo ya umungu ni ya kutunga na upotoshaji pia uchakachuaji uliotoka katika baadhi ya vitabu zaidi ya 66 vilivyotumika kuandika biblia. Yesu alifundisha Injili ambayo ni maneno ya Mungu baba yake. Yesu alifundisha neno LA Mungu hakufundisha yake
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 2 ай бұрын
Unaona wanajichanganya wenyewe wasemapo bila kupitia kwa Yesu hutamuona Mungu au kupata uzima wa milele,. Wanakariri tu hawaelewi wala kujiuliza hata mambo ya wazi
@meshackmatwinya9396
@meshackmatwinya9396 2 ай бұрын
sekhe wafundishe hawa wenzetu wamjue Mungu wa kweli ni nani
@aloycelucas1823
@aloycelucas1823 Жыл бұрын
Iko siku utaomba ubatizwe Tena lkn utakuwa umechelewa, YESU KRISTO ni yeye yule Jana leo na hata milele, na yeye ndie jibu, rejea kusoma Ufunuo wa Yohana utakuta kumbe na wewe umo kwenye utabiri ule!!
@danielkanso
@danielkanso Жыл бұрын
Hiyo ni ushabiki tu kwa sababu yupo mbele ya watu lakini akitafakari mwenyewe atajua tu wapi amefanya makosa yeye
@simonmuhoja149
@simonmuhoja149 Жыл бұрын
Mnatumia uhuru vibaya kukosoa dini za watu msituvurugie nchi yetu kosoa dini yako
@hafidhramadhni934
@hafidhramadhni934 6 ай бұрын
jamani huyu hajawatukana wakristo ila ameufafanua ukristo sasa ushauri soma bibilia nawewe ujionee sio ufate dhana tu
@user-hy5zd5rn6r
@user-hy5zd5rn6r 7 ай бұрын
Bila Yesu mbinguni hakwendeki
@ramadhanathumani8661
@ramadhanathumani8661 Ай бұрын
Yesu c mungu acha ufinyu wa fikira
@user-hy5zd5rn6r
@user-hy5zd5rn6r Ай бұрын
@@ramadhanathumani8661 Mohamed sio mtume wa kweli acha ufinyu
@user-hy5zd5rn6r
@user-hy5zd5rn6r Ай бұрын
@@ramadhanathumani8661 ufinyu ni kuamini Mohamed ni mtume
@simonmuhoja149
@simonmuhoja149 Жыл бұрын
Jikite kwenye kufundisha uislam achana na WA kristo
@user-fg1gg3ec2o
@user-fg1gg3ec2o 8 ай бұрын
Duhuuu waislamu sijui kwanini wanateseka na ukrsto wetu mbona sis hatuhangaiki na nyie
@richardnganya2311
@richardnganya2311 7 ай бұрын
Kuna shida kubwa mahali fulani !! Kusahihisha usichokiamini..
@barackamosi4116
@barackamosi4116 Ай бұрын
Huyu mwaipopo ni mjinga 2 mana halielewi kitu majini yamesha mwalibu
@user-rs4zf8ik2q
@user-rs4zf8ik2q Жыл бұрын
Mwanzo 21:14 umegusia sawa Nashaka Hapo kwenye"wakristo ni jina lililo itwa na kupangwa na wapagani" halipo na sijaliona zaidi ya neno lenyewe la Matendo 11:25, hili hilo neno limetoka wapi?
@jasminedamian6032
@jasminedamian6032 9 ай бұрын
Uklisto c dn
@barackamosi4116
@barackamosi4116 Ай бұрын
Yani wasilamu wengi wameipigania dini hadi wamekuwa machizi hata wanacho kiongea hawaelewi
@officialomyclassic3424
@officialomyclassic3424 Ай бұрын
Yakobo 1:26-27 [26]Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai. If any man among you seem to be religious, and bridleth not his tongue, but deceiveth his own heart, this man's religion is vain. [27]Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa. Pure religion and undefiled before God and the Father is this, To visit the fatherless and widows in their affliction, and to keep himself unspotted from the world.
@israelandemwakalundwa-iz1fc
@israelandemwakalundwa-iz1fc Ай бұрын
V Biblilia.haina.makosa.ila.mtu.ndiye.mwe nyemakosa
@martinihassani6760
@martinihassani6760 9 күн бұрын
Tangaza mtume wako tu Mambo ya Biblia achana nayo huna elimu ya kuifundisha
@Jameskuresoi6865
@Jameskuresoi6865 2 ай бұрын
Ukristo sio dini bro KRISTO NDIO DINI ukristo ni tabia ya wafuasi wa KRISTO
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 Ай бұрын
Unao ushahidi kwenye bibilia kuwa ukristo ni tabia?
@AM-rr3jr
@AM-rr3jr Жыл бұрын
Kula Kitimoto utajua uiamini ipi. Hayo ya Biblia ipi waachie wenye Biblia... Wao ndo wanazijua we si yalikushinda??
@AM-rr3jr
@AM-rr3jr Жыл бұрын
Ukristo una amani ndiyo maana Mashehe wanahudfhuria kwa Wakristo, lakini huwezi ona Wachungaji wameingia Msikitini au Makusanyiko ya Kiislamu. Mashehe wanatisha muda wowote wanaweza jaa jazba.
@slimanshaz7311
@slimanshaz7311 11 ай бұрын
Inauma
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 7 ай бұрын
Kumbe ni ninyi walipinga KRISTO YESU MWOKOZI?. AMNAGA KAZI NINYI. TAFUTE KAZI YA KUFANYA. IMANI YETU ACHENI. ANGAIKENI NA YENU. AMEN.
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 2 ай бұрын
Hivi wayahudi walioletewa Yesu awakomboe wanamkubali?
@shebatimathayo8471
@shebatimathayo8471 8 ай бұрын
Mwaipopo huna jipya nenda shika jembe kalime hiyo kurani mmenukuu vifungu kutoka biblia tena vifungu mnavyo taka ninyi.
@bumijamshana1045
@bumijamshana1045 2 ай бұрын
Nyie hajui lolotebukristo ndo dini yamungu mwaipopo hunalolote na uislamu ni dini ya kichawi mtume kasena mjifunze kwa waliowatangulia waulizeni waarabu na hakuna kitabu alipewa mhamadi dini ya uongo hiyo subirini Yesu awatokee na kuwashugulikia kama paulo uta
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 Ай бұрын
Wew unajua kitu gani? Bibilia kuisoma mara moja kwa wiki tena andiko moja
@AM-rr3jr
@AM-rr3jr Жыл бұрын
Hubiri uislamu dini yako. Ukristo waachie Wakristo...
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 9 ай бұрын
Wwe ni mdudu taa unakingwa usiingie motoni lakn unalazimisha..ssa yesu akija wauliza nnani aliwaambia ukristo ni dini jibu mtalitoa wapi
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 7 ай бұрын
Utamtenga mkristo kwa kipi?. Sisi atuna Shida na ninyi ninyi. Ninyi ndiyo mnaangaika na sisi. Angalieni maisha yetu minyi. Mwamposa amekua mwiba kwenu. Tuombe uzima mwakani WAKRISTO TUTAFANYA MENGI SANA TENA YA MAKUBWA. PENDENI AMANI NINYI. AMEN.
@user-bv9cx7xe5o
@user-bv9cx7xe5o 6 ай бұрын
Siohivyo utume kapewa nanani
@dickngimba4333
@dickngimba4333 8 ай бұрын
acha ujinga huna jipya
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
Wewe unaongea Mungu yupi na nani majina yake? Mungu ni cheo,hata muimba mziki wa matusi anasema amepewa kipaji na mungu. Wewe tuambie huyo mungu wako anaitwa nani? Hata wachawi wanamuomba mungu wao. Tuambie majina ya huyo mungu unayemtaja.
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 15 күн бұрын
Stori za kufuga majini zimeisha mmehamia kwenye biblia tena,😂😂😂😂 Mkiwekwa kwenye mdahalo mtetee qurani yenu holaaa😂😂😂😂 Imejaaa majini na uchawi tu
@jamalkishangu
@jamalkishangu 13 күн бұрын
Hujasoma Biblia, kama ungesoma ungeelewa MAJINI, mashetani, uchawi na dawa za asili zimetajwa kwa wingi katika biblia. Usilete ujanja wa nyani kucheka kalio la mwenzake akisahau lake.
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 13 күн бұрын
@@jamalkishangu uchawi upo kwenye Quran tu mpk mtume mwenyewe alirogwa
@bahatinyandula6425
@bahatinyandula6425 Жыл бұрын
Ulisha amua kuwa kafiri hubiri ukafiriwako bwana
@bumijamshana1045
@bumijamshana1045 2 ай бұрын
Hunalolote wewe umefeli hakuns mhubiri hapo hakuns lolote huna jipya Yesu ni kiboko ya wabishi mtu kakakataa ukriso kenda uslam huna elimu wewe
@dorothysamwel2648
@dorothysamwel2648 Жыл бұрын
Kwenda huko fuata dini yako kama unaiona ndio sahihi. Achana na ukristo,/wakristo inakuuma nini? Kama dini yako itakufikisha peponi kwa imani yako endelea. Achana na Biblia achana na wakristo . Tusubiri fainali.
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 2 ай бұрын
Fainali mtahukumiwa kwa kumdhalilisha Mungu kwa mambo ya ajabu eti Yesu ndio Mungu. Hivi Mungu alitahiriwa jamani? Looh Mungu alibebwa mimba kazaliwa halafu kauawa na aliowaba huu unafanana na utani na dharau.Mungu kazaliwa bandani? Mtahukumiwa kwa kutomuamini Yesu kwani Yeye kila kitu alikua akifanya na kusema wazi wazi kwamba kuna baba yake ndio kila kitu na si yeye na hats alipopatwa na matatizo alimkumbuka baba yake Mungu hata pale aliposema baba mbona unaniacha, wasamehe hawajui watendalo kesho tutakua sote katika ufalme wa baba na aliomba kucha nzima kwa baba yake. Yote haya hamuamini mnamngangania tu Mungu Mungu. Yote hayo mtajibu. Mtajibu kwa nini wote hamtahiriwi kama yeye kwa nini hamvai mavazi kama yake hata alisali kwa kusujudu
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 9 ай бұрын
Wakristo sisi waislamu tukikaa kimya bila kuwaambia kwamba ukristo sio dini ni vigumu sisi kupata uzima wa milele kwa sababu..tumewaacha mkapotea yesu hakuwa mkristo cristo ni jina lake sio dini tumieni akili
@user-fg1gg3ec2o
@user-fg1gg3ec2o 3 ай бұрын
Mbona mnateseka watoto muhamadi na ukrsto wetu
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule Ай бұрын
Wewe mwaipopo na elimu yako yote, hivi ni kitabu gani kilikuwa kwanza ya kingine kati ya biblia na quran?
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 25 күн бұрын
Waislam wana masahaf ambayo ina Kuran Injili chache za ukweli taurati na zaburi. Biblia ni vurugu tu kuna yenye vitabu 66 kuna yenye vitabu 78 kuna isiyo agano jipya kuna zilizochakachuliwa kuongezwa mambo ya kanisa na waandishi wasio mitume
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule Ай бұрын
Hiyo quran inatambua uwepo wa dini ya ukristo wewe mwaipopo huutambui! Huu ni msiba
@dickngimba4333
@dickngimba4333 8 ай бұрын
Sasa hivyo unavyo ongea vimeandikwa wapi
@dickngimba4333
@dickngimba4333 8 ай бұрын
kwani ww dn yako ni ip
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 42 МЛН
Uungu wa Yesu.
1:16:39
Sauti ya Uzima
Рет қаралды 2,6 М.
MAAJABU YALIOMO NDANI YA AL QAABA |  SIRI 8 USIZOZIJUA
4:07
AQ ONLINE TV
Рет қаралды 90 М.
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
YUPI WA KUFUATA KATI YA YESU NA MUHAMMAD: BUKAVU CONGO
1:43:34
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 18 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22