MGOMO WA KARIAKOO, MFANYA BIASHARA AFUNGUKA KUPOKEA VITISHO

  Рет қаралды 14,543

Mbengo Tv

Mbengo Tv

11 күн бұрын

Пікірлер: 81
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er 10 күн бұрын
Acheni siasa .. Waliogoma sio wapuuzi Lazima tukae mezani tukutane kwenye kurasa moja
@gweahshoo5120
@gweahshoo5120 9 күн бұрын
Sasa kugoma ndio suluhisho bro...akati uongoz wa wafanya biashara hawajui chochote,,hawajakaa kujadiliana from no where unagoma
@dulasele-ud8cw
@dulasele-ud8cw 10 күн бұрын
Uyu mkuu afai kuwa mkuu nipo msumbiji nilikuja kaliakoo kufuata mzigo ilinibidi nipite njia za uchocholo na mzigo ili kuwakwepa tiara ei ndugu yangu alikamwata n tr ei wakamnyang'anya mzigo adi leo ajaupata bola niende sauzi africa kufuata mzigo tz by
@hawakiza6067
@hawakiza6067 10 күн бұрын
Inasikitisha sana
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 9 күн бұрын
MiMi nachukua bidhaa south Africa dragon city nauzia kasumbalesa nyumbani DSM niliwakimbia Hao jamaa 😢
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 9 күн бұрын
Ni TRA
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 10 күн бұрын
Wewe unaungana na Serekali kunyonya wananchi sio. Wagome tuu serekali ijifunze
@apolinarymboya3231
@apolinarymboya3231 10 күн бұрын
Kaka narudiya tena ongeya kinachoeleweka
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er 10 күн бұрын
Baba Zima nafki kwa masirahi yake Acha usenge waliogoma wanamantik
@kiatu
@kiatu 10 күн бұрын
Duh kamati haijamaliza tatizo toka mwaka jana halafu chini ya waziri mkuu hajajiuru tu!
@fatumahassanduale4701
@fatumahassanduale4701 10 күн бұрын
Nyie hamlipi Kodi ndiyo mana mnaunha mkono,machinga haiwahusu kauzeni mtumba.
@NolaskoMhagama-ib2ub
@NolaskoMhagama-ib2ub 9 күн бұрын
Nendeni kwenye Jengo lenu, Machinga Complex hapo mnang'ang'ana nini? Toka ,pumbavu,.
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 10 күн бұрын
mnazungukana wenyewe kwa wenyewe
@astonchiba5037
@astonchiba5037 9 күн бұрын
Ndiyo umri wa kuwa kiongozi wa machinga au zodoa zodoa
@user-sl3hm1gi9m
@user-sl3hm1gi9m 9 күн бұрын
Khaa,,watu wanataka kupunguziwa kodiiiiiii jamn
@Alexismadimo
@Alexismadimo 10 күн бұрын
Mhhh haki ake awe machinga
@user-ej5ir5pu7r
@user-ej5ir5pu7r 10 күн бұрын
Lipeni kodi mbona sisi mitaani tunalipa
@MtegekiKaijage
@MtegekiKaijage 9 күн бұрын
Huo uwenyekiti uliupataje?
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 9 күн бұрын
Mwenyekiti we Huna akili unachoongea
@gloriamsola6067
@gloriamsola6067 9 күн бұрын
Umwnena vyema bro
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 9 күн бұрын
Mnazibia maduka na mimvuli,
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 9 күн бұрын
Uyu Ana lolote analudia maneno ya mkuu wamkoa Ana chakuongea viongozi kama hawa ambao Hawana msimamo watoeni
@lincolnkimambo3744
@lincolnkimambo3744 10 күн бұрын
Mnatumika sana machinga
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 9 күн бұрын
Viongozi wa Afrika wananunuliw wote lao moja
@paschalm9849
@paschalm9849 9 күн бұрын
Senge
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 9 күн бұрын
Nyie ndo wakwqnza mniibia kodi serekali
@Bmsecret
@Bmsecret 10 күн бұрын
Wamakonde wanafiki sana
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 9 күн бұрын
Wakaanza kutumiwa esimuesi 😂😂😂
@yahayamohamed6822
@yahayamohamed6822 10 күн бұрын
Ww sy mfanyabiashara ww ni mmachinga unapiga debe biashara yako unwaga chin unapiga debe kwanza hutoi lisiti ww
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 9 күн бұрын
Tunataka mwondoke,mnaziba mafremu za wafanyabiashara
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 10 күн бұрын
Wewe machinga chukua nchi wamachinga ndio nini wewe uwawe una hamasisha vijana wewetu kuvamia Barabara na masolo na Miata ccm mungu anawaona huyu mjinga eti mwenyeti wa machinga huyo chawa tu wawajinga viongozi wakuvamia maeneo ya watu na selikali inakubali
@SaidOmary-fd3bj
@SaidOmary-fd3bj 9 күн бұрын
TATIZO LIPO KTK KUSEMA BILA KUFIKIRIA NDIO TATIZO
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 9 күн бұрын
Nchi jirani ndio kimbilio,maana vimitaji kama kwisha vimeshaisha
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 9 күн бұрын
Kalibuni Zambia mwezi mmoja unaona matokeo nachukua bidhaa south Africa nauzia Zambia 👍🇿🇦🇿🇲
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 9 күн бұрын
Nyiee kwanza ne weziii mnaibia serekali za kodi mlipeni kodi mnaibia serekali.ma trillion kwa seconds,halafu hamlipi kodi yoyote,mate Gemma maduka ambayo inawalusha watanzania wote ,nyie maibia halafu mnaongea kitu hamjui
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 9 күн бұрын
Achakujichongea mwenyewe
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 9 күн бұрын
Yani wenye vit nyia hahahha hii nchi tutaburuzwa sana na wana siasa na watatupangia kila kitu had mwsho mana njaa zinasumbua na uoga mwingi huogop na miwani yako na mishavu imekujaa unaongea uongo
@babuummary7723
@babuummary7723 9 күн бұрын
Viongozi wengine ni wakijinga sana
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 9 күн бұрын
Kwani nyie mnatoa risiti na mnanunua bila risiti
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 9 күн бұрын
Wewe ni mla rushwa shezy kabisa wamegoma sababu ya unyonyaji wenu
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 10 күн бұрын
Kama sio kada wa chama fulani ni bahati
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 9 күн бұрын
Shida siyo machinga shida nikodi kupanda kuwamkweli mla lushwa mkubwa wewe kwaiyo atamwanza wamegoma kwaajili ya machinga et
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 10 күн бұрын
mwenyekiti wa machinga 😢 unafiki mtupu
@LusekeloAdam
@LusekeloAdam 9 күн бұрын
Wanapo goma madereva wanapambana na yanayo wahusu. Acha wafanya Biashara wagome kwa yanayo wahusu. Kila mtu apambane na hari yake.
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 10 күн бұрын
Mnafanya kazi barabarani
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 10 күн бұрын
Safisana umenena memasana mkuu
@gwantwamwalyaje8515
@gwantwamwalyaje8515 9 күн бұрын
Lipumbavu kabisa Wewe Ni Ng'ombe Kabisa
@BabyvoiceDaprincipal-dm6xu
@BabyvoiceDaprincipal-dm6xu 9 күн бұрын
Gomeni at mwaka Kwan nn mbaya😅
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 10 күн бұрын
GOMENI KABISA. WATANZANIA WAMENYONYWA MPAKA DAMU WAMEBAKI MIFUPA MITUPU
@onehouronlinetv1893
@onehouronlinetv1893 10 күн бұрын
We jamaa mpumbavu na mnafiki sana. Acha nidhamu ya uoga
@TinaZimba
@TinaZimba 10 күн бұрын
Siyo vitisho tokeni nyinyi ni wasaliti
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 10 күн бұрын
Msenge Madebe wewe.Unabana pua hapo nye nye nye nye😊😅
@CheerfulCakeSlice-po2ht
@CheerfulCakeSlice-po2ht 10 күн бұрын
Kibaraka hafai kuwa kiongozi mnafiki kwanza hana akili
@ajuayearon5760
@ajuayearon5760 10 күн бұрын
Acha ujinga .. HUYU SIO MWENYEKITI WETU
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 9 күн бұрын
Analudia ludiatu maneno ya chalamila mshamba huyu
@apolinarymboya3231
@apolinarymboya3231 10 күн бұрын
Acha kumoma biashara za watu ankooo kumbuka una biashara ata ksma wamefanikiwa jitaidi kujuwa ata wewe utafanikiwa piya hamlipi kodi afu unaongeya utumbo
@JonathanMatembo
@JonathanMatembo 10 күн бұрын
Mnafki mkubwa wewe,watu kama njie mlipaswa kuuwawa kabisa
@SalimBilal-fo1uh
@SalimBilal-fo1uh 10 күн бұрын
Rekebisheni.kodi.na.ushuru.siyo.kuliongezea.taifa.hasara.kukimbizana.na.watoto.wetu.eti.ni.madada.poa.kwani.kama.hakuna.wahitaji.wangekuepo
@bagaileshabani3179
@bagaileshabani3179 10 күн бұрын
Pumbavu unatufundisha biashara fara wewe
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 10 күн бұрын
YAN WABONGO BANA SAS WEW UNAAMBIWA UGOME WAKATI UNAMIKOPO KIBAO BENK SHENZI KABISA HIYO MIKOPO UTALIPAJE WAKAT UMEFUNGA DUKA
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 10 күн бұрын
WEWE UNAFANYIA WAPI BIASHARA? NI MPUMBAVU TU ATAKAE UMIA AKAACHA KUJITEGTEA?
@philimonmtweve4522
@philimonmtweve4522 10 күн бұрын
Machinga hawalipi kodi hawa
@user-lq4yu5jj4i
@user-lq4yu5jj4i 10 күн бұрын
Kwan na huyu ni mfanya biashara
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 9 күн бұрын
ndo mana watz hamfanikiwi siku tatu tu serikali hii ya samia ingetoa jibu sasa wewe kama wewe kama si mgomo unafanya nini au utashika bunduki jinga wewe
@sk-wj9or
@sk-wj9or 10 күн бұрын
Hiyo mistari una copy and paste. Foolish man Hufai kua kiongozi kabisaaa umenunuliwa chip
@daudimchileg307
@daudimchileg307 9 күн бұрын
Viongoz kama huyu, hawana maana.
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 10 күн бұрын
Na serikari itaathirika pakubwa
@johncharles323
@johncharles323 10 күн бұрын
huyu fala kabisa yaani unaita wafanyi biashala wenzio wa puuzi pumbavu mjinga huyu ,
@user-fs6lp3op1x
@user-fs6lp3op1x 10 күн бұрын
Duuu hapana mtuu apo
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 9 күн бұрын
Fwafwa wewe jinga nenda uko ujui madai gani ulaaniweee na uzazi wenuuuuu falaaa wewe jinga weeee
@sk-wj9or
@sk-wj9or 10 күн бұрын
Hayo maneno kasema mkuu wa mkoa nauhakika gani wamesema wafanya biashara? Hilo la kutoa risiti ni kazi ya serekali. Kama serikalini wanaiba mamilioni mbona huyasrmi
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 9 күн бұрын
Ndio muondokee sio ubaguzi baba wewe mnawaibia
@dickisoniryoba3989
@dickisoniryoba3989 10 күн бұрын
Ndomana siku zote wa tz waendelei kwa sababu ya watu waina hii ..ko yeye ana akili kuliko watu zaid ya maelfu ya watu walio funga maduka ...narudia maneno ya chalamila ..😂😂 Ila tz ...kaz tunayo..?
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 10 күн бұрын
wewe unaongoza machonga ndo hao uwasemee acha wanaoonewa wajitetee.
@satarantonio3077
@satarantonio3077 9 күн бұрын
wewe mmachinga sasa sasa mlupe kodi mtoe liciti kama cuci muone
@hebronmwamwaja7660
@hebronmwamwaja7660 8 күн бұрын
Mpuzi wewe
@sk-wj9or
@sk-wj9or 10 күн бұрын
Ujinga mtipu unaongea
@gilbertmaganga9370
@gilbertmaganga9370 8 күн бұрын
Acha dharau unahita wenzako wapuuzi siasa nchi hii inatuletea shida
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 129 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 14 МЛН
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 153 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 35 МЛН
FESTO SANGA AIBUA SAKATA KARIAKOO | MGOMO WA WAFANYABIASHARA
9:47
MAPYA YAIBUKA WANAOFANYA SURGERY MATATANI ZAIDI KWA KIFO.
23:52
MKOJANI AMALIZA UTATA WA NDOA YA RINGO, ATOA WOSIA MZITO
8:19
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 129 МЛН