JPM ALIVYOWAKA KUHUSU MAKONTENA KUCHELEWA

  Рет қаралды 351,089

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Mwanza kusini inapojengwa meli mpya na ukarabati wa meli mbili MV Victoria na MV Butiama
Katika ziara hiyo rais Magufuli ametoa siku nne kwa wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano kuhakikisha kontena 58 zilizokwama bandarini zenye vifaa vya ujenzi wa meli mpya inayojengwa ziwa Victoria yenye uzito wa tani zaidi ya 3000 pamoja na chelezo
“Mmesema zimekaa zaidi ya siku 30 zinasubiri nini na mimi nataka vifaa vifike hapa,nataka umpigie katibu mkuu wako umwambie vifaa vinafika lini” Rais Magufuli

Пікірлер: 289
@shankalimauno5786
@shankalimauno5786 5 жыл бұрын
kichwa cha magufuli kinafanya kazi kama computer mungu akulinde na akubaliki sana.
@yasinibakari830
@yasinibakari830 5 жыл бұрын
Tanzania mpya inaonekana sasa, hongera Mh Rais JP Magufuli
@sheilalolila2233
@sheilalolila2233 3 жыл бұрын
We gonna miss this man. Mungu we ndiyo ujuaye rip
@wailesdeus3764
@wailesdeus3764 5 жыл бұрын
Huyu ndio tulikuwa tunamtaka president wetu
@alihamad3999
@alihamad3999 5 жыл бұрын
Y
@peterkyese4516
@peterkyese4516 5 жыл бұрын
Nitakupankura yangu mm Anna Peter kwa jeruf kubwa nakupenda xanaaa magi
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 5 жыл бұрын
Wenye Mamlaka msaidie Mh. Rais, punguzeni ukiritimba. Mnampa kazi nzito sana
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 5 жыл бұрын
UYU NDO RAISI BUANAA,,, YAAN AM PROUD OF U MAGUFULI MY PRESIDENT
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 5 жыл бұрын
Safi sana, , WATANZANIA SISI BILA KUSUKUMWA HATUENDI
@tumainipeter6713
@tumainipeter6713 5 жыл бұрын
Hisan Mwakijungu Sijui kwa nini
@mumbasag679
@mumbasag679 5 жыл бұрын
Kweli kaka
@antoinea.katembo5326
@antoinea.katembo5326 5 жыл бұрын
Hisan Mwakijungu kabisa
@f.a6043
@f.a6043 5 жыл бұрын
Kweli kamanda hapo umesema
@anelkaking9342
@anelkaking9342 5 жыл бұрын
Umeoona eeeh?watakoma saii.
@imransalim6352
@imransalim6352 5 жыл бұрын
I don't see any reason for an election just let Mr Pombe magufuli be always a president for Tanzania
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 3 жыл бұрын
Kafanya kazi kubwa huyu mzee
@athumanizaidi8560
@athumanizaidi8560 5 жыл бұрын
Muheshimiwa Rais nakuomba ugombee Uraisi mihula mitatu nitakupigia kura.
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Mna tia stress mzee wa watu na alikua likizo kukaa na Mayo wake
@conkyanick7247
@conkyanick7247 5 жыл бұрын
mjomba magu kula yangu umepata 2020 panapo uhai
@richardgirgis4302
@richardgirgis4302 5 жыл бұрын
Siyo kula sema kura
@elinahdaudi8195
@elinahdaudi8195 5 жыл бұрын
@@richardgirgis4302 🤣🤣🤣🤣🤣
@antoinea.katembo5326
@antoinea.katembo5326 5 жыл бұрын
Apewe kura zote za mwaka wa 2020, na mie nitashindwa kumshangaa mpuuzi yeyote yule atakae jifanya kugombea uraisi 2020 dhidi ya hilo jembe (magu)!!!
@saidseleman6004
@saidseleman6004 5 жыл бұрын
Yangu na make wangu nampa kura
@eliankya3272
@eliankya3272 5 жыл бұрын
Bado kuna wajinga wamekaa eti wanajadili namna ya kumtoa wiki hii tunategemea kupokea sement apa moshi kwa tren MUNGU atupe nini jamani
@zakayomoshi1270
@zakayomoshi1270 5 жыл бұрын
Elia Nkya Duh kwel au
@ernestkimati9762
@ernestkimati9762 5 жыл бұрын
Hili jembe langu, naendelea kuna tu,kura za familia yangu nilishamkabidhi jamaa nasubiria shelehe ya kuapishwa
@nadyahassan7924
@nadyahassan7924 5 жыл бұрын
na kukubali sn baba toka uingie madarakan Tanzania yaonekan bhan asie kubali huyo ni mchawi wk pigan2 rais wetu huwez pendwa na wote nataman uendele kuongoza
@nelsonsimtowe4268
@nelsonsimtowe4268 5 жыл бұрын
Mungu katupa raisi daaah magufulification oyeeeh😍😍😍😍
@levyalphayo1164
@levyalphayo1164 5 жыл бұрын
Ongera sana baba
@edwinfweni
@edwinfweni 5 жыл бұрын
Magufuli n hero wa Tanzania #thank you God for giving us huyu raisi
@boniphacetabu2903
@boniphacetabu2903 5 жыл бұрын
Kama umemuona mchina anapanic mbele ya JPM gongalike 'Are you sure' naye anajibu "Are you sure'' HAPA KAZI TU
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 5 жыл бұрын
Hahahahahaaaaa, mie nimecheka sana kidogo nife
@mathayojohn5440
@mathayojohn5440 3 жыл бұрын
Hahahahahah alipanic maskini, r.i.p mugu
@kassimkassim5013
@kassimkassim5013 5 жыл бұрын
hongera saana muheshimiwa rais kwa kutatua tatizo la meli ubarikiwe
@erickpaschal1639
@erickpaschal1639 5 жыл бұрын
Live long the King of Tanzania
@zahiremiliano2485
@zahiremiliano2485 2 жыл бұрын
i dont mean to be off topic but does someone know a method to log back into an instagram account..? I stupidly forgot the password. I would love any assistance you can give me
@finneganzahir6598
@finneganzahir6598 2 жыл бұрын
@Zahir Emiliano Instablaster ;)
@zahiremiliano2485
@zahiremiliano2485 2 жыл бұрын
@Finnegan Zahir thanks for your reply. I found the site through google and Im in the hacking process now. I see it takes a while so I will reply here later with my results.
@zahiremiliano2485
@zahiremiliano2485 2 жыл бұрын
@Finnegan Zahir it did the trick and I now got access to my account again. I'm so happy! Thanks so much you saved my ass!
@finneganzahir6598
@finneganzahir6598 2 жыл бұрын
@Zahir Emiliano No problem xD
@kandidosamwel3030
@kandidosamwel3030 5 жыл бұрын
Mchina anaulizwa nae anauliza ama kwel maguu noma sana mchina hadi anajichanganya?
@mwamengele
@mwamengele 5 жыл бұрын
Sio mchina huyo ni mkorea, wewe tukikuita mhutu utafurahi
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 5 жыл бұрын
Mengele Ugulumo sasa alikuwa ajuw mbona unahasira mhutu iyo vepe kwan mrwanda uyo
@saumukaisi3996
@saumukaisi3996 5 жыл бұрын
Aisee huyu ni komandoo👏👏👏👏👏
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 жыл бұрын
Magufuli Jembe!! Mungu Alitupa Magufuli kwa kweli.Asante sana Roho Wake Mungu wetu
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 5 жыл бұрын
😂😂😂😂magu ww atare jamaa anapiga simu anatka aanzishe story eti ww muulize vifaa vinakuja lin magu atare
@imanuelysangas8977
@imanuelysangas8977 5 жыл бұрын
😂😂😂
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 5 жыл бұрын
max uyo ndio Rais mzee 😀😀no kulemba
@joromimwanga3274
@joromimwanga3274 5 жыл бұрын
kweli kabisa
@rickrosswabongo4116
@rickrosswabongo4116 5 жыл бұрын
Jamaa anataka alete salamu...ooh umeshindaje...umeamkaje😂😂😂😂
@anelkaking9342
@anelkaking9342 5 жыл бұрын
Nimecheka mpaka basi.watakoma saii.
@jumamkokota9484
@jumamkokota9484 5 жыл бұрын
Huu ndio uongozi unao takiwa chapa kazi mkuu wangu ongera sana mungu hatakulipa
@leonarldkayombo9906
@leonarldkayombo9906 5 жыл бұрын
janja janja hao mzee nyoosha
@julessebintu6525
@julessebintu6525 5 жыл бұрын
Nakupenda sana mweshimiwa MAGUFULI. Mimi mukongo lakini tanzania mungu aliwapatia Rais muzuri
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 5 жыл бұрын
Mbowe Kwa utendaji huu wa Magufuli Mwambie LISU ASUBIRI 2020
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Hao ni midomo tu. Hawana lolote
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀we manyota !! duuh
@user-zj3ke9gc2u
@user-zj3ke9gc2u 5 жыл бұрын
Hata luwasa asinge weza ange kufa mapema
@mumbasag679
@mumbasag679 5 жыл бұрын
Ahsante kaka, ngoja atunyooshe
@sanyolee1396
@sanyolee1396 5 жыл бұрын
Kabisa kwanza kashakuwa mlemavu yulee
@rickrosswabongo4116
@rickrosswabongo4116 5 жыл бұрын
Kwanini hukuerewa tangia nirivyokuteua?!😂😂😂 Hakuna haja ya uchaguzi jamani. Hizo pesa ziende kwenye miradi ya maendeleo. Huyu ndio rais wetu wa kudumu
@f.a6043
@f.a6043 5 жыл бұрын
Salute Mr President GOD BE WITH YOU
@avelinamagesa4131
@avelinamagesa4131 5 жыл бұрын
Akhsante mungu kwa kutupa mkomboz wa nchi!!! tunakuombea Ufanye kazi kwa hekima ya mungu!
@badpblame9694
@badpblame9694 5 жыл бұрын
Our lovely presdaaa
@enockoward2656
@enockoward2656 2 жыл бұрын
When I see what is going on now Daaa!! GOD SAVE MY COUNTRY
@Subaruleone69
@Subaruleone69 5 жыл бұрын
😂 😂 😂 Mchina amepaniki.. Tungekupata wewe Kenya.. Walahi
@mwamengele
@mwamengele 5 жыл бұрын
Hakuna mchina hapo
@sheikhasalim9124
@sheikhasalim9124 5 жыл бұрын
Ha mimi naomba atokee Raise kama huyu kenya kume oza sehemu zote
@ramadhansesala4891
@ramadhansesala4891 5 жыл бұрын
Mm naona huyu Mh Raisi Aendelee tu kuwa Madarakani mpaka Mwenyez Mungu Akimuitaji Maaana sizani kama Atakuja kama Huyu tena
@demenicamlewa1922
@demenicamlewa1922 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka.
@juliethrushuli488
@juliethrushuli488 5 жыл бұрын
I love my president confidence!
@geopolitics94
@geopolitics94 3 жыл бұрын
Rest in peace my President 💔😭
@mahijakapingu395
@mahijakapingu395 5 жыл бұрын
ManshaAllah baba Allah akupe umri mrefu uwe Rais tena
@eliaspeter4017
@eliaspeter4017 5 жыл бұрын
Nahisi bado baadhi ya watendaji wa serikali speed ya our lovely President JMP hawaiwezi, they should change in positive attitude
@rehemayona5807
@rehemayona5807 4 жыл бұрын
Mungu akupe afya njema na maisha Marefu Baba.
@petermim
@petermim 5 жыл бұрын
Adi mchina anaogopa, I sure by March😀😁😀😀😀doh# kingereza kikaondoka
@rodneyford88
@rodneyford88 5 жыл бұрын
This President is something else..Mungu ampe maisha marefu.
@marykuhanga9424
@marykuhanga9424 5 жыл бұрын
Amen!!
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 жыл бұрын
Nyoosha nchi anko hatutak mazoea
@naomijuventus5436
@naomijuventus5436 5 жыл бұрын
Naendelea kusubili
@ibravalentinokaba1397
@ibravalentinokaba1397 5 жыл бұрын
Nakupenda sana rais wangu mungu akulinde sana Mzee Magu
@juliasbeda2894
@juliasbeda2894 5 жыл бұрын
Kazi tu kwa kwenda mbele kiboko ya wavivu i love u President Magufuli . Mafisadi ,wazembe hatuna nafasi nao ..waongew sisi kazi tu kwa kwenda mbele wametuchelewesha Sana ..utaacha Sana legacy Sana Mh. Magufuli utakubukwa daima in this Nation ..Machozi huwa yananitoka since you were elected 2019 unatubless sana
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 5 жыл бұрын
Nimeskia ushuzi umewatokaaaa😊😊chezea mjomba magu weee fayaaa👐👐
@maalimrajabu1634
@maalimrajabu1634 5 жыл бұрын
Huyu ndie rais tulikuwa tunamuhitaji tanzania mungu akubariki sana mkuu wetu
@gastonamnon7005
@gastonamnon7005 3 жыл бұрын
DAA R.I.P JPM (ZILE KAULI ZA UNAJUA ME NANI ZINAWEZA KURUDI😭😭😭😭💔💔💔🕊🕊)
@daudmwaipasi5672
@daudmwaipasi5672 3 жыл бұрын
Kweli aisee mbona zimeanza
@apolinaryprimus5542
@apolinaryprimus5542 5 жыл бұрын
Milolongo tija na maelezo mareeeefu ndio inatukwamisha!!! Vingreza kibaaaao!!! MyPresident MyHero!!!!🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@swahilitheafricantongue7041
@swahilitheafricantongue7041 5 жыл бұрын
Moto wa huyu mzee haupoi. Salute kwako Mr. President
@hassanikigongo2286
@hassanikigongo2286 4 жыл бұрын
TANZANIA ya viwanda ina hitaji good operators na master mind kama hawa salute mheshimiwa president
@johnjackson4363
@johnjackson4363 5 жыл бұрын
Hapa kazi tuu. Mliozoea kukaa maofisini kazi mnayo
@seifumgaza283
@seifumgaza283 3 жыл бұрын
tutakukuka bb
@yohanadeus1292
@yohanadeus1292 2 жыл бұрын
We miss you BABA JPM
@abuumariam4602
@abuumariam4602 3 жыл бұрын
Tusha kumis Rais wetu Mungu kulaze pema😭😭😭😭😭
@danielmatiku5602
@danielmatiku5602 5 жыл бұрын
😂😂😂 are you sure by March
@togolaninyika9800
@togolaninyika9800 5 жыл бұрын
Tangu leo natubu kuwapa ukawa kura yangu..... Hakika Magu ni chaguo la Mungu.
@barakanassoro3503
@barakanassoro3503 5 жыл бұрын
😁😁😁😁 Daniel
@danielmatiku5602
@danielmatiku5602 5 жыл бұрын
@@barakanassoro3503 are you sure by March??😅😅😅
@barakanassoro3503
@barakanassoro3503 5 жыл бұрын
@@danielmatiku5602 Naona Leo tumefurah kwa pamoja na hiyo clip hasa Happ😁😁😁,,, vzr sn tupo pmj🙏
@danielmatiku5602
@danielmatiku5602 5 жыл бұрын
@@barakanassoro3503 pamoja sana ndugu.🤝
@deustutu1162
@deustutu1162 5 жыл бұрын
M2 kaz hapa had wakuelewe saf Sana hongera mkuu
@zainabuahmed5910
@zainabuahmed5910 5 жыл бұрын
ARE YOU SURE BY MARCH? mchina kauwa kiingereza mgeuzo
@mwamengele
@mwamengele 5 жыл бұрын
Mkorea sio mchina
@juliustanzania8990
@juliustanzania8990 5 жыл бұрын
Anko Magu: "are you sure by March?" Mkandarasi: are you sure by March?" Dah mbavu zinauma kwa kucheka.
@antoinea.katembo5326
@antoinea.katembo5326 5 жыл бұрын
Miracle of Compost vibaya mno zangu mbavu mie!!!
@mussahussen2075
@mussahussen2075 5 жыл бұрын
Miracle of Compost ñ
@nadiahussein5892
@nadiahussein5892 5 жыл бұрын
Magu oyeeeeeeeee eti we katibu mkuu ujambo lazima mkome manina
@mdomani2404
@mdomani2404 5 жыл бұрын
Kaka yangu alisingiziwa kesi butimba mwanza gerezan kasototaaa weee jaman iyo ziyara ya mh. Juz mwanza kaka yang kaachiwa huru Hana kesi so alionewa jaman najiproud kuwa mtanzania a na asnte mung mlinde Rais wetu🙏🙏
@masudijahazi
@masudijahazi 5 жыл бұрын
Straight to the point approach
@mohdjuma3513
@mohdjuma3513 3 жыл бұрын
Dah imezima taa🔥🔥
@thomasapolinary4966
@thomasapolinary4966 5 жыл бұрын
Me natakaga mendeleo sio ushabiki wa vyama ...hongera raisi wangu mungu akuvushe.
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 5 жыл бұрын
Ukiona hautosh mshahara nenda ukalime! kama nawe umesikia gonga like jamani.
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 5 жыл бұрын
Mungu awe kiongozi wako mh rais wetu tuokoe baba
@athumanomary1171
@athumanomary1171 5 жыл бұрын
Asante san baba yetu asante san kiongozi wetu asante sana raisi wetu raisi wetu mwenyezi MUNGU yupo pamoja nawe
@rodneyford88
@rodneyford88 2 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima Rais wetu RIP
@leonardemmanuel9249
@leonardemmanuel9249 5 жыл бұрын
Sioni zile komenti za kukosoa ,zimefia wapi ,nipeni like kama tupo pmj
@lawrenceguyali1099
@lawrenceguyali1099 5 жыл бұрын
MAGUFULI: Are you sure by March???????? MKANDARASI: Are you sure by March............>>>>>>>>>>>>>> Ha haaa. Mbavu sina.
@mywater6796
@mywater6796 5 жыл бұрын
wachina hawafahamu kingereza vizuri wanapenda sana lugha yaoo
@lawrencejohnson5537
@lawrencejohnson5537 5 жыл бұрын
Hhhahaahhah
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 5 жыл бұрын
Love you El Jefè! I don't care what anyone says
@princekassim4089
@princekassim4089 5 жыл бұрын
Respect 🔥
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 5 жыл бұрын
Ingekuwa wale wanaume waliojenga mbuguni mererani na meli wangekuwa wanajua kutengeneza bila shaka sasa hivi zingekuwa ziliishaanza kazi
@prospermakela7791
@prospermakela7791 5 жыл бұрын
Sure
@israelimjema5001
@israelimjema5001 5 жыл бұрын
Mzee magufuli unatufurahisha xana wananchi unapozibiti hapo bandarini xafi xana 2020 naishirini huna mpinzani ccm oyeeeeeee.
@abujuhaifah7461
@abujuhaifah7461 5 жыл бұрын
Mchina antera mpaka ankosea kiimombo nakukubali mh Rais ww ni nchi yako mngurumiee yyt mweupe mweusi akixingua fukuza
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 5 жыл бұрын
Hahahahaha huyu magufuri ni hatari hahahahaha kwanini hukuelewa mapema???
@gulamnanji5747
@gulamnanji5747 5 жыл бұрын
Mkuu hongera sana hapa kazi tu
@RioIpo
@RioIpo 5 жыл бұрын
Dah sijutii kukupigia kura anko Magu
@lordsmenas3267
@lordsmenas3267 5 жыл бұрын
Are you sure for March 😁😁😁
@martinrioba3274
@martinrioba3274 3 жыл бұрын
R.i.p my president
@tumainbeatus3282
@tumainbeatus3282 5 жыл бұрын
Ivi chama pinzani kinataka mabadiliko gani? Piga kaz mzee baba, mm na familiar yangu tunakupenda Rais wetu
@bwiganeafwene1039
@bwiganeafwene1039 5 жыл бұрын
Much much much much much much excellent Hon president
@raibethnicholaus1493
@raibethnicholaus1493 3 жыл бұрын
Nipo huku nachukua madini ya mzalendo wangu
@hanifawaliya7976
@hanifawaliya7976 5 жыл бұрын
mzee wa watu alikuwa likizo kapumzika....mnampa stress baba yetu bwanaaa
@debbiemwaijande7082
@debbiemwaijande7082 5 жыл бұрын
Are u sure by march?😅😅 are u sure.
@mywater6796
@mywater6796 5 жыл бұрын
kwanini hukuelewa mapema tangu nilivyokuteua 😂😂😂😂😂
@ernestkimati9762
@ernestkimati9762 5 жыл бұрын
Nilisha sema na kueleza watu kwamba, no one can be like dis guy, he sometimes made some difficults decision! God bless dis guy,he is fighting for every tz people. Mtu punguani,hajui na atapuuza maelezo haya,serikali za ya awamu ya......ilikuwa tete kabisa ilifika mahali ikawa haina cash,mishahara yetu hadi ilikuwa inaenda kopa kwa mabizinesigayizi! Leo hii,kila MTU anakula usawa wakamba yake kwa position yake. Mungu amubaeiki huyu mzee
@dannyosolo2752
@dannyosolo2752 4 жыл бұрын
Huyu Ndie Rais wa ukweli
@tumpiliksye
@tumpiliksye 5 жыл бұрын
Shikamoo Magu
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 5 жыл бұрын
My president forever I don’t need another president your too much for me🙏
@zenj1986
@zenj1986 3 жыл бұрын
Kama ulijua muda uliyopewa ni mdogo ndio maana uliumia sana kuona kazi inachelewa. Tanzania itakukukumbuka
@fauswalidauda8958
@fauswalidauda8958 5 жыл бұрын
Jpm wewe kiboko njo na BBT WATU WAMEJIMILIKISHA MAMAGODAUNI YAKUTUNZA MAZAO KINYUME NA TARATIBU
@masundelwa
@masundelwa 3 жыл бұрын
Alikua hapendi ubabaishaji
@nsabimanadominique3907
@nsabimanadominique3907 Жыл бұрын
AFRICA WILL NEVER GET ANOTHER PRESIDENT LIKE MAGUFULI
@piushappyness226
@piushappyness226 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana wanafanya kusudi mbuvu zao
@gracemima5234
@gracemima5234 5 жыл бұрын
Watanzania tumushukuru Mungu, na uvivu wetu bila Rais kama huyu Tanzania isingeendele kabisa. Anajaribu, anafanya kazi kwa roho moja. Hatujaona Rais kama huyu. Kazi anayofanya ni ngumu ikiwa pamoja na kupigwa vita ndani ya CCM na wapinzani. W amuache Rais awafanyie kazi Watanzania
@mkumbosamson7981
@mkumbosamson7981 2 жыл бұрын
2022 the greater leader
@alhajbakary7337
@alhajbakary7337 3 жыл бұрын
Kazi
@rodgermdes1307
@rodgermdes1307 5 жыл бұрын
Daaaaaaaaaaah! I wish all the best my president god bless
@enggismailali1700
@enggismailali1700 5 жыл бұрын
Kwann hukuelew mapema tangu nilivokuteua 😂😅🤣We ndo raisi wetu tunaekukubali
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 5 жыл бұрын
Safi sana anko magu
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Ni kama bodyguard wa Magu ni Muislam
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 5 жыл бұрын
Hibo Muslima anasijida imetulia MASHAALLAH
@emanueljtluway1265
@emanueljtluway1265 5 жыл бұрын
Haijalishi awe mwaislam au mkristo
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
@@emanueljtluway1265. Ndio nime ona hana ubaguzi kabisa wa dini au kabila
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
@@hassanmirambo564 . Yes ndicho kilicho nifanya niajua ni Muislam tena sio Uislam jina manake Sijda ndio alama ya Muislam hata kama ata vaa mavazi gani
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 5 жыл бұрын
Emanuel JTluway haijalishi awe muislam au mkristo ndio nini sasa mbona wenye dalili za ushoga mko wengi vipi
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
Rais Magufuli alivyokata tiketi na kupanda Pantoni leo
4:05
Millard Ayo
Рет қаралды 824 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 149 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 28 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
25:00
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 1 МЛН
Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla Wizara ya fedha Nov. 6, 2015
14:29