Wabunge anzeni kulipa kodi, tutapata Trillion 1.2 kwa mwaka
@deogratiusyudatadei56583 ай бұрын
Kumbeee 😂
@user-md7ug5dd9r3 ай бұрын
Hivi halipi kodi ? Kama ni hivyo itakuwa niuonevu mkubwa
@naturelle10973 ай бұрын
Pamoja na mabalozi
@MatronaThomas-wz5si3 ай бұрын
Wallah mbunge una maono Bima ya Afya ni muhimu sana na Afya ni uchumi Tafuteni vyanzo kama tozo simu mafuta vinywaji nk Asante baba
@fatimahants15263 ай бұрын
Bima ya afya imekuwa mateso kwa wananchi, hongera sana mheshimiwa shabiby kujuwa changamoto watu hali ya chini ni mtihani mkubwa
@Mpakele3 ай бұрын
Shabib umewatetea sana wananchi. Hongera kwa ushauri wa kina juu ya chanzo cha kudumu cha chanzo cha bima ya afya kwa wote
@burkardkayombo46083 ай бұрын
Upo vizuri MH. Shabibi Bima kwa wote, isiwe njia ya kupruni Watanzania.
@jurdanforwardersltd14603 ай бұрын
SHABBY upo sahihi sana umetoa wazo zuri sana ambalo serikali walifanyie kazi itapatikana pesa nyingi sana.
@richardrugemalira69343 ай бұрын
Mheshimiwa SHABIBY Mungu akubariki kwa hekima na uzalendo wako wa kweli. Inasikitisha kuwa na wizara isiyo na ufahamu wa hali halisi ya wananchi wetu
@godsonkilua77383 ай бұрын
Kweli Mbunge wangu umekomaa kisiasa , hongera Sana kwa mawazo mazuri bima ya afya Ni pasua kichwa Hali ya maisha Ni mbaya hakuna mtu anaependa kufa kwa kukosa bima. Mungu akubariki kwa kupeleka kilio chetu bungeni tutakuchagua Hadi useme po. Huo ndio utetezi wa wananchi siyo kupigapiga mameza Hadi mikono inakuwa na sugu kwa hoja za wenzio.
@jeremiahngoka49803 ай бұрын
Upumbavu mtupu.Wataiba pesa zetu
@kadokemarco99663 ай бұрын
Hapo nimekuelewa Shabby 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@mathiasmuhochi4353 ай бұрын
Good idea....tulifanyie kazi wazo lake
@philemonmbalwowa56193 ай бұрын
Asante Mh. Ubalikiwe.
@RosemaryPeter-hc6ts3 ай бұрын
Umezunguza ukweli mtupu Mungu akubariki maana umezungumza kwa niaba ya watu wa hali ya chini Tunakushkuru
@innocentmleli11963 ай бұрын
You are very clever, May God protect you.
@SilasMollel-mp9ib3 ай бұрын
Safi sana hawa ndo wabunge wa mfano..anaongea fact tupu..mungu akubariki kaka shabiby
@ce-083 ай бұрын
Sasa hapo c wamebadilisha mfumo kutoka kukutoza kwa cash kuja kukuchukulia kwenye layn sasa c waseme tuchukue kwenye migodi huko au utalii au wabunge waanze kulipza Kodi itumike kwenye bima
@prorwega3 ай бұрын
Well said mbunge Shabib I am admiring you.
@eliasjoseph88303 ай бұрын
Hongera sana mbunge shabibu uko sawa hicho serikari itafute chanzo Cha pesa ilikuwasaidia wananchi wake bima
@user-vc8cc2pt7n3 ай бұрын
Shabby shabby shabby mungu akubaliki sana Kwa michango wako mzuli tunaitaji wabunge km wewe hongera sana ilitakiwa uwe wazili kbs
@Azikiwe-qi6jd3 ай бұрын
Unazingua, kwa mafaoo yote ya spika hilo haliwezekani
@user-pm5hw8mf7s3 ай бұрын
mheshimiwaa uko sahihiii kabsaaa,, inaonesha unayajua maishaaa halis ya waTz
@santinosabugo21143 ай бұрын
shabiby akili nyingi sana Wana gailo mna jembe hapo mjengoni wengine kazi zao kusinzia
@ce-083 ай бұрын
Angesema wabunge waanze kulipza Kodi ndyo tutapata pesa za maana
@ibraimnikolaus97023 ай бұрын
Serikali ilifanyie kazi wazo hili ni nzuri
@DennisDidas3 ай бұрын
Wazo zuri sana. Ukitaka kujua uzuri wa wazo hili angalia hali za watu kwenye vituo vya afya.
@femexpress78573 ай бұрын
Mh. anaongea vizuri sanaa. Mimi ningependa kuchangia kwa kusema kuwa, wananchi hali yao ya maisha ni ngumu sana. lakini pia watu wakuchangia hizi bima za afya wapo sana, maana watu wakitoa hizo hela kama kweli zitasimamiwa vizuri basi hata wale wasiokuwa na uwezo wanaweza kutibiwa kwa kutumia bima za afya hizo
@user-dh8gj1dt6x3 ай бұрын
Safi sana kamanda,karibu mbarali utete anyone,pia bima ni nzuri ila tatizo ni dawa hazipo!
@elijuskikoto3923 ай бұрын
Mwarabu wa Gailo huwa nakukubali Sana
@user-qr7kj3bf9q3 ай бұрын
Hongera mshimuwa shabiby
@samwelikangambili48313 ай бұрын
Hongera Sana mbunge kwa maono yako itakuwa mkombozi kwa wa Tanzania
@bulunjamalimikulwa48763 ай бұрын
Safi mwenyewe nimemuelewa, changamoto kwetu sisi ni kupinga Kila kitu tukisikia pesa tu.
@user-rv2gb2gi7q3 ай бұрын
Mbunge shabby Yuko sahihi mawazo yake yafanyiwe kazi hongera sana
@user-ey8bo5iw9y3 ай бұрын
Tatizo uwo mfuko wabima serikali inaukopa mbaya zaidi hailipi na je tukianza kata 2000 kwa kila raia tunauhakika gani zitakuwa salama
@ahz69073 ай бұрын
@@user-ey8bo5iw9yni namna fulani ya kuufisadi mfuko.
@emazacharia44553 ай бұрын
Yaan bima ya afyaa imekuwa n mateso mateso Kwa wananch ..Kwa utajir wa Mali zet watanzania bima ingelkuwa bure Kwa Kila mwananchi😢
@raphaelmkosamali10563 ай бұрын
Je,wabunge mkilipa kodi tutapata sailingi ngapi?
@user-zu5ee3qe6u3 ай бұрын
Hata uingereza ni mfumo huo huo again good thinking
@wilfredaxwesso73943 ай бұрын
Si rahisi kuvaa kanda bili hata kama akitoka kwenye kiti kwani wako na stahiki nyingi baada ya kustaafu.
@rich-lr8tq3 ай бұрын
wenye laini zaidi ya moja mtakoma, watumishi wa serikali pia watakatwa mara mbili au tatu na zaidi
@mcsukerpapaa88173 ай бұрын
Wazi zuri, nasi tunaomba kila anayemiliki Mabasi na Malori, ktk kila route akatwe tsh elfu 10. Na wenye Madaladala wakatwe tsh elfu Tano kwa siku. Nawasilisha hoja Spika.
@geophureysamsoni50333 ай бұрын
Safi sana baba mngu akuone
@jahululamasunga3 ай бұрын
immaculate contribution MP Shabiby
@rashidhtibangayukatibangayuka3 ай бұрын
Hongera shaving
@godfredkimaro32923 ай бұрын
Ukiacha kumtoza mwananyi pesa taskinu alafu ukamtoza kwenye simu c umebadilisha njia ya utozaji ila utozagi upon pale pale.minashauri hela itozwe kwa gesi madini utali nakazalika
@AloicemaikoNgakuro3 ай бұрын
Hongera sana shabby iyo ndio ukweli
@KhatibTmk3 ай бұрын
Mhe Shabiby chukuwa 💐🌼🌺 yako
@emmanuellaizer48083 ай бұрын
Bunge mko vizuri bima lazima ila iwe inayotumika mikoa yote popote unapokutwa na homa
@AwardHakimu3 ай бұрын
Bima hizi hizi ambazo wanazichukia wahudumu wa afya au Kuna zingine
@devissyprian15263 ай бұрын
naomba mawazo ya Shabiby yafanyiwe kazi plz naomba sana
@TheNichym3 ай бұрын
Kwa nini aseme tutumie mgodi mmoja wa dhahabu kwa ajili ya bima?! Au Tanzanite yote ya Arusha mapato yake yapelekwe kwenye bima na afya?! Ni ufinyu wa fikra kufikiria kuwakamua wananchi zaidi ya sasa, badala yake rasilimali za nchi hasa madini, mafufa na gesi vitumike vizuri, tutafanikiwa kwenda mbali, badala ya kuwaongezea ugumu wananchi na kuichukia serikali
@JonhYusuph3 ай бұрын
Nice
@user-dk8uf8ho9s3 ай бұрын
Mbunge mahari sana. SAMIA mpe huyu Ahmed uwaziri wa biashara.jamaa ni smart sana
@lovemusicnoreen91853 ай бұрын
SHABIBY WILL ALWAYS BE SHABIBY AKILI KUBWA
@yateramadavaathumanmmbaga77763 ай бұрын
Mswada walihangaika nao miaka 2 unaeakebishwa hauwekwi hadharani baadae wakaupitisha sasa hayo anayoyaongea ambayo ni mambo mazuri alitakiwa ayaongee kabla muswada hawajaupitisha ili ukipitishwa kila mtu anaufarahia. Anyway, mawazo hayo yafanyiwe kazi tena haraka maana tumechelewa sana
@ahz69073 ай бұрын
Ilitakiwa waanze na wananchi kupata mawazo yao.ila kama kawaida wao wanajiona wana akili sana na wajuaji ndipo mambo mengi hugoma. Hata zile tozo za simu walifeli.
@richardrugemalira69343 ай бұрын
True CHAMPION of the poor whom are the majority in TZ.
@user-rm8gp2kr9i3 ай бұрын
Mwenye shibe ham jui mwenye njaa😂😂😂
@ziadakayoyo73103 ай бұрын
Umeongea suala la mbolea sana. Safi.
@harsoshelezi46583 ай бұрын
ZIBAKI ZA RUFAA TU KWASABUBU NDIKO MNAKO KWENDA.
@jumaruhinda41093 ай бұрын
Uko sawa sana
@VarerianRichardi3 ай бұрын
Baba hongera
@YusufSwaibu3 ай бұрын
Mheshimiwa uko vzr Sana ila tatizo mfumo ila ingekuwa Jambo jema uwajibikaji itaongezeka
@jumamhando39923 ай бұрын
Mm nilijua atashaur matajir wote wa Mabas wakatwe lak Kwa Kila mwez na wabunge walipe kodi Tena wawe mfano wakatwe asilimia 25 ingesaidia bima vzr
@gideonmwaweza81773 ай бұрын
Baba ongera kwa wazo nzuri
@gladyssembojas53083 ай бұрын
Huyo ni muheshimiwa kama muheshimiwa Shabiby
@farajiissa87473 ай бұрын
Akika imekaa vizur ifanyiwe tu kazi nafikri fraha itakuwa kwa hawa watu
@BotulphusAugustineАй бұрын
Uko sawa
@user-dh8gj1dt6x3 ай бұрын
Mungu awe nawe,hiyo ndio sera halisi ya ccm, chapa kazi wanyonge wote tz wapo nyuma yako!
@jacksonsilaa4153 ай бұрын
Mr Shabby mawazo yako hebu andika andiko ili na wengine wausome kwa manufaa zaidi kongole sana kiongozi.
@wenseslausjoseph17493 ай бұрын
Chanzo cha pesa ni jambo moja na matumizi sahihi ya hizo pesa ni jambo nyingine
@Ushauri2353 ай бұрын
Daaaa maoni mazuri sana mbunge
@inocentkaiza79623 ай бұрын
Hawez akavaa kandambili kwasababu uwakika wakuishi kwagharama ya serikali mpaka anazeeka upo namsharahara juu
@user-nk4yl7bw2h3 ай бұрын
Tunaitaji wabunge kamahawa wanaishauli selikali vituvya maana wengi bungeni wanarara tu nimzingo kwa selikali
@rashidhtibangayukatibangayuka3 ай бұрын
Nakupongeza SHABIB UKO VIZURI
@liberatusjackson50453 ай бұрын
Nikweli kabisa huna hera ustumie simuu
@linogracephord97853 ай бұрын
Unaongea vizuri sana, ila kuna maeneo mndewa ukuchanganya!
@user-yz1xq8xo8s3 ай бұрын
Ni kweli mwanike wa ukaya Ila wasitubague sisi maskini
Trioniii ehee😂😂😂😂😂 basi haya😂😂😂 jamani wanaichi hawa hawa au wengine hahahahaha kumbe kadi za simu zina pesa iv ehee
@premierevents95373 ай бұрын
Safi sana
@msevenfokoro943 ай бұрын
Mh..umeongea point sana lakin litatendewa kazi???😢
@user-dm3vh4br5f3 ай бұрын
Na biashara za watu binafsi zifutwe,mabasi imiliki serikali,maduka n.k.Hoja haijakaa vzr,vituo binafsi vinasaidia Sana.Serikali haiwezi pekee yake.
@barakaalfred14913 ай бұрын
Hakuna lisilowezekana, kuna vitu vingi serikali inavigharamia wakati havina impact kwa wananchi mfano ni vikao vingi kujadiri issues halafu matokeo yanabakia kuwa hasi kumbe ulikua mchongo wa posho.😃😄
@AmusedForestBridge-zo6ox3 ай бұрын
huyu mbunge anasema ukweli mtupu isipingwe kitu yoyote !!!
@chiefmajai93453 ай бұрын
Ni yaleyale ya mzigo wa tozo nchi itajengwa na walala hoi italiwa na wenye meno
@rehemakanyere41883 ай бұрын
Tunateseka saana
@user-wl8ej9qy5d3 ай бұрын
Bip up bunge
@user-ri1yr8ks7y3 ай бұрын
What's problem
@stevengeorgetibenda164720 күн бұрын
Mawazo yetu katika kupata mapato ya kuendesha nchi ni kuendelea kubuni kitu cha kumkata kodi mwananchi yuleyule licha ya kuwa anakatwa kodi nyingi kuliko inavyotakiwa ye anajua wafanyakazi wanalipwa mishahara mikubwa kama wao wabunge mpaka aseme wanakatwe 10,000 au zaidi?
@2003hintay3 ай бұрын
Hii bima wanaifanya kama bima ya magari watoto bima yao wanataka ipitie mashuleni na huko shule lazima watoto wafikie idadi ya 100 ndo ndio wasajiliwe. Kitu kigumu wengine hawataki na ni ngumu sana kufikia idadi hiyo mwisho wake watoto hawaangaliwi. Huko nyuma mtoto alikatiwa bima ya sh 54000/ ni kuwadhulumu kwa kweli. Hii wangeirudisha kwa kujali afya ya mtoto.
@yateramadavaathumanmmbaga77763 ай бұрын
Ni waheshimiwa wachache wenye moyo kama wako Ahmed Shabiby, Dr. Tulia bila kumsahau mbunge wangu Tony P. Mavunde, mhe. Wa makete, wazir wa fedha, mb. Wa igunga na wengine wachache, ndio maana Mungu anawabariki zaidi mnawajali sana wananchi wenu lakini wengi ni maneno mengiii lakini wanawakimbia wapiga kura wakiingia tu kwenye maeneo yao wanaweka tinted vioo vyote sijui wameshajua hawarudi au wanatumia ndumba kuingia mjengoni ila ndumba zina mwisho. Nawaomba tutafute muarobaini wa matibabu sawa kwa wananchi wote kama tulivyofanya kwenye elimu, likifanyika hili vizuri haki ya nani 95% ya wabunge mtarejea mjengoni
@yateramadavaathumanmmbaga77763 ай бұрын
Jamani hali ni mbaya sana kwa wananchi wa chini hata wenye uwezo kidogo wakifikwa na tatizo kubwa la ugonjwa uwezo unaisha mgonjwa akipona na familia imefilisika. Kuna bint alijifungua kwa upasuaji miezi 2 ilopita kigoma mjini akapata tatizo haja ndogo haitoki vizuri na inatoka na uchafu akawa anaishiwa damu baada ya siku 5 hali ilikuwa mbaya akapewa rufaa aende bugando. Kumsafirisha kwenye bus haiwezekani wakaambiwa watoe 1m gharama za mafuta, nesi na dereva ili ambulance impekeke bugando hali ngumu sana wakapunguziwa watoe laki 7 hawana lakini walijitokeza wasamaria ikapatikana kufika bugango wakapokelewa wakaambiwa watoe 1m ya kuanza matibabu hawana hata cent wakaambiwa wamuone afs ustawi jamii akawaambia watoe laki 7 tiba ianze kaki 3 itafutwe raratibu watu wakakamatana zikapatikana tiba ikaanza kagunduliwa figo inashida kubwa afanyiwe dialysis @ laki3 ilitakiwa afanyiwe mfululizo siku 3 then x2 kwa wiki kutokana na kukosa pesa wanafanta x1 kisha wakasake msaada ikipatikana ndo afanyiwe. Ni bora hospital wangemfanyia inavyotakiwa halafu pesa ije kwa kadri wanavyopambana matokeo yake sasa inakaribia miezi 3 mgonjwa bado hali mbaya na katoto hakajawahi kunyonya mama hata tone la maziwa hana yananunuliwa ya kopo na wasamaria wema. Nimeeleza kwa kirefu na kwa uchungu ili watanzania hasa wakubwa juu wajue hali ilivyo ili tutafute muarobani haraka NHIF tuokoe maisha na kutaabika wananchi. Mgonjwa aitwa Aziza miezi 3 bugando watu wamechanga ndg wameuza hadi mashamba hali bado tete.
@ColinMhema-ne3lz3 ай бұрын
Linaweza kuwa wazo nzuri tatzo pesa zikichangwatu tayari zinaingia kwenye makoti yenu
@DaheerK3 ай бұрын
Hakuna matusi apa hongera mkuu
@AmusedForestBridge-zo6ox3 ай бұрын
jamani watu wanatezeka sana kijijini madaktari wanaringa utadhani hospitali ni yao na madaktari hawana ukarimu na watu kabisa!
@rafikkarimomar82023 ай бұрын
Hi bima ya afya anaye taka naakate asiye na uwezo aendelee kama kawaida akalipe cash anapo kwenda kutibiwa
@kilimoufugajipesatv57513 ай бұрын
Kweliìiiiiìi
@josiacharles27783 ай бұрын
Mhmm kumbe umeongeea unamaliza kwa kutudanganya yani spika tembelee kandambili kachumbali apo mimi ntakua natembea uchi sasa😮
@kaidiSaid-ot9nl3 ай бұрын
Bima ni mpango wa kuwaibia wanachi ukweli bima haina nafuu kwa wagonjwa waulizeni wananchi waliopatwa na shida na wana bima. Kweli mbunge .
@mbwanakiting71803 ай бұрын
Sio kweli hospitali binafsi mil 2 ni laki 7 muhimbili laki 5
@JamalMshenga-ex5ui3 ай бұрын
Lipeni nyie mnojiongezea maposho kila mara- bac hata sie pangu pakavu mtukomoe. Mnachukua pesa kwenye vocha kisha mnatak kuongeza. Hy bn
@damsonwilson52023 ай бұрын
Hawa ndo watu wanafaaa kuwa Marais wa nchi hiiii point z uhakika
@harsoshelezi46583 ай бұрын
BIMA kiasili ni kamari ya afya ambayo haijawahi kuwa suluhisho. Ni tabia ya Ubepari kukosa huruma kwa raia. Pesa ni nyingi ikiwemo zile anazoona CAG zikiibwa, zikirejeshwa zinatosha na ziada kwa matibabu. Pesa za malipo kwa wabunge zishushwe hadi 55% na 45% iingie BIMA.
@saimonwantango95693 ай бұрын
Tozo za majengo tozo za mazao ya biashara yaendayo nje kama ufuta na korosho hela hizi ni nyingi sana ila hatujuiga zinaenda wapi kama mkulima
@willylwiza66653 ай бұрын
NI wazo zuri ila .Huyo maskini nae kaesabika katika hizo line .2000 anapita wapi simu simu yenyewe Hana anamiliki line
@siamuchunguzi3 ай бұрын
Wabunge na mawaziri nyie mnakatwa kiasi gani cha kodi ya maendeleo tafadhali, maana Tanzania ni ya ajabu sana. Watu wanapambana kuingia bungeni maana huko ndiko kwenye green pastures. Mngekuwa mnapewa mishahara kama wafanyakazi wengine hii nchi isingekuwa na matrilion ya maden, inauma sana napambana kijijini kulipa kodi kwa kila ninachonunua halafu anaenda kufaidi mbunge.
@ConfusedClogShoes-jq2tt3 ай бұрын
Katika siku zote mheshimiwa leo ndo umeongea mambo ya msingi ninaimani umeenda kuwatembelea uko vijijini umewaona watu wanavyoteseka
@azizakiswili90633 ай бұрын
Ukweli usemwe akili nyingi mbunge makini
@Hashimomary3 ай бұрын
Anataka kuwakamua wananchi,mbona ajasema wenye mabasi wachsngie?