MBUNGE SHABIBY AWAKA; "PESA YANGU, BASI LANGU, SERIKALI NDIYO INIWEKEE PESA, BIASHARA YA WAPI HII?"

  Рет қаралды 263,948

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

MBUNGE SHABIBY AWAKA; "PESA YANGU, BASI LANGU, SERIKALI NDIYO INIWEKEE PESA, BIASHARA YA WAPI HII?"
Bunge la Tanzania La Jamhuri Ya Muungano Leo May 17, 2021 Limeendelea Na Vikao Vyake Jijini Dodoma Ambapo Wizara Ya Miundombinu Na Ujenzi Imewasilisha Bajeti Yake Na Wabunge Wameendelea Kutoa Maoni na Ushauri Kwa Wizara Hiyo na Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ameiwakia serikali.....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 391
@geraldngwisija5034
@geraldngwisija5034 3 жыл бұрын
Hawa wasema ukweli ndio wanatakiwa kuingia bungeni.hongera sana shabiby
@rwehumbizajonathan8689
@rwehumbizajonathan8689 3 жыл бұрын
Mbunge Makini....Anatema Points Tupu. Salute sana Mheshimiwa.....kwa Wabunge wa Aina hii Upinzani lazima Wapate tabu kupenya.
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 3 жыл бұрын
Huyu Shabiby ni mfanyabiashara makini Sana.. hongera Sana Sana.
@fatimahants1526
@fatimahants1526 3 жыл бұрын
King of business.....🇴🇲🇹🇿 hongera sana
@chikuluchidodokochiitingan340
@chikuluchidodokochiitingan340 3 жыл бұрын
Umekulaa sanaa viazi ndio maanaa unaakili na hoja nzurii ho hongelaa
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 3 жыл бұрын
umeongea sana Mr shabiby mungu akuongoze daima kweli kuusu stand niaibu sana naisi hii changamoto IPO mikoa yote ilikua na stand mpya
@amanishoo1813
@amanishoo1813 3 жыл бұрын
Shabiby kachangia vzr km Mbunge sio wale wana mipasho hawana hoja wanasimama kupoteza muda tu
@danielbraitony9696
@danielbraitony9696 3 жыл бұрын
Kama unamuona anae umiza mikono gonga like
@petermushy9883
@petermushy9883 3 жыл бұрын
Kuna mwamba kalipwa na boss anapiga Kofi moja moja😁
@patrickKitambo
@patrickKitambo 3 жыл бұрын
hahahhahaha, yuko makini kwenye kupiga makofi
@mkingaboy550
@mkingaboy550 3 жыл бұрын
Umeona kumbe;😂😂
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 3 жыл бұрын
Noma sana
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀 Katoa taarifa kwa msisitizo
@eventelias3566
@eventelias3566 3 жыл бұрын
Anazingua
@izraelyherman4467
@izraelyherman4467 3 жыл бұрын
Safi sana shabiby serikali yetu imetengeza mianya ya wizi
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 3 жыл бұрын
shabiby mitano tena 👏👏
@simonsonelo1467
@simonsonelo1467 3 жыл бұрын
Safi Sana Shabiby kwa kuwatetea wanyonge
@salimbinargan9658
@salimbinargan9658 3 жыл бұрын
Qhongera muheshimiwa Ahmed shabiby nakukubali sana
@chogaissa1619
@chogaissa1619 3 жыл бұрын
Mbunge mwenye uwezo wa hali ya juu sana
@danielmpigasupi2212
@danielmpigasupi2212 3 жыл бұрын
Hongera sana Mhe.Shabiby kwa mchango wako mzuri umeongea uhalisia na ukweli uliopo. Suala la Stendi hizi kuwa mbali na miji zinatesa sana wananchi hasa wale wasiokuwa na uwezo!
@issaramadhan9937
@issaramadhan9937 2 жыл бұрын
Jazak Allah kheir Shabiby
@kasimramadhani1502
@kasimramadhani1502 2 жыл бұрын
Shabiby wewe ni kiongozi mcha mungu na mungu akupe afya na rizki..una moyo wa utu sana
@abdulaziz703
@abdulaziz703 3 жыл бұрын
Maa Sha Allah, Shabiby unaongeaga ukweli mtupu. Nilichogundua ni kwamba wanasiasa wengi ni wachumia tumbo. Wanaongea chochote ilimradi matumbo yao yajae bila kujali maslahi ya wananchi wengine.
@neemajoel5081
@neemajoel5081 3 жыл бұрын
Well said Shabiby... Dom wanafunzi kushuka 8 8 upande boda, bajaji, tax adi town ni gharama mnooo
@bishoptvalbert4112
@bishoptvalbert4112 3 жыл бұрын
hi
@sadikiabdi6179
@sadikiabdi6179 3 жыл бұрын
mungu akuongoze ktk kaz yako mzee SHABBIBY! hongera sana!!!!!!!
@herikaduma4993
@herikaduma4993 3 жыл бұрын
Shukrani Shabiby mambo yanashangaza sana kuhusu hizi stendi zilizo mbali na makazi ya watu zina usumbufu mkubwa
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Kweli kabisa shabibu kwanini washushe abiria stendi wakati gari inaelekea hukohuko wanakokwenda?hivi kweli serikali kabla ya kutenda haijiongezi ?wakati gari siyo Yao ? Point unafaa uwaziri mama Samia hawa ndio wanaotakiwa uwape uwaziri
@dottodotto7621
@dottodotto7621 3 жыл бұрын
Mungu Akubariki sana Mzee Shabiby Kwa Kuliona hilo Serikali Ikubari Tu Kwamba Walikosea Na Wazirudishe Hizo Stend Mana Ni Mateso Mno! Mtu Anakwenda Iringa Mjini Unamshusha Igumbilo Kilometer 20 Nyuma Unamuingiza Kwenye Garama Nyingine C Kutesana Uku.
@rafikiwildlife4263
@rafikiwildlife4263 3 жыл бұрын
nimeipenda sana hiyo taarifa.
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 3 жыл бұрын
Huyo wa Pembeni ni Mbunge au CHAWA wa Shabiby 😂😂😂
@karinokarino3049
@karinokarino3049 3 жыл бұрын
Uyo chawa aiseee maana sio makofi ayo
@mkimbizifelix9674
@mkimbizifelix9674 2 жыл бұрын
Haha
@omarmkumba3547
@omarmkumba3547 3 жыл бұрын
Shabibyyyyyyyyyyyy,big up
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Mambo mengi si nyie mnapitisha lakini havifanyiwi kazi pia mnawaumiza watu wa mabasi jirekibisheni serikali
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 3 жыл бұрын
Dah hii ni hatariiii Sana mama futa huu wizi
@samueltomboza3767
@samueltomboza3767 2 жыл бұрын
thanks so much father God bless you Good point
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Yani sasa hivi kuna ushetani mkubwa sasa hivi ni bora mmejionea hayo nyiye wenyewe alafu kuna msamiati unasema wawekezaji labda mwekezaji kicha
@jenniferkaristo5671
@jenniferkaristo5671 3 жыл бұрын
Safi sana shabiby tunanyanyaswa ctend zpombali tukipewa msaada hawataki
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 3 жыл бұрын
Dah nampenda sana shabiby kwanza anajiamini saaana, dah asipewe uwaziri ili awe anapiga mawaziri
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 3 жыл бұрын
Sema Shabib sema kwa sauti
@kamanyile
@kamanyile 3 жыл бұрын
Shabiby safi sana umeongea point watu wanatoka mbali walipo na stand ya mabus safi kbsa
@paschalkipeta2353
@paschalkipeta2353 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu
@mussai.sillas3796
@mussai.sillas3796 3 жыл бұрын
Nakulewa sana mhe. Shabiby. Hongera
@damsonwillison435
@damsonwillison435 3 жыл бұрын
Huyu mbunge Ana Akili nyingi sana mmsikilize
@gibonykiyao9698
@gibonykiyao9698 3 жыл бұрын
Salute mzee
@juliethsemwenda8100
@juliethsemwenda8100 3 жыл бұрын
Hongera mbunge.
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 3 жыл бұрын
Ndio maana siku hizi Shabiby hamtoi vinywaji... Oooh... Machine!!
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 3 жыл бұрын
Anatoa vinywaji hela iko kwa vendor😂😂
@Bruno-ed1ps
@Bruno-ed1ps 3 жыл бұрын
😀
@dismascosmas1441
@dismascosmas1441 3 жыл бұрын
Gonga like kwa jirani yake..
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 3 жыл бұрын
Safi Sana shabbiby ukogo vizuri sana
@bettymassanja881
@bettymassanja881 3 жыл бұрын
Aksante san, kututetea wassfiri.
@merickymangula5156
@merickymangula5156 3 жыл бұрын
Jamaa upo vizuri safi sana
@sigfridprotas5695
@sigfridprotas5695 3 жыл бұрын
Vita kawaw ulikukuw umelala shabb kashakutajia idadi ya stand haraf we unatoa taarifa kweli hebu kuw Makin kuwasikiliza wenye hoja za mashik( shabib kataj Dom, iringa na songea we hukusikia?)
@archdauzanliwenga
@archdauzanliwenga 2 жыл бұрын
Hata hayupo makini huyu mbunge Vita,
@rafikkarimomar8202
@rafikkarimomar8202 2 ай бұрын
Hongera sana sema ukweli
@theophilmawe9776
@theophilmawe9776 2 ай бұрын
Shabibi mtu makini sana we need him
@aishkombo6383
@aishkombo6383 3 жыл бұрын
Shabby kaka tuwasiliane leo umeeleweka kaka
@erastoshedrack7118
@erastoshedrack7118 3 жыл бұрын
Mamae huu wizi 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 жыл бұрын
JOMBII uko vizuri...!
@barakanelson8123
@barakanelson8123 3 жыл бұрын
Uyu anaipiga Kofi anazingua aiseee😂😂
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 жыл бұрын
Watu wanazingua kweli
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 жыл бұрын
Nitabu tupu
@DominicMyumbilwa
@DominicMyumbilwa 3 жыл бұрын
Ashakula Gongo
@neylatikilango401
@neylatikilango401 3 жыл бұрын
Mbunge wAngu MWENYE akili zake😂
@b90tv2
@b90tv2 3 жыл бұрын
mh shabiby yupo sahihi kabisah suala la stand na umbali linatutesa
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 3 жыл бұрын
Kweli Shabiby hapo kwenye kushusha abiria stend mbali na gari linaenda huko huko mjini kweeeli tunateseka Sana Sena baba abiria tupone
@ahmedashfa7318
@ahmedashfa7318 3 жыл бұрын
Pongezi shabiby kweli uko vizuri sana salamu zako zimefika
@allynkya265
@allynkya265 2 жыл бұрын
Hongera mh
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 3 жыл бұрын
Msema ukweli ni mpenzi wa mungu
@richardmgweno3846
@richardmgweno3846 3 жыл бұрын
Hapo mbunge wangu nimekukubali
@stevengracphord953
@stevengracphord953 3 жыл бұрын
Safi Sana kweli unajitahidi huchangii pumba
@issazakaria863
@issazakaria863 3 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 wewe inakuuma nn wewe wakati huna hata basi
@saidlwambo1995
@saidlwambo1995 2 жыл бұрын
Mh,Upo sahihi sana.
@rahimdikungule3737
@rahimdikungule3737 3 жыл бұрын
Bonge la point muheshimiwa Shabiby, safari hii nikishuka Dodoma natembea kwa miguu hadi mjini bora mgomo tuu
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 3 жыл бұрын
Kweli huu ni wizi kweli kabisa
@peterdoisso2414
@peterdoisso2414 2 жыл бұрын
Fedha za watz maskini.Hongera mbunge makini ambaye huna ubinafsi.Mungu akujalie Maisha Marefu.
@joshualaitei6275
@joshualaitei6275 3 жыл бұрын
Wizi huo udhibitiwe haraka Lait mzee angewaona hao wafanyabiashara mambo yangekuwa mazuri
@luizabahati5198
@luizabahati5198 3 жыл бұрын
Ila kweli yani juzi dodoma nimeshuka 88 yani nilitamani kulia mchozi..nimepata tabu kweli...gharama...muda..daah
@samiumussa1193
@samiumussa1193 3 жыл бұрын
Safi sana bos
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 3 жыл бұрын
Sawa mbunge wetu. Mwanike wa ukaya
@Commentsplus
@Commentsplus 2 жыл бұрын
Uko sawa sana
@jastinmkandala5620
@jastinmkandala5620 3 жыл бұрын
Sema mzee,nimekupenda bure,umewapa makavu yao
@rosiemmari5396
@rosiemmari5396 3 жыл бұрын
Well said Mr MP..
@charleskaflela7115
@charleskaflela7115 2 жыл бұрын
Shabby Mungu akulinde
@Enzo-cp
@Enzo-cp 2 жыл бұрын
Fact sana.....hio bishara kichaa
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 3 жыл бұрын
Mmmmmmh wabunge wabunge!!!!! Mbona toka mwezi jana mmekuwa waongeaji wazur hivyo!
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 2 жыл бұрын
Yani tungekua na waheshimwa wabunge kama mzee Shabiby hata 20 aise ingekua 🔥🔥. Kuhusu stend imeniuma sana hasa Songea na Iringa
@nikhatkhan8362
@nikhatkhan8362 3 жыл бұрын
Shabiby nakuunga mkono,huyo mbwa wa Latra amelishwa hela ondoa huyo
@gellysemwali5113
@gellysemwali5113 3 жыл бұрын
Shabibi wetu Safi Sana , waukaya
@sixberthcostantini9290
@sixberthcostantini9290 2 жыл бұрын
Ongera sana mh shabby kwakuongea point
@bsemwaly207
@bsemwaly207 3 жыл бұрын
Safi sana Mh. Shabibi
@joshuabryson8044
@joshuabryson8044 3 жыл бұрын
Mbunge anaongea mambo muhimu mnoooo,
@fellyfernando4516
@fellyfernando4516 2 жыл бұрын
Heko!..Mh...Shabiby...upo sawa...
@suleymanally1465
@suleymanally1465 2 жыл бұрын
Hongera shabiby
@sudymgeni701
@sudymgeni701 3 жыл бұрын
Nakuunga mkono shabby
@suleimangaming1907
@suleimangaming1907 2 жыл бұрын
Safiii sanaa mr shabib
@ahmedesmail4488
@ahmedesmail4488 3 жыл бұрын
Safi sana babaaaaa
@benderarulenge8898
@benderarulenge8898 3 жыл бұрын
Uko vizuri
@christianmgaya3818
@christianmgaya3818 3 жыл бұрын
Sema baba wameiba vyo kutosha
@christianmgaya3818
@christianmgaya3818 3 жыл бұрын
Upo vizur shabibiy
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 жыл бұрын
❤❤
@mahamudunangalapa4933
@mahamudunangalapa4933 3 жыл бұрын
Shabiby upo vizuri sana mzewangu
@deohank5995
@deohank5995 3 жыл бұрын
Kila Mara Ninasema NIA NJEMA YENYE MAAMUZI MABOVU!
@tycoon9540
@tycoon9540 3 жыл бұрын
Safi sana Mh Shabiby
@udechemussa4550
@udechemussa4550 3 жыл бұрын
Fact, mheshimiwa
@alloycejames5285
@alloycejames5285 3 жыл бұрын
Hii hoja imetusaidia sana... asante mheshimiwa
@simonnick1242
@simonnick1242 2 жыл бұрын
Safi sana mfanyabiashara uko vizuri tumbua majipu
@killylevenson1359
@killylevenson1359 3 жыл бұрын
Point sana boss
@loveremedy5348
@loveremedy5348 2 жыл бұрын
Safi saaaan jmn
@kyaro5945
@kyaro5945 2 жыл бұрын
Safi sana shabib
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Ka'..JaMaNi....! Tumekuelewaa...swali ZuRi MjOmBa...
@aishkombo6383
@aishkombo6383 3 жыл бұрын
Hatari saana Nchi hii wafanyabiashara walionewa Sana. Mama Samia wanusuru Wafanyabiashara
@user-ym2qz9qy7b
@user-ym2qz9qy7b 15 күн бұрын
Sio Gairo tu, Ifakara - Mlimba haitamaniki, sijui Serikali haioni.
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 3 жыл бұрын
Point sana
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Жыл бұрын
Hili Jinga Linalopigapiga Meza Linakera! Ndio Watanzania tunalipa watu wa aina hii. Kaa sikiliza, Hoja Nzuri hazihitaji Kelele zako za Kupiga Meza.
@shabanimyombe3834
@shabanimyombe3834 3 жыл бұрын
Kishwaga jamani mikono hiyo ...
@kareisindilo2776
@kareisindilo2776 3 жыл бұрын
kiswaga tuliza mpira brother kwani mkono haiumi
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 206 М.