SHABIBY ATOA DARASA BUNGENI "HAWA WATU KWENYE NCHI HII NI SHIDA , HAWAJUI MIPANGO"

  Рет қаралды 148,598

Uhondo TV

Uhondo TV

Жыл бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 191
@estherdominic1673
@estherdominic1673 Ай бұрын
Hongera sana waheshimiwa wetu mnachapa kazi kazi zenu ni nzuri na mungu atawabariki sana tunawapenda na tunawaombea amen 🙏🙏
@godsonkilua7738
@godsonkilua7738 Жыл бұрын
Kwa kweli mh uko vizur Tena umekomaa kisiasa Mungu akupe maisha marefu
@estermathias8354
@estermathias8354 Жыл бұрын
Maisha marefu kwako.👏👏👏👏ukimaliza kaka usome na comment tunakupenda tunakupenda tunakupenda tena
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Duh mzee wetu umeongea KITAALAM mno Big up sana
@barnaba3037
@barnaba3037 Жыл бұрын
Taarifa ya waziri mbona Kama iko tofauti na maomgezi ya Shabibi maana mipango ya muda mrefu ya Taifa
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 Жыл бұрын
Hongera kwapoint nzuri kk
@sketchbabu
@sketchbabu Жыл бұрын
Nimemkubali mheshimiwa. Mimi binafsi siku zote nashauri wataalam wa Mipango ya maendeleo kutoka Ulaya na Marekani waje kuturekebishia program za maendeleo ya mda mrefu
@andrew29468
@andrew29468 Жыл бұрын
Kila akiongea Shabiby huwa natamani kusikia, Km kuna kitu huwa naamia pale ninapoona tumetengeneza kitu na kukiharibu ili kupisha plan mpya ukweli hilo ni tatizo Viongozi lazima kuwa na mtazamo wa mbali.Hongera sana muheshimiwa mbunge
@johnbkimaro
@johnbkimaro Жыл бұрын
Swala la kubomoa barabara ni swala ambalo mm najiuliz viongozi wetu huwa wanawaza nn? Daah so sad
@magrethswai6055
@magrethswai6055 Жыл бұрын
Kaka angu shabby nakukubali Sanaa mieeee, ishi miaka MINGI kaka angu
@ufunuoelias4865
@ufunuoelias4865 Жыл бұрын
Mh shabiby nachangia hoja tujifunze congo ukiwa unaingia rubumbashi kuna vitu vinaitwa peaje huwa twalipia Gali kuingia kila wilaya wanachukua mapato kwan walichukua mkopo nawao wanatoza ili walipe deni siyo kuitoa kwa wananchi
@mohamedmussa4991
@mohamedmussa4991 Жыл бұрын
Well said bro
@DealDeskPro
@DealDeskPro Жыл бұрын
Hv kigoma huwa tunawabunge maana Mkoa ule umesahaulika sana, barabara tu ya kutoka Nyakanazi kupita kibondo au kupitia tabora hakuna kitu..what is wronng na mkoa huu jamani..
@yayananajota5838
@yayananajota5838 Жыл бұрын
This mp is truu choice of God, 👏, ila serikari Ina uzuzu mwingi sana😏
@estherdominic1673
@estherdominic1673 Ай бұрын
Lazima tukope tusiogope kukopa mh shabiby ni kweli hasante sana
@solomwambene-vo8pk
@solomwambene-vo8pk Жыл бұрын
Ahsante father
@rabsontryphon9254
@rabsontryphon9254 Жыл бұрын
Huyu mbunge hafai kua mbunge ilibidi awe Raisi wa nchi kwanza anamisimamo na maono sana pia ni tajiri, ana moyo wa kusaidia watu kifupi ni mtu wa watu na shule anayo
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Hela haina adabu mpeni urais muone 😂😂 anatugeuka
@johnsonbernald11
@johnsonbernald11 Жыл бұрын
Unajua maana ya neno HAFAI? kama ubunge hafai huo urais itakuwaje? Au umesomea chooni?
@williamwilifred6563
@williamwilifred6563 Жыл бұрын
Kukopa siozambi Ila wakikopa wanaweka mfuko
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Wapi mheshimiwa Babutale tale tale
@jamesshao538
@jamesshao538 Жыл бұрын
Namwelewa sana huyu Mbunge
@ElibarikNdanshau-io8lj
@ElibarikNdanshau-io8lj Жыл бұрын
Baba nakubali nondo zako unafanya vizuri
@benitopilla3145
@benitopilla3145 Жыл бұрын
Daaah songea tumekumbukwa ifak-lumecha
@EREVUKATV
@EREVUKATV Жыл бұрын
MWIGULU HAUTUFAI NI MPUUZI SANA
@mosesmwasanga7661
@mosesmwasanga7661 Жыл бұрын
Mipango ya Muda mrefu ndio Maoni ya Gwajima Siku Zote, Hii ni Point Kubwa Sana.
@petermarwa7818
@petermarwa7818 Жыл бұрын
Akupe tu uwaziri maana kuipondea serikali ya awamu ya tano nikutafta nafasi ya uwaziri kwenye serikali ya wapigaji
@johnluchagula9224
@johnluchagula9224 Жыл бұрын
Point
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 2 ай бұрын
Shabb rispekit kamandaa unaongea vizuri sana
@danielbugwema6969
@danielbugwema6969 Жыл бұрын
Well done u said tukiacha kuchaguliana wawakilishi katika kata zetu pia tutafika huo ndo ukweli unatakiwa kuzungumzwa usiogope kukosorowa
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
Eti wakiambiwa mnakopa sana wanaogopa hawakopi 😂😂😂
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
We mwegulu kaa chin we hufai
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
Facts
@selemankadede8332
@selemankadede8332 Жыл бұрын
Upo vizuri unaongea bila ya uwoga chapa kazi
@samwelpatrick8859
@samwelpatrick8859 Жыл бұрын
Akili mtu wangu Uyo mbunge ongea point za msingi sana shida ni kwa watendaji sasa
@choiceonlinetv1569
@choiceonlinetv1569 Жыл бұрын
Smart Guy,very true
@pilisonje8944
@pilisonje8944 Жыл бұрын
MH santiel ktk ubora wake big up
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
Ndg yangu shabby sijakusikia bunge la mwaka huu 2023
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Жыл бұрын
Kunatim kutoka nyanda ya ,,,,,, hawaamini kuwa serikali ya awam ya tano ilikopa,
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
Nyie mungu anawaona!
@safariyaukaguru5304
@safariyaukaguru5304 Жыл бұрын
Hakima tunahitaji wabunge wanaoguswa na matatizo ya wananchi kwani hayo ndiyo mahitaji yetu nasi ndiyo tuliowatuma watusemee huko
@malagajisena8864
@malagajisena8864 Жыл бұрын
Baadh wapo Po a wengineo mabunge ya mchongo apeni hapa kama mlichaguliwa semen amen
@chrismtitu799
@chrismtitu799 Жыл бұрын
Amen
@idrisasimba8501
@idrisasimba8501 Жыл бұрын
Umeongea vizuri na vibaya uliposema tutafute wataalaam kutoka njee nimeshangaa sana hii ni vibaya na uliposema mipango ya mda mrefu ni vizuri .ila jamani jamani speed ya JPM ilikuwa ni mwendo Kasi that one was. Legend of the world.
@crissinkala8608
@crissinkala8608 Жыл бұрын
Mm nimewahi kusema hii nchi kuna wasomi hawana kazi lkn wanakula mishahara mikubwa
@husseinhussen6836
@husseinhussen6836 Жыл бұрын
kwakweri.bro.shabibi.ukikosekana.bungeni.bunge.litakuwa.sio.bunge
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
Mnakopa halafu mnagawana pumbavu.
@saidlwambo1995
@saidlwambo1995 Жыл бұрын
Upo sawa Mh,Shabyb
@godfreyzakaria5087
@godfreyzakaria5087 Жыл бұрын
Yes
@leonardkalaba1693
@leonardkalaba1693 Жыл бұрын
Pamoja Sana
@jeremiahchabata5693
@jeremiahchabata5693 Жыл бұрын
Umeongea vizuri sana Mheshimiwa , utekelezaji ndio hamna
@franckjumanne3017
@franckjumanne3017 Жыл бұрын
Huyu jamaa na hiyo Tai yenye rangi ya bendera ya Taifa hua haijielewi kabisaaa maana hana uzarendo wa kweli
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
Yaani huwo ndo hanithi kwkaweli
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
Huyo ndo hanithi kwakweli
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Yan mwigulu mm hapan kam kufukuzwa uwazir huy alitakiwa atokeee tu 😔😔😔😔 han msaaad
@migerajacob581
@migerajacob581 Жыл бұрын
Nchi nzuri, viongozi vipofu,
@christophermrema5277
@christophermrema5277 Жыл бұрын
Mungu akituweka hai gombea urais.mungu akupe afya ya roho na mwili
@yahayahussein-fh2tq
@yahayahussein-fh2tq Жыл бұрын
Kaka yangu naunga mkono mchango wako safi sana
@johnhenerico4105
@johnhenerico4105 Жыл бұрын
Mpango wa muda mrefu is more suitable
@mashakashobo2529
@mashakashobo2529 Жыл бұрын
Shida kubwa ya viongozi wetu ni tamaa yaan majizi tu
@bonifansimatias6951
@bonifansimatias6951 Жыл бұрын
Unajiwekea wenyewe sumu na kujitubu wao maccm
@Sunshine0222
@Sunshine0222 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 Жыл бұрын
Lakini wameshakopa nyingi tangu wameingia na hatuoni matokeo. Miradi imedorora tu . Kama kuna matokea kwann wasikope?
@shabanmohamed7071
@shabanmohamed7071 Жыл бұрын
Mzee katema madini
@godlizennassari5525
@godlizennassari5525 Жыл бұрын
Kwasasa wakandarasi watanzania wengi tusha kuwa watalamu kuliko munao waleta kutoka nche izo ni kelele TU abudi inatakiwa awe raisi Yuko vizuri sana
@clementmsogoti1354
@clementmsogoti1354 Жыл бұрын
Ok
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 Жыл бұрын
Shabibby, shida ni ulaji, tukale wapi ndiyo msemo wao,nife masikini?
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro Жыл бұрын
Jembe Sana,mhe.Shabiby💪💪
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 Жыл бұрын
Bila katiba mmpya tz itakwama hapa hapo ilipo
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 Жыл бұрын
Na kweli zero
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 Жыл бұрын
Ukiwa na wabunge wa aina hii wanaoshobokea mikopo wakati mafisadi wanaendelea kupiga fedha ya ndani hatufiki
@kenedynedy2615
@kenedynedy2615 Жыл бұрын
Nahamnamipangoo malizeni muachie chadema wenyemipangoo
@jamesmwambyale6585
@jamesmwambyale6585 Жыл бұрын
Tatizo siyo Hilo tuu ni kwamba Kila kiongozi anakuja na sera zake taiga halina sera Bali kiongozi anaechaguliwa anakuja binafsi na sera zake, hapo me naona wawepo watunga sera wa nchi lakini serikali inayochaguliwa iwe kwa ajil kusimamia zile sera tuu ila Kila serikali kuja na sera zake hatutoboi ndugu zangu
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
Asante kwa kuwa wakweli.. Hela za viparata vya mjasiriamali vingejenga wapi SGR. Yaani hadi Muuza Karanga kalipa elfu20.
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 Жыл бұрын
Yeah muhimu kua wakweli, maana Kuna watu waliamini mradi ule ni fedha za makusanyo ya ndani na sio mkopo..
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Жыл бұрын
Sasa ni wakati tunaweza kuponda kile kilichopita lakini pamoja na ubaya mnaouona Leo ulikua na faida jana. Machinga na wajasilia Mali wadogo wadogo walifanya kazi kwa uhuru Pamoja na kwamba sura ya mji haikuwa nzuri ila mpango mkakati ulikua unaandaliwa kwa ajiri Yao. Leo tunaona Kila kitu kimebadilika wafanyabiashara wanapigwa na kunyang'anywa Mali zao wanataabika katika nchi yao Ila Kila mmoja ana uhuru wa kuongea kile anachokiona kua ni sawa
@franckjumanne3017
@franckjumanne3017 Жыл бұрын
Bado bado bado mtaju hamjui ccm haistairi kabisaaa hata kidogo kuendelea kuepo
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Жыл бұрын
Unafaa kuwa waziri , kwnn umecheleweshwa?
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Жыл бұрын
MH UWANJA WA DODOMA MJINI UNA UMUHIMU SANA halikuwa kosa kuhamisha wakazi chaduru Kwa usalama wa maisha yao na ndege zenyewe! Ndege Zinashuka mpaka zinagusa miti' njooni muone hapa! Selikari haikukosea kabisa kulipa fidia MWANZO hata Sasa kwa wakaazi! Ili uwepo usalama! Kama vp Basi ungefutwa ili iwe stendi ya mabasi ya taifa au Sabasaba!!
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 Жыл бұрын
Madini michanga inaendaulaya
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g Жыл бұрын
ASANTE SANA MBUNGE SHABIBY🤝 ILA WAZIRI ANATUMIA MUDA MWINGI SANA!
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Mwigulu anavaa bulet
@kaisimohamedi4318
@kaisimohamedi4318 Жыл бұрын
Shabby ndo mbunge wakwaza kukuskia unazungumzia mfumo wa road torl nchi jiran kalbu zote zina uo mfumo sisi watanzania tukipta kwenye barabara zao tunalipa io road torl kwaio wenzetu wananufaika na uo mfumo wa road torl ni safi sana uo mfumo
@amisimudigo3726
@amisimudigo3726 Жыл бұрын
we babu hiyo road toll unawaletea watu ulaji hakuna kitakachofanyika huyo waziri wa fedha ni mwezi tu hana lolote
@denniswilson6754
@denniswilson6754 Жыл бұрын
Kilio cha Askofu Gwajima kila anapochangia ni hiki kitu cha MIPANGO YA MUDA MREFU. Taifa letu tuna tatizo na think tank ya nchi. Niseme tu kipimo cha ubora wa bunge ni ubora wa Maisha ya watanzania.
@johnmgalla7377
@johnmgalla7377 Жыл бұрын
Tunarudi palepale kwa gwaji boy nchi haina maono haina mipango ya muda mrefu
@philbertmtalo2156
@philbertmtalo2156 Жыл бұрын
I THINK THIS IS RAT RACE BOB MARLEY THANKS LORD FOR THIS LOVE
@fatmamasoud4449
@fatmamasoud4449 Жыл бұрын
Nikweli kabisa hata huku nilipo kutoka nyumbani kwenda kazini kuna tolget 2 za kulipia kwahiyo kwenda na kurudi nalipa mara 4 nivyema kuweka mfumo wa kulipia barabara zijilipe tuta fanikiwa sana
@manwoka4078
@manwoka4078 Жыл бұрын
Upo wapi?
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 Жыл бұрын
Loodtolll marambili mbili ongezeni tozo Kodi Kama ndogo ongeza Tena na Tena komeshea kabisa
@ernestkunja3472
@ernestkunja3472 Жыл бұрын
Ahaaaaaaaahaaa
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Ili tuamini bunge la Tulia safari hii mko wenyewe, Zuieni shilingi,na kupiga kura ya kutokua na imani ndio tutajua mna uchungu kama sisi wananchi, achaneni na huyo wa wa wa ee na na na anatuzingua sana na tai zake
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 Жыл бұрын
Jamaa kaamua kutoa hoja za nchi nzima
@puyaka1849
@puyaka1849 Жыл бұрын
Huyu waziri ni mzushi sio wa kumwamini
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Жыл бұрын
Mhmmmmm nchi hiiii yaani tunashangilia madeni
@oswardchisunga1118
@oswardchisunga1118 Жыл бұрын
🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️bungen tunakwenda kufanya nn jaman kwjma alise ilo mda tu
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Жыл бұрын
Ni shida na ni wezi🥲 ten pasenti inawasumbua
@maliakishaushi9089
@maliakishaushi9089 Жыл бұрын
Naona usomi nao ukzidi inaondoa ufahamu kuna majaribio ya kuichumi wananchi hawapendi wafanyiwe japo ni vizuri wasome kuangalia athari ya jambo wanalotaka kuleta Kwa wananchi kabla sio inaleta jambo likishalalamikiwa ndio na withdraw na kusema naenda kufanyia kazi ukishafanya hivyo mara mbili tatu tunajua una shida hapo haupo Kwa ajaili maslahi ya taifa na watu wake mfano mzuri tozo na mengine
@dorahngajilo32
@dorahngajilo32 Жыл бұрын
Ĺĺllĺĺlllllĺ
@othumanmaulid7406
@othumanmaulid7406 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@kulwasamwel3602
@kulwasamwel3602 Жыл бұрын
Jee katoro geita
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 Жыл бұрын
Mbona huyu Waziri wa Fedha kila siku vigugumizi????....kunani hapo tuambizane
@daktarimapenzi2022
@daktarimapenzi2022 Жыл бұрын
Mikopo ni lazima kwa taifa lolote linalotaka kuendelea. Maskini tu ndiyo hawana mikopo
@joelmoses3789
@joelmoses3789 Жыл бұрын
Hivi kwanini mawazo mazuri kama haya huwa hayafanyiwi kazi? Tunashida gani sisi jamani? Kweli kunakipindi elimu sio msaada jamani maana hawa wanaopanga hii mipango ndio wasomi wetu etiii 😴😴🤔
@christophermrema5277
@christophermrema5277 Жыл бұрын
Kiteto hakuna maji mh.
@issahmwakinyuke9506
@issahmwakinyuke9506 Жыл бұрын
Wambie ukweli wao
@emmanueljoseph3812
@emmanueljoseph3812 Жыл бұрын
Hvi hawa wataaram wa kitanzania wanashida gani?,ila shida ni ubinafsi umewatala sana!
@faharikhamisi3091
@faharikhamisi3091 Жыл бұрын
Issue ni katiba mpya ndo msingi wa kila kitu
@Bise270
@Bise270 Жыл бұрын
Shabiby ni bonge la kiongozi🇹🇿
@user-gq8ox7wb7f
@user-gq8ox7wb7f Жыл бұрын
Mnatuchanganya nyie nyie mlisema magufuli hakopesheki leo nyie nyie mnageuka mnasma alikopa mbana mbona mnatufanya sisi ma mbumbu kiasi hicho.??
@eliahiluka830
@eliahiluka830 Жыл бұрын
Msilete utani kwenye bunge na maana hukumu zimekwisha wekwa tayari Kwa kwenye mizaha kwahiyo acheni mizaha)
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Жыл бұрын
Shabiby ndio wewe mwamba usieogopa ,pasua mwamba kieleweke,
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 Жыл бұрын
Mmh utani?
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 110 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН
Ni kuri na njira njeru cia kweheria Rigathi Gachagua wabici-ini.
27:06
KAMEME OFFICIAL PAGE
Рет қаралды 1,6 М.
Why Protesters Flew Russian Flag In Northern Nigeria - Falana
28:18
Channels Television
Рет қаралды 86 М.
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 110 МЛН