No video

BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA

  Рет қаралды 355,113

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 478
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 4 жыл бұрын
Mashaallah.Hongereni Sana na mtangulizeni Mwenyezi Mungu katika Kila kitu.Msisahau kutoa zaka mwisho wa mwaka na kuwapa maskini
@officer1208
@officer1208 5 жыл бұрын
Ambao hatujui hata baba zetu wako wapi ila bado tuna fight wenyewe.. gonga like mayatima tujuane.
@ndayisengafrorence8461
@ndayisengafrorence8461 5 жыл бұрын
Tupooo
@officer1208
@officer1208 5 жыл бұрын
@@ndayisengafrorence8461 daah pamoja sana mkuu! Bado tuna pambana na hatutochoka kupambana.
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 4 жыл бұрын
Kweli tuupo .Na tunapigana kwelikweli .Japo Mimi baba yuupo Ila mpka naanza kujitambua baba Angu hakua na chochote .
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 жыл бұрын
Don't make me cry
@yusufally6853
@yusufally6853 4 жыл бұрын
Alhamdulilah yote yana mungu.tumshukuru mungu kwa kila jambo
@40kstore
@40kstore 5 жыл бұрын
millard tunaomba hizi interview za watu kama hawa ziongezeke kaka,please...zinatupa sana moyo wa kupambana,hoji watu wengi waliofanikiwa,ili tuweze kupata vitu
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
@estherpetza5236
@estherpetza5236 5 жыл бұрын
true
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 5 жыл бұрын
Kweli bro. Zinatujenga sana.
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 5 жыл бұрын
Point kbs mkuu
@eenpaard3915
@eenpaard3915 5 жыл бұрын
kweli
@kazungujonathan9000
@kazungujonathan9000 5 жыл бұрын
Millard nakuelewa sana kwa kazi yako , kutoka maganzo kwa jamaa wa almasi ukasogea jambo, jambo ndo nilipoanzia kazi baada ya kutoka SUA 2014 kama field officer. Ndo palinifungulia mlango, kwasasa nafanya kazi na taasisi ya utafiti wa kilimo tananzania kama mtafiti wa kilimo.
@OKiduma
@OKiduma 5 жыл бұрын
kazungu jonathan bro kazungu tuwasiliane bas
@maijopardon2274
@maijopardon2274 2 жыл бұрын
Namba za company p Ries
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 5 жыл бұрын
Hapa ndio utakapojua maana ubora wa Elimu naaarifa yanayopatikana.Investment yote haikua inamuandaa mtoto kusubiri au kuwaza kuajiriwa ..waliangalia zaidi kuanza jambo lao kuemdeleza na kuwa wabunifu .Hongera sana .
@abrahamsingano5372
@abrahamsingano5372 5 жыл бұрын
Hongera Ayo kwa kutuletea interview hii. Endelea kutuletea nyingine za wengine waliofanikiwa. Interview kama hizi zitatusaidia kushirikiana na vijana wetu ktk kuendesha miradi kwa mafanikio
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 5 жыл бұрын
Sasa ni kipindi cha kurudi nyumbani maana tunayoyaona huku kwenye dunia ya kwanza ndio yanayoendelea nyumbani big up boss mtoto
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 жыл бұрын
Shamimu Shittindi tutarudi pamoja upo pande zipi
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 5 жыл бұрын
Well done young boy, initiatives, eduction, commitments , mitigation and excursion is the key of successes
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 5 жыл бұрын
😁😁
@InnohubGroup
@InnohubGroup 7 ай бұрын
Sasa mbona ujiaibishe mbele ya Dunia wakati unaweza kukitumia kiswahili. Kiingereza sio kipimo Cha masomo au ujanja! Next time try to find out the meaning of the vocabulary you would like to use and the correct/proper spelling. STOP 🛑 worshipping the English language. Be proud of our Swahili language.
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 5 жыл бұрын
Mi nahc miaka mi'5 mbele MirlladAyo atakua kijana mdogo mwenye uwezo mkubwa sana..
@blackmamba7553
@blackmamba7553 5 жыл бұрын
Had leo sijui ofisi ya Baba iko wap 😢😢😢
@mgasathedon1579
@mgasathedon1579 5 жыл бұрын
Uwe unatupa hizo story znatupa moyo sio udaku news
@emmakalou5920
@emmakalou5920 5 жыл бұрын
😂😂😂
@richardrobert1032
@richardrobert1032 5 жыл бұрын
Black Mamba 😂
@officialgakankara
@officialgakankara 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@jacksonchimomo554
@jacksonchimomo554 5 жыл бұрын
Black Mamba kakuona huna Akili
@ericernest2099
@ericernest2099 5 жыл бұрын
Niwapongeze kwa kuwekeza kwenye mkoa wao. Wengine wangekimbilia Dar au Mwanza
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 5 ай бұрын
juisi zao ni nzuri sana
@ahmedadam6568
@ahmedadam6568 5 жыл бұрын
Baba alikuwa akimpeleka kwenye ofisi ya biashara sio ofisi ya serikali,watu weupe wana uvumilivu na wananyanyuana sana lakn watu weusi tuna unyimi na malengo ya mida mfupi,ukaichana na tatzo la mtaji wa pesa bado mtaji wa mawazo ni duni,elimu itakufanya kuwa na mawazo mapana na zaidi ukisoma nje unapata fursa ya kujionea mambo mengi mazur na ya kisada,hongereni sana
@darmillionaire
@darmillionaire 5 жыл бұрын
Jiongelee mwenyewe. Hili sio jambo la weusi au weupe. Ni jambo la mtu na mtu. Kama hujawahi kusikia basi enzi za Kikwete kuna mweusi mmoja mmiliki wa hoteli ya Peacock pale Mnazi Mmoja aliwahigi na yeye kuhojiwa na kueleza jinsi alivyosota kutoka kuuza duka Iringa hadi kujenga hoteli Mnazi Mmoja kwa elimu ya darasa la saba, halafu jinsi alivyomrithisha mwanae mikoba. Ila ujue pia kuna wengine wanaofanya hivyo ambao hawaongei. Sasa usijishushe na kukweza rangi ya mtu au kudharau rangi ya mtu kwa sababu ya matatizo ya watu binafsi. Hata watu wenye ngozi unazosifia ni wengi tu huko kwao ambao wana mambo ya ovyo ovyo kabisa. Usiangalie wachache unaowasikia wanavuma ukajua basi wote wako hivyo.
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 5 жыл бұрын
Ubinafsi ndio unatuponza sie weusi. Tunapenda kusujudiwa sana hasa tukipata mafanikio kidogo tu. Unataka walioko chini wabakie huko huko hata kama una nafasi ya kuwainua ila unawakazia makusudi ama kwa roho mbaya tu. Hatutakaa tusogee
@goodteam7890
@goodteam7890 4 жыл бұрын
@@darmillionaire weuc wenye maendeleo makubwa ni wachache sio kama wenzetu weupe
@kingslleyhaidar2649
@kingslleyhaidar2649 5 жыл бұрын
Very impressed, very young Tanzania to run a big company like this owesome....
@davidobonyo7558
@davidobonyo7558 5 жыл бұрын
Nimependa sana uzalishaji wa bidhaa za Jambo yaani very hygienic keep it up Jambo
@jumannechapembe8280
@jumannechapembe8280 5 жыл бұрын
Nafarijika Sana kwa unachokifanya ayo tv. Natamani na Mimi kufanya innovation baada ya miaka kazaa niwe Kama Jamaaa hpo. Big up Ayo TV
@robtv9634
@robtv9634 5 жыл бұрын
Lemme tell you guys u have good governorship. And a great President #FromSomalia
@santodelove4351
@santodelove4351 5 жыл бұрын
Come and take him
@robtv9634
@robtv9634 5 жыл бұрын
@@santodelove4351 wish i can
@cbegram6161
@cbegram6161 2 жыл бұрын
Miaka miwili baada ya hii comment, he is no longer with us😥😥
@louisngaiza
@louisngaiza 5 жыл бұрын
Hizi ndo contents tunapenda kuona Be Millard una focus.
@aminaibrahim4148
@aminaibrahim4148 3 жыл бұрын
Safi sana mungu awa zidie mapenzi na imani
@johnmwandry4309
@johnmwandry4309 5 жыл бұрын
gonga like kwa mzee aliona mbali kuwekeza elimu kwa watoto
@khadijak3065
@khadijak3065 5 жыл бұрын
Hakika amefanya kitu cha maana lio hii angeajiri MTU baki lakini hela ya mshahara imerudi nyumbani hongera baba
@salamakombo3257
@salamakombo3257 4 жыл бұрын
Goood
@mohamedhamdan4956
@mohamedhamdan4956 5 жыл бұрын
MashaAllah huyu kijana anakosa kubwa sana ambalo ni hatari kutoka wewe tangu uanze kulizungumzia kuhusu viwanda viwanda mbona hatujawahi kusikia ukishukuru Mungu ukisema ALHAMDULILAH HAPO UMEMASI ALLAH MAANA KAMA SI ALLAH NI NANI MWENGINE NI MWEZA??? Lazima utafakari maalim umemasi Mungu
@qilil7
@qilil7 5 жыл бұрын
Wallah hata Mimi nimeliona hilo
@qilil7
@qilil7 5 жыл бұрын
Kweli nami nimefikiria saana labda atasema Alhamdulillah
@kigomampyatv9209
@kigomampyatv9209 4 жыл бұрын
Ni mkristu
@firdausnassor1105
@firdausnassor1105 5 жыл бұрын
Mungu awalinde hii familia , ni vema sana ndugu kukaa pamoja na kupendana
@justinemaganga4139
@justinemaganga4139 5 жыл бұрын
hii ndo interview bora kwangu ndani ya mwaka huu umefanya Millard hayo
@rayesrayyan2428
@rayesrayyan2428 5 жыл бұрын
MashaAllah very proud of you khamis your doing so well. May Allah bless you all and keep up with high quality products.
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 5 жыл бұрын
Miaka 5 ijayo tutashindana sokoni na jambo company, Mimi nikiwa Geita I'm serious!
@stevegill2799
@stevegill2799 5 жыл бұрын
Tutafutane kaka na Mimi nipo geita
@proevolutionsoccer3779
@proevolutionsoccer3779 5 жыл бұрын
GOD BLESS YOU
@fatmafeisal4328
@fatmafeisal4328 5 жыл бұрын
mungu akubariki
@seifdisail3007
@seifdisail3007 4 жыл бұрын
MUNGU akujaalie baraka
@martinmichael6057
@martinmichael6057 4 жыл бұрын
sawa
@abelshinyanga2683
@abelshinyanga2683 3 жыл бұрын
wale wote wa shy nyumbn ngola like twende sawa
@ismailabbas2675
@ismailabbas2675 3 жыл бұрын
Majengo moja iyo💪
@lukombesoemmanuel7271
@lukombesoemmanuel7271 5 жыл бұрын
Nice interview...vinajana tunapenda kusikia hays
@richardntullo6105
@richardntullo6105 4 жыл бұрын
Hongereni Kwa kazi nzuri mbarikiwe katika biashara ipate kua yamafanikio siku zote mungu akuongoze daima
@Witnessvlog
@Witnessvlog 5 жыл бұрын
Familia za jamii ya watu weupe zimefanikiwa sana kuliko sis wabongo, tunawazaga tu kuuana
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 5 жыл бұрын
UKWELI
@khadijak3065
@khadijak3065 5 жыл бұрын
Tatizo kubwa sisi watu weusi hatufikirii kuona mbali na rohoo mbaya ndio maana hatuwi na maendeleo MTU na mtoto wake anamfanyia rokho mbaya .Sasa wakiona intavyoo kama hizi ndio maswali mengi yanazuka kwanini biyashara kubwa zinashikwa na watu kwanza hawa watu wana hofu ya mungu pili wanaalikili yani ukiwa karibu na MTU mweupe kama unaakili hukosi kuishi maana utapata umajimaji Wa kutafuta kwa bidiii .Lakini sisi Tanzania uwena uwezo wakumiliki bajaji basi utawapanga kwa safu wanawake na kijisifu .lakini hakumbuki hata kuna watoto wakupeleka shule wakiona kamaivyo baba kajikaza kumsomesha kajima mengi na kukuza miradi Ingikuwa gozi nyusi majigambo. Mengi mahojiano hapo ungesikia NO : koment Tujitume Wa baba na Wa mama Wa KITANZANIA tusipende kubweteka
@dasilvajacmwax7436
@dasilvajacmwax7436 5 жыл бұрын
Kabisa
@mohamedimohamedi7881
@mohamedimohamedi7881 5 жыл бұрын
@@dasilvajacmwax7436 sio kweli kuna watu weusi wamefanikiwa sana
@dasilvajacmwax7436
@dasilvajacmwax7436 5 жыл бұрын
@@mohamedimohamedi7881 kaka mkubwa, hawa ndugu zetu kiukweli wako tofauti, sio Kama sisi blacks
@edsonsibuti6914
@edsonsibuti6914 5 жыл бұрын
Sitokei katika familia tajiri lakini familia tajiri lazma itoke kwangu
@zalhatamakange2627
@zalhatamakange2627 3 жыл бұрын
Nimependa hii
@kaburashindika5617
@kaburashindika5617 3 жыл бұрын
💪
@zurfashafii9531
@zurfashafii9531 3 жыл бұрын
Mungu akujaaliye
@YusufAli-ib6xu
@YusufAli-ib6xu 5 жыл бұрын
May Allah bless you and your family more and more Insha Allah Ameen
@micamathew6433
@micamathew6433 5 жыл бұрын
Mzee wake huyu jamaa ni kati ya baba bora sana hapa Africa..ahsante sana millard
@munnawwaryaqoob3414
@munnawwaryaqoob3414 5 жыл бұрын
Safi sana kwa Elimu kweli nampa big up sana Salum wtt wote wamesoma
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
Insha Allah wanaosema weusi hawez ati kufanya watoto wao kuwa kama huyu mi nasema wangu naanza kumjenga saiv atakuja kuwa zaidi ya hawa.. tuwajenge watoto wetu kuanzia chini siku 1 watakuja kuwa kama hawa akina jambo..✌
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
True my dear
@rashidhemed1212
@rashidhemed1212 5 жыл бұрын
Dada mum upo
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
@@saumuhassan6365 yeah✌
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
@@saumuhassan6365 yeah✌
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
@@rashidhemed1212 nipo mdogo wangu hujambo
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
Safi sana , fursa ni mahari popote, mnaokimbilia kuangalia magorofa ulaya fursa mnaziahacha hapa kwenu, karibuni shinyanga Tanzania
@samuelmulumba1892
@samuelmulumba1892 5 жыл бұрын
Hongera sana wana Shinyanga wenzangu. No efforts without impacts.
@maigajohn5828
@maigajohn5828 Жыл бұрын
Hongera sana mzee amesimama vyema sana na kijana anajitambua sana ni vijina wachache sana
@jabalimikechi7750
@jabalimikechi7750 5 жыл бұрын
Congratulations guys we need people like so we can change the lives of our peoples, big up my bro
@ramsthebiggest4716
@ramsthebiggest4716 5 жыл бұрын
hongera sana kijana familia yako ina upendo sana ,naijua familia yako vizur apo shy.mzee wako salum na wale wadogo zake wengine duh nakumbuka kipndi nafanya kazi apo japo kwenye kiwanda chenu cha pamba duu mko vzri kaza buti
@ahikemankambila7255
@ahikemankambila7255 5 жыл бұрын
Very very inspiring; assurance and guarantee of products quality to consumers is where success rely; 👊Big up Jambo family 👏
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Huyu kijana Millard huwa anajuwa mambo ya kutuletea kwa kweli hanaga upuuzi
@moussabmohamedsaid6066
@moussabmohamedsaid6066 5 жыл бұрын
Millard tunahitaji more Interviews Kama hizi zinatu motivate vijana kama sisi ambao tupo vyuoni trying to get our Educations
@mussamsindo2029
@mussamsindo2029 5 жыл бұрын
Safiiiii Ila muda mchache sn nimependa sn Hamis anavyojieleza kwa kujiamin big up
@Famsting
@Famsting 5 жыл бұрын
Leading the industry, big up Khamis !
@tztanzania2262
@tztanzania2262 5 жыл бұрын
Mashaa allah nataman utajir in shaa allah nitapambana sana kutafuta halaal
@najimshaib9306
@najimshaib9306 5 жыл бұрын
Taman uchamung
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 5 жыл бұрын
Nimeipenda hii, safi sn Millard!
@onlinemovie8580
@onlinemovie8580 5 жыл бұрын
Tisha sana millado bonge moja la interview
@piusundisputed
@piusundisputed Жыл бұрын
A lesson to learn from this amaizing interview, for a child to achieve financially, a family must play a vital role, unlike relying to gain it only from schools, this is contrary In Tanzania,whereby financial knowledge is left only to school!!
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 ай бұрын
Well said .. point kubwa mno sema umeweka kiingereza ndiyo naona watz hatuja kufahamu 😅
@lawfang2311
@lawfang2311 5 жыл бұрын
He been the hardest worker man!!!! Happy for you bro keep going
@danielshunda4410
@danielshunda4410 5 жыл бұрын
Kanyoeee.nyweleeee.miraddd
@khamisrashidy1348
@khamisrashidy1348 5 жыл бұрын
Millard karibu shay jamukaya
@amethysturanus6351
@amethysturanus6351 4 жыл бұрын
Hongera Khamisi, Hongera Jambo. Mnatuletea maendeleo, Ajira na mafinikio Tanzania. Mungu abariki Tanzania.
@mwarabutoleolamwisho7879
@mwarabutoleolamwisho7879 4 жыл бұрын
Hamis Salum,WAJNA ALLAH azd kukusimamia inshallah
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 5 жыл бұрын
Beautiful wajina.message from USA good job brother
@user-tf8qx4us5b
@user-tf8qx4us5b 5 жыл бұрын
Mashaa Allah
@princegabytv7251
@princegabytv7251 5 жыл бұрын
This guys are so SMART.
@orgeneslema9464
@orgeneslema9464 5 жыл бұрын
Ayo next time uliza kuhusu kiasi cha investment. Benki zilizoshiriki kutoa mikopo na riba. Na masharti ya ulipaji. Hayo mengine ni ya kawaida sana kwenye biashara
@shamsimagesa4520
@shamsimagesa4520 5 жыл бұрын
Yes.!!
@meshackabdul928
@meshackabdul928 5 жыл бұрын
Orgenes Lema hizo ni siri za biashara ndugu
@Wanja.Kelvin
@Wanja.Kelvin 5 жыл бұрын
H
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 5 жыл бұрын
Huwezi ambiwa kila kitu, pia benki washirika(mikopo yenye ribs nafuu wakutafuta ni we mwenyewe pindi uanzishapo biashara yako
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 4 жыл бұрын
Uambiwe ili iweje sasa?????
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Masha Allah mungu awasimamie
@sebaskibiki4836
@sebaskibiki4836 3 жыл бұрын
Waarabu na wahindi wako vizuri lakini weusi ngozi ya yako nyoko Sana! Litahonga vimada mpaka mfilisike
@newforcejv9721
@newforcejv9721 5 жыл бұрын
Ayo kazi zako hazipitwi na wakati
@ntulia.kapologwe9088
@ntulia.kapologwe9088 5 жыл бұрын
Very good interview...mahojiano ya aina hii ni muhimu sana kwa kizazi chetu na vizazi vijavyo.
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 4 жыл бұрын
Poleni mnao kunywa sumu toka viwandani nitabaki kunywa maji yangu asilia toka mirimani huko Morogoro chunguzeni kwa kina hao wenyewe hawatumii hivyo vitu kwa sababu wanajua fika vina chemical za kufa watu
@frankforeheads9796
@frankforeheads9796 5 жыл бұрын
sometime familia inachangia katika watoto kufanya vizur angalia huyu jamaa kasomeshwa mpaka nje ndio maana mpaka Leo kafika hapo alipo ,Lakini ninaacho Mimi mafanikio ya mtu yako katika mikono yake mwenyewe
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Ndio kunakusomeshwa nje mtoto akaja waovyo kweli mafanikio yapo mkonono mwetu
@alexmichael8735
@alexmichael8735 5 жыл бұрын
mahojiano kama haya ndo muhimu nyakati hizi keep it up millard
@jumamohamedy2005
@jumamohamedy2005 4 жыл бұрын
Millard Ayo TV umeona mbali unatufundisha mengi kupitia vipindi vyako mungu akupe maisha marefu.
@mohdpandu6802
@mohdpandu6802 5 жыл бұрын
Safi sana Millard, njoo na Zenji huku
@gitanokambarage8789
@gitanokambarage8789 5 жыл бұрын
Aje awaone wakina #Suhail
@herysikawa3138
@herysikawa3138 5 жыл бұрын
Mungu akubariki Millard, ii content ni nzuri kuliko shukran sana
@swalehfarid5466
@swalehfarid5466 3 жыл бұрын
ALLAH Azidi Kuwatilia Barka Muzidi Kupanua Company
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 5 жыл бұрын
Maashallah Big Up Mjmb👍🏼
@kaulimbiu181
@kaulimbiu181 5 жыл бұрын
Kijana kafanana na yule mapengo sapota wa Liverpool wa Dar. Sema huyu Hamisi hana upuzi kama yule mlaji ugoro anaedai amwagiwe ndoo ya mavi Liverpool ikishindwa 🤣🤣🤣
@yusufali290
@yusufali290 4 жыл бұрын
Hahaha ati amwagiwe mavi ya ndoo
@kaburashindika5617
@kaburashindika5617 3 жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@husseinmbetela4046
@husseinmbetela4046 5 жыл бұрын
Jambo wapo vizuri sana mimi nikiwaga shinyanga hua naifulahia sana juisi zao
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 5 жыл бұрын
Nimewakubali sanaaa Masha Allah
@issaally4125
@issaally4125 5 жыл бұрын
Kumbe inawezekana biashara na familia ukiwa makini unatoka lakini kibongo bongo familia zetu hiz ukizishilikisha wao ndio wakwanza kufisadi Mali wakitegemea mzee yupo tu
@nurualamoody4305
@nurualamoody4305 3 жыл бұрын
inawezekana muhimu nidhamu ya kazi
@petersonshaezra1135
@petersonshaezra1135 5 жыл бұрын
ongezeni mda kweny interview nzur km hzi zinazo inspire watu kujifunza na kuelewa @Millardayo
@edwingwesso129
@edwingwesso129 5 жыл бұрын
Kazin kwangu hapa
@tumainingowi6373
@tumainingowi6373 5 жыл бұрын
Ongezeni muda mukiwahoji watu kama hawa millard
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 5 жыл бұрын
muda unatosha sana chamsingi ni pointi tu.chakwanza ni elimu na pili ni ari na juhudi ya kufanya kazi na tatu ni msingi wa kuanzia biashara.
@samirakhamis6630
@samirakhamis6630 5 жыл бұрын
Mbrouk kila la lkheir mbele yenu 👍🏽
@samirakhamis6630
@samirakhamis6630 5 жыл бұрын
Ma
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 5 жыл бұрын
Safi sana jamaa wanaandaliwa mapema sana
@J4UPro
@J4UPro 4 жыл бұрын
Washindani wa AZAM
@dflexmashairi8824
@dflexmashairi8824 4 жыл бұрын
Waliidhamini Stand United lakn kwa bahati mbaya ikashuka daraja.Rest in peace Chama La Wana
@amosurio8045
@amosurio8045 4 жыл бұрын
akuna asie jua Jambo tuko vizuri kilakona kwenye bindaa zetu
@HusseinHaule-pr5ov
@HusseinHaule-pr5ov 2 ай бұрын
Iko poa sana tuwasomeshe watoto jaman milla hongera bro
@mohamedabdallah8321
@mohamedabdallah8321 5 жыл бұрын
Dah hadi raha yani kwanza ni tam balaa anauza sana kanda ya ziwa
@mariamkaaya214
@mariamkaaya214 5 жыл бұрын
shkamoo wajerumani,technology imekua,inatengenezwa wakiwa ujerumani,technology ni nzuri mno
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 жыл бұрын
Mi naomba uwakala wa jambo Niko dar es salam
@user-yh3do3pk4y
@user-yh3do3pk4y 10 ай бұрын
Alahuakbar mashaalah tabarak Allah love this
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Hakika yaha ndo madini tunayoyataka kwenye jamii kwakweli
@asiliyakechuma4319
@asiliyakechuma4319 3 жыл бұрын
Dah weupe asili yao kuendelea mm baba yangu alifungua duka akaniweka mm na baba mdogo dukan nduo tukawa wauzaji mpaka leo hii nashindwa kuelewa duka lilikufaje kufaje maana tunadaiwa mpaka kodi ya pango
@marthaleonard2444
@marthaleonard2444 3 жыл бұрын
Hii ndio tunataka kuona sio umbea !Au maisha ya watu!
@deogratiusandrea1705
@deogratiusandrea1705 5 жыл бұрын
Aisee hiyo juis ya embe boribo naipenda sana huku kijiweni washikaji wanainywa sana halafu ni miatano{500} tuu
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Woow aisee imeniamasisha saana hii Millard saluti
@ahmedbawazir8035
@ahmedbawazir8035 4 жыл бұрын
Which family is this? I will be very much appreciated for the answer, Thanks
@issaramadhani3064
@issaramadhani3064 3 жыл бұрын
Thanks millard
@yeyothegreat8277
@yeyothegreat8277 4 жыл бұрын
Best Interview ever Millard izi ndo interview bwana sio bongomovie please ooo abeg
@heavenlypatric4822
@heavenlypatric4822 5 жыл бұрын
Duuh wengine tulikuwa tukitoka shule ni uwanjan moja kw moja
@dottojamali6515
@dottojamali6515 4 жыл бұрын
Heavenly Patric araf hat hatujawa wachezaji 😂😂😂😂😂
@imagepower3641
@imagepower3641 5 жыл бұрын
hongera sana jambo company napenda sana ubora wenu
@abrahamjoseph2589
@abrahamjoseph2589 5 жыл бұрын
Sisi waafrika weusi kwanza mifumo yetu ya maisha ni mibovu na hatuna utamaduni wa kuwatayarisha watoto toka wadogo tofauti na wenzetu wenye akili ya kihindi na waarabu ndio maana unakuta mtu ana mali ila akifariki tu na mali zinakwisha
@msetyntorah804
@msetyntorah804 5 жыл бұрын
Ata wewe ni mwanaume Bro kama umelijua tatizo fanya wewe ili uwe tofauti.
@abdulkareemshaban1476
@abdulkareemshaban1476 5 жыл бұрын
Mfano huu upo Tanga kwa shehoza company watoto wake pia ni wasomi kwa ajili ya kampuni yao
@abrahamjoseph2589
@abrahamjoseph2589 5 жыл бұрын
@@msetyntorah804 yeah that's not problem ndio maana nimesema ni mfumo wetu wa maisha ndio tatizo
@aminamassari6480
@aminamassari6480 5 жыл бұрын
Yaana hapa angeongea mtoto wa ilala tandale mngeambulia kusikia jambo tu mwanzo mwisho n kinge tu Lkn kijana wala hana mambo ya yes no cjui of course
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 5 жыл бұрын
Kabisaaaa Dadae
@lilyrose4066
@lilyrose4066 5 жыл бұрын
Umeona eeh?Ni ushamba unatusumbua tunashindwa kuthamini lugha yetu.
@goodteam7890
@goodteam7890 4 жыл бұрын
Sana yani halafu mara nyingi tunaoshobokeaga kingereza ni sie ngozi nyeusi
@salminejuma5454
@salminejuma5454 3 жыл бұрын
Asante baba ckulaumu kwa chochote.
@abednego3876
@abednego3876 5 жыл бұрын
Interview ya maana kama hii ni dkk 12..Ila interview ya Zari ni endles Series... Naskia harufu ya umauti na umasikini huku bongo
@babaharunakipindula3895
@babaharunakipindula3895 5 жыл бұрын
Hahahahaa na kweli wabongo wengi wanapenda umbea
@arthurjustus1811
@arthurjustus1811 5 жыл бұрын
Tatizo hujui, watu kama hawa wako busy Sana hauwezi kuchukua muda mwingi akikuelezea juhudi zake ndio maana amemuhoji dakika chache... Zari anamuda mwingi wa kuongea hana vitu vya kufanya ndio maana ni series😂😂😂
@abednego3876
@abednego3876 5 жыл бұрын
@@arthurjustus1811 Sio kweli... Tafuta watu huko duniani kina Buffet,Trump,The late Jobs wanafanya interview za ata masaa mawili...
@jacksonjohn9884
@jacksonjohn9884 5 жыл бұрын
millard tunaomba hizi interview za watu kama hawa ziongezeke
@Derevamkongwe6864
@Derevamkongwe6864 5 жыл бұрын
@Millardayo nataka kufanya biashara na hao jamaa naomba uniunganishe nao Kama inawezekana mimi ni mtanzania ninaeishi ugaibuni, yani kiukweli haya maojiano yako nimetamani yasiishe jinsi yalivyokuwa ya msingi na kutia moyo hongera kwa kazi nzuri.
@allygibu7003
@allygibu7003 5 жыл бұрын
Nitumie namba yako tujadili suala lako nikuunganishe nao
@Derevamkongwe6864
@Derevamkongwe6864 5 жыл бұрын
Ally siwezi kuweka namba zangu hapa nitumie account yako ya matandao wowote wa kijamii nikutumie.
@allygibu7003
@allygibu7003 5 жыл бұрын
@@Derevamkongwe6864 ila Mimi sio mfanyakazi wa Jambo ila naweza kukusaidia kutumia mtu afikishe hitaji lako ofisini kwakuwa Mimi nipo mbali kidogo waweza nipata kupitia allygibu3@gmail.com
@Derevamkongwe6864
@Derevamkongwe6864 5 жыл бұрын
Sawa nitakutafuta kaka
@allygibu7003
@allygibu7003 5 жыл бұрын
@@Derevamkongwe6864 sawa kaka
@Shirimatunda
@Shirimatunda 5 жыл бұрын
Naona mnatumia mashine za krohnes hope mtakua na bidhaa bora
Bagamoyo Sugar || Kiwanda cha sukari cha Said Salim Bakhresa
18:31
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 60 М.