Nice, hata akiteuliwa kuwa waziri au mkuu wa wilaya, sina shida
@user-uo1zx4yu1z21 күн бұрын
Nilimsikia Steve anasema waende kujifunza wapate Elimu kwangu naona ni ujinga ni bora waje walimu huku huku Tanzania watoe Elimu kwa wengi na sio kuchukua watu wawili watatu kwa gharama
@aminamaulid737121 күн бұрын
Aliisemea hiyo perfume jamaniiii😂😂😂
@Hussein-gx4qu19 күн бұрын
Mama Samia anachezea pesa za walipa kodi
@user-pu6pr5jt4n21 күн бұрын
Shemeji wake kwa chibaba😂😂😂
@user-pu6pr5jt4n21 күн бұрын
❤❤❤idriss muoe dada wema
@salmamaulidy645921 күн бұрын
😂😂😂😂
@faiza407221 күн бұрын
😂😂😂
@josephk9021 күн бұрын
Ila Vido punguzaga maswali ya kimbeya bhana, mbona maswali ya kujenga yapo mengi tu😢
@alkhudhertarek97621 күн бұрын
Bora umeongea
@sophiakimaro517421 күн бұрын
Kwani huko big brother alipata sh.ngapi? Japo hela hizo hazikaagi ni za mauza uza tu.
@josephk9021 күн бұрын
Alipata 600 milioni ila ziliisha zote.
@sophiakimaro517421 күн бұрын
Mil.600 zilikuwa za Uganda au tz?pesa kama hizo ukizipata unafanya matukio faster hazidumugi ni kam za migodini
@ErnestJosephat20 күн бұрын
@@sophiakimaro5174HELA INATEGEMEANA NA MTU!!KAMA AKILI YAKO IKO FASTER PESA INAENDA HVYO HVYO !!KUNA WATU WANAPATA B3 ila Hiezi jua kama anahela anaishi vile vile
@Kabwela77621 күн бұрын
Huyu dogo Pumba kabisa sijui ni mzaramo au mndengereko yaani unapata hela nyingi za big Brother halafu unaendelea kuwa Mavi na ushunzi
@SharifaOmary-ui8vs21 күн бұрын
Ww ndio pumba
@user-xc1vv5ut3l21 күн бұрын
Kweli iina limeendana na akili zako k😂😂😂😂😂😂
@emmanuelmchomvu267621 күн бұрын
Ww hela zko umefnyia nn au mdomo tu kma demu
@Kabwela77620 күн бұрын
@@SharifaOmary-ui8vs zezeta huyo hamna kitu
@Kabwela77620 күн бұрын
@@emmanuelmchomvu2676 Niko vizuri sio huyo Mavi yaani mahela kibao na Leo ni lofa tu