Kwa ufupi waafrika ni smart sana basi tu, hatunaga support, hongera kijana
@muduboy7264 ай бұрын
Support ni mimi na wewe wa inje sio lazima
@Fabulousmom5094 ай бұрын
@@muduboy726 ni kweli
@jifunzeleo.86104 ай бұрын
Hapo ni sisi Kwa sisi kusaidiana...serikali ifanye yake na ikikupa msaada mwisho watakupa na masharti kipaji kinakufa...hapo ni Wana 1000 hapa Tz tunampa mwana 10000 kila mmoja kisha tunamwambia fanya kikubwa zaid😊😊😊
@RamadanPaul4 ай бұрын
@@jifunzeleo.8610 Ukoloni mambo leo umetufanya waafrika kujiona hatuwezi kabisa.
@dennisdeogratius65584 ай бұрын
Cha ajabu kuna mtu sahii anasoma automotive engineering lakini hiki kitu hawezi elimu yetu ya bongo kazi sana big up sana kwa huyo kijana vijana wa veta pia wanafanya vizuri
@Keyjop4 ай бұрын
Tengeneza broh...na Mungu akitimilizie ndoto Yako ije 🙏 Amen 🔥♥️
@recenttechnologiestanzania27034 ай бұрын
Tunaomba makampuni ya kitanzqnia yaingie kwenye uwekezaji wa technologia vijana wa hivi wako wengi
@menalikechildren88364 ай бұрын
inaumiza san
@farijalamhanga50974 ай бұрын
Huyu angekuwa kwa wenzet ninkama dhahab kwao,serikal yetu imuone kwa jicho la tofaut🎉🎉🎉🎉🎉
@joshuajofrey98324 ай бұрын
Serikali ipi sasa😮😢😂
@shalomchaula44204 ай бұрын
Tanzania tuna vijana wengi sana wenye ujuzi wengi sana wangekusanywa na wakachukua na walio kaa darasani Kwa ujuzi tofauti ndani ya mwaka tungeunda gari zuri na lenye sura nzuri ...kongore sana kaka hii inaonyesha tunaweza na watu weupe wanajua sema wanapiga kichwa siku zote Kwa misaada hisiyo na tija unapewa mchele na unamchele daah Mungu aikomboe Tanzania
@nsajimwasege684 ай бұрын
Vipaji hivi vinapuuzwa,Mungu tufungue macho waafrika, tufumbue macho tuone uwezo wetu uliotupa,utajiri uliotupa katika ardhi na vichwa vyetu!!!
@Ommyjr-en9fc4 ай бұрын
Kweli kabs kk waafrika tumefumbwa sjui WP unaweza shangaa mtu Kama uyu anachukuliwa at sheria
@ALONMWAMPAMBA4 ай бұрын
Duu mungu akufungulie njia utengeneze mengi.Tutumie Hata sisi wa vijijini
@RamadhaniLukambuzi4 ай бұрын
Safi sana kijana simamia ndoto zako Mwenyezi Mungu atakufikisha mbali sana!
@kammunisi22964 ай бұрын
kwa kunsapot kijana nitamuoda gari2 kama hizo aniuzie cha kuomba 2serikali itoe vibali vya uyu kijana kwa haraka ili aweze kufanya biashara
@ezrajohn64444 ай бұрын
Ni ajabu sana walio wengi vyuoni hawawezi yeye bila vidato kafanya. Kipaji hiki kitunzwe kwa gharama yoyote na kitufae Watanzania wote. NAKUPONGEZA KIJANA asante AYO kwa kutusogezea hii.
@amielraphael29274 ай бұрын
Hongera sana Bwana mdogo, umeupiga mwingi
@KijukuuMtemi4 ай бұрын
Ingekua nchi za ulaya ungepata ajira apo apo lakin kwetu tz utabaki kusifiwa tu ila kaza usivunjike moyo utatoka
@kimwerimwerondo7084 ай бұрын
KWENYE FINISHING DOGO ANATISHA NI YA KIJANJA SANA
@chidi_don4 ай бұрын
Dah kwa kweli dogo anajua sana yani Tanzania tunaweza sana 😢
@Mshuta4 ай бұрын
Tengeneza mengi boss utuuzie
@hellenmawere92844 ай бұрын
Kwakweli hata Mimi nalihitaji
@justinbara67834 ай бұрын
Ishu siyo kutengeneza ishu jamaa Hana mtaji labda Mtu ajitokeze awekeze
@bukharysaid4 ай бұрын
Hata akiwezeshwa utaambiwa halijakidhi vigezo vya usalama. Yale ya masoud kipanya yako wapi mpaka leo
@jifunzeleo.86104 ай бұрын
Serikali ikimpinga hatukubali tutaandmana kumtetea
@shaviercharvinho184 ай бұрын
Umenifurahisha sana
@user-ex6vo5wu2x4 ай бұрын
Good idea Big up bro hapa kilicho baki ni serikali kutoa support
@allybobsaith4 ай бұрын
Kachukue leseni kaka😂😂dahhhh balaaa wewe ni nona mungu akubarikie ameen
@jameskajenge31094 ай бұрын
Very talented, hongera sana kwa kuthubutu kuonyesha uwezo wako
@alexmathias66204 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤blavo blavo kazi nzur sema tu kwa Tz umona upo kwenye Raman na sio kwa vitendo, Kama ingelikua Ni nchi za wenzetu mfano watu weupe wanabebana Sana lakin sisi watu weusi tuna loho mbaya hatupendi mafanikio ya mtu mwingine🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 we pambana ukibahatika kupata kamtaji jiendeleze wewe mwenyewe
@user-ku4xq4nd9v4 ай бұрын
Hapa ndipo Rais wetu wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anatakiwa aanzie hapa kwa kijana kutupeleka kwenye Gari zetu watanzania Historia ita andikwa upya Masud kipanya Nduguyo huyo Wateja tupo tayari
@chidiomari.654 ай бұрын
Masoud kipanya anabidi amuone uyo kijana waunganishe mawazo Kwa pamoja
@Shokolokobango93854 ай бұрын
Duh kumbe kuna masudi kipanya pia huku kuna jamaa anaitwa masudi kipaka au ndo amecopy
@deniccgabriel61534 ай бұрын
Kweli halloo wakae pamoja mbona hakuna linaloshindikana
@wilsonnzowa36204 ай бұрын
Uwakika
@SamsonBupamba-oh3yl4 ай бұрын
Wajapani na Wachina wamefika mwisho, Mungu atusaidie sana, tuna vipaji Vingi, hunger sana Mungu akulinde
@user-ps1ph9iv5b4 ай бұрын
Ni mbunifu mzuri na wabunifu kama hawa tunao wengi sana hapa nchni, kwasasa tunahitaji zaidi waundaji
@brainyieldschools4 ай бұрын
Mama Samia please look at this boy @ikulu
@mwana-unique3 ай бұрын
Hongera sana kijana serikali ikusaidie kulinda carrier yako
@durangobasics61954 ай бұрын
"Amelitengeneza gari hili yeye mwenyewe; kuanzia mwanzo, mpaka mwisho". Labda tuseme "ameliunda" Hongera sana kwa kitu ulichokifanya. Tunaweza!
@stevenchawala53164 ай бұрын
Tengeneza ving hivyo utuuzie funika juu mvua isitunyeshee bro safi sana Mungu akubarik sasa WAJAPAN awataniona
@atutweve41604 ай бұрын
La summer manake sio matumizi ya kipindi cha mvua,
@Madam2554 ай бұрын
Tulioishia darasa la saba tuna kitu tutafika mbali 😊😊😊
@fundimagariDSM4 ай бұрын
❤🇹🇿 tutatoka2 bongo apa apa tunaweza
@user-bp2qu2ir7i4 ай бұрын
good creativity, big up sana kijana.
@user-cs9jj4ds9u4 ай бұрын
Naamini kwa watanzania wa Sasa naamini utasaidiwa mungu ni mwema aendelee kukupa uwezo wa kufanya zaidi ya
@achouraachoura57634 ай бұрын
Masha'allah MNGU atamuinua zaidi
@allythabiti81504 ай бұрын
Allah amjaalie hakika ana kipaji wallah
@Avith-lj2sp4 ай бұрын
brother bigup kumbe tunaweza...soon magar yatakua manufactured bongo
@paulinacharles89694 ай бұрын
Hata baadhi ya watu wakibeza, huu ni usafiri ukizingatia ni gari ya kwanza. Gari ya kumi na kuendelea itakuwa na maboresho makubwa.
@Mapenzi26354 ай бұрын
Kwanza tumshukuru Mungu kwa neema ya Kipaji. Gari nzuri na ni gari ya michezo. Pongezi kwa mtoto huyu. Kisheria miaka 17 ni mtoto . Pili, nawapongeza sana traffic police waliomkamata na kumwachia akakuze Kipaji chake. Naiomba Serikali imuwezeshe kisheria asajili gari lake. Tatu nampongeza mwandishi wa habari kwa maswali makini.
@tanzaniacarschannel69754 ай бұрын
He took bajaj/Chinese cargo tricycle engine, designed the chassis, he took bajaj/chanise cargo tricycle wiring and put in it, assembled everything all together..then boom l.....
@jumamkoka22674 ай бұрын
Unajaribu kusema nn??
@tanzaniacarschannel69754 ай бұрын
@@jumamkoka2267 sorry i was in hurry at times when i was writing my comment... probably now you can understand what i wanted to address sir.
@jumamkoka22674 ай бұрын
Oh, ok
@mzikiplustz4 ай бұрын
Tokea 2022 serikali haijamuona tu ,Ama kweli serikali yetu ya Tanzania ni ya hovyo sana 😠😠😠
@kevinkatima49754 ай бұрын
Mwenyezimungu akusaidie kipaji chako kisififie hata uwe na kampuni yako🙏
@user-mm1qe7zx8c4 ай бұрын
Amen kijana Bwana akuinue ufikie maono yako
@rpynoel5664 ай бұрын
Millard ayo Kwa hii taarifa umechelewa sana kuigundua
@jhoairdronekings4 ай бұрын
Nakuunga mkono pia nimeiona mda sana alifanyiwa interview na watu wa nje mpaka nikajiuliza mbona kwa millard sion kitu na huyu ni mbongo mwenzetu.
@spency23714 ай бұрын
Woow! Wooow! Wooow!!❤
@midundotechtz68434 ай бұрын
Kazi nzuri kijana ila kwa muda mwingine unda bajaj za abilia na mizigo itakisaidia sana
@kennar0124 ай бұрын
In Kenya we do help such people and give them the support they need. Kuna mwenye alitengeneza ndege Kenya sasa hivi amekuwa tajiri. Mwambieni akuje Kenya serikali imchukue huyu atakuwa millionaire haraka sana Kenya. Kuna kampuni ya kuunda magari kenya inaitwa Mobius wanachukua watu kama hawa wenye akili innovative. Come to Kenya bro and you will be recognised across Africa.
@jerrywilhelm4 ай бұрын
Keep it up
@damasmassawe36014 ай бұрын
mambo kama haya hayapewi airtime ,ila mambo yakijinga ndio yamapewa muda , tz inashida kubwa sana kwa watu kama hawa
@willsonjohn-nl1om4 ай бұрын
Ni muhimu sana kuendeleza hicho kipaji!!
@user-kx4wd5vb4j4 ай бұрын
Namkumbuka 20 percent.kwa wenye hela zitaongea hela ila wenye vipaji wengi mafukara. Naficha na na naficha naficha yale ninayoyaona.
@talentshow20243 ай бұрын
Tunaomba asije akakubali kuuza ugunduzi wake kwa wezi wa technology za wa Africa na kwenda kusema wao ndio wamegundua
@Avith-lj2sp4 ай бұрын
Kumbe formula1 one inaweza fanyika bongo hii lewis Hamilton atakuja bongo siku moja
@luisojr34804 ай бұрын
Ametisha sana
@user-od8tg1yt3g4 ай бұрын
wapo wengi sana mtaani ila serikali yetu wapo kimagumashi sana
@henrychacha55924 ай бұрын
Hongera sana, ila ongeza umakini kwenye finishing
@twahahamidu62464 ай бұрын
Finishing iko safi ww ujui kitu
@wazirijunior33434 ай бұрын
Mwanangu god huyo🙌🙌🙌
@margarethpolepole74384 ай бұрын
Mungu ambariki sanaaaa huyu kijana
@suzanbegas41394 ай бұрын
👏Congrats 🎉👍
@kennethipapo95524 ай бұрын
Tunavipaji vingi Sana Watanzania lakini kuwezeshwa bado tupo nyuma sana. Hii itapunguza utegemezi kutoka nje.
@jossporahmsw84204 ай бұрын
Endelea kuwekeza kwenye utengenezaji, hongera
@user-zr5rg5ul3q4 ай бұрын
Tanzania watu kama Hawa hawazeee kupata sapoti niamini mm
@godsonkyara48964 ай бұрын
Asitafute sapoti ya serikali, huwa wanapoteza vipaji vyao, watu wa namna hii waungane wafanye kitu, wanasiasa/serikali hupiga kelele kisha wanakuwa kimya milele. Sijasikia tena wala kona magari ya umeme ya Bw. Kipanya
@fortidaskashaigili74964 ай бұрын
Kijana inatakiwa utulie kwanza, tuliza akili, usiende mbio mbio sana, na Wala usikimbilie kupata mfadhiri, na usiwe mwepesi kutoa ujuzi waki hovyo Kwa kila mtu, Tz watakuchungulia Alf watakutupa hapo, fanta kazi wmenyewe binafsi, uza Moja kama tangazo Alf zinazofuata pandisha bei
@nolexkanyittahsuit4 ай бұрын
Tengeneza mengi mkuu tujekununua
@giftprosper23553 ай бұрын
Tatizo wawekezaji na support hamn
@israelmunuo79384 ай бұрын
Safi sana mtanzania🇹🇿 mwenzetu
@user-bp2qu2ir7i4 ай бұрын
nimeipendaaa
@willsonjohn-nl1om4 ай бұрын
Big up sana, kijana yupo Vizuri, Tunawezaje kupata mawasiliano yake??
@mochrissbyser24704 ай бұрын
Ingekua kwa wenzetu daaaah ingekua ni dhahabu kbs serikali wamuangalie kwa jicho lingine
@victorcephas36184 ай бұрын
Atengeneze mengi ayauze ntanunua moja
@denismasele41304 ай бұрын
Kuna watu wanaweza kukufata uwape maelezo kuhusu ubunifu wako ukazani wanakusaidia kumbe wezi😢😢😢
@faharimovies3 ай бұрын
Nimekipenda hicho kigari
@USACAUDIOVISUALMATERIALS4 ай бұрын
Dogo ungefanya kimya kimya tu. Hapa ukishatangazwa tu basi, badala ya kunyanyuliwa unashushwa.
@user-ew1qn3fc1x4 ай бұрын
President ya Tanzania mama samia ange mchurulikia ule kijana
@TheTickingAges4 ай бұрын
Usijaribu kutoa siri yeyote vile umetengeneza hilo ndo wazo langu.
@jumahassan2734 ай бұрын
Safiiiiiiiii sanaaaaaaaa
@maroahkissiry48633 ай бұрын
Millard naomba mawasiliano yake anitengenezee/aniuzie moja
@JuliusMtaita-gt9bs4 ай бұрын
Kama wew so fundi hauwezi kumuelewa uyo mkali . unajua man umemjibu kiufundi zaid apo mwisho aise nakubali sana
@gilbertngemela67524 ай бұрын
Mbona kama formula one 😂😂,
@kevinkatima49754 ай бұрын
Yaani kama umeishia la saba umefanya hayo ,tafadhali tafuta mtu wa pcm akupige pindi. An ukijua ma electromagnet na ma molecular physics utafanya makubwa zaidi ,usife
@patisondidas67204 ай бұрын
Dah uyu mwamba ni noma San pita humo humo kijan mungu atasaidia
@user-xv9nl6sn3q4 ай бұрын
Mtu wa maana kabisaaaaa
@eliasluchanganya15224 ай бұрын
Mungu atusimamie waafrika
@AlenKinyina4 ай бұрын
Hongera sana kijana
@elibarickjoseph30053 ай бұрын
Na Mimi nataka naniuzie Moja Kwa kweli
@user-ul2rw4bg8s4 ай бұрын
Genius
@makongoronyerere15644 ай бұрын
Viongoz wa Tanzania wanazingua sna, uwaambie kutuma askali police kukamata Boda Boda, hapo wanaweza xna,,
@benjaminsanare-ug6ge4 ай бұрын
Finishing ya kijanja sana
@Faustine_Charles4 ай бұрын
naiona nuru
@plotagonworld-sc4ln4 ай бұрын
Bigup bro💪💪👍👍👏👏
@mejakimaro27734 ай бұрын
Kwanza tunamkamata anawekwa ndani Hana kibali,anaendesha vipi gari?......(Serikali yetu! KP motors iko wapi hadi Leo?)
@Ommyjr-en9fc4 ай бұрын
Hongera port,hakika bongo tunavitu vingi tu vya ajabu lakin bado tumetawaliwa kifikra ,ifike mda wazazi tuwe makinni kuwajua vijana wetu tangu wakiwa wadog tuwajue kisaikolojia ni akinanani wa baadae,wenzetu wazungu hawalazimishani mtoto akifikia mri kuanza kuchezea vitu wanamuwekea vitu vingi mbalimbal kama mpira,kalamu,gari,pisto, n.k kile ambacho atapendelea sanaa wanaamini mafanikio yake yko hapo ,wabongo tubadilike wengi tunataka watoto wawe madaktari lzm tugawane majukumu🇹🇿
@abedysteven49304 ай бұрын
Dah tanzania kuna vpaji xana !! Xerekali muone huyo kijana!! Ana uwezo!! Me nakupongeza dogo Kwa akili kubwa uliyoi2mia!!!hongera xana
@user-ty8ci5oi9m3 ай бұрын
Hiyo hata mimi naeza kutengeneza migu ya piki pikii mimi ntakubali mtu anatengeneza akiunda machuma migu kila kintu bila gutumia vyuma vya uzehe ntakubali huo mtu
@shaban66444 ай бұрын
Atunukiwe PHD,
@davidndaha96074 ай бұрын
Vipaji vipo ila serekari ni upigaji tuu kwa pesa zingesaidia hata vijana!.
@richarddavidmk4 ай бұрын
Hii ikopowa bushi huku .ila sikufichi hautapata sapport .TIA=This is Africa
@ilalikilimo4404 ай бұрын
Tanzania ina vijana wanavipaji sana lkn serikali hawaoni sijui kwanini..... Serikali inabidi wawatafutee hawa vijana kwa maendeleo ya taifaa hili... sio vijana wawatafutee serikali
@kombojuma28734 ай бұрын
😂😂😂 hongera sn sn🤝
@TheTickingAges4 ай бұрын
Huyu angekua yuko america angekua tajiri saa hizi lakini serikali zetu za kiafrika zinapuuza watu kama hawa. genius hafundishwi nikipaji cha kuvumbua kitu.
@danielmussa69444 ай бұрын
Hapa ndo utagundua elimu ni makaratasi tu,hospitali wanasema dawa ya jino kun’goa lakini jino lililonisumbua since 2012 nimelitibu kwa mzizi 2021 kwa kusukutua mara mbili na sijawahi kusikia tena