Mtu muhimu sana kwenye hili taifa.Mkuu Paul Makonda.Nakuombea kheri napia ulinzi wa MWENYEZI MUNGU wakati wote
@YakoboLohay-cs8jn6 ай бұрын
Po O
@FikiriMloka-ft3yf5 ай бұрын
Huyu ndiyo rais mtarajiwa 2030
@jogoomohamed26525 ай бұрын
@@FikiriMloka-ft3yf Hakika tukifanikiwa napia baraka zake MWENYEZI MUNGU huwa zinafuata sehemu zenye maombi ya wengi.Naamini 2030 Mkuu Paul Makonda yatatimia
@mudhihirugara88456 ай бұрын
Makonda umenikumbusha magufuli unahuruma mungu akujalie
@mornasaidtindwa36226 ай бұрын
Kwakweli adi machozi yana nilenga
@bahatigewa41636 ай бұрын
Makooooondaaaaa mungu akupe maisha marefuuuu
@user-nb2ez3bj3v6 ай бұрын
Mungu akuzidishie kaka Paul makonda
@iddihamisi63206 ай бұрын
Unamuweka mpaka ndani mlemavu kisa kudai haki yake imeniuma sana😢
@abdallahmakombo38666 ай бұрын
Alienda kukopa lkn
@HussainMaula-mw8vz6 ай бұрын
Kweli angeweza kua omba omba mungu akubariki makonda na sisi watanzania tupo pamoja na nyinyi ktk ujenzi wa taifa.
@binkhalifa6956Ай бұрын
Allah akulipe mkuu
@medsonulendo42216 ай бұрын
Makonda kwenye utendaji na maamuzi yupo vizur
@user-km1gv2kr6w6 ай бұрын
Bora umerudi makonda niliomba mungu sana urudishwe
@hassanalshaqsi67076 ай бұрын
Good work brother MAKONDA Your the best
@IbrahimDavid-yn1gl6 ай бұрын
Makonda Mungu akubariki saaana endelea katika zamu hiyo ni nafasi yako umewekwa na Mungu ,Mungu ibariki Tanzania na viongozi wetu wote.
@mputaostin30776 ай бұрын
KAKA makonda Mungu AKUBARIKI sana kwa haya unayoyatenda. Nakukumbuka ulimsaidia Pascal cassian.
@LucyKapinga-fg4dk6 ай бұрын
Amen Mungu Amtangulie
@JamillahThan9 күн бұрын
Mungu akubariki makonda hadi nimelia kwa furaha
@eggysulle79886 ай бұрын
WASUKUMA wanahuruma sana kwakwel,🔥🔥
@zuweinaalhabsya87736 ай бұрын
Wanahuruma na wakarim Sana wasukuma halafu wasafi Sana
@AbdallahBahati-cl9rkАй бұрын
Vidio
@eggysulle7988Ай бұрын
@@zuweinaalhabsya8773 kabisa
@audaxbizimana80846 ай бұрын
Piga salute dadadekiiiiiiii Heko makonda
@user-om5go9nj6n6 ай бұрын
I wish even kenya tukuwe na mtu kama uyu. I can see this guy to be the president one day.
@MHDFURNITURE-jn2rx6 ай бұрын
mwaka ntakaonskia makonda anagombea uraisi hapa tz kula yakwanza yakwangu
@laurugumba44413 ай бұрын
Makonda mungu akulinde na akutunze binafsi unanikosha sana kwa kazi unayofanya wewe ni mchapakazi mungu atakuinua viwango vingine vya juu zaidi 🎉🎉🎉🎉
@user-xl7tb9xr9t6 ай бұрын
Kaka paul may God bless you ❤continue
@perfectark62926 ай бұрын
Mungu Amupe roho ya rais aliyopit Magufuriiii
@raymondnlelwa4276 ай бұрын
Lakini pesa hizi za kugawa kama njugu zinatoka wapi kwani?
@rosetreffert41796 ай бұрын
@@raymondnlelwa427acha wivu kutoa ni moyo hata waweza kusaidia !!!cha muhimu amesaidika
@saeedally2686 ай бұрын
Makonda anafaa kuwa rais haswaa anapiga kazi kweli kweli
@EzraStephano-lp6qr6 ай бұрын
Hakika tunaitaji viongozi kama Hawa kwenye taifa letu.
@songeza4 ай бұрын
Yaani Makonda Mungu akubariki tena akuzidishie umri mrefu uishi usaidie wanyonge vaa kwa nguvu zote viatu vya hayati mpendws wetu Magu tunamkumbuka hasa nawe unapochukua hatua zake dah
@GervasiMwachaАй бұрын
Safi sana kiongozi.
@user-nz6pj6gp7z5 ай бұрын
Maa shaa Allah❤ good job bro makonda
@alisonikihedu96146 ай бұрын
Makonda mbona unaniweka njiapanda kunamda naichukia ccm lakini nikkuona roho yangu inatulia sababu ninaona nuru
@JibilitiLubinza2 күн бұрын
Makonda mungu akupe maisha marefu unamoyo baba
@musasabuu2808Ай бұрын
Makonda ni kiongozi naiona picha ya magufuli napomtizama mh.makonda namna anasikiliza shida za watu nakuzfanyia kazi mwenyezi mungu amubaliki xna
@MaterlingMtui-oz8fpАй бұрын
Mridhi wa makufuli, makonda nakupenda , Mungu akuinue
@aishamzeehamissi6859Ай бұрын
Makonda na slaha 1wa Ardhi mungu awawekee mamasamia twataka watu kama hawa watetezi allwaa atawalipa na Rais wetuu
@user-og9jt3mg4c6 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa kumpa mtaji huyo kijana
@mussashemganga58036 ай бұрын
Mungu akuongoze kaka kwenye safari zako nalufia tena huna kaka ukifa huozi mkuu
@thabitdaudi98156 ай бұрын
Metaphorically namuona mama samia alikua amekaa kinyonge sana watu wanamchukulia poa ghafla akasema mnanijua kwel?? Akatoa AK47 akafyatua risasi, ile risasi iliyotoka pale is MAKONDA. GOD BLESS THIS MAN
@estellemwai54025 ай бұрын
True
@user-qo1rw2sz1j15 күн бұрын
❤❤❤❤ Mungu wambinguni akuhifadhi makonda
@selemanikilupy14686 ай бұрын
Mimi Toka najuwa masuala ya siasa watu wangu ndani ya Ccm ni wawili tu KANGI & MAKONDA
@hajihassan54336 ай бұрын
Makonda sawa lakini Kagi yule mwizi pale Magereza.
@VeronicaChacha-d4f20 күн бұрын
Jaman Mungu amlinde Makonda Ohhhhh jehova Msimamie Mlinde Muinue kwa utukufu wa jina lake
@irineshayo266212 күн бұрын
Mungu akulinde daima makonda
@SaadiyaMohammad-og5bgАй бұрын
Mungu akupatea maisha marefu makoda mungu Yuko naww mungu akulindia na mahasidia
@giffttymlemwa45232 ай бұрын
God bless ....
@lokendomneni70456 ай бұрын
God bless you Makonda
@futurekavugha376827 күн бұрын
Mwenyenzi mungu akuweke mokonda
@AleiHadji-js3ed6 ай бұрын
Makonda Katibu Mkuu mpya wa ccm muwe pamoja na kina mchengerwa musifarakanishwe
@Ursain.IKE.jesuis936517 күн бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Wewe ni mutumishi naomba Yesu akulinde 🙏🙏🙏
@AbubakaryOmar2 ай бұрын
Wasukuma wanahofu ya. Mungu hongeren mlojaliwa
@BarakaBrayson-rk2wfАй бұрын
Makonda apewe mauwa yake🎉🎉🎉
@AhlamKilema2 ай бұрын
Mungu hakubariki...makonda
@user-fu9ef1qf8z6 ай бұрын
Mungu akubaliki makonda pia niombe upite na kwenye wiraya ya ukerewe please mweshimiwa
@ElneySheddy-is1dv6 ай бұрын
Hakika makonda nimaraika ajae💪🙏🤝✍️
@SophiaKaayaАй бұрын
Makonda mungu akulinde uwanyooshe walioshindikana hawo ni zaidi ya majambazi
@bahatigewa41636 ай бұрын
Mungu amjalie kheri raisi wetu samia suluhu, mungu akujalie kheri dume la madume paul makonda
@ShamsaNassoro-zm8yoАй бұрын
Mungu akubariki makonda
@issasefu52995 ай бұрын
Mungu akubariki kaka ❤
@KhalidKhan-ud9cz5 ай бұрын
Asante kak
@mediavumbi92435 ай бұрын
Mubarikiwe sana
@esterelias81376 ай бұрын
Nakupenda baba makonda fanya kazi
@user-nv9jn7xc4f6 ай бұрын
Safi brother makonda
@christainc.52176 ай бұрын
Mungu akubariiki kaka
@MwalimuMwalimu-bv9ws6 ай бұрын
Pole sna kaka
@muna11656 ай бұрын
Daaa makonda mungu akubariki sana
@queenmunny2445 ай бұрын
Mungu akubarik ❤❤ baba
@MatronaThomas-wz5si6 ай бұрын
Ubarikiwe Makonda
@willydugilo32585 ай бұрын
Kwa tunao ona kuwa kazi inayofanywa na ndugu yetu ni njema na yakutia moyo wanyonge!! Japo wanafikiwa wachache!! Kwanini tusimuombe kuungana nae kwa kuunda japo ka group!! Kwaajili ya kuunga mkomo anachokifanya!! Kwana huo ndio mpango wa mungu!! Kuchukuliana kwa taabu zetu!! Kuna ndugu zetu wengi wanapitia magumu sana!! Tushiriki japo kwa kidogo tunachopata!! Wazo tu!!
@alfredmhana2356 ай бұрын
Mungu akusaidie kamanda makonda.
@khadijakimana88095 ай бұрын
Makonda, Mungu akukumbuke na wewe kwenye shida zako🤲
@bahatibushiri16106 ай бұрын
Daaaah makonda ubarikiwe❤❤
@JohnGamma6 ай бұрын
Mungu akufany uishi milele
@omarishorts602822 күн бұрын
Mtu wa maana kabisa huyo mungu akubariki mkuu
@JuniceMollel-e4c21 күн бұрын
Yani Mungu akubariki na roho yako wewe baba
@JAPHETHDausonАй бұрын
Mungu akulinde kilasilaha itakayo imuka juu Yako isifanikiwe
@AminaBakari-ds4dpАй бұрын
Makonda jamani mungu akulipe baba unanikumbusha baba Jpm
@mussamdoe46196 ай бұрын
Mkuu Mr mackonda ujio wako wakuja Tanga tunakuomba fika wilaya ya korogwe Kijiji Cha mazinde Kuna shida nyingi zinasababishwa na diwani Kuna lushwa imekisiri Kila upande juu ya diwani malalamoko mengi yanamhusu njoo tufunguke ujiskilizie keamaskio naikiwezekana uondoke nae
@RahimaMct-ik8mr6 ай бұрын
Apewe ulinzi 😢 masin dah mwenyenzi mungun akuzidishie huruma na wanyonge
@LawrenceMndimba2 ай бұрын
Very nice
@MartinSilungwe-ws2se14 күн бұрын
Ubarikiwe
@user-mc6um1it1r6 ай бұрын
Baba mungu akubariki sana yani naomba mungu mwaka ujao ugombanie urais
@AllyGibu-cz2vo6 ай бұрын
Urais atagombea Samia akitoka madarakani hawezi kugombea na bosi wake
@WinifridaJonathan-cq2nw2 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde sana hatutaki maumivu tena angalau unatupunguzia ule uchungu moyon😢😢
@DaynessSteven-yr4ud6 ай бұрын
Da huu moyo nizaidi ya mioyo hongera kaka
@HamadyDaudy4 күн бұрын
Ongoz wa kuigwa💯💯
@charlesdaffa-hk9cd3 ай бұрын
Safi sana Young Magufuli
@mamilooutukufu35165 ай бұрын
Wew ni musa ulietumwa lwa wana wa Israel (Tanzania) Ombi langu ni moja tu mpe uraisi uyu mjoli wako Watanzania wote sabbu si kwa utetezi huu
@user-xn4qt3go1n5 ай бұрын
Nakukubali xana
@ZainabMilanzi29 күн бұрын
Mungu akulinde uje uwe raisi magufuri
@phoebembwambo27637 күн бұрын
M❤❤❤mtu muhimu mnoooo
@Rebmanalextem-g5s21 күн бұрын
njoo chadema gombea urais sisi tunakupa unaiweza hii kazi kaka
@user-vb5ci7io5s5 ай бұрын
Namuona magufuli karud ndan ya NCHI yetu Asante mungu
@user-mp4yt7ps5q6 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde
@SaadiyaMohammad-og5bgАй бұрын
Mungu wangu huyo mtoto aminitowa machozia siwakuthulumia mungu msaidia
@dottothomas-je6jkАй бұрын
Jaman utu hatuna tena ee mungu agalia watu wakoswa marifaa
@user-qc2vd6xj4r5 ай бұрын
Next presdaa
@bbclondonulimwenguwasoka61266 ай бұрын
Ok. Can be true but for high percentage , this is psychological problem
@user-vm5ub8pf7q6 ай бұрын
Ah magufuli hoyeee
@NeemaMassawe-qg6kfАй бұрын
Makoda umekua hodar sana baba munqu akulinde
@RehemaSadik-jn1ddАй бұрын
Kama namuona magufur aisee mungu akulinde poo
@halimaauthman93246 ай бұрын
Kilema mnamuweka ndani hamna huruma 😢
@user-ci6oh4cm7j6 ай бұрын
Ila siomenti Kwa huyu dogo mlemavu ,makonda mungu akubariki
@user-qk5gh5ns9m6 ай бұрын
Uishi maisha marefu baba makonda👏
@user-qw8tm3jz2u6 ай бұрын
❤❤❤Makonda
@user-sc4sp6ko2s6 ай бұрын
Kaka makonda Mungu akuongoze kiongozi wetu
@gilbertshirima26846 ай бұрын
Hizo hela anatoa wapi?
@GraceMhoja-zc7yg5 ай бұрын
Mpka nmelia jamn Mungu tusaidie
@user-rf9vn7lz1n6 ай бұрын
Mung akubarik kak uwo ndiy uzalind aliyekuw anafany bab yetu magufuli
@RodahKulela-bd8tuАй бұрын
N mda tumefungwa but lord can remove all the gap over u..be saved