MTOTO ALIYE-TREND KUTAJA MIRADI YA HAYATI MAGUFULI NA MARAIS 50 AONGEA “NIMEUMIA"

  Рет қаралды 1,195,809

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Mtoto Baraka ambaye ametrend kwa kutaja maRais wa nchi hamsini,miradi aliyoitekeleza hayati Dkt John Magufuli pamoja na baraza la mawaziri wa serikali ya awamu ya tano amezungumzia kifo cha hayati Dkt Magufuli nakusema ameumia sana baada yakupata taarifa ya kifo chake.

Пікірлер: 877
@leticiamchomvu3623
@leticiamchomvu3623 3 жыл бұрын
Baraka za Mungu Baba na mwana na Roho Mtakatifu ziwe nawe daima mtoto mzuri uzidi kuwa kichwa na tunda jema katika nchi yetu👏👏👏
@lenaosore6710
@lenaosore6710 3 жыл бұрын
Mimi ata raisi wangu cmjui 🇰🇪 naomba serikali ya tanzania 🇹🇿 wamtunze huyu mtoto hii ni faida kwa tanzania na Africa mzima may God keep you safe and protect from the evil eyes somebody say ameen
@flaviankato1697
@flaviankato1697 3 жыл бұрын
Hahahha
@yusuphaman3449
@yusuphaman3449 3 жыл бұрын
Hahahahahaha Lena umenichekesha
@dripgokujayden3677
@dripgokujayden3677 3 жыл бұрын
Ila unasema kweli ame tufunika sisi apa
@esthermoraa6648
@esthermoraa6648 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bnussrahlimsantah3730
@bnussrahlimsantah3730 3 жыл бұрын
Uso umenishuka kwakweli
@magdalenabenard4208
@magdalenabenard4208 2 жыл бұрын
Mungu skype maisha marrfu mjukuu wangu akufikishe kwenye ndoto zako mshike sana mungu
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 3 жыл бұрын
Kazi nzuri wazazi Kuna kitu mnakitengeneza na kitawalipa inshallah
@daviddotto3529
@daviddotto3529 3 жыл бұрын
Huyu mtoto ni zaidi ya genius ,mfundisheni na kushika dini atasaidia wengi .., nimempenda
@thehamsterjourneycooler1792
@thehamsterjourneycooler1792 3 жыл бұрын
Wow!
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 жыл бұрын
Mashaalah
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 жыл бұрын
Mungu amjaalie sana
@daviddotto3529
@daviddotto3529 3 жыл бұрын
@@lampadshigonko3006 umeona nimetaja dini gani hapo uelewa wako ni mdogo? Halafu Mimi ni maoni yangu huwezi kuanza kushughulika na mawazo yangu, nawe toa ya kwako na kila mmoja aheshimu mawazo ya mwenzake...naheshimu sana MTU anayemheshimu mwenzake na mawazo yake lakini si kunishambulia tafadhari kaka hunijui sikuji heahima iwepo...
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
@@daviddotto3529 genius inamuhusu nn ap mbona v2 viwili tofauti usifananishe wa2 ha2fanani
@ukhutymamuu7470
@ukhutymamuu7470 3 жыл бұрын
Nimejikuta nalia kwa furaha Allah akukuze vyema mtoto mzuri🙏🥰
@benardituragire9915
@benardituragire9915 Ай бұрын
Hata mimi
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 3 жыл бұрын
Mtoto amenishinda mpaka mim kwahao marais wa nchi za njee mashaalla Allah akupe umri mlefu Rais wa miaka ijayo mungu akutunzee prince
@nekesaester2068
@nekesaester2068 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 3 жыл бұрын
@@nekesaester2068 yaniii acha tuu vichazi vinatutia heka heka
@nekesaester2068
@nekesaester2068 3 жыл бұрын
@@zaiiomary8970 nakwambia 🤣🤣
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 3 жыл бұрын
Hongera sana mama kwakumzaa huyu mtoto tunatumaini sikumoja atakuwa kiongozi Tunakuombea mtoto wetu baraka Mungu akulinde daima From oman
@oliverben8010
@oliverben8010 3 жыл бұрын
Wale wenzangu mnaosoma comments , , afu na kati ya hao marais amewataja huyu mtoto hata kumi haufikishi . tujaane jaman
@gudlamedad7492
@gudlamedad7492 3 жыл бұрын
Wakwanzaa
@zuchuu6659
@zuchuu6659 3 жыл бұрын
Tupo tupo atujui hata wa5🤣🤣🤣
@bikogwagacha7802
@bikogwagacha7802 3 жыл бұрын
14
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
Yani mm ngetokanduki 🤣🤣🤣maana izonchi sizajuihatakwakuzisikia
@omarsharifa5606
@omarsharifa5606 3 жыл бұрын
Najua wangu na wajirani
@nyabukitundu2929
@nyabukitundu2929 3 жыл бұрын
Indigo child Mzazi yupo busy na mwanawe ktk habari za dunia wengi sisi watz watoto bora asikilize music na kuiba nyimbo za kidunia Allah azidi kuwapa maisha marefu wazazi na wafadhiri
@abdulrahmanis-hakka3347
@abdulrahmanis-hakka3347 3 жыл бұрын
Ameen
@dr.njipaysophon3209
@dr.njipaysophon3209 3 жыл бұрын
Tanzania tumejaliwa vipaji sana tatizo tu linakuja kwenye matumizi ya vipaji. Juzi tu tumetoka kumsikia mtoto genius wa hesabu leo hii tena mtoto mwingine genius Mashallah!. Mungu awabariki kwakweli. Ningeomba serikali izidi kuweka mazingira mazuri ya kukuza vipaji hivyo kwa mustakabali wa taifa letu. Pia niwashukuru waandishi wa habari specifically Millard Ayo kwa kuendelea kufichua vipawa hivi adhimu na adimu. God bless Tanzania
@RichardMgalla
@RichardMgalla 3 ай бұрын
❤😂the the 😂
@annaemmannuel2101
@annaemmannuel2101 3 жыл бұрын
Mama nae yuko vizuri, hongera sana mtoto mzuri, Huyu mtoto ni wa pekee sana Mungu amtunze
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 3 жыл бұрын
Mtangazaji sema mungu bariki. Au sema masha Allah..sio duh
@winifridathomas5081
@winifridathomas5081 3 жыл бұрын
Kawashida wengi maan mm najuwa malais wangu tu😄😄💝mungu akulinde baraka kutoka kwake km jina lako love you everything day Baraka 🤩🤩🤩👩‍💻
@devotawaitara2333
@devotawaitara2333 3 жыл бұрын
Hata mm
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 3 жыл бұрын
Nilichojifunza mama pia yuko samrt anamfundisha Mtoto hakuna Mtoto asokuwa na akili ni ss wazaz tu tunatakiwa kuwawezesha
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 3 жыл бұрын
Kweli jmn
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Na mtoto awe na juhudi
@mpandamohamedmsoke9722
@mpandamohamedmsoke9722 3 жыл бұрын
Haya mfundishe wako alafu mlete atueleze kama hivyo
@elizaboster9479
@elizaboster9479 3 жыл бұрын
Kweli kabisa mama ana akili SEMA kakosa usimamizi wa awal angekuwa mbali sana
@chainbre275
@chainbre275 3 жыл бұрын
True
@rezegerezege691
@rezegerezege691 3 жыл бұрын
Serikali ina kila sababu za kuwatunza watoto hawa wafikilie tu hilo jambo. Mwanangu ubarikiwe sana . MUNGU WA MBINGUNI AKULINDE DAIMA. AMINA.
@lameckmalima6691
@lameckmalima6691 3 жыл бұрын
Hakika Tanzania tuna ma genius wengi sana
@ainembabaziapophia7639
@ainembabaziapophia7639 3 жыл бұрын
Yes
@omarisarai7699
@omarisarai7699 3 жыл бұрын
IQ ya huyo mtoto iko juu sana,pamoja na kufundishwa bt kwa umri huo,kukariri vitu kama hivyo my friend inahitaji bongo kubwa,Kijana yupo juu zaidi ya sana,Mungu amlinde na mahasidi na vijicho vya watu
@jovinajovin9617
@jovinajovin9617 3 жыл бұрын
Ya iq yake so ya kawaida watu wanasema eti anafundishwa 😂😂 Ana iq na kipaji bhana
@magrethmrangarwe904
@magrethmrangarwe904 3 жыл бұрын
Pamoja nakufundishwa anakipaji kikubwa mm mwenyewe kwa umri huu siwezi kuyajibu
@treestem9081
@treestem9081 3 жыл бұрын
Hongera kwa mtoto huyu mwenye kipaji cha pekee. Ana uweso wa kiliiongoza bara letu. Mola amjaliye yote yaliyo ndotoni mwake.
@zou7470
@zou7470 3 жыл бұрын
Mansh'allah 💕💕mtoto uyu hadi amenitowa macozi ety alitamani akutane na magifuli angoe nae jamani 😭😭😭
@cosmassetumbi7693
@cosmassetumbi7693 3 жыл бұрын
Mimi zee zima hata ukiniuliza rais wa kenya Nani sijui
@hildantandu5909
@hildantandu5909 3 жыл бұрын
@@cosmassetumbi7693 umeona ee ,Mimi namfahamu wa Kenya,Uganda ,Africa kusini,na Rwanda,wengine watajijua,maswali mengine ndio kabisa.
@mitchelljohnson5218
@mitchelljohnson5218 3 жыл бұрын
Good work congratulation small boy keep it up nimekupenda sana😍
@rehemambuguni2426
@rehemambuguni2426 3 жыл бұрын
Huyo mtoto yupo vzr licha ya umakini wa mama yake,mungu amsimamie atimize ndoto zake Amina🇹🇿🙏🙏🙏
@kennedytito401
@kennedytito401 3 жыл бұрын
Maigizo au
@amanmbwambo2975
@amanmbwambo2975 3 жыл бұрын
@@kennedytito401 simba
@teresiamwende8606
@teresiamwende8606 3 жыл бұрын
Yaani huyu mtoto n baraka kama jina lake. Hongera mama na mwanao🙏🙏🙏
@godfreyjames8582
@godfreyjames8582 3 жыл бұрын
Eti mama samia apige moyo konde aisee nakuombea ufanikiwe mwanangu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Kweli apige moyo konde
@paulomaguhwa8229
@paulomaguhwa8229 3 жыл бұрын
Mtoto yuko safi sana na mama pia anapambana kuhakikisha mtoto kipaji hakipotei mungu amsaidie sana
@tinanyange8000
@tinanyange8000 3 жыл бұрын
Nimependa kauli yake ni kweli yametokea mama samia apige moyo konde maisha yaendelee watanzania tupo nyuma yake
@paulkiokolechipai4228
@paulkiokolechipai4228 2 жыл бұрын
Waow nice smrt MUNGU AKUBARIKI SANA MTOTO wetu mungu akusishie NEEMA
@ruthiekimsy
@ruthiekimsy 3 жыл бұрын
Jamani mtoto mdogo huyo na kipaji.mungu akuongoze.miaka ijayo utakuwa kiongozi..♥️♥️
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 3 жыл бұрын
😊😊😊 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 Angekuwa Nchi kubwa, angefuatiliwa na kusimamiw kwa karibu kwa sabab ni special kid!
@samuelkateo2593
@samuelkateo2593 2 жыл бұрын
très intelligent cet enfant suis en Rd Congo Kinshasa
@alexanderbalars
@alexanderbalars 3 жыл бұрын
Tanzania has got good talents and brains.waleteni uku Kenya tucheze kama sisi
@michiramagadaline1033
@michiramagadaline1033 3 жыл бұрын
Wow wow amazing baby boy Mungu amupe hiyo kipaji, aendelee hivyo hivyo, na amupe nguvu, mama take care of him be blessed all
@dismasichukilizo4433
@dismasichukilizo4433 3 жыл бұрын
Nimejifunza kwamba Mungu yupo kupitia mtoto huyu Mungu amlinde siku moja aje kuwa vile anavyo tamani awe moyoni!
@leahparasino9061
@leahparasino9061 3 жыл бұрын
Mungu wangu sasa kayajuaje jamoon Duuh mungu amlinde huyu mtoto ❤❤
@roshichocolatee8084
@roshichocolatee8084 3 жыл бұрын
😭😭😭❤❤mie jmn nahisi kulia kwa furaha tuu mtoto mpaka anatia raha kumskiza😍
@samiramahmud406
@samiramahmud406 3 жыл бұрын
MashaAllah Allah Amkuze Amjaze Baraka Amlinde na Husda za watu Allah Amzidishie Kipaji chake hadi Ukubwani Afanikishe Maleno yake, Amin 🤲❤
@salmaabdillah3453
@salmaabdillah3453 3 жыл бұрын
Amen 🤲🤲🤲
@niranikichaka3027
@niranikichaka3027 2 жыл бұрын
Masha Allah Allah amuongoze ampe elimu yenye manufaa Na ampe afya njema Na umri mrf azingatie heshima
@nurusaidy7552
@nurusaidy7552 2 жыл бұрын
Mashallah 🤲🏾 ukasome KAKA mungu akuongoze
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 3 жыл бұрын
Hongera sana ayo TV kwa kazi nzuri ya kuvumbua vipaji. Mtoto ana uwezo mkubwa zaidi ya mnavyofikilia.🇹🇿🇸🇪
@feishiks2285
@feishiks2285 3 жыл бұрын
Awooow good job young boy
@teresiawachira1034
@teresiawachira1034 3 жыл бұрын
Wao, God has gifted us differently. This is awesome.
@anahna6788
@anahna6788 3 жыл бұрын
HUYU NI JPM WETU WA KESHO KUTWA MABEBERU WA JIPANGE KWELI KWELI NILICHOKIOA KWA HUYU DOGO NI KUNASA MANENO YOTE ANAYOFUNDISWA
@mwanakherimaalim3165
@mwanakherimaalim3165 3 жыл бұрын
Mashallah Allah akusimamiye kwa Kila hatuwa
@neemasalema1546
@neemasalema1546 3 жыл бұрын
Kweli kabisa na wajipange haswaaaa
@charlescoin536
@charlescoin536 3 жыл бұрын
Acha kufananisha watu na ujinga wako
@bintybaba3486
@bintybaba3486 3 жыл бұрын
Nimecheka tuu jamani mwanahabari ungepiga tu simu mama akafanya hiyo kazi kkkk
@nusratbintabdullah5713
@nusratbintabdullah5713 3 жыл бұрын
Wow this is soo amazing much love from Uganda greaty boy God bless you more baby boy
@shikokings
@shikokings 3 жыл бұрын
Child Prodigy. should be in high school by now. He will be the next Dr. Magufuri of Tanzania in the next 30years or so to come. His Excellency Hon. Dr. Baraka. I may not be a prophet but In the Mighty name of Jesus, I decree and declare it shall come to pass. Mtoto Baraka, God loves you so much . Nasi hapa Kenya twasema Hongera.
@fumboog3285
@fumboog3285 3 жыл бұрын
Daaaa kweli nime amini kuna kizazi chenye malengo na kuna vizazi vya simat phon
@HalimaJuma-hz4qe
@HalimaJuma-hz4qe Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 tumbo langou
@edinesterkijanga6437
@edinesterkijanga6437 3 жыл бұрын
Aseee mtoto huyu Mungu amlinde Sanaa maana hatari sio kidogo maana anajua mpaka sayari
@jlove5238
@jlove5238 3 жыл бұрын
Mungu wangu 🙌🙌hayo majina ya maraisi wa nchi hizo zote ndio kanishangaza anaakili sana huyu mtoto na itakuwa kalisi kwa mama yake.. ❤
@chaulamsemo8778
@chaulamsemo8778 3 жыл бұрын
huyu mam yake naye arudi shuleni kwani ni kipaj kilichozikwa!!
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 3 жыл бұрын
Moyo wa Furahaaa pamoja nami.
@anamgesi2634
@anamgesi2634 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana mtoto mzuri
@mufidabdallajuma8247
@mufidabdallajuma8247 3 жыл бұрын
Allah akuline na kl bya amiin
@mahmoudeladen1189
@mahmoudeladen1189 3 ай бұрын
Mashaallah Mungu akupe umri mrefu wenye kheri na ww ajalie afya kwnye akili yako 😊sor proud ✌🏾
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
Dah 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️uyu mtt kikichwa sana mashaallah Allah akuongoze vyema👏👏👏
@godfreykagoza3534
@godfreykagoza3534 3 жыл бұрын
He's very brilliant so wonderful mungu ambariki atimize ndoto zake
@ommybrown4833
@ommybrown4833 3 жыл бұрын
Just epic!👊🇰🇪 Baraka aka blessings
@abdallamasoud7734
@abdallamasoud7734 3 жыл бұрын
Masha Allah Allah akuzidishie kipaji chako mtoto baraka..
@jamesmwinula3005
@jamesmwinula3005 3 жыл бұрын
Amina hakaka kjna nmakn xan mungu awenawe akuzdxhie barka zte juu yko
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 3 жыл бұрын
Ma sha Allah Allah akurinde na kila shari mtto wang mzr jmn 🤲
@nestor384
@nestor384 3 жыл бұрын
Wow! Hatare asee🙏🏻 Huyu atakuja kutukomboa wanaume kuwa 'wakalimani'
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 3 жыл бұрын
Maashaallaah mtoto huyu duuh mungu azidi kukupa maisha marefu
@annamwefu8666
@annamwefu8666 3 жыл бұрын
Woooooow i don't even know all the president around the world in my head but this boy is woooooow 😮
@magrethkawa4841
@magrethkawa4841 3 жыл бұрын
Huyu mtoto aina ya Watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili .. yaani Genius kama hayati JPM maana yeye hakuwa na kona kona!!... serikali huyu mtoto ni hazina ya Taifa mlindeni na kumtunza!!!... hongera mama!!!.. hongera na Wazazi wotee mnaolea watoto wenu wotee kwa staili hii na siyo kumpiga mabao na makelele ya matusi... Nani kama mama????????💖💖💖💖 Nakupenda 🇹🇿💖
@yammyfaith121
@yammyfaith121 Жыл бұрын
this boy infact he as challeged me,,congracturations...you are the upcoming king
@mwanaidimunga9099
@mwanaidimunga9099 3 жыл бұрын
Ndio marais wa baadae hao Allah ampe afya njema innsha'allah
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
Duuu kwenyeiyo yasayari umenishinda we mwanangu💕💕💕
@Sarakassy
@Sarakassy 3 жыл бұрын
This gives me joy!! Future Africa will be different for sure.
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Mungu ambariki mtoto mzuri mana umeniacha mdomo wazi hongera mzazi Mungu akikuze kipaji chake
@halaphaologi8301
@halaphaologi8301 3 жыл бұрын
Maashallah Maashallah Allah amjalie siha njema Amina Nyota njema
@agnesskalinga9915
@agnesskalinga9915 3 жыл бұрын
Hongera Sana kwa kweli huyu mtoto ni guinius walah Mungu amjalie maisha marefu, Maghufuli wa baadae Mashaallah. 🤔🤔🤔🤔
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 4 ай бұрын
Hongera sana babu Mungu aendelee kukutunza hizi nihazinaya taifa
@mimitijara4806
@mimitijara4806 3 жыл бұрын
Mungu mjalue na amzidishie kipanji chake na urmi na maisha mungu mkubwa haki ange mwambie jpm matatizo ya moyo
@naomifavor2887
@naomifavor2887 3 жыл бұрын
Glory to God,this child is a great gift
@omarisarai7699
@omarisarai7699 3 жыл бұрын
Mashallah,that boy is great,May God bless him more
@gloriajwkamate3854
@gloriajwkamate3854 Жыл бұрын
Thanks to teach children from Tanzania
@sainingolemeleny8096
@sainingolemeleny8096 3 жыл бұрын
Wow that's real talent 😍😍😍
@aboudal-nabahany5338
@aboudal-nabahany5338 3 жыл бұрын
MashaAllah Mungu akuhifadhi na akuzidishie elimu
@geoffreycheruiyot
@geoffreycheruiyot 2 жыл бұрын
Wow! What a great man to be?????? God bless you my youngest bro!!!! Wah!!!!!
@habibamanyanda9868
@habibamanyanda9868 3 жыл бұрын
Am so proud with this child, may the almighty God protect you. Nothing to say more.
@ashuramashaka1532
@ashuramashaka1532 2 жыл бұрын
Safi
@hadijamwanana2471
@hadijamwanana2471 3 жыл бұрын
Nimewapenda wote mama namtoto wote mpo vzr kazi ipo huku nyuma kutwa kuwapost watoto zao wajicheza kisingeli wenyewe wanafurahi nakuona chamaana kwa mtoto hongera dada kwakumnoa mwanao mapema apate kujua vyamuimu
@Ruth.n.o
@Ruth.n.o 3 жыл бұрын
Waaaah kweli ako very talented en wise kiongozi wa kesho Majaliwa na hongera mwanangu pia mama hongera kwa kumfunza ila nakuomba mfundishe zaidi kuhusu neno la Mungu ili amjue zaidi jinsi amempa ufahamu upitao akili za wanadamu amuelekeze ktk kila jambo chochea hicho kipaji🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🏻🙏🏻
@hillarykimaru4915
@hillarykimaru4915 3 жыл бұрын
Thanks mother for teaching your kid . hongera . hapa Kenya watoto ufunzwa na mama zao kupenda baba mkate.Hatari.
@carolineajiambo2961
@carolineajiambo2961 2 жыл бұрын
wacha mungu aitwe mungu Tazania.walibarikiwa na vipawa
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 жыл бұрын
Mtto weeeeeeh hatary 🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯❤Allah akukuze wallah
@saudangalleni388
@saudangalleni388 3 жыл бұрын
Hongera mama kwa kuzaa genius serikal imuaangalie huyu mtt kipaj kisipotee
@zainababdullsadik1247
@zainababdullsadik1247 3 жыл бұрын
Mashallah allah amlindee
@aairahnatalian5241
@aairahnatalian5241 2 жыл бұрын
Eeeeeh congratulations baby ...... Shujaaa wa Africa kwelii....you be the president of tz
@glorykarim1570
@glorykarim1570 3 жыл бұрын
Nimelia nimewaza maguful angeonana nae uyu MTT angemwambia kitu chake binafsi jaman maguful ungebaki kidogo Jaman baba kweli umetuacha kabisa 😭😭😭😭😭😭🙏🏿
@davidodhiambo9463
@davidodhiambo9463 3 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa yani uyo mtomto aja kosea hizo swali zote 🙏🙏
@glorykarim1570
@glorykarim1570 3 жыл бұрын
@@davidodhiambo9463 ni kweli sifa na utukufu tunamrudishi yy Mungu wetu
@samwelhechei8537
@samwelhechei8537 3 жыл бұрын
Du! Mungu akujalie zaidi
@nuswaibashabani2494
@nuswaibashabani2494 3 жыл бұрын
Mashaaa Allah mama na mtoto hongra sana Mungu ampe afya kijana wako
@Directorjax55
@Directorjax55 3 жыл бұрын
Wazaz tuwen bze na watt wetu ili kuwapa saport kuelewa vtu vng Bora mtg akuchukie kwa kuwa na mda kidogo wa kucheza ili apate elim ya nyumban na shulen Amina mtt
@kurayoaikoterrison7754
@kurayoaikoterrison7754 3 жыл бұрын
Mungu akubariki na akupe maicha marefu umeguza wengi na kuachaa kwa mishangao❣️
@peninamwangi9260
@peninamwangi9260 2 ай бұрын
That's wonderful , very clever hatari kabisa
@sarajohninsoni2288
@sarajohninsoni2288 2 жыл бұрын
Weee mtt duh umenixhinda tbia kaa hongera kwakuzaa genius kaaaah
@neemamassawe4484
@neemamassawe4484 3 жыл бұрын
Mungu akutunze mtoto nmekupenda bure
@robertstephano9744
@robertstephano9744 2 жыл бұрын
Mungu ambariki Yuko vizuri kwakweli
@mtngaallymtngaally113
@mtngaallymtngaally113 3 жыл бұрын
Mashaalah mtoto anahitaj msaada WA kuendeleza kipaji aisee🙏🙏❤️
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Majina ya Baraka yana nyota ya kiMagufuli
@edelwaliaula2236
@edelwaliaula2236 3 жыл бұрын
mtoto gwiji kabisaa wacha mungu amzidishie akili maradufuuu
@irenekowino8199
@irenekowino8199 3 жыл бұрын
This beautiful kid is sharp.Hongera sana
@monicamjera2219
@monicamjera2219 3 жыл бұрын
Mashallah...... mungu amfungulie zaidi
@tajimwambole3115
@tajimwambole3115 3 жыл бұрын
Sio kwa kipaji hichi hadi raha jamani .Mungu mpe mwisho mwema na mafanikio teleeee.duhhh.
@jefenggg3442
@jefenggg3442 3 жыл бұрын
Huyu mutoto kiboko👏🏻🥰 eti wangeongeya mambo binafsi😂😂 eti apoge moyokonde sisitukonyumayake🤣🤣
@maryayuma900
@maryayuma900 3 жыл бұрын
Hongera mtoto Mungu akuzidishie neema
@cizashamavu7964
@cizashamavu7964 2 жыл бұрын
felistation mn petit.tres talentueux
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 50 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 47 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 33 МЛН
KINGWENDU KAPAKIZA ABILIA JINI  KAZI YA BODA BODA NGUMU
7:37
Kibibi Comedy
Рет қаралды 4 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 50 МЛН