JPM AFICHUA SABABU YA KULWA BITEKO KUKATWA LICHA YA KUONGOZA KURA MAONI

  Рет қаралды 32,482

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Пікірлер: 49
@kelvinmahava5914
@kelvinmahava5914 3 жыл бұрын
Mapacha wanazaliwa sehemu moja....Mr genius my president
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 жыл бұрын
Katumia busara sana hapa hasa kuondoa mambo ya watu kurithishana uongozi.
@anoldjose7793
@anoldjose7793 3 жыл бұрын
Kama wanatakiwa kukaa sehem moja. Mbon huyo mwngne yuko msumbij na mwngne n mbunge...hyo cyo sababu kabxa
@paulamani3936
@paulamani3936 3 жыл бұрын
Hiyo hoja ya kuzaliwa sehemu moja siyo sahihi kwa sababu wako wabunge wengi tu ambao wako kwenye majimbo ambayo hawakuzaliwa
@karoliwilliam8877
@karoliwilliam8877 3 жыл бұрын
Safi sn
@kimjongun962
@kimjongun962 3 жыл бұрын
Sumu ya Ukabila unalimaliza hili Taifa......
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Umeona
@chajanevatv4546
@chajanevatv4546 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Wasukuma higulyaaaaa yeee natogwa
@marechojohn4289
@marechojohn4289 3 жыл бұрын
Mbna kwa Mama Salma Kikwete na Ridhiwan hamkuona!?
@emmanuelzao
@emmanuelzao 3 жыл бұрын
😎
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 3 жыл бұрын
Hv Haw wanajesh wanakaa wap, mmh sura zao kauzu zaid ya magu
@officialmanji4438
@officialmanji4438 3 жыл бұрын
Ifikapo Oct 28 kura yangu we chukua 👍
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 3 жыл бұрын
Wote hao wasukuma
@buthaymaahmad557
@buthaymaahmad557 3 жыл бұрын
Unabonga Sana kisukuma
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Siasa na vitendo heshima kwako Mh Rais
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Kweli mvumilivu hula mbivu. Hakuna kukata tamaa.
@user-pl4fm1sg3u
@user-pl4fm1sg3u 10 ай бұрын
Akukosea.watanzania.wana.midomo.sana
@farhatfarhat3816
@farhatfarhat3816 3 жыл бұрын
Nchi inaongozwa na wasukuma kila kona ila kwa mm ninachotaka Amani na maendeleo ata wakiongoza wamakondee
@amdunsaid1222
@amdunsaid1222 3 жыл бұрын
Siasa bhana.
@sylvestersanawa963
@sylvestersanawa963 3 жыл бұрын
Sidhani kama kuna shida ndugu kuongoza kama wanasifa
@khamissnassor1462
@khamissnassor1462 3 жыл бұрын
kuna jitu linachekelea alaf lina hali mbaya
@mozejcs9160
@mozejcs9160 3 жыл бұрын
Mchakato wako au mchakato wenu! hamna chochote hapa
@tebogolucia6889
@tebogolucia6889 3 жыл бұрын
Magu baba lao .c.simba apa Johannesburg
@segaommy5030
@segaommy5030 3 жыл бұрын
Kwa kweli unafaa kuwa raisi
@mainguburemo5947
@mainguburemo5947 3 жыл бұрын
Ni mtu na mdogo wake
@emmanueldottofimbo2815
@emmanueldottofimbo2815 3 жыл бұрын
Hayo unayotuelezea hayana maana kwani yalishafanywa na nec. Wewe tuelezee utatufanyia nini tena
@katwigayona8041
@katwigayona8041 3 жыл бұрын
Akili huna wewe fimbo,,peleka maujinga yako yako wewe ,,
@dennismalima5365
@dennismalima5365 3 жыл бұрын
Hata kipofu anajua magufuli amefanya nn...
@omran0015
@omran0015 3 жыл бұрын
Mbona kofia YA ccm kaweka nyuma
@emmanuelzao
@emmanuelzao 3 жыл бұрын
Hivyo ndio inavyovaliwa, logo iko mbele na nyuma😎
@wilhelmibaganisa8696
@wilhelmibaganisa8696 3 жыл бұрын
Point ya kuzaliwa haina mashiko
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 3 жыл бұрын
Ina mashiko sana soma vitabu
@sugumbeya
@sugumbeya 3 жыл бұрын
Unaongea sana kikabila hatuelewi
@dennismalima5365
@dennismalima5365 3 жыл бұрын
Wa huko wanaelewa vzuri, subiri afike jimbon kwako utamuelewa vzuri..
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 3 жыл бұрын
Subiri akija jimboni kwako utamuelewa
@mendradhaule4215
@mendradhaule4215 3 жыл бұрын
Mbona nyamagana mabula na ilemela mabula
@abubakaribyabato4384
@abubakaribyabato4384 3 жыл бұрын
Hawana undugu wala hawajawahi kua ndugu
@gerardyoung1707
@gerardyoung1707 3 жыл бұрын
Tumechoka na ukabila
@faustinahasunga8803
@faustinahasunga8803 3 жыл бұрын
MUNGU akutunze Rais wetu
@florashauri9228
@florashauri9228 3 жыл бұрын
Amen katika jina la YESU KRISTO wa Nazareti aliye hai
@officialmanji4438
@officialmanji4438 3 жыл бұрын
Amina
@omran0015
@omran0015 3 жыл бұрын
Uongo mtupu pita uende
@chajanevatv4546
@chajanevatv4546 3 жыл бұрын
Pumbavu muacha rais wetu
@mathiascharles8064
@mathiascharles8064 3 жыл бұрын
Huwa mnayamisi matusi nyie.nyanoko
@gerardyoung1707
@gerardyoung1707 3 жыл бұрын
Nchi inaongozwa na wasukuma tu
@rukiamsellem3372
@rukiamsellem3372 3 жыл бұрын
Magufuli chuma cha pua kwa wapinzani CCM OYEEEEEEER
@naitwai
@naitwai 3 жыл бұрын
_hawataki ujue virus mwingine_ *Covid X Virus* 👇👇👇 kzfaq.info/get/bejne/adyifsh929-sY30.html
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 30 МЛН
JPM: Biteko alikuwa anaichachafya serikali
1:47
Azam TV
Рет қаралды 6 М.
MFAHAMU DK. DOTO BITEKO NAIBU WAZIRI MKUU MTEULE
6:02
Daily News Digital
Рет қаралды 91 М.
Kulwa Biteko atoa neno zito kwa Mgombea Ubunge Jimbo la Busanda
1:57
PROMO ONLINE TV
Рет қаралды 11 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22