Promo Online TV iko Mkoani Geita kukuletea matukio mbalimbali
Пікірлер: 6
@baluhyajr.913 Жыл бұрын
Hakika chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi. Ndugu Kulwa Biteko anaonekana ni mzalendo na mnyenyekevu. With such personality , he will surely reach far in his political career.
@marijanimustafa18762 жыл бұрын
Yaaan km mdogo wake wapo vzr hawa jamaa
@agnesmajuramangombe9862 жыл бұрын
Wamefanana sana aisee
@promoonlinetv74422 жыл бұрын
Wamefanana saaana
@godfreykashuli38593 жыл бұрын
Ki ukweli wamekufanyia uonevu tu, unasifa za kuwa mbuge, unanidhamu ya hali ya juu sana, umeonesha uungwana mkubwa . Mungu akubariki.
@promoonlinetv74423 жыл бұрын
Maoni yako yamesikika, tunafurahi kwa kufuatilia matangazo yetu. Subscribe kwenye channel yetu ili upate updates za kila mara