Jarida la FORBES ambalo limekua likitoa ripoti za watu mbalimbali duniani lilimtaja Mtanzania Upendo kuwa miongoni mwa Watanzania watatu wa kuwaangalia, yani ni Mamilionea watarajiwa.... stori yake yote ipo kwenye hii video.
Пікірлер: 143
@mzalendotz33975 жыл бұрын
She is so smart, cool and composed. The true image of a millionaire. Wanawake wazuri sasa wanaanza kutambua thaman zao kijasiriamali. Basically, hii ndio maana halisi ya Ukimuwezesha mwanamke umeikomboa jamii. Dadaz that insta ni invisible investment yenu so make the most of it achaneni na akina dada wanaowainspire kuvaa vituko na kufake maisha. Be real. .think of God and billions ili tukiwaoa mtusaidie jaman.
@martharobert14557 жыл бұрын
Yaaaaan broz Millard thanks for this Boss lady aseee! 😍😙 kwanza mrembo, anajiamini then she is soo smart in mind......kiukweli amenigusa sana! Tunasikia wengi wanasema kuhusu kujiajir lakin huyu nae kantikisa kwa namna yake.......Thanks soo much broz Millard, I can do the one thing for this Interview
@martinempuya59747 жыл бұрын
umeniinspire dada yangu, kuacha kazi co kitu kidogo, mungu akujalie.
@daudiosmund47885 жыл бұрын
Martine Mpuya Mungu sio mungu
@sitymohd38187 жыл бұрын
Nice millard jitahidi kututafutia Post kama hizi za wajasiriamali tupate kujifunza hata mm nataka kuwa a successful enterpreneur
@winniemassawe66127 жыл бұрын
Nice my dada nimependa sana aidia yako my ongera sana Sana
@noelngowitechnicalsolution2 ай бұрын
Hongera binti. MUNGU akufanikishe
@witnessmallya51145 жыл бұрын
Uko vizuri dada... Big up!
@azzaalmaamry765 жыл бұрын
Maa shaa Allah nimeipenda hii upo vizuri dada
@halimambwego82877 жыл бұрын
Ahsante AYO TV
@gladnesspatrick39327 жыл бұрын
U inspire me girl, thank I for sharing urself... See me at the top
@haithamitaso92547 жыл бұрын
good nimeipenda sana hiyo
@user-lt8id9lv4x3 ай бұрын
Is like whether changes not match everyday but we think only is blow🎉
@philbertchacha63095 жыл бұрын
Upendo anatiririka vema sana. ..keep up
@ERICKPM20007 жыл бұрын
Dada yuko vizuri... Akili yake imetulia
@barakachawe62417 жыл бұрын
Wow! zao la University of Iringa(UOI)
@bernadethakahemele53967 жыл бұрын
nampenda sama milad ayoooo,,uko vizur
@arnoldishengoma84585 жыл бұрын
Jamani ahsante . Nimepata nguvu flani.. especially the last words
@joycemashikolo90967 жыл бұрын
wawooh Mdada hongera sana
@boscoboss38267 жыл бұрын
THAT GOOD IDEARS THAT ALL NEED TO FOLLOW BIG UPS
@omaiim40144 жыл бұрын
Hongera dada
@lugendodoreen39207 жыл бұрын
Elimu ni nzuri sana jamn lovie amafa ya vizuri coz alikua na elimu big up dada
@wakeuptv84525 жыл бұрын
Guys mnatakiwa kujua hakuna binadamu asiye na malengo au matarajio fulani. Kinachokwamisha ni support tuh believe it
@jameskahindi92156 жыл бұрын
Hongera sana dada, juhudi zitakufanya ufike mbali
@shayonico1146 жыл бұрын
i appreciate your brain man
@jacqulinemushi58495 жыл бұрын
Beautiful with brain👏😘
@officialjamhurizachariagos27977 жыл бұрын
Millard Ayo na mimi naosha magari hapa kwa jaffallais car wosh, Naomba na mimi uje unioje naingiza kiasi gani kwa mwezi na mpaka wew garilako uwaga naliosha japo utak kunioji, jitaid bana kazi ni kqzi hatakama pesa nindogo naitaj kuojiwa uwezjua nawazakua nani
@dinatinaeliah42977 жыл бұрын
so laughing
@UpeoMinistryofMedia5 жыл бұрын
hahahahahahahahahahaaaaaa, nimecheka sana!!! ila ni sawa bro, you have a point
@anthonyngeleja36095 жыл бұрын
Akihojiwa atakuwa maarufu na ataitangaza kazi yake na ili upete kazi nyingi nikujulikana bro uko sawa ww mtafute ufanyenaye mahijianao
@MZIZE5 жыл бұрын
@@gillimangi5522 faida zipo nying
@shamsaismail77077 жыл бұрын
Mashaallah n'Asante Millard Ayo
@josephsiwale49836 жыл бұрын
big up sister
@samweliezekia59146 жыл бұрын
that is so nice
@jamesmanase21837 жыл бұрын
Daah huy dad ana lembua mpak mtu Wang wa nguv Millard maswal mengin ya kumuuliz anayasaau..
@lipymuscat47797 жыл бұрын
James Manase 😂😂😂
@TheSalma19997 жыл бұрын
wow I'm proud of you sister
@mbunahchannel21797 жыл бұрын
basi sawa vizuri
@azaliandukeki1717 жыл бұрын
love give up ddie
@user-lt8id9lv4x3 ай бұрын
Msiwe inspired on extrovert jaribuni kuwa introvert kila m2 and path tofautiii tofauti kabisa just praying god only .......
@sabinafrancis2196 жыл бұрын
kaka Millard hongera sana kwa kazi yako ila nilikuwa naomba namba ya uyo Dada nahitaji nijifunze makeup kwake
@saumuhassan13657 жыл бұрын
MashaAllah nice
@mumyaisha32447 жыл бұрын
nice
@agathaluambano83057 жыл бұрын
good this is how millionaires do in opportunity cost
@dinatinaeliah42977 жыл бұрын
Da I like it
@salwamohammed95426 жыл бұрын
Ongera sana dada.
@allthingdranabeauty7 жыл бұрын
Nampenda uyu dada yupo vizuri sana alinipaka nakup vizuri kwenye arusi yngu❤️❤️
@zamanjohn46124 жыл бұрын
Naam yupo vizuri huyu Dada namkubali sana
@juliethkahwa30477 жыл бұрын
wow nimepata wazo jipya kwakwel,💪
@user-lt8id9lv4x3 ай бұрын
Life sio evidence za watu coz mnapotea manys people akuna inspiration za watu zitakazo kupa support back to yooself..
@dijaissa56277 жыл бұрын
milard weka segment ya wajasiliamali tunajifunza mengi
@tukuswigaikasu52275 жыл бұрын
She is so calm and composed.
@bonitojo6 жыл бұрын
Dada kwenye miaka na namba unachanganya.. Anyweiz, point taken. Hongera
@sharifusule10145 жыл бұрын
hongera sana juhudi yako ndio mafanikio yako
@eliasabel10997 жыл бұрын
Millard Ayo uendelee kuksanya watu mhimu kama hao tunakupenda sana
@joeryamoniloyajoeryamonihe69076 жыл бұрын
Elias Abel
@princegabytv72516 жыл бұрын
congratulatulations
@agreyrecho92855 жыл бұрын
Mh dada kwa elimu uliyopitia na hiyo sura ilivokakamaa kweli unaweza ukawa umezaliwa 1998 kwann utudanganye watu wazima wenzio
@lucymsigwa443 Жыл бұрын
Na mimi siku utakuja kunioji ngoja nipsmbane maana natamani sana kufanikiwa
@mhandyeyoo65917 жыл бұрын
Hamidu😳😳upo best hujafanikiwa kuteka big fish?😜😜😜🏡
@shaniswaleh84307 жыл бұрын
lv u dada
@tkvlogs39697 жыл бұрын
safiii
@tumsifuswai96617 жыл бұрын
asante dadangu Kwa mawazo mazuri hakika umenivusha pahali, lakin dadangu hapo kwenye umri umetuacha wengi, embu tufanye hivi, primary 7 yrs olev 4 yrs adv 2 yrs chuo 3 yrs mtaani unazaid ya 4 yrs embu tuishie hapo tuu panatosha kabisa,, total ni 20yrs umezaliwa 1998 Kwa sasa una umri wa miaka kama 19 hv! my God how is this possible??? ulianza shule nn?? only in Tanzania
@justinbulenga66987 жыл бұрын
Swai Tumsifu she said 1988 not 1998
@tumsifuswai96617 жыл бұрын
Justin Bulenga owky! tenx Broo I was shocked,,, that is great!!! she is an amazing woman I have never came across
@dinatinaeliah42977 жыл бұрын
+Justin Bulenga Yes she said1988
@nauratiramsey2956 жыл бұрын
Swai Tumsifu hahaaa
@muxinkuya91615 жыл бұрын
Sikiliza kwa makini
@winifridagregory22887 жыл бұрын
hongera Dada ila unaongea kingereza sana kwann usitumie lugha yako bhana
@tinoshoki83046 жыл бұрын
Good
@tosiankel5647 жыл бұрын
umenpa Moyo wa kua na kiburi cha kutafuta ajira Bali kua mfanyabiashara
Mi nazipenda sana mid hizi najipa nguvu za utendaji wa ka z
@aishwariaraimusih77747 жыл бұрын
nimeipenda hii
@emhaule366606426 жыл бұрын
Je naweza kukutumia sampo za make up special kwa waafrica tu basi?
@brendamrikaria1116 жыл бұрын
Uko vizuri Sana
@salimh.mshaam67146 жыл бұрын
safi Dada na sisi umetuwamsha dada
@victornaikara21855 жыл бұрын
Aisee kweli mungu akisema inakua by the way ukovizuri kunawatu wanajua kua akikunyanyasa ndio utakwama kumbe ukisubutu unaweza mungu akuvushe zaidi na zaidi
@tuntufyewilson84867 жыл бұрын
sister hangora kwa brand.
@mhandyeyoo65917 жыл бұрын
Manka usisahau kwenda church my sister love ❤️ kiddy 😜😜😜😜😜😜
@yasintaisdory49447 жыл бұрын
Umeni inspire
@mhandyeyoo65917 жыл бұрын
Yasinta Isdory Wellcome
@khalfanmohd58077 жыл бұрын
#millardayo na mm nataka nije kunihoji cuz mm mwenyewe kwa siku naingiza buku jero
@mnzavachris54237 жыл бұрын
Khalfan Mohd hatuhoji na sie co
@zbtn5177 жыл бұрын
Khalfan Mohd hahaa
@realommy25526 жыл бұрын
You are not serious
@mussasirguda76676 жыл бұрын
Khalfan Mohd haaaa haaaa haaaaa
@ElizabethMushi-vj1fr3 ай бұрын
Naomba no ya huyo dada
@dismasmunishi55727 жыл бұрын
nmependa macho yako
@dannygroening35475 жыл бұрын
H
@nyanzalakaporo25047 жыл бұрын
HONGERA SANA DADA PENDO, NAIMANI UMEWATIA MOYO WA DADA WENGI SANA,
@christinahaule97267 жыл бұрын
nice
@jacksengeu56716 жыл бұрын
Naomba namba za huyo dada
@sirbrown68906 жыл бұрын
kaza buti
@hamismamba76684 жыл бұрын
Huwa ninawazimia wadada wasomi wa kitanzania ambao wakifanyiwa interview huongea lugha yao mama ya Kiswahili Hongera sana dada hukujishaua kwa kujiona kwamba ni msomi kwa kuongea Kiswa-English kama wafanyavyo wasomi wetu wenye utamaduni wa kitumwa kwa kuzithamini lugha za kigeni kuliko lugha yao mama.
@neemakrekamoo47897 жыл бұрын
Millard Ayo tusaidie kuuliza kwa wadau, wanaanzaje hadi kuweza kutengeneza bidhaa zao nje?? Wanatoa oda na specifications au inakuwaje?
@kelvinthomas40476 жыл бұрын
Nima Kei tumia web au email yake kumuuliza..... Kwa hapa hawezi toa jibu
@erastomwakalinga70796 жыл бұрын
ilo jicho dada mbna unalkatia millard ni km lipo out of inter view nsamehe km nakosea maana mm sio muandish wa habar
@ayoublili82616 жыл бұрын
Miladayo uko vzr
@berthinamenda17764 жыл бұрын
Nyuma yako........am comiiing there
@leylahmohamed47695 жыл бұрын
Dada mzuri akili mingi
@user-qs9rn2je4c5 жыл бұрын
mdg wangu hapa umeningusa mm you tube najifuza mengi ila naumia kwa mda huu siwezi kuyafanyia kaz duu ila in shaallah
@mbunelapolisi96853 жыл бұрын
Yaa Yuko vzr xo anaongea xana kingereza wengi hawajafika huko ongea lugha ya kibunge
@HamiduChamboko7 жыл бұрын
Hili ndio jiko la kuweka ndani...sio hawa wa savanna drink
@khadijamalifedha60087 жыл бұрын
Hamidu Chamboko na hawa hawaolewagi ovyo ovyo
@PenielLema7 жыл бұрын
+khadija Malifedha.... endapo hujisomi lakini sio hear saying
@mhandyeyoo65917 жыл бұрын
Hamidu Chamboko Kabila ujapeleka posa nitafute Mimi mama yake mukubwaaaaaaaaaaaaa😜😜😜😜😜😜😜😆😆
@HamiduChamboko7 жыл бұрын
Hahhaaaahhaha number pls +255....@M.Handyeyo
@HamiduChamboko7 жыл бұрын
Kizazi Takatifu kizazi cha wachapa kazi penda sana hiki kizazi@H.Handyeyoo
@bernadethakahemele53967 жыл бұрын
uyo Dada yuko vizur
@makeupyasini89815 жыл бұрын
nice
@kakapascal50907 жыл бұрын
Amani & upendo ndugu Millad Ayo nakpongeza kwa kutuletea wajasilia mali wanatupa hamasa kubwa ya sisi pia kupiga hatua. ila washauli wageni wako wasiwe wachafuz wa lugha kiswanglish.. ili hali ni wazawa.hata wazngu wanapojfunza kiswhl hutamskia anatoa mseto japo kingerz ni chao.
@nassorsaid23317 жыл бұрын
mtu wa nguvu 5000 kwa mwezi ni sawasawa na 45000😂😂😂umemfanya mpaka dada watu ajichanganye
@PenielLema7 жыл бұрын
150000
@mrpingu44755 жыл бұрын
kwel asee dada kashtuka
@pedesheetzpedesheetz53465 жыл бұрын
Millad ayo utabaki kua juu
@feisalyseif42727 жыл бұрын
aboud rogo
@saidriphat34917 жыл бұрын
Feisaly Seif radhiaallahu anhu
@dictashijasimeya60807 жыл бұрын
kukataa kazi skitukidogo
@piuszororwa71615 жыл бұрын
yan nyie mnashangaa hilo wakat mzee wangu kaacha mshahara wa miliion4
@antiarutta45403 жыл бұрын
Eeee
@antiarutta45403 жыл бұрын
Afuu anafanya nn
@mariejulie30215 жыл бұрын
Ts 1988 n not 1998 guys lol
@kenethmlunya46334 жыл бұрын
Marie Julie 😁😁😁
@jonathanmushi66475 жыл бұрын
Nnaomba number ya huyo dada
@pabloescoberescondido7595 жыл бұрын
Jonathan Mushi 0717818717
@georgempungu60207 жыл бұрын
Homonaiz
@bmhentertainmenttz4 жыл бұрын
Bofya hapa maajabu mengine kzfaq.info/get/bejne/qZt5d7Byt8CulIE.html
@esperansahkafuka98917 жыл бұрын
ni kweli kazaliwa 1998? au nimeskia vibaya?
@florahjohn29807 жыл бұрын
1988
@irenecleverly25636 жыл бұрын
Kasema 1988
@kenyanadventureman29885 жыл бұрын
I have 50,000 Kenyan shillings. Nikija Tanzania mimi ni millionaire