@@itNeza Amna kamanda watu kama hawa huwa wanakubwa na matatzo haraka kulko wale wa ndio kila hoja
@briansancedo93363 жыл бұрын
Huyu mzee ni Professor kweli tuache Elimu za kukalilishwa Elimu za kwenye makaratasi, huyu mzee anafaa kuwa naibu waziri, atafanya makubwa sana anamawazo chanya yenye kugusa maisha ya watu wa chini, hongera sana mheshimiwa
@fredricksteven20633 жыл бұрын
Huyu mbunge ni great thinker!!!
@Locker69963 жыл бұрын
Professor Kishimba... very smart😄
@novathpanga82163 жыл бұрын
Ndiyo wabunge wanao hitajika,kishimba yuko vizuri sana anaongea point🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mariammwenda97193 жыл бұрын
We baba una akili kubwa sana, may Almighty God protect you
@ramadhanimtetu72463 жыл бұрын
HAHAHAHAHAHAAA Huyu Mzee ni Hazina ya Taifa Nampenda sana Kwa Kujenga hoja
@fredymteule20923 жыл бұрын
I remember juzi kati nilikuwa maeneo ya UDSM CANTEEN vijana wapo smart wanakula chips yai na soda baadaye wanashushia na juice .. nilisikitika sana baada ya kuwauliza course gani wanachukua eti Degree ya Human Resources .. hahaha nikawaambia ivi mnajua baada ya chuo mtakosa hata mia tano ya chai ya asbh it’s better hili bumu uligawe mara mbili ili ujiwekeze ktk busness ili ukimaliza uendeleze business yako maana hakuna ajira mtaani daaaa waliniona mimi kama kichaa kuwa wao wanaconnection nyingi hapa mjini😂😂
@patrickzlee33453 жыл бұрын
.....
@enockmwakyelu1423 жыл бұрын
Nn
@enockmwakyelu1423 жыл бұрын
@@fredymteule2092 s Try)
@godwindiana62883 жыл бұрын
Tunaomba serikali imuongezee Ulinzi
@stellamwasenga62053 жыл бұрын
safi sana mheshimiwa wewe unasemaga ukweli tu ila serikali imeweka pamba masikioni
@jorammpore96283 жыл бұрын
Huyu mheshimiwa anaongea vitu vya msingi sna 💪🏾💪🏾
@issamagota89453 жыл бұрын
Safisana mzee
@msafitv86633 жыл бұрын
Duuu ukisikiliza hii hotuba na ww ni muhanga wa ajira unaweza kutokwa na chozi, Asante Mbungu nadhani utakuwa unewafungua viongozi wengi hali ya wasomi huku mitaani
@emmanuelfwillo67213 жыл бұрын
Hawa ndio vipaji maalum kama ulikuwa hujui. wale wa makaratasi achana nayo. KISHIMBA Big Up
@eliasmtaki85183 жыл бұрын
Mtu wa akili za kawaida kumuelewa Mh Kishimba inabidi urudie kusikiliza mara 21.
@errydeo88653 жыл бұрын
saaaaana.Anachekesha lakini ni madini matupu.Hasa hilo la medical investment!
@paschazianestorymatunda64903 жыл бұрын
Huyu mtu ni potential sana
@rayprince82673 жыл бұрын
Hayo ndo matunda ya chama kimoja.point Le's
@princebuganzilut20473 жыл бұрын
Aise jamaa huyu ni kifimbo
@newbornhaule16353 жыл бұрын
Mh kishimba wewe kweli msomi sana nafikiri hapo bungeni mpo wachache sana...
@avyalimanaathanassambuta65773 жыл бұрын
Mzee ni darasa la Saba tuu SEMA ANA AKILI SANA.
@henryxavery17133 жыл бұрын
Mheshimiwa Kishimba,ulikuwa wapi siku zote 🤣🤣🤣🤣..
@jjborn87283 жыл бұрын
Mheshimiwa unastahili kuitwa Mheshimiwa Mara Sabin tu nakupenda sana kishimba naomba like elfu moja
@janegofrey31433 жыл бұрын
Asante
@musasabu69693 жыл бұрын
Anajuwa shida za watu hyu mzee
@asteriambwei33493 жыл бұрын
Kishimba unanifurahisha mnoooo ningekupa na namba yako ya cm ningekupigia uniambie nimpeleke wapi mwanangu kamaliza nimpeleke wapi màana naona ntapoteza hela yangu bure ?
@fadhilisecha42683 жыл бұрын
Kashimba shikamoo! Unajua unachoongea. Hii ndo michango tunayoitaka sio kuanza kupakapaka mafuta nk. Tz inahitaji michango ya namna hii. Big up mzee wetu
@M7-Band3 жыл бұрын
Yaani huyu mzee nimemwelewa sana,anaelewa ground ikoje,na anaongea facts tupu
@khadijamisayo74763 жыл бұрын
anachekesha lakini anachoongea ni kweli kabisa
@marwakenene8473 жыл бұрын
Fine
@benderarulenge24772 жыл бұрын
Kishimba ana busara sana,Hana vijembe Wala malingalinga,ngombea uraisi mwaka 2025,kula yangu ipo
@prosperkillas23983 жыл бұрын
Ameongea vizuri sana ili kuelewa anasemaje inahitaji utulivu wa hali ya juu Sana(kuku akila mayai yake huchomwa mdomo)........Haki chanzo chake ninini.
@boniphacemihayo15913 жыл бұрын
Huuu ni kama walaka kwa mataifa na watu wote...nzuri sana hii
@fadhiliignusy37903 жыл бұрын
huyu mzee angekua waziri waelimu alafu apewe uhuru wakubadili mambo nazani tungefika mhali
@junioryasin53063 жыл бұрын
Kabsa
@KalimaxStudios3 жыл бұрын
Namini
@yohanamathias16663 жыл бұрын
Ukwel
@yovithaobed55743 жыл бұрын
Hoja nzuri mheshimiwa mbunge wa kahama
@danielkyando67263 жыл бұрын
Aiseeeee ur so creative mzee mawazo mazito ya kujenga
@msafitv86633 жыл бұрын
Huyu Mbunge anaongea madini tupu
@josehaule94253 жыл бұрын
Very wiser man, God bless you Mp
@godlovemlinge22203 жыл бұрын
Kama ningefundishwa na mwalimu kama huyu mzee darasani, Walahi ningekuwa mbali sanaa
@MrMandevu213 жыл бұрын
Respect mzee wangu
@abubakarsuleman19833 жыл бұрын
uyu mzee ni zaidi ya pro , na wapo wachache Tz, ni bonge la mtetezi , nafikiri ukimuweka pamoja marehemu ruge wangeweza kuwasha moto usiozimika.
@Bruno-ed1ps3 жыл бұрын
Ruge alikuwa genius
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
Nampenda huyu ,ndugai kazi unayo
@trickyjosia43263 жыл бұрын
Kweli nimeamini walio ishia darasa la saba wana akili sana kwahiyo jaribuni kusikiliza michango yao na kulifanyia kazi
@amanmwakyoma22633 жыл бұрын
Hakika huyasemayo keep it up
@magongwematinde57733 жыл бұрын
Hii speech nimewasha feni lakini bado najipepea na shati. Dah
@timbukwa97713 жыл бұрын
Nakupenda sana Kishimba my Icon!!
@gipsonmwankobela28252 жыл бұрын
mbunge mwenye free mind ideas saf sana
@masundelwa3 жыл бұрын
mh raisi naomba huyu mzee umpe cheo Cha UWAZIRI
@stephanomwashilindi5743 жыл бұрын
Mzee upovizuri Sana
@michaelmedard57093 жыл бұрын
Off course
@KalimaxStudios3 жыл бұрын
Apewe na ulinzi Kabisa
@felicianholle30103 жыл бұрын
Hoja ya mh.Kishimba ni nzuri na inahitaji fikra big up mbunge
@henryxavery17133 жыл бұрын
Hongera Sana Mh:Humanness Kushona💪👏👏👏 Ni kweli Kabisa.
@kassimmurji28723 жыл бұрын
Mheshimiwa unahofu namungu na mungu hakuachi atakulinda atakutetea na hatakuangusha kwa hoja zako zakutetea umaskini
@saxannjo61733 жыл бұрын
Huwa naEnjoy sana kumsikiliza huyu PROFESOR
@theophilmalaba40483 жыл бұрын
Excellent
@plasidodavid14873 жыл бұрын
Genius 👏👏
@ambakisyemwanjemba57873 жыл бұрын
Nampenda Sana kishimba wewe ndio mbunge wangu kwa Sasa.
@magorimagori92643 жыл бұрын
Hahaaahaahaaaaa..mzee namwelewa sana anacho pambania...anatamani tutoke kwenye nadharia twende kwenye vitendo upande wa elimu
@opportunities27673 жыл бұрын
My best MP of all time... big up
@ahmedyusuphkasili21152 жыл бұрын
Uko vizuri kishimba
@emmanuelmanga34783 жыл бұрын
Good Kashimba
@hawwahawwa95903 жыл бұрын
Wewe baba mungu akupee uhaii mkubwaa Maan nimepitiwa maishaa ya kijijini😭😭😭🙆♀️🙆♀️
@soloartist_ivanvespalusind16093 жыл бұрын
Spika wetu naye ni Genius. Walio faulu watangazwe kwa pamoja, kusiwe na second selection
@awesomevibes58473 жыл бұрын
Namna iyo.... Ni upuuz unaenda shule unarudishwa kisa viatu ni vya blue au vyeupe..
@monicakalinga82583 жыл бұрын
Shikamoo baba unajuua sana Professor
@munampinda18883 жыл бұрын
The Best Kishimba
@paschazianestorymatunda64903 жыл бұрын
Nimekupenda sana mbunge wa kahama
@sebamgalula26323 жыл бұрын
🌿 analokula huyu mzee hailimwi nchiii😆😀😀😀
@ibrahimkitela82333 жыл бұрын
Na limu nazo, kila mwanafunzi aende na limu na zikifika zingine zinauzwa
@titus_maridhia3 жыл бұрын
Huyu angesoma angekuwa mjinga sana.
@sebamgalula26323 жыл бұрын
Genious, 😊😊😊
@mediacare67442 жыл бұрын
Tanzania hamtaki viatu vyeusi? 😂 😂
@neemasalema15463 жыл бұрын
Nimemuelewa sana huyu Baba ukweli anafaa kuitwa Mheshimiwa
@mbarikiahamadjuma68243 жыл бұрын
Nakupa hongera kishimba, umetoa hoja/mchango mzuri na wakujenga
@uledimtumwa24063 жыл бұрын
Mh!!! Ati wa ugausigeli kesha enda 😂😂😂😂 Ndugai mkuda sana.
@chumanondochuma80123 жыл бұрын
Inabidi ugombee uraisi mzee na ukabidhiwe nchi
@yonakatoto40673 жыл бұрын
Daah namkubari sana
@davidmagundu22853 жыл бұрын
Mheshimiwa shkamoo! Umeongea madini sn!
@bahatinzingula43093 жыл бұрын
Hongera sana Mh.Kishimba.Mawazo yako ni mazuri sana zaidi ya Prof.
@hemedshalua20023 жыл бұрын
Genius
@radhiasalum71562 жыл бұрын
Where hapo Sasa track soti,😄😄
@daudpaulo28672 жыл бұрын
Atusaidie juu ya machinga
@musasabu69693 жыл бұрын
Ukimskliza huyu mh.had inatia huzuni sana anaongea point sana
@charlesolomi95143 жыл бұрын
Ngoja Nile kwanza 😅😅😅
@rajabhussein77943 жыл бұрын
Hahahahahaha
@chrismassawe3263 жыл бұрын
Mbunge makini sana
@kenedykihaga54163 жыл бұрын
Ulongite hilooo myaaaa
@kingcharlz29653 жыл бұрын
Alongite unofu myaa
@rockyvlogs22143 жыл бұрын
Mzee wangu Kishimba duh 🙌🙌
@imchristian3233 жыл бұрын
Daah mzee anajua struggle za mtaa
@starlonejadamskp82243 жыл бұрын
Mheshmiwa hongera sana 🇹🇿🤝
@yagwishaheke25243 жыл бұрын
Duuh huyu ni professor
@mrmhenipm3 жыл бұрын
Huyu mzee ana hoja nzuri sana ,,lakini cha ajabu watabaki kusikiliza na kugonga meza tu ,,,mengi ameongea mazuri.
@lucaseben49143 жыл бұрын
Mh aisee?
@lujenjejr36283 жыл бұрын
😂😂😂😂 Mwamba ni Muafrika kamili
@vannyemmanuel58663 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 we mzee una jua kumaliza MB zetu yani toka nimeanza kuku sikiliza hauchoshi
@rajaburamadhani29862 жыл бұрын
sawakabisa👏👏👏💪💪
@saimonmakoye50093 жыл бұрын
Ndaaaa mzeee wangu kila unachongea point tuuuu hongera sana
@agkimedicallaboratory3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@dr_godfrey3 жыл бұрын
tunao watu wenye mawazo mazuri sana hongera kishimba nakuelewa sana piga gaz
@jeremiahzacharia76553 жыл бұрын
Huyu Mzee shikamoo.
@bakarikissiga62883 жыл бұрын
Jamaa anaumiza akili sana kufikiria mbali plus comedy lakin ndo message sent
@evaristbamfu71493 жыл бұрын
Huyu ni hazina sana kwa Taifa letu. Alindwe sana
@mujwahuzikyabwishukuru29172 жыл бұрын
PROFESSOR KAMILI.
@godfreygeofrey78043 жыл бұрын
Huyu mzee atakuwa ni darasa la saba kwenye vyeti lakini kichwani ana PHD sasa mtasubili sana nyie mnaotaka vyeti. Shikamoo Mr Kishimba.
@ama77423 жыл бұрын
Anatema nondooo🔥🔥👌
@emmanuelmogela58713 жыл бұрын
Uyu Mzee jembe jamani anatakiwa apewe nafasi ya juuu
@KalimaxStudios3 жыл бұрын
na ulinzi
@fredrickmathias72423 жыл бұрын
Niceeee
@aristidestibaijukasebastia52253 жыл бұрын
Mungu akubariki Mh Kishimba
@fridahmark59303 жыл бұрын
We really need ppl lyk you ❤️
@ajuayesanga5223 жыл бұрын
Magufuli
@marcohamisi24188 ай бұрын
Uko vzr
@salumukimanzchana9873 жыл бұрын
Hongera sana kwa hoja zinazoendana na uasilia was mtanzania, hizi ndo huja za msingi na zenye kueleweka
@Commentsplus3 жыл бұрын
Kishimbaaaaa
@hamisimbatyan5875 Жыл бұрын
Huyu mzee kichwa sana.
@lucaschisamalo28523 жыл бұрын
Huyu mzee ndo mbunge hayo ndomambo yakuzungumza bungeni siyo kusifusifu Safi Sana mzee
@emmanuelmuhando10523 жыл бұрын
Mnzee kwanzia umengia bungeni Leo nimekuelewa kwaniniii wanakuita professor 💪🏿💪🏽💪🏽💪🏽💪🏿💪🏿💪💪💪🏿💪🏿🔥🔥🔥
@johnrogath10663 жыл бұрын
😀😀😀GENIUS
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
Huyu Mzee ni kama kaletwa kwa neema ya mungu ana mchango mkubwa kwa taifa.