CLASSMATE WA MAGUFULI ALIA MBELE YA MAKONDA ATAJA MADUDU "MWAMBIE RAIS, KUNA MAJAMBAZI MAJIZI"

  Рет қаралды 294,221

Millard Ayo

Millard Ayo

8 ай бұрын

Пікірлер: 304
@pendomushi6351
@pendomushi6351 8 ай бұрын
Mungu akulinde Sana makonda ! Tenda haki na kutetea wananchi wako kama Mungu alivyokuona unafaa
@mailisagaswe1544
@mailisagaswe1544 8 ай бұрын
Makonda peke yake hawezi kutatua kero zote, anahitaji msaada toka kwa mwenyekiti wa chama kwa kuwawajibisha wazembe wote waliopo serikalini ambao hawataki kutatua kero za wananchi. Hakika Kila Kona ya Tanzania wananchi wanalalamika. Hongera Makonda kwa kazi nzuri Mungu akulinde
@petermarco8656
@petermarco8656 8 ай бұрын
Na hapo ndipo kwenye kazi kubwa kuwawajibisha hao
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 ай бұрын
Undeni Tume kila mkoa. Kero zote zishughulikiwe bila huruma
@aloycesamba998
@aloycesamba998 8 ай бұрын
Huyu mzee ameongea kwa uchungu sana mpaka 😭😭😭😭
@mweyoms5548
@mweyoms5548 8 ай бұрын
Huyu mzee huwa haumi maneno.Alikiwasha mbele ya Amos Makala na leo mbele ya Makonda.Anafunguka kwa hisia na uchungu mno.Na hiyo mikono nyuma yake ni kwamba kuna ubovu mkubwa mno kwenye utendaji na uongozi.Maeneo ya huduma yamejaa madhalimu ya walafi.
@AbasJeilan-ns8yp
@AbasJeilan-ns8yp 8 ай бұрын
Panya rodi wamemwagika sana kufanya uwalifu ndio wawazibiti, huku kuna mto watu wanapata shida daraja awajengi
@claudiayohana6576
@claudiayohana6576 8 ай бұрын
Huyu baba kaongea kwa uchungu 😢😢😢😢lkn pia usalama wake unaweza kua hatarini😢😢😢
@MohamedMjenga-vq8vc
@MohamedMjenga-vq8vc 7 ай бұрын
Ni kweli kbs ujakosea kila msema kweli ni sheeda
@AishaHussein-en3wf
@AishaHussein-en3wf 13 күн бұрын
Apo ajiandae.
@modestarubunda4250
@modestarubunda4250 8 ай бұрын
Me MAKONDA, Mungu aendelee kukulinda, na umsaidie Mama, wengine wanamharibia jina kwa wizi wao, wakidai ni Serikali, kumbe ni kwa manufaa yao wenyewe.
@laurnyandwi-sb1gu
@laurnyandwi-sb1gu 8 ай бұрын
Huyu mzee alindwe haraka iwezekanavyo mana anaukweli usiopingika hata doa.,😢😢
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 8 ай бұрын
Makonda huu ni wakati wako wa kuteka baraka zako, tumia hii nafasi vema na usijiinue wala kumuonea mtu, simamia haki na Mungu akutie nguvu kazi si ndogo jukumu ulilonalo ni kubwa ila amini mkono wa Mungu Upo upande wako🙏
@maswamills3161
@maswamills3161 8 ай бұрын
AMEN
@scudmethoo1361
@scudmethoo1361 7 ай бұрын
1:15 😅
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 8 ай бұрын
Mama mwenyewe hafanyi ziara zakustukiza kwenye mawizara kama magufuli anakaa ikulu kusubiri ripoti kwanini wasimdadanganye
@Hustlersec
@Hustlersec 8 ай бұрын
Acha unafki wewe
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 6 ай бұрын
Ana safari za nje
@BoisDonkoil-rk8lr
@BoisDonkoil-rk8lr Ай бұрын
Mama amejifungua ila kamtuma kijana wake awakilishe kazi kwa niaba yake
@Donrugi
@Donrugi 8 ай бұрын
mzee anasauti nzuri inafaa sana kwenye kuongea
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 8 ай бұрын
Kabisa ni sauti inayovuta usikivu
@rubondopharmacy
@rubondopharmacy 8 ай бұрын
hahahaha anafaa kuongea, nimecheka sana utadhania mazuri
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 8 ай бұрын
Watakao mpinga makonda watatoka nyumbani mwake.yetu macho
@ashelgabriel1696
@ashelgabriel1696 8 ай бұрын
Tutalalamika mpaka miaka 200 kwa sura hii mpaka mwenezi aje bado sana
@lanlady2504
@lanlady2504 8 ай бұрын
Huku kwetu tunamsubiri kwa hamu ndg muenezi
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 8 ай бұрын
Sasa jamani hao wanaotajwa hapo ni chama. gani
@WinifridaJonathan-cq2nw
@WinifridaJonathan-cq2nw 8 ай бұрын
Makonda hajawahi kumuonea mtu aibu na Yesu hatamuonea haya mbele za baba yake good makonda goooo....
@MwigaKatumpula-mi3zt
@MwigaKatumpula-mi3zt 8 ай бұрын
Sijui wana angalia sifa Gani ili uwe waziri mkuu maana kwa kipawa cha makonda anastahili kuwa mtendaji mkuu wa serikali maana ni next level kabisaa 👏👏😃
@JamesJuma-zy8cn
@JamesJuma-zy8cn 8 ай бұрын
Huyo mzee anafaa kuwa mbunge
@JackobGalish-ky3no
@JackobGalish-ky3no 8 ай бұрын
Atalia Sana bungeni😂
@anthonikabuye6819
@anthonikabuye6819 8 ай бұрын
kwa nilikofika naona politicians wote ni wapigaji tu Ila wanatofautiana grade tu
@mconedimple5364
@mconedimple5364 8 ай бұрын
Mungu akulinde masikini nia yako ni nzuri ya kutetea wanyonge kupitia chama chako cha mapinduzi lakini hao wa badhilifu wanao yafanya hayo watakuacha salama kweli uendelee kufukuwa maovu yao kwa nia ya kuwatetea wanyonge kupata haki zao zilizo dhulumiwaa ee Mungu umlide huyu kijana wako Makonda atumike kwahaki hata kama atatishwa asitishike . Masikini sijui kama utabaki salama kwa maovu haya yanayo letwa kwako pindi mtakapooanza kuyashughulikia na viongozi wenzako
@Hasnspop
@Hasnspop 8 ай бұрын
Alafu hawa wenye kaunda imekuwa tabia yao kusukuma wanaoleta kero daaa😂😂😂
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 8 ай бұрын
Mbwa hawa
@lilyrose7983
@lilyrose7983 8 ай бұрын
😂😂😂
@annamwangomo7069
@annamwangomo7069 8 ай бұрын
Ila nchi hii jamani! Kuna watu hawamwogopi hata Mungu hizo kero huyo mzee kaanza zamani kulalamika kumbe ilikuwa bado hazijatatuliwa? Iwe mwisho kwakweli
@user-bj3sb6ml7b
@user-bj3sb6ml7b 8 ай бұрын
Big up sana Makonda Huna wasidiz zaid yako mwnyw na mh. Rais
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 8 ай бұрын
Huyu mzee ni Mzalendo wa Taifa letu Tanzania natumai Chama cha Mapinduzi kitaendelea kutetea Haki na kutatua Kero za Wananchi. Kidumu Chama cha Mapinduzi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 8 ай бұрын
Nikweli lakini rais alijisaha sana hivi mm najiuliza kipindi cha magu umeme ulikuwa hakatiki wananchi walisaha kabisa sasa kila siku umeme hakuna inamaana raisi hajui tatizo anawakumbatia sana mawaziri wake angekuwa anatumbuwa km magu akili ange wakaa sawa yy anawechekea sasa 2025 imekaribia ndio tunashutuka yani ni mtihani 2019 paka 2020 nilikuwepo tanzania umeme ulikuwa haukatiki nikasema sasa na kwetu kumeendelea kufa magu na umeme umemfuta tatizo nn kama sio kuwatesa wananchi hivi kipindi cha magu husikii kero ya machinga wala nn sasa hivi paka bora boda nishida daa wanawakamata hovyo tuu kosa dogo faini kama yote
@aminahkazumari8952
@aminahkazumari8952 8 ай бұрын
Mashallah moyo wangu una furaha tele
@mwinshehenassib4853
@mwinshehenassib4853 8 ай бұрын
Wizara ya ardhi mimi sina hamu nao. Hati yangu imenasia wizarani hadi leo. Ukienda mtumishi anakuuliza wewe raia "sasa hapo nafanyaje" Eti mimi nimefata huduma kwa mtu asiyejua nini cha kufanya.😢😢😢
@johnsebastian-bx6qn
@johnsebastian-bx6qn 8 ай бұрын
Inatia uchungu sana haki zinapokonywa inasikitisha sana
@Nyaburyaofficial217
@Nyaburyaofficial217 8 ай бұрын
R.I.P Magufuli
@erickmsigala138
@erickmsigala138 8 ай бұрын
Hivi Wana mlalamikia Nani? Dawa ni kuiondoa ccm na siyo kuwapa kero watatue wakati wao ccm ndiyo wanao sababisha wananchi acheni ujinga ccm hawana uwezo wakutatua kero zenu hiyo ni Futuhi
@malianonicass7029
@malianonicass7029 8 ай бұрын
Hii inchi Bado haiwezi kuongozwa na upinzani Ile ndo mijinga tutahama nchi hii
@mamapeace6730
@mamapeace6730 8 ай бұрын
Tulikumic kaka yetu mungu awe nawe maisha yako yote
@asmahchongoe1117
@asmahchongoe1117 8 ай бұрын
Naona msiba mwingine baada ya uchaguzi 2025 Mungu aisimamie roho hii ya mauti ishindwe kwa ajili ya nchi.😢
@JaphethIbrahim
@JaphethIbrahim 7 күн бұрын
Kaka ongera sana unajitahdi sana kutatua matatizo ya wanaimch hongera sana
@user-xz4mc4ec7x
@user-xz4mc4ec7x 8 ай бұрын
Mzee apewe ulinzi
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 8 ай бұрын
😄😄😄😄 Tanzania Nchi nzuri Sana 🔥🔥🔥🔥 sema bado haijapata viongozi wa ukweli kama Magufuli na Makondaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@pendomushi6351
@pendomushi6351 8 ай бұрын
Kila mtu yupo Kwa maslahi yake na watoto wake 😢😢ni huzuni
@user-od5si7ld6b
@user-od5si7ld6b Ай бұрын
Mhuuuuu kaz ipo Tanzania Makonda Mungu akulinde kwa balaka za Mungu 🙏🙏
@paschaljoh5729
@paschaljoh5729 8 ай бұрын
Huyu mzee Yuko smart sana kwenye maelezo yako
@andrewmwakiholano2555
@andrewmwakiholano2555 8 ай бұрын
Kabisa
@jamesmachiwa3679
@jamesmachiwa3679 8 ай бұрын
Makonda Mungu Akutunze Ili Uwalinde Watu Hawa.
@user-qz5xv5if2u
@user-qz5xv5if2u 8 ай бұрын
Nakupenda makonda mungu akurinde
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 14 күн бұрын
Allah awajaalie kila lenye mafanikio
@nimrodsigulu6249
@nimrodsigulu6249 8 ай бұрын
Hii nchi bado adui ujinga anatusumbua Sana..
@alexanderdustan8872
@alexanderdustan8872 8 ай бұрын
Ni kweli kabsa mojawapo ni wewe
@RacherBakari-qh2gx
@RacherBakari-qh2gx 8 ай бұрын
Rais Bora ni yupi mungu nipe macho nione
@user-kp3vc4rj9o
@user-kp3vc4rj9o 8 ай бұрын
Mama altakiwa wizara ya ardhi ibaki kwa lukuv
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps 8 ай бұрын
Ndio maana Mimi nasema Rais Samia suluhu Hassan ni mtu mwema sana watu anaofanya nao kazi asilimia 95% ni wanafiki utayaona mengi sana hayo ni machache ndio maana watu wanaichukia sana CCM . ( Kumbe yapo majitu kazi Yao ni kuharibu tu Ili Rais aonekane kama hafai . Mungu mulinde Rais Mungu akulinde na ww
@songeza
@songeza 4 ай бұрын
Hongera Sana school mate wa makonda huyo mtoto Yuko vizuri sana makonda hoyeee nami natamani nionanae nae nimpe mkono sana
@jamtv1883
@jamtv1883 8 ай бұрын
Hii nchi nzito 😅😅😅
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 8 ай бұрын
Mnoo. Mungu atupe viongozi wanaojali. Wema ni wachache
@user-fb6dh6sz2g
@user-fb6dh6sz2g 8 ай бұрын
Bila katiba mpya mpya haya yataemdelea kujirudia tu
@annaepmack7270
@annaepmack7270 8 ай бұрын
sijuh kama unaulinzi we baba jmn baada ya mika mi2 sijuh 😭
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 8 ай бұрын
Baba yangu ameongea kwa uchungu mnooooo
@eliamkongwa1450
@eliamkongwa1450 8 ай бұрын
Next president of Tanzania 🇹🇿 p makonda
@neemanziku5403
@neemanziku5403 8 ай бұрын
Makonda atarudisha heshima ya ccm mama samia kapatia kumchagua
@kambamazig02024
@kambamazig02024 8 ай бұрын
Ardhi kuna shida kubwa sana, sijui itakuwaje maana hiyo ni sawa na Maliasili na Utalii. Inatisha sana.
@robertigohe7477
@robertigohe7477 8 ай бұрын
Lukuvi Yuko wapi?
@LoveWity
@LoveWity 5 ай бұрын
Makondaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💗💗💗tunakupendaaa sanaaa🥰🥰🥰🥰
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 8 ай бұрын
Mimi bado cjaelewa nielewesheni hao waliotajwa hapo chama gani na anaejifanya kutatua izo kero ni chama gani
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 8 ай бұрын
Kuzaliwa tumbo MOJA siyo kufanana tabia, HIVO kuwa chama kimoja si sababu ya kuamini kuwa wote ni waonevu🚶
@user-po5tm4we4b
@user-po5tm4we4b 8 ай бұрын
Akamsikilize lisu Jana amesema yeye na mboe sio kila kitu watafanana kwenye mitazamo
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 8 ай бұрын
@@stellamsokwa6785 sasa wanaposema ccm ndio chama pekee kinachotatua kero za wananch, je kero izo zinaletwa na chama gani
@mwejstar5678
@mwejstar5678 5 ай бұрын
Naamin magufuli alikua na maono na wewe ndo mziba pengo lake...na ninaamin kabisa utakuja kua rais wa hii nch...na kizazi changu kitakua kwenye nchi salama....mwenyez mungu akupe maisha marefu...
@samwelipima3795
@samwelipima3795 8 ай бұрын
Kinana hakuwa na haja na kero za mwananchi makonda mungu akulinde
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 8 ай бұрын
Makonda pole, kazi ipo karibu Arusha
@majigeedward955
@majigeedward955 8 ай бұрын
Hii nchi inamajitu mapumbavu kupitiliza hoi nchi tusomesheni watoto wetu kwa gharama yoyote ile waje wapambane na watoto wao
@henryj3304
@henryj3304 8 ай бұрын
Makonda chapa kazi, wewe ndiye Magufuli Jr
@bwetungegodfrey4131
@bwetungegodfrey4131 8 ай бұрын
Classmate wa JPM has got a point..asikilizwe na atatuliwe shida alizozianisha.
@user-un2fk7iz7s
@user-un2fk7iz7s 8 ай бұрын
Sio mwanza TU haya hapa makao makuu dodoma ndo pameoza kabisa migogoro ya viwanja nahati feki
@bashobabaraka706
@bashobabaraka706 8 ай бұрын
Safi Sana mzee
@davidonelinetv4576
@davidonelinetv4576 8 ай бұрын
Daaah inauma sana😢😢
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 8 ай бұрын
Yafanyie kazi mh Mzee analia
@jacklinakinabo6479
@jacklinakinabo6479 8 ай бұрын
Hii nchi bora ujidai tu mjinga ,jidai huoninkitu maana ,hii nchi bhn Mungu atusaidie tu
@yohanantemi100
@yohanantemi100 8 ай бұрын
Ubarikiwe makonda
@hojamathias9989
@hojamathias9989 8 ай бұрын
Makonda naomba nikushauli wewe ni Magufuli ajae ila ukiwa Magufuli plz plz fanya zaidi ya magu
@yahayamboka9963
@yahayamboka9963 8 ай бұрын
Unafilwa we kwa lipi ukisikia umasikini wa fikra ndio huo
@joakweyahighdigitaltechnol4169
@joakweyahighdigitaltechnol4169 8 ай бұрын
Ongera sana makonda fata nyayo za magu.Utetee wanyonge
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf 8 ай бұрын
Ardhi ni tatizo hasa Ilemela tumeilipia hati mwaka wa nne hatujapata hati kila tukifuatilia tunaambiwa kiwanja kina mgogoro ilhali hakuna mlalamikaji
@mariethjohn3074
@mariethjohn3074 8 ай бұрын
Kweli watu wana nyanyasika duuuu mama aangaliee sana
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 8 ай бұрын
Nchi inaongozwa na serikali ya chama gani na wezi wsnstoka chama gsni?
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 ай бұрын
Miaka 60 ya CCM
@user-os3yw8hy3w
@user-os3yw8hy3w 8 ай бұрын
Makonda awe tu president 2030 baada Mama Samia Yuko vizuri
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 8 ай бұрын
Yani makonda mheshimiwa samia alichelewa sana mheshimiwa waziri mkuu majaliwa peke yake anachoka na hayo anayosema huyo baba ni kweli lakini samia aliyataka magufuli aliwatumbua wote yy kawarundisha sasa wananchi wanapata taabu enzi ya magufuli tulisahau hayo yote umeme ulikuwa haukatiki sasa hivi kuazia daa umeme kila kona umeme umekuwa wamgao wananchi wamechoka na tena samia kashutuka mapema yani 2025 ccm tungepata shida sana
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 8 ай бұрын
Hapana mama hakuchelewa kumleta makonda.. mama alikuwa anasubiria muda sahihi wa kina lissu na mbowe waanze propaganda zao ndio amlete kiboko Yao .. yaani kura za wasukuma tu zitampeleka mama mpaka 2030..
@user-fb6dh6sz2g
@user-fb6dh6sz2g 8 ай бұрын
​@@ibrahimally8073thubutu watu wa sikuhizi ni waelewa hakuna mjinga Tena nakuambia. Na watu wamechoka uonevu haswa
@marthaswai1185
@marthaswai1185 8 ай бұрын
Nafasi ya Makonda ni ndogo sana.Apandishwe cheo zaidi.Anafaa kuwa CAG,sheria imruhusu kupeleka wahalifu Jela.
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 5 ай бұрын
Ni kubwa kwani hata cag anachaguliwa na rais kwahiyo makonda anauwezo wa kumuadibisha
@marthaswai1185
@marthaswai1185 5 ай бұрын
@@tanzcanmediatv4473 Hii nafasi hajaapa.Apate u CAG
@innocentludovick4724
@innocentludovick4724 8 ай бұрын
Ahadi ya chama cha mapinduzi haki nayo ipo. Kwa hivyo Mh. Paul Makonda atakuwa muumini wa haki husda za mwanadamu zishindwe.
@abdultandala6576
@abdultandala6576 8 ай бұрын
Makonda uishi sana, nakuomba upatapo kero uhakikishe unazitatua kama hautofanya hivyo itakua kazi bure kuwachosha watu kutoa kero zao yangu ni hayo.
@user-io1et5ei6p
@user-io1et5ei6p 8 ай бұрын
Makonda vaa viatu vya JPM, okoa jahazi liaenda mrama, mama kazingirwa na watu wasiotaka uongozi wake ila yeye mala hajui tu, lakini yanayosemwa ni ya kweli kweli kabisa, hivyo tunaamini uwepo wako makonda utarudisha heshima ya chama cha CCM na serikali yake,kiasi kwamba ilikuwa inapelekea kubaya kwasababu watu walisha hizo vitega uchumi vya nchi nakujinufaisha wao na familia zao.
@user-gu3ol1rv8g
@user-gu3ol1rv8g 5 ай бұрын
Nmemskilza huyu baba mpaka nimejkuta nalia😭anaukwel ndan yake piah ulizi ufanyike juu yake ukweli unauma🙌
@violethbosha1666
@violethbosha1666 6 ай бұрын
Njoo kigoma baba
@user-uk9vm5jn9d
@user-uk9vm5jn9d 5 ай бұрын
Mheshimiwa makonda wanawake tumebeba mboga sanna tunanyeshewa na mvua jua letu mvua yetu tunaomba utusaidie tunaumia sanaaa
@user-kd3ey6ez5s
@user-kd3ey6ez5s 4 ай бұрын
Nahitaji namba ya Baba Makonda nimefurahiya mambo unayo tenda huko kwenu sisi uku kwetu Congo nishida na matatizo.
@nbanba7138
@nbanba7138 8 ай бұрын
Hii sasa safi👍
@jaymalebo2159
@jaymalebo2159 8 ай бұрын
Makondaa Mungu akubariki
@vickysteven1172
@vickysteven1172 6 ай бұрын
Mungu akutunze makonda wasikumalize
@dinaalfani
@dinaalfani 5 ай бұрын
Alhamdulilah❤❤ makomd
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 8 ай бұрын
Kazi za wakuuu wamikoa wawilaya mpaka aje makonda inaalilah wainalilahi lajunnn tuuogope uongoz sababu utaleta laana kwenye vizaz vyetu kila unaemuongoza analalamika kasoro family yako tu
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 8 ай бұрын
Dah inauma sana raisi wetu ndo huyu sisi
@user-gw8xt6gr4j
@user-gw8xt6gr4j 8 ай бұрын
Naomba mungu poul makonda uje na sumbawanga baba ,mirad yetu ni nishida
@azizalivingston1954
@azizalivingston1954 6 ай бұрын
Hongela baba hii ujasir mkubwa
@mwitaagness455
@mwitaagness455 8 ай бұрын
Yesu wangu Hosiana alipo itakuwa tumbo linamuuma....
@jackchitila8135
@jackchitila8135 8 ай бұрын
Mambo
@scolasticakaduma5143
@scolasticakaduma5143 8 ай бұрын
Kanda ya Ilala DSM tunakusubiri kwa hamu sana Mwenezi Makonda.
@muhammadbakashmar3166
@muhammadbakashmar3166 5 ай бұрын
Sasa Makonda peke yake ataweza kusikiliza yote? Si waongeze mmoja zaidi wawe wawili? Kuna mengi yanahitaji kushughuliwa.
@barryrioba3934
@barryrioba3934 8 ай бұрын
RAISI SAMIA Mjanja Sana, Ametumia Akili Kubwa Kumuweka MAKONDA Hiyo Nafasi Ya Uenezi CCM Taifa. MAKONDA Nae Ni Kichwa Sana Kwenye Kazi.
@ditrickkomba8865
@ditrickkomba8865 8 ай бұрын
JPM is back
@user-sx4pn8jn9g
@user-sx4pn8jn9g 8 ай бұрын
Woooh kweli kabisa
@finehotelzanzibar
@finehotelzanzibar 8 ай бұрын
Hivi unajua huyu Makonda anaweza kuja kuwa Rais. The second Magufuli 😊
@RajabJuma-pe9ml
@RajabJuma-pe9ml 8 ай бұрын
Dah kweli Bora mama kamrudisha mheshiwa makonda mkuu tunakukubali kiongozi
@Mwajuma-hl2ot
@Mwajuma-hl2ot 5 ай бұрын
Mungu akurinde makonda
@user-dh7yg6dl5e
@user-dh7yg6dl5e 5 ай бұрын
Nampenda huyu baba anaongea sana😂
@nero7941
@nero7941 5 ай бұрын
Awawatu ndio wanawaponza viongozi makonda awe makini tu😢
@user-gw8xt6gr4j
@user-gw8xt6gr4j 8 ай бұрын
Naomba raisi watu amrudishe lukuvi wizara ya ardhi hapo ndo ataweza ardhi
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 34 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,2 МЛН
Donald Trump speaks for the 1st time on the assassination attempt
14:17
FOX 9 Minneapolis-St. Paul
Рет қаралды 10 МЛН
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 34 МЛН