No video

BEATRICE ANAYEDAIWA KUMUUA MUME WAKE AINGIA AMEVAA KININJA MAHAKAMANI TENA, AJIFUNIKA MWILI MZIMA

  Рет қаралды 28,766

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 121
@user-ly9us4db3m
@user-ly9us4db3m Ай бұрын
Nanyinyi wanaume mmezidi jamani kwanini hamtulii na mke 1 jamani huyo hakukusudia kumuua ila nihasila tu akifikiria maisha yake yeye na mumewe waliko toka huenda wameaza kuchuma mali pamoja mbaka wakapata utajiri huo hapo hapo mwanamke wa nje ya ndoa anakuja kuchuma kirahisi sana inauma kibinadamu jaman yasikieni tu jaman wengine twatahabika huku uarabuni tumeacha watoto huko ili tutafute lizick tumeacha wanaume zetu badae tumefanikiwa et anakuja kuchuma kirahisi tu maraya wa nje we Mungu anisaidie aniepushe nahasila hizo jamani inauma sana
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist Ай бұрын
kaua tatizo usiangalie alipotoka
@NuruRajabu-pf5vb
@NuruRajabu-pf5vb Ай бұрын
Sasa kama wamechuma Mali ndo amtoe mtu roho? Mali zinatafutwa tuu.
@DenisMawala
@DenisMawala Ай бұрын
Kuua ndo sulotion
@user-ly9us4db3m
@user-ly9us4db3m Ай бұрын
@@DenisMawala ndio hivo hasila hasara nibora wakose wote
@elihaikamrema1693
@elihaikamrema1693 Ай бұрын
Kwa nini polis wanakubali mavazi hayo. Pengine anaweza kuwa sio yeye ni mtu mwingine.
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 Ай бұрын
Police awaangalii mavazi na wanauhakika kuwa ni yeye ndiyo maana wakamleta mahakamani
@GodJakobTash-mu9zf
@GodJakobTash-mu9zf Ай бұрын
😢😢IV kunahaja gani yakujisumbua kwenda kwenye kesi ambato ikowazi yeye ndomuuaji nitapotezea lakini LAKINI
@user-ds6li1ss4t
@user-ds6li1ss4t Ай бұрын
Huyo Diwani Kmpania huyo mama toka. Day one
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 Ай бұрын
Tumamuombea bitilis atatoka hakukusudia ...unafikilia hata akinyongwa ndugu yenu amekufa amekufatuu hawezi kuludi ...asemehewe tuu hakukusudia ni hasila wanamume mmezidi umalaya
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Ай бұрын
Kabisaaa hata mie namuombea Beatrice hakupenda kuua ometokea...angetulia angefia wapi UMALAYA waache la sivyo wataisha wakikutana na watu wenye roho ndogo😠
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 Ай бұрын
Kumfunuka itakuwa sio yy kabisa huenda Alisha toroshwa msikibali kabisa akija mahakama Aje kavaa kawaida kama alivo vaa siku alipo muuwa mumewe mahakama gani inaruhusu muuwaji kujifunika ama Isha pita rushwa ujinga tu wanazidi kuwaumiza walio filiwa
@maswamills3161
@maswamills3161 Ай бұрын
😂😂inawezekana ni mwanaume au!!!!
@rashowshine7849
@rashowshine7849 Ай бұрын
Cha ajabu wanawake matetea huyu malaya mwenzenu mamae wabaguzi nyie angekuwa mwanaume ndio kaua mngesema huu ushuzi hapa
@VERONICALAIZER-vt3ui
@VERONICALAIZER-vt3ui Ай бұрын
Haki huinua Taifa....poleni sana wafiwa
@FrancisKaluz
@FrancisKaluz Ай бұрын
Nilichokiona mimi, Mtuhumiwa anashuka kwa ukakamavu kuliko askari. Yaani ameshuka kijeshi, na hao wameshuka kipolisi.
@user-le7cc9zk4d
@user-le7cc9zk4d Ай бұрын
Kaka hata mimi nimeshangaa sana hapo kuna jambo la kujiuliza
@MwanaidiOmary-rv8nd
@MwanaidiOmary-rv8nd Ай бұрын
Serikali ndy itaamua hapo bas mbele yake nyuma yetu 😂😂
@hidayachanga4774
@hidayachanga4774 Ай бұрын
Mmh kilimanjaro Wana shida gn jmn😢
@annamussa185
@annamussa185 Ай бұрын
Nyie nao ndugu wa mume muache ujinga,sasa hata akifunua uso huyo marehemu ndo atafufuka upuuzi tu azagaye mitandaoni ndo furaha yenu mmekosa kazi za kufanya
@Catherine-nd4of
@Catherine-nd4of Ай бұрын
Mond
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Ай бұрын
Wanamakasiriko hao while ndugu yao alichangia hilo "tukio"...waache kumbebesha dhambi dada wa watu😮
@annamussa185
@annamussa185 Ай бұрын
@@ElizabethMkini mshahara wa dhambi ni mauti ngoja akapumzishe bolo lake umalaya ulimzidi sana
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 Ай бұрын
pumbavu wewe mjinga ni wewe kwa nini muuwaji afichwe iyo nsheria ya wapi au alieliwa ni myama au kwa vile sio wakwako waongea tu bila kufikirlia
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 Ай бұрын
​@@ElizabethMkiniNdugu yao alichangia kifo alijishikia kisu kwani kua na mke mwengine alianza yeye au kwa kua sio.mtu wako ndio ukaongea upuzi kama alikua amechoka si angeshika njia ndugu waeatu akamuacha kwa nini auwe mtoto wawatu
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Ай бұрын
Mbona mke wa bilinear Msuya alikua hafichwi sura? Wana jambo lao hao!😢😢
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Ай бұрын
Diwan mnywa visungura leo nakuona kwa mbaliiii😂😂😂😂😂
@vickytango5591
@vickytango5591 Ай бұрын
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@chikujuma18
@chikujuma18 Ай бұрын
Fungen huyo kauwa kwa makusud aliona anamkomesha kumbe imekula kwake aende jela kabisa
@user-cx7rh6jt6y
@user-cx7rh6jt6y Ай бұрын
Inawezekana sio yy 😳
@mbatiakessy2420
@mbatiakessy2420 Ай бұрын
Hii sioi tena machame
@happynkya9770
@happynkya9770 Ай бұрын
sasa huko mahakaman anaenda kuongea nn wakati alikutwa na visibitisho vyote mpaka kwenye pochi kilikutwa kisu chenye damu, au ndo anaenda kukataa kuwa siyo yy
@user-yf5su4qc8s
@user-yf5su4qc8s Ай бұрын
Ndugu wa mume ni maibilisi wanajifanya Wana uchungu na ndugu Yao bila kuwaza kuna watoto sita nyuma yake. Hapo wanaweza namna ya kutapeli watoto maana ni wadogo.
@promisetenson7258
@promisetenson7258 Ай бұрын
ww ni nani unaongea nn fyuuuuuuuu ni maibilisi kwa lipi? Ameua kwahiyo ww kwa akili yako finyu ulitaka ndugu wa mume wafanye nn kwani?ndugu acha kuandika pumba mitandao ya kijamii fikiri kabla
@vickytango5591
@vickytango5591 Ай бұрын
Usijali matusi yao walengwa tumekuelewa
@a2core-wn2wk
@a2core-wn2wk Ай бұрын
Nyie msitetee ukatili alioufanya huyu mwanamke mwenzetu kwani yy alivyokua anaua hakujua watoto wadogo ?angekua ni ndugu yako kauliwa ungesema haya ?nao wanaumia kwa ajili ya ndugu yao
@user-gu1dq8hv3k
@user-gu1dq8hv3k Ай бұрын
Ujafiwa nn?je kama angekuwa ndugu yko kafanyiwa hivyo ungeongea hivyo?
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Ай бұрын
Bwana weee wakubali matokeo...huyo mke si kichaa na hakupanga kuua ni hasira na shetani akaingilia hapo...wasijizime data ndugu yao ndo kasababisha anhetulia na mkewe yangemkuta haya?!huko kwa Mungu anajibu mashitaka maana kadhulumu nafsi yake pamoja na watoto wake...
@user-ug4dg3zh1w
@user-ug4dg3zh1w Ай бұрын
Sasa faida iko wapi mume umemuuwa wtt wanaangaika wewe mwenyewe unaangaishwa tuseme na asira zetu bora muaachane kuliko mambo km haya kwani uyo mume uliambiwa atakuwa na ww tuu jamani wivu mwengine wakijinga sn km ulikuwa una asira siungejiuwa mwenyewe upumbavu tuu
@nadiatanzania
@nadiatanzania Ай бұрын
Anakaa mwanaume kwanza hayo mabega yakiume kabisa😮
@user-gu1dq8hv3k
@user-gu1dq8hv3k Ай бұрын
Yan huyo c YY anashuka kwenye karandinga kama mwanaume anaruka hivyo kikakamavu kabsa Yanii
@user-xj7ek3bo4w
@user-xj7ek3bo4w Ай бұрын
Siyo Sawa ajifunuwe uso wake
@user-zq7jb2ij4u
@user-zq7jb2ij4u Ай бұрын
Mkisha ua ndio mnaavaa mavazi ya kiislam tuacheni na stara zetu.
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 Ай бұрын
Yangekuwa ya kiislam pekee wengine yasingeingia mwilini
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Ай бұрын
​@@givenessdavid3743😂😂😂😂😂Ila kama kweli 😂😂😂
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
Huyu mama hakutarajia kama kile kipigo angemuua, Ieleweke hakuna mtu anapenda kuua hii ilitokea tuu kwa bahat mbaya ndugu wa marehemu ,acheni jazba, muwe Walpole,sheria zipo tulieni na poleni kwa msiba uliokwisha tokea, huyo bado ni mkeweni
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini Ай бұрын
Kabisaaa hasira hasara...wamuombee ndugu yao...
@user-yk3cj4kb4k
@user-yk3cj4kb4k Ай бұрын
Hamna hata albu,,kwa sababu si damu yako,si ndugu yako,mama,yako analetewa Yukari na watoto wake,huyu wa marehemu anadaka inzi, vaa viatu vya huyu mama wa marehemu. Uone, na bora angekufa kwa ugonjwa au ajali,nyamaza kabisa Tena. Ufunge demo lako, Nanna hujitambui mwombe mungu akusamehe, hivii mtu mzi.a n ability zako sio kicjaa, uchukue kiss, uweke kwenye kochi siunaelewa unachoenda kufanya, kama hakudhamiria angeenda bila kisu
@rashowshine7849
@rashowshine7849 Ай бұрын
Waguzi nyie angekuwa mwanaume kaua mngesema huo ungese
@nasrachaya
@nasrachaya Ай бұрын
Kwann waguzi sio wapuuz​@@rashowshine7849
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
Tamaa mbaya unamuua mmewako sababu ya mali kanyonye vismi nya wenzako
@carlosandrew1787
@carlosandrew1787 Ай бұрын
Sio sababu ya mali, ni wivu wa mapenz, alimfumania mumewe
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 Ай бұрын
Wewe ujui kesho yako nyamaza
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
@@carlosandrew1787 Aisee kumbe hataivo kakosea kumuua siunaona mateso anayopitia
@user-ud4hu6xe1c
@user-ud4hu6xe1c Ай бұрын
Mmmmhhh jamani
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
@@florarwegerera8025 Nikweli ndomana tukaambiwa tumche M/MNGU itakufanya uwe na subra kutokua na hasira ya maamuzi mabaya
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn Ай бұрын
Maskini wanaume wanatuponza
@sheilajuma8963
@sheilajuma8963 Ай бұрын
Mmmmh😢😢😢😢😢😢
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 Ай бұрын
Mbona hatuwaoni wale wanaharakati kina mama wa haki za wanawake na unyanyasaji wa jinsia ya wanawake
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 Ай бұрын
Ataujifunike rangi zote utaona umeshaua laana tupuu mpaka Kwa watoto wako wanawake wengine ni majangaa tupuu
@eliaisack156
@eliaisack156 Ай бұрын
Sheria ya nchi Ina ruhusu hili lamtuhumiwa kufichwa hivo nisawa kweli
@luluray2115
@luluray2115 Ай бұрын
Kwel jambaz ni jambaz tu Mungu atunusuru tu aisee
@user-hw7kz8rv2c
@user-hw7kz8rv2c Ай бұрын
Siyo yy kwann amejifunika sura
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Ай бұрын
Kitajulikana 2
@JumaMtima
@JumaMtima Ай бұрын
Ngoja akale ugar Wa bure
@AlphonceUshaki
@AlphonceUshaki Ай бұрын
Leo wakwanza comment yangu usiguswe
@user-zq7jb2ij4u
@user-zq7jb2ij4u Ай бұрын
Yaani si kwa Juba hilo ,kitendo mwana majuto ni mjukuu.
@joaskiliba5996
@joaskiliba5996 Ай бұрын
Anajificha nini, amemuua mtoto wa watu, ulijifanya una uchungu na mume tu ambae ulikutana nae akakupenda mwenyewe, lkn masikini hakujua kama alimpenda muuaji😢😢
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v Ай бұрын
Ndiee au namaste izoo msikubali kwani hio ndio sheria ajifunike
@mussailomo565
@mussailomo565 Ай бұрын
😢😢😢 wanawake
@valyagraphicstz799
@valyagraphicstz799 Ай бұрын
Kumekuchaaaaaaaa😅😅😅
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 Ай бұрын
mbona aletwe akiwa amefinikwa hii kesi wataitupa haki watawapiga chenga ata ivyo pana njama fulani hapa amevaa ninja kwa nini na nimuaji kama muuwaji mwengine ye kama nani afichwe
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
Hata yeye kujifunika juba nikosa mbona wengine tunawaona?
@Attumessausy
@Attumessausy Ай бұрын
Huyo lazima atakuwa sio yy
@verombwambo3703
@verombwambo3703 Ай бұрын
Mavi yake mbona hakuna Aibu alivyoua
@user-ns1dg4jd7q
@user-ns1dg4jd7q Ай бұрын
😂😂😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Ай бұрын
Mnaukata uislam kisa mashugi mkiuwa mnavaa mashugi uislamu juu
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l Ай бұрын
Chezea juba wewe hata wenyewe hatujawahi vaa hilo fuluuu kujistiri ooohh majubaaa kupatwaa kwa juba yakiisha kama.kawa Rimini usitukane wahenga uzazi ungalipo,,,, leso ni dhahabu hufaa kipindi cha tabu
@janethjonas1700
@janethjonas1700 Ай бұрын
Anapungua sana...
@josephkiwale374
@josephkiwale374 Ай бұрын
Mtuhumiwa mbona anashuka kwenye karandinga kikamanda🤔🤔🤔
@bennamush4616
@bennamush4616 Ай бұрын
😂😂😂😂
@merabKitundu
@merabKitundu Ай бұрын
Watanzania bona muaji mwamfunika nguo
@fanboy.1-tz
@fanboy.1-tz Ай бұрын
Kunistiri ni kuvaa kininja????
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 Ай бұрын
Jina lenyewe tu.mbaya betrice sipendagi wanawake wanao itwa betrice.hawakosagi visa,wengi wao ni waongo,wambeya,dangulo,wadangaji.mwisho wao kwenye mausiyano huwishaga na visa.tena vyakutisha.
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 Ай бұрын
Wewe nyamaza ujui kesho yako
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Ай бұрын
Jina lake Lina ubaya Gani nzuri kabisa una shida embu angalia lako lilivyolibaya hata halisomeki
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Ай бұрын
Mashugi kama mashugi
@Rotmic_13
@Rotmic_13 Ай бұрын
😢😢😢
@happymrema7487
@happymrema7487 Ай бұрын
Yan unavyojifunika ivi inaonekana ulikusudia kuuwa
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 Ай бұрын
Muuwaji lazima na yy auwawe afilie mbali
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu Ай бұрын
Mnamfunika ili iweje
@agnessasenga7846
@agnessasenga7846 Ай бұрын
Kama bundi mzee
@Catherine-nd4of
@Catherine-nd4of Ай бұрын
🎉😢❤😅❤
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl Ай бұрын
Yan muuuwaji mnamficha uso...
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 Ай бұрын
Kwanini ili tukio yeye ndiyo wa kwanza Dunia nzima mbona mnaongea vibaya wakati na wewe ujui kesho yako
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl Ай бұрын
@@florarwegerera8025 alivyo enda kufanya tukio mbona hajavaa vile tulia wewe
@happinessmateru1121
@happinessmateru1121 Ай бұрын
..
@rhodamwakaje778
@rhodamwakaje778 Ай бұрын
Km bb harusi Sheria itende haki
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Ай бұрын
Hivi niwaulinze nyie ndugu je? Angekuwa ni ndugu yenu ameua mke mngeenda wengi hivyo mahakamani? Kuna kitu mnatafuta sanasana mali za ndugu yenu hamna lingine yule amekufa harudi tena cha msingi mtoeni huyo mama akalelee wtt wake mana watoto 6 ni wengi sana niwaambie mama ni mama tuu ht awe jambazi mchawi kichaa muuaji ni mama tuu mzee subirieni wtt wakue mtajanikumbuka
@BatretStambuli
@BatretStambuli Ай бұрын
Yaani mama ni mama wasamehe tu 7mara7imeandikwa kama nyie ni wakristo najua machungu mliyonayo poleni
@chikujuma18
@chikujuma18 Ай бұрын
Fungen huyo kauwa kwa makusud aliona anamkomesha kumbe imekula kwake aende jela kabisa
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Ай бұрын
Utakuta hata mwanamme aliyemuua hakumtoa ubikira alikuta ni lijambazi kamuua masikini baba wa watu alaaniwe.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 10 МЛН
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 14 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 12 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 109 М.
SHILOLE AKIRI "NITAOLEWA HATA NDOA 30, KWANI KUNA UBAYA?
23:13
Millard Ayo
Рет қаралды 51 М.