Watanzania leave Kenya alone, kipindi cha abunuasi hiki , huyu mwanadada, ni wenu , hatuna sura kama hizi huku kwetu
@sammymwangi5216Күн бұрын
Mshenzi ajui Radha ya kenya
@kimzytvchannel24133 күн бұрын
Mbona Gen -z hatujawahi ona uyu dame Kwa maadamano na aliye mtuma kuwakilisha gen -z kuhojiwa NI nani
@brilliannafula57623 күн бұрын
Ati Mbengo Tv mtu kome kwanza huyu msichana hatumjui ,sio mkenya pelekeni upuzi huko Jen Z hawana kiongozi
@AbdallahSalim-tf1ee2 күн бұрын
Huyu dem hatumjui musitafute kiki hapa
@sifamaureen27923 күн бұрын
Koooomeni watanzani,hebu muhojo warembo wenu ,kwanini wajipaka mukorogo,achaneni na sisi wakenya kabisa ,bambaneni ma yenu tuacheni tupambane na yetu kwaimani,
@user-ih4kw5eb3dКүн бұрын
Huyu hatumjui kabisa kiswahili chake nicha kichaga yule ni mtu wanairobi sio huyu na kujifanyisha mtu flani haufanani kabisa
@jayjay43133 күн бұрын
Njoo nikuoe mimi hapa, na hamu ya kudundwa na mke wangu. Dunda mpaka akili ikae kwenye reli, ilimradi na wewe hucheat maana kidundo kitageuza kibao. Ohoo
@NoName-pp4lo3 күн бұрын
Huyo si gen z hatumjui genz inaanzia 1997-2012 1981-1997-millenium Huyo sio Genz mmemtoa wapi Gen z hawana kiongozi
@JamesSampulli3 күн бұрын
Wee mpuuzi sana huyo kiongozi wa Gen Z wamjua wewe hata wasema wako chunga mdomo wako mwanzo we sio mkenya we ni mtanzania sio mkenya ovyo
@LoviLovy-mz3fn2 күн бұрын
Kaka tafuta mtu wa kuinterview sio huyo coz hajui kenye kinaendelea vizuri......zakayo is playing mind game withdrawal of the bill mean nothing juu baada ya 21 days it will be a law that's the reason tunataka zakayo ashuke......