SUBHANALLAH LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MUHAMMADIN WAALI SAIDINA MUHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
@omarimbaruku85712 ай бұрын
😂😅
@bakarishareeff11112 ай бұрын
Mashaaaallah Tabarakallah
@mbeyusaid46882 ай бұрын
Shekh Walid Allah Skype umri mrefu uzidi kutuelemisha.
@almasiahmed5472 ай бұрын
Allah Akbar
@faridmnyamike5562 ай бұрын
Allahu Akbar
@user-nn2dk7zm9n2 ай бұрын
Nisahihi
@pastorkishimbo2 ай бұрын
Elimu ya Mungu sio biashara! Kama kuna changamoto yeyote tuwasiliane kwa namba 0753887695; hiki kisa cha Shekhe Walid kinafundisha wengi ndio maana tukakipandisha hatakama ni imani tofauti! Tukipata taarifa officially kwa wahusika hii video tutaishusha kwani sio lazima iendelee kuwepo hapa.Shalom.
@NunuKupela2 ай бұрын
Hakuna tatizo tunakumbushana mazur tuache mabaya visa vya waja wema wachamungu vituecourage tuwe miongoni mwa waja mwema Mungu akuongoze na akupe utambuz wa kukubali kuwa hapana mola apaswae kuabudiwa Kwa haki ila Allah na Mohammad saw ni mtume wetu na Mungu hakuzaa Wala kuzaliwa , ubarikiwe sana
@africa74792 ай бұрын
hiv kuna wafanyabiasha kwenye elimu kama nyie mapastor.. acha watu watoe kama wanataka
@pastorkishimbo2 ай бұрын
Mimi sijakataa watu watoe hasa wanapotoa kwaaji ya Kazi ya Mungu ndio maana kisa hiki nimekiweka hapa kifundishe hata wasio waislam@@africa7479