MSWAHILI : HUU NDIO UKWELI KUHUSU "KWA MPALANGE/ KWA NINI LINATUMIWA SANA ?

  Рет қаралды 229,120

Wasafi Media

Wasafi Media

3 жыл бұрын

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 335
@haridimnimbo7377
@haridimnimbo7377 3 жыл бұрын
Zembwela umefanya kaz kubwa sana Asante kwa kutufanya tuijue historia ya kwa mpalange
@Chemba67
@Chemba67 3 жыл бұрын
Hawa madogo wa kwanza kuwahoji ktk hiyo bajaji wana busara sana, wameongea vizuri sana na wametaja vizuri athari za upotoshwaji wa hilo neno.
@manchado1863
@manchado1863 3 жыл бұрын
Kabisa,wapo vizuri
@faridmayanja3608
@faridmayanja3608 3 жыл бұрын
yes,zembwele,seriously ur doin a gud job kabisa,keep on pushing,napenda sana hiki kipindi chako,asante sana kwa kutuelewesha na kutufundisha kuhusu maisha yetu halisia ya uswahili.much respect bro.
@sirmwangangi4497
@sirmwangangi4497 3 жыл бұрын
Inapendeza sana aisee..asante sana Zembwela kwa taarifa kundu na ukweli kuhusu 'Kwa Mpalange'
@daudimahede6014
@daudimahede6014 3 жыл бұрын
Ipitie tena comment yako
@elicegeorge9991
@elicegeorge9991 3 жыл бұрын
Kuntu soma tena
@omarrajab9771
@omarrajab9771 3 жыл бұрын
Zembwela karibu kwa waswahili 254 !!!!!!
@stevenmhina7222
@stevenmhina7222 3 жыл бұрын
Nadhani, pamoja na kwamba ni jina la eneo, wasanii hawakumaanisha wakazi wa eneo hilo matendo yao ni yahovyo kama inavyozungumzwa. Bali, wasanii walijaribu kutengeneza jina tafsida ya kuhusu dhana ya maumbile furani ya binadamu hivyo wakaona neno "kwa mpalange" ingeendana na matakwa yao bila kujua litapokelewaje na jamii na hivyo kuzua sintofahamu hii leo ambayo si sahihi kwa watu wa Kwa mpalange na eneo lao. Ni sawa na kusema neno "Msambwanda" huenda lingekuwa na tafsiri au kutumiwa vinginevyo, pengine yangejitokeza kama haya yanayozungumzwa ya neno kwa mpalange.. Kwa hiyo nashauri wasanii wawe makini katika matumizi ya lugha, hasa wanapotaka kuzalisha matumizi ya maneno ktk jamiii
@hassansaleban7429
@hassansaleban7429 3 жыл бұрын
Good to see ur back my favourite ukiwa healthy but please more video because ur legend rest who want to copy ur style it just dream keep it up big bro big up stay humble prayer forever 🔥🔥🔥🔥💯💯💯🙏🙏💪💪💪
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Dah huko kwa mpalange watu wataogopa kununua maeneo ya kuishi 🤣 dah hao samaki sio poa ni watamu sana
@salehpandu2250
@salehpandu2250 3 жыл бұрын
Safi sana zembwe you are good presenter
@nurdeentv8126
@nurdeentv8126 3 жыл бұрын
Huyu ndo mswahili halisi .... much love from khartoum
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Umma umeharibika, ni miongoni mwa ishara na dalili za Kiama/mwisho wa dunia. Mungu Mola Muumba atuhifadhi tuupate mwisho mwema.
@suleimansuleiman1127
@suleimansuleiman1127 2 жыл бұрын
Amiin🙏
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 3 жыл бұрын
Kweli hapo kwa mlanzi napajua sana , kwa mpalange ni pale huku kilima na huku kilima katikati barabara na kuna mteremko mkali sana
@alfanishabani1928
@alfanishabani1928 3 жыл бұрын
Ishaa wah kwendae
@ggmmjasiliamalionline2746
@ggmmjasiliamalionline2746 3 жыл бұрын
Sikiliza vizuri minutes 4:40 huyu angehojiwa vizuri tu lazima pawe na sababu zilizuka na kuupa umaarufu huwo mji hawo vijana washenzi ndo walopatia doa huko kwa mpalange
@brightontheogenes5093
@brightontheogenes5093 3 жыл бұрын
umetisha sana umefka hom boi mwambaaa
@khamisshee5131
@khamisshee5131 3 жыл бұрын
Nakukubali sana Zembwela uko vzr sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 3 жыл бұрын
Zembwera ahsante sana duuuh umenijuza kitu ambacho nilikuwa sikijui...!!!
@seifushabani9686
@seifushabani9686 3 жыл бұрын
Leo nimekua wa kwanza like kwa chama la wana WCB
@mubarakarackah4144
@mubarakarackah4144 3 жыл бұрын
Hongera za kwenda kwa mpalange!!
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 жыл бұрын
Nakupenda Zembwela utukumbusha ukiwa uswazi
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 3 жыл бұрын
Et mahindi ya kuchemsha ukila na mishkaki sawasawa umekula ugali nyama 😁😁
@hamisfufuru6294
@hamisfufuru6294 3 жыл бұрын
Huku Mlima Huku Mlima katikati mserereko hii Unamaanisha Huku tako Huku tako katikati...................
@zedymoris8576
@zedymoris8576 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣zembwela eti huu muhindi wanne nasubiri mishikaki tu ili niwe nimekula ugali nyama😂😂😂😂😂😂.
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Hahahahahaaa huyu zembera mchekeshaji mzuri sana
@aminasaid8462
@aminasaid8462 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@khalidbalala7753
@khalidbalala7753 3 жыл бұрын
Alikuwa mchekeshaji zembwela
@kitashinetz1820
@kitashinetz1820 3 жыл бұрын
Watusafishe wa kwamparange yaani kwasasa tunashindwa kuaga wakwe "Daah mama naenda kwa mparange na sijui kama ntawai kurudi" 😂😂
@munashabani1376
@munashabani1376 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂👍
@somewhereinafrica9164
@somewhereinafrica9164 3 жыл бұрын
😂😂
@balozimkali1337
@balozimkali1337 3 жыл бұрын
Hahahaha hii hatari
@aminasaid8462
@aminasaid8462 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mwanamisakulembwa1147
@mwanamisakulembwa1147 3 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄mpalange hoyeee!
@consolatarwabuganda7187
@consolatarwabuganda7187 3 жыл бұрын
Mparange mwenyewe angekuwepo ingekuwa poa sana,
@rashidabubakari7826
@rashidabubakari7826 3 жыл бұрын
Nimefurahi kusikia history Ashante zembwela
@minicooper9642
@minicooper9642 3 жыл бұрын
Hao hawasemi ukweli hapo kuna mtu alifanyiwa kitendo kibaya baada ya kufumaniwa ndio jina lilianzia hapo watu kulitaja
@TIRAVISIONTV
@TIRAVISIONTV 2 жыл бұрын
@@minicooper9642 hahah 😂 unauwakika huo bro wameongea uwongo
@Africaonetvjam
@Africaonetvjam 3 жыл бұрын
MWALIMU WANGU NAKUKUBARI DAIMAA BABUUUU
@oswardmwakalobo2920
@oswardmwakalobo2920 3 жыл бұрын
Ina maana huyo mzungu alipe nda kufanya tendo Hilo ndoo maana watu wakaamua kukiita kitendo hicho kuwa kwampalange
@Vanisikaka
@Vanisikaka 3 жыл бұрын
"Ukipata bwana wa kizungu nenda nae kwa Mpalangeeee"
@msafiridinongo8857
@msafiridinongo8857 3 жыл бұрын
Van isikaka💪💪
@ramadhaniramaa3891
@ramadhaniramaa3891 3 жыл бұрын
Kaka reactin ya rapcha please
@Vanisikaka
@Vanisikaka 3 жыл бұрын
@@ramadhaniramaa3891 angalia vizuri ipo tayari
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 жыл бұрын
Naona miaka ya 60 walienda na mzungu huko.
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
Kwetu huku, one love 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 жыл бұрын
Nimemiss mpaka 😭kwetu jmn 🇴🇲 napo uku Sasa one dey nitalud home
@fatmamatuma4073
@fatmamatuma4073 3 жыл бұрын
Inn shaa Allah
@amour5535
@amour5535 3 жыл бұрын
@@khdigahk4246 inshaaallah namie pia ndo njia yangu kwenda kwetu magole mwanagat
@ramlazuber6038
@ramlazuber6038 3 жыл бұрын
@@khdigahk4246 INSHAALLAH ipo siku tutarudii kwetuuu TANZANIA.
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 3 жыл бұрын
Kweli naona ni mzungu pale juu kuna mpaka mabaki ya magari ya enzi za mkoloni kuna minazi kibao hapo juu kabla ya kushuka hicho kilima
@poulkiarie254
@poulkiarie254 Жыл бұрын
Asante kakangu kutafsiri uhalisia wa hilo jina Paulo nikiwa Mombasa
@ggmmjasiliamalionline2746
@ggmmjasiliamalionline2746 3 жыл бұрын
Minutes 4:24-4:26 kwa mpalange sio kudanga mbna mbna unatafsida maneno na tunavyoaminishwa huku
@jabilmwakyoma105
@jabilmwakyoma105 3 жыл бұрын
mi nafikiri wanatumia ndivyo sivyo hilo jina la mpalange sababu ya kua na barabara ya vumbi,wale wachafu wanaotoa tigo zamani walikua wanatumia jina la barabara ya vumbi
@pius1359
@pius1359 3 жыл бұрын
Mahindi + Mishikaki = Ugari Nyama 😂😂 BUZA is home areas
@oswardmwakalobo2920
@oswardmwakalobo2920 3 жыл бұрын
Mi nashindwa kuelewa kwa Nini watu waliite tendo Hilo kwampalange wakati ni eneo au mtaa hasa inaonekana ni Nina la mtu?
@mauriceandimani3822
@mauriceandimani3822 3 жыл бұрын
Duu wale jamaa wa kwanza wamefafanuwa vizuri sana.
@dullahatibukaniki8720
@dullahatibukaniki8720 3 жыл бұрын
Twende Kwampalange 🤣🤣
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@andreaa.nyundo8333
@andreaa.nyundo8333 3 жыл бұрын
Hiyo buza ukianzia buza kwa Chama,uje buza kwa Abiola, uje makangalawe, uje kwa mama kibonge,uje buza kanisani, uje machimbo, alafu unakula kushoto huko ndiko unaikuta kwa Mpalange.
@Ram_1893
@Ram_1893 3 жыл бұрын
Hapana
@willyjoh7745
@willyjoh7745 3 жыл бұрын
Hahah
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 3 жыл бұрын
Daah jaman watu wote wanachukia kutafsiriwa vibaya jaman😂😂
@hassanmkwama9900
@hassanmkwama9900 3 жыл бұрын
Ahsant zembwela, uko vzr!!!! Uswahilni kuna.meng
@emmanuelgabagendi3169
@emmanuelgabagendi3169 3 жыл бұрын
Dah! Ahsant My Brother
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 3 жыл бұрын
Nakukubali sana Ndimu
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Nafikiri wakija wazungu wapelekwe tu huko. Ni utalii wa ndani huo 😊
@baegtcomedia6798
@baegtcomedia6798 2 жыл бұрын
Buza wasafi mmefika
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 3 жыл бұрын
Kama umeliskiaa Pini la Mama La Rostam Na Ferooz Gong Like Twende sawaa
@nissarhussein4887
@nissarhussein4887 3 жыл бұрын
Zinakusaidia nn izo like acha ujinga
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 3 жыл бұрын
@@nissarhussein4887 weka like hapo Maisha yaendeleeee Nyau wewe mbn Unabwabwasha
@mashamasha2854
@mashamasha2854 3 жыл бұрын
@@bahatijoseph8763 😄😄😄😄
@eventelias3566
@eventelias3566 3 жыл бұрын
Ukiachana na hizo sababu walizotoa hao wana mwanzoni lkn sababu nyingine ni jina lenyewe Mpalange yaan limemkaa kimpalango palango hv!!🤒🤒
@benardmapuga8370
@benardmapuga8370 3 жыл бұрын
Ahahahaaaaaa hatari sana nimecheka peke yangu aisee Event ahahahaaaaaa
@meshackshirima4989
@meshackshirima4989 3 жыл бұрын
Hhhhhhh zembwelaaa hukuu ndikobtulipozaliwa haipingwi
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
Eti mtu mwenyewe anaweza kujificha kma ukitafuta kwa jina hilo
@oswardmwakalobo2920
@oswardmwakalobo2920 3 жыл бұрын
Kiujumla Hawa wadogo wako vizuri kwa majibu ya neno hilo
@kassimwatuta4149
@kassimwatuta4149 3 жыл бұрын
Dah!!! Jahazi zinaingia. Hii sasa tuache. Kwa mbarange na jahazi dah!!!!? Tena mwaka wenyewe sasa alio utaja. Hapo ndio nime choka kabisa
@happinessskafein8800
@happinessskafein8800 3 жыл бұрын
Hahahaaaaa😄
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
🤣🤣😂😂 awo wananchi wakiulizwa wanakaa kwa mpalange wanakataa, sasa kwanini wanakataa kama awakai kwampalange😂😂
@danilohhaule902
@danilohhaule902 3 жыл бұрын
Jaman bongo nyosso hatari sana
@hangimakina1263
@hangimakina1263 3 жыл бұрын
Mpalange ni mzungu 😂😂😂
@malataogtz2080
@malataogtz2080 3 жыл бұрын
Lakini ndo buzza kwa mpalange...
@masatufaustine936
@masatufaustine936 3 жыл бұрын
Huyo mzee Omari anatupiga kamba...eti Mpalange alikuwa Mzungu. Mara Jahazi zilikuwa zinaingia huko miaka ya tisa mia kumi na nane...dah! Huyu jamaa wa kwa Mpalange katupia kamba baya ahahahaaaa
@scanertv7806
@scanertv7806 3 жыл бұрын
Duh kumbe mpalange ni mzungu 🤣🤣
@manchado1863
@manchado1863 3 жыл бұрын
Hahahaha usilolijua litakusumbua
@ggmmjasiliamalionline2746
@ggmmjasiliamalionline2746 3 жыл бұрын
Kwa wazungu na majina ya hovyo wapo kijichi kuna mwengine wanapaita kwa buruda eti
@Hawa-ed2hg
@Hawa-ed2hg 3 жыл бұрын
Nimetamani uwo muindi😘😘
@benedictflorence2870
@benedictflorence2870 3 жыл бұрын
Mpalange 🤣🤣🤣
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 3 жыл бұрын
BUZA KWA Mama kibonge
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 жыл бұрын
Napajua kwa mama kibonge
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 3 жыл бұрын
@@TheSalma1999 oooh kwan wewe unaishi wap??
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
Duu! Mzungu
@hassankapalangabo467
@hassankapalangabo467 3 жыл бұрын
Nimemuona shekh kisoma safi
@frankakuno.9511
@frankakuno.9511 3 жыл бұрын
Kweli panafanana kwa mparange na Jina mulemule
@msaeally12345
@msaeally12345 3 жыл бұрын
Milijua kwampalange nigest sehemu ya kuwachapia pic kary na wasio pic kary
@maryschroeder521
@maryschroeder521 3 жыл бұрын
Nice show
@charlesjohn1332
@charlesjohn1332 2 жыл бұрын
Magole njia panda kwa mama juice ma homboe Dah noma sana
@jumalihumbo8937
@jumalihumbo8937 3 жыл бұрын
Dah history ii kubw sn
@halisimediatz
@halisimediatz 3 жыл бұрын
Kwa Mpalange 🤣🤣🤣🤣
@songweairport7602
@songweairport7602 3 жыл бұрын
HUYO JAMAA MWENYE DREDI KANIACHAAAA HOI SANA...ETI UKIULIZWA WE NDIO MTOTO WA MPALANGE..?/
@polytarimo324
@polytarimo324 3 жыл бұрын
Duuh aisee Zembwela umenifumbua macho na masikio mimi sikuwahi kujua kama kuna mtu anaitwa Mpalange na Pia eneo rasmi linaitwa Kwa Mpalange kabla ya leo hili nikuwa naogopa hata kulitaja 😎😎😎
@elliamalilo4064
@elliamalilo4064 3 жыл бұрын
Yani buza jna dgo lakin kuna matukioo atali
@ibrahimkadibo810
@ibrahimkadibo810 3 жыл бұрын
Sio kweli ww, wenyewe tunaishi huku na hivyo vitu havipo...sema uvumi wa citizen of tz wanapenda kuvumisha ujinga tu.
@tinardionizi8559
@tinardionizi8559 3 жыл бұрын
Waongo bwana huyo mzee alikua anawapa maeneo ya kujenga ila mpaka akufanyie mpalange kwanza awe mwanaume au mwanamke we watafute wabibi hao watoto wanawafichia siri
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 3 жыл бұрын
Hahaha nakufa
@allymashine7023
@allymashine7023 3 жыл бұрын
Sio kweli wewe muongo
@tinardionizi8559
@tinardionizi8559 3 жыл бұрын
Aya bwana
@Ram_1893
@Ram_1893 3 жыл бұрын
Kumbe Kwa Mpalange pazuri kabisa ❤🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿
@voodothurday
@voodothurday 3 жыл бұрын
Wacha weee😂😂😂
@Ram_1893
@Ram_1893 3 жыл бұрын
@@voodothurday Si umeona hapo watu wanaishi maisha yao kwa amani na upendo wa kutosha
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Buza kwa mpalangeeee 🤣🤣🤣
@Jamie-zp7bb
@Jamie-zp7bb 3 жыл бұрын
JAMANI NIKO MBALI NA TZ NAOMBA NIIJUE MAANA YA MPALANGE NI NINI? SABABU NAONA KILA MTU ANAFICHA MAANA YAKE..
@benedictmwaluko1617
@benedictmwaluko1617 3 жыл бұрын
Wawe wanamlipa Kodi Mpalange jaman sio wanatumia tu jinalakee
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 3 жыл бұрын
Mbona jina la Mpalange limekaa kibantubantu, mzungu anakujaje hapo! Bado sijawasoma
@alawiali3475
@alawiali3475 3 жыл бұрын
Inawezekana wenyeji wa wakati huo ndio walimwita jina hilo la mpalange huyo mzungu
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
Kwa Bibi Nyau Kwa Mparange. Kwa Lulenge. Kwa Bakhressa
@eventelias3566
@eventelias3566 3 жыл бұрын
Kwa Mtogole Kwa mfuga mbwa Kwa Remmy Kwa Msuguli
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 3 жыл бұрын
Popo bawa, kwa Mtogole
@Hawa-ed2hg
@Hawa-ed2hg 3 жыл бұрын
💥💥💥💥
@hekimaisaya8255
@hekimaisaya8255 3 жыл бұрын
Eti kwa mpalange kupyaaa 😂😂😂😂🙌🙌
@badmanno.1650
@badmanno.1650 3 жыл бұрын
Sahii ndio napata picha kwanini watu wanapahusisha na ushenzi wa kula tigo... Kumbe mpalange mwenywe alikuwa mzungu
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 3 жыл бұрын
Kwa sababu Ni bondeni bob
@dennismrutu7824
@dennismrutu7824 3 жыл бұрын
😂😂😂
@josephernest155
@josephernest155 3 жыл бұрын
Kumbe hata Dar kuna Bush? Halafu mnakuja huku mnajidai wajanja kumbe unakaa kwa Mpalange 😂😂
@ibrahimkadabla1037
@ibrahimkadabla1037 3 жыл бұрын
Bush zipo lkn co kama za mikoa mingine
@ramadhaniissa5370
@ramadhaniissa5370 3 жыл бұрын
Goood
@sadabahla7120
@sadabahla7120 3 жыл бұрын
Mzee Ata ujui mparange akua mxungu alikya. Mtu WA tanga na watoto wake wapo tandika
@monicahovda4524
@monicahovda4524 3 жыл бұрын
Lol. Kwa hiyo wameshawaharibia jina lao, basi usikute ni la ukoo, looooh Waswahili Noma
@sadabahla7120
@sadabahla7120 3 жыл бұрын
@@monicahovda4524 noma sana
@mathiasthomas4691
@mathiasthomas4691 3 жыл бұрын
🔥🔥
@azizimangara9024
@azizimangara9024 3 жыл бұрын
Kwahiyo mpalange mzungu au mndengereko?
@salimomary6279
@salimomary6279 3 жыл бұрын
Kwel hapo kwa mparange,, panafanan na sehemu yenyewe
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 3 жыл бұрын
Acha kufru Omary
@user-bf5qp5mu5o
@user-bf5qp5mu5o 13 күн бұрын
Wapi zamani chini ya mti
@habimanayasin4223
@habimanayasin4223 3 жыл бұрын
part 2 please Bwana mswahili
@fundisanga1194
@fundisanga1194 3 жыл бұрын
Mswahili leo nimeupata ukweli Wa kwampalange
@martinsimba977
@martinsimba977 3 жыл бұрын
Eti kwa mparange kupo tena kupyaaaa 😀😀😀
@lazaroadolph5863
@lazaroadolph5863 3 жыл бұрын
Kwa mpalangeee😂😂
@mchagashop1342
@mchagashop1342 3 жыл бұрын
Kwa mpalange
@jayman7865
@jayman7865 3 жыл бұрын
Kwa mparange, njooo na bukoba Kuna katelelo.
@justinngurumo8508
@justinngurumo8508 3 жыл бұрын
Kule mlima na huku mlima pale bondeni ndio kwa mpalange 😂😂😂😂😂
@mayallahamis1256
@mayallahamis1256 3 жыл бұрын
Hahahaha huku mlima na huku mlima bondeni ndo kwa mpalange
@dixsonmlagwa4966
@dixsonmlagwa4966 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@mamaabaraka393
@mamaabaraka393 3 жыл бұрын
Jaman mbona uku kwetu yupo mpalange nimdengeleko Tena nimtu mzima
@ishamuu4307
@ishamuu4307 3 жыл бұрын
Weee wandengeleko hatuna mpalange 😂😂😂
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Inawezekana huyo mzee hilo Jina wamempachika wazee wenzake kwamaana ya utani, Kwani watu wawili tofauti tayali wamethibitisha hilo Jina ni la mzungu so endelea kuuliza wazee wako vizur
@amnimalley9100
@amnimalley9100 3 жыл бұрын
Aliezusha hilo neno no nani no vizuri pia ungemuhoji huyo atupe maana halisi pia nini alichomaanisha ktk jamii
@fanuelsulle8144
@fanuelsulle8144 3 жыл бұрын
Kwa mpalange ni mzungu cyo bonde kama wabongo wanavyomaanisha
@baegtcomedia6798
@baegtcomedia6798 2 жыл бұрын
Nina filam inaitwa Kisanga cha kwa mpalange ifuatirieni Bae Gtco media KZfaq
@mobaliyalikatamunene7577
@mobaliyalikatamunene7577 3 жыл бұрын
Natamani kupita kwa mparange njia nzuri sana 😂😂
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 12 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 130 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Самый странный заключённый😂 #фильм #кино
0:56
M&M IN MY THROAT
0:35
dednahype
Рет қаралды 4,5 МЛН
Папа гений
0:23
Вельзевул
Рет қаралды 3 МЛН
Слепой узнал о измене своей жены😳
1:00
Папа гений
0:23
Вельзевул
Рет қаралды 3 МЛН