MNATISHA MPAKA MACHOZI YANANITOKA!. HONGERENI MNO!. MWL THOMAS JOSEPH BIG UP
@mchumi_thecatalystofeconom78892 жыл бұрын
TYM 10, Tunaanza na TYM CUP dhidi ya KKT KIJITONYAMA. Karibuni Tabata Kimanga, Shule ya Wazazi.
@adolphinaeriyo68922 жыл бұрын
Nafurahi sana kuona kwaya tuliyoianzisha enzi za madam Restuta,sasa inawika,Mungu awabariki sana
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Mmeimba vizuri waungwana. Mungu awabariki.
@meshackmigodela9502 жыл бұрын
Baraka kama baraka @mungu akubarik organist wa product of ruaha university
@emmanuelireri4734 Жыл бұрын
Good job mwalimu Thomas
@barnabaskurubone70192 жыл бұрын
Hapa una Mwal. Thom kule kwenye Mashine Mtaalamu Mashibe. Dah!
@martinleonidas4361 Жыл бұрын
Mtiribu mapigo sijui alisahau
@selestinakatwazo72582 жыл бұрын
Kwaya Mt Don Bosco nawapenda mno na mwenyezi MUNGU awabariki mno TUDUMU Katika UTUME wa uimbaji🔥🔥🔥🙏👍🥰mko JUU nawaombea.
@jumakeaneomar9343 Жыл бұрын
Amina
@zicomoses79742 жыл бұрын
Kwaya namba moja kwa sasa Tanzania #sinje mmetisha Tunawakalibisha Thoma mtume, Goba. Mtupe baraka zaidi
@anoldshirima32915 ай бұрын
Una uhakik au unaongea tu
@peterelias39752 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa utume uliotukuka donbsco kwaya
@wolframkifaru12262 жыл бұрын
Daaaaaa!nywele zinasisimka KWA upako WA uimbaji huu
@myk65192 жыл бұрын
Nyc1
@florahkazimoto72462 жыл бұрын
Mpaka raha ani, kunwimbia Mungu raha sana nimewapenda
@kelvindavid8752 жыл бұрын
Waaaaooh kazi nzurii jaman
@ediphoncendakidemi2652 жыл бұрын
This is nice🤩🤩 Don Bosco media Safi sanaaaa👏👏💪 I'm proud of this family🙏
@happynessferecian75322 жыл бұрын
Hongereni Donbosco kwaya yangu pendwa ya kimanga
@beatusidama62332 жыл бұрын
Hii piece ya kuingilia ni superb!
@Kmdkimanga2 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu 👏🏼
@lucykiria64542 жыл бұрын
Saaafi Sanaa
@thomasndakidemi25972 жыл бұрын
Duuuuuuu harufu ya uwepo wa Mungu jamani!
@geraldmiza72072 жыл бұрын
Hakika mnastahili kuwa Tz One, maana sio kwa sauti hizo zilizoshiba na zenye Afyaaaaa tele, kwa kweli Mbarikiwe Sana💯🎶🎶🎵
@ngowigrace6442 жыл бұрын
Waoooo my one and only family I have in this world 👏👏👏👏👏👏👏👏
@petergeorge77572 жыл бұрын
Safi Sana hii
@nemesrichard73962 жыл бұрын
Mmetisha sana Bwana Shemej
@juliusjuvian60522 жыл бұрын
Increedible@Kmd
@jovinusjulius98402 жыл бұрын
Nawapenda bure Don Bosco....Don Bosco Safi sana
@justinambrose35772 жыл бұрын
Safi SANA🔥🔥
@marysemufali7011 Жыл бұрын
Aweeeeeeee!!! Safi sanaaaaa
@evelinymaxmilian33552 жыл бұрын
Kila muda najiangalia safiiiii sanaaa
@paulmala39412 жыл бұрын
I loved the entry style and attire. Keep it up Don Bosco, Kimanga
@Kmdkimanga2 жыл бұрын
But thanks be to God 🙏🏼
@kiriaregula84752 жыл бұрын
Niceee saaaafii saaana
@Kmdkimanga2 жыл бұрын
Sifa kwa Mungu 🙏🏼
@catherinekerubo72828 ай бұрын
The entrance song is just woow😍😍
@catherinelacha66432 жыл бұрын
🎺🎺🎺🎺🎺🎺MUNGU atukuzwe Daima
@prurenalogistics61822 жыл бұрын
BIG
@mchumi_thecatalystofeconom78892 жыл бұрын
Moto uliwaka 🔥🔥
@asumptamsovela94202 жыл бұрын
Iko poaa😘😘
@rejamy2 жыл бұрын
"Ni vema kumwimbia Mungu wetu, Maana kwapendeza, kusifu ni kuzuri" zab. 147 Hongera sana DonBosco, Mungu azidi kuinuliwa na akajitukuze kupitia vinywa vyenu 🙏
@Kmdkimanga2 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu kwa yote 🙏🏼
@arnoldkagaruki52772 жыл бұрын
Vibe la vocal linasisimua sana, Mambo yalikuwa safi sana👏👏👏
@Ellybeny2 жыл бұрын
barikiwa jeshi kubwa.., donbosco eeeh leo tunamuona Mungu ktk sura za wahtaj 🥰😍😍😍 ✅✅✅🙏👏🏻👏🏻👏🏻
@Kmdkimanga2 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu kwa yote
@francisemanuel25392 жыл бұрын
Safi sana
@victorishengoma5724 Жыл бұрын
TO BE CONTINUED
@lucasshirima28802 жыл бұрын
Amina
@jovinusjulius98402 жыл бұрын
Amasing🙌
@kiriaregula84752 жыл бұрын
I love you so much guys jah bless you all
@kiriaregula84752 жыл бұрын
Safiii
@veronicathomas94222 жыл бұрын
😘😘😘😘🙏
@benyjoseph94911 ай бұрын
Eti na mm nijiona hahahaha
@blandinabugomba922611 ай бұрын
❤❤
@dallydominick16732 жыл бұрын
Siongei kitu ase hiki nilichokiongea moyoni kinatosha tu