Mt. Kizito Makuburi - Yesu ni mwema (Live Performance)

  Рет қаралды 7,138

KMK MAKUBURI

KMK MAKUBURI

Ай бұрын

Karibu kutazama wimbo Yesu ni Mwema, utunzi wake Bernard Mukasa, kama ulivyoimbwa na KMK MAKUBURI katika Dominika ya 10 mwaka B iliyoadhimishwa katika kanisa la Mt. Petro - Oysterbay. Kwenye misa hii tulibahatika kusali na familia ya Hayati Edward Lowassa ambapo mama Regina Lowassa alikuwa anamshukuru Mungu kwa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
WIMBO : YESU NI MWEMA
MTUNZI : BERNARD MUKASA
WAIMBAJI : KMK MAKUBURI
KINANDA : FRIDOLINUS MUSHOBOZI
PERCUSSIONS : COLMAN UFUNGUO
MTIRIBU : ZACHARIA GERALD

Пікірлер: 16
@dennisevarist
@dennisevarist Ай бұрын
Moja ya nyimbo zangu pendwa kabisa. Sijawahi kuzichoka
@gabrielinkway1808
@gabrielinkway1808 25 күн бұрын
AKA ,DUKE much respect to you mr
@chiramuroki5609
@chiramuroki5609 Ай бұрын
❤❤❤❤❤nikiskia hiii choir nguvu inarudi
@janemwangi605
@janemwangi605 Ай бұрын
HONGERENI SANA WANAKWAYA KWA HUO WIMBO MTAMU SANA MUNGU AEDELEE NA KUWALIDA AMINA. FROM QATAR BUT KENYAN
@franklynestevoncywanga3760
@franklynestevoncywanga3760 Ай бұрын
❤❤❤❤❤🔥🔥🔥
@JoshuaHilgath
@JoshuaHilgath Ай бұрын
❤🎉🎉🎉Mnaimba vizuri sana huu wimbo kila siku ni mpya pongezi kwa mtunzi na waimbaji wote❤
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 Ай бұрын
Namuona mama yetu mama Lowasa amefurahiii. Kwaya tamu sana hongera St. Kizito
@eunicemunyoki8
@eunicemunyoki8 Ай бұрын
Tamuuuu zaidi👏👏👏👏👏👏
@looneylorraine3770
@looneylorraine3770 Ай бұрын
May God give you energy to continue praising and evangelizing to His people through your songs
@lazarusmulwa6128
@lazarusmulwa6128 Ай бұрын
First to comment❤ wapi likes za Mushobozi ✨💯🔥
@Myunani_DivineStudios
@Myunani_DivineStudios Ай бұрын
Super Sunday
@BikiramariaMshindaji
@BikiramariaMshindaji Ай бұрын
Hongera sana Kmk
@frankmwambi1477
@frankmwambi1477 Ай бұрын
Safi
@juliethrobart9430
@juliethrobart9430 Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Joddemedia
@Joddemedia Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@petermboro8973
@petermboro8973 Ай бұрын
YANI HUU WIMBO BENAD MUKASA ALITUMIA UJUMBE NA ROHO MTATIFU NINI DAAA YANI HAUCHUJI YANI NOMA WAPO MPAKA WESLAMU MTAANI WANAUPENDA HUU WIMBO DAAA AKIFA PEPONI MOJA KWA MOJA HAPIGI ATA ODI YANI NOMA MPAKA MALAIKA WAKISKIA WANACHEZA
Mt. Kizito Makuburi - Inavuma (Live Performance)
9:20
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 18 М.
🔴LIVE: KMKMAKUBURI NDANI YA TAMASHA LA YESU NI MWEMA (TYM-11)
53:39
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 42 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 11 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Mchungaji mwema-Kahamba (Live Performance)
8:57
Mt. Kizito Makuburi - Mungu ni wa Milele (Live Performance)
3:35
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 10 М.
ENENDENI DUNIANI KOTE (LIVE PERFORMANCE)
4:26
KMG TEGETA
Рет қаралды 1,5 М.
TWENDENI TUKAMTOLEE - TMY // Mtunzi: Tumaini Swai
4:52
KWAYA YA MT THERESIA MARUKU
Рет қаралды 78 М.
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 9 МЛН
USHUKURIWE MUNGU: Na Maximillian Mashamba II Tamasha la Yesu ni Mwema-09,2021
4:08
KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI
Рет қаралды 4,7 М.
Mt. Kizito Makuburi - 150 (Live Performance)
14:57
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 5 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 12 МЛН
Sadraddin - Taxi | Official Music Video
3:10
SADRADDIN
Рет қаралды 1,3 МЛН
Dj Jack SpaRRow - Akbar Ghalta Bahiati ( Slap Remix Arabic ) #TIKTOK
2:21
Dj Jack SpaRRow
Рет қаралды 2,3 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,2 МЛН
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
HYBE LABELS
Рет қаралды 30 МЛН