No video

MTANZANIA ALIYEFIKA BAHARI YA SHETANI AFUNGUKA, KANUSURIKA KULIWA NA PAPA "NILIOKOA WATU MV SPICE"

  Рет қаралды 80,517

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Leo nakukutanisha na Kijana wa Kitanzania Moses Ntilema ambaye ni mtaalamu wa mambo ya uokoaji baharini huku akiwa amekumbana na matukio mengi ya kutisha.
Moses amenusurika kuliwa na PAPA lakini pia amewahi kumuokoa mtu asiliwe na Papa, pia ameshiriki Kufanya uokoaji katika ajali mbalimbali za meli ikiwemo Mv Spice iliyotokea Septemba 10, 2011 Zanzibar.
Pia Moses amefika katika Bahari ya Shetani 'Devil Sea ama Bermunda" ambapo ni jambo la kawaida kusikia Ndege, Meli zimepotea.

Пікірлер: 70
@daudnasir3591
@daudnasir3591 3 жыл бұрын
Mimi naikubalii Sana'a ayo TV haijawah toa tarifa. Ya uwongoo big up
@peninahruth2870
@peninahruth2870 3 жыл бұрын
Hongera na mungu awarinde kila siku daima kwa kazi nzito yakuhatarisha mioyo yenu....but waafrika tulikosea wapi nasoma commenti moyo wangu unainama...ile siku tutajua kuinuana mioyo ndio maadui zetu wataacha kutufinyilia...matusi ndio yetu nakujua sna bila msaada...tuweni watu wamioyo safi nawakutiana mioyo...wenu jirani mkenya
@mpinabaharia2247
@mpinabaharia2247 3 жыл бұрын
Tuliwahi safiri wote from Dar to Johannesburg. Namkumbuka vzuri harakati zake!!
@Michaeldanny_214
@Michaeldanny_214 3 жыл бұрын
Tulikua wote
@thebisadorychannel7574
@thebisadorychannel7574 3 жыл бұрын
Amazing Indeed hope you start a life saver training Centre in Tanzania.We have beautiful long sea side.
@serijofesto9068
@serijofesto9068 3 жыл бұрын
Hiyo caption haiendani na alichoelezea ,,,shule inahitajika hpo
@sallamck
@sallamck 3 жыл бұрын
Najua sana kuogelea nakipata mafunzo natumaini nitakuwa muokoaje mzuri sana
@Michaeldanny_214
@Michaeldanny_214 3 жыл бұрын
#MILLARD_AYO .HUYU JAMAA AHOJIWE MARA YA PILI,MTANGAZAJI ABADILISHWE NA CAPTION.MMEHARIBU KAZI
@TALLUBOY
@TALLUBOY 3 жыл бұрын
Amna taharuma Wasaidiz wa miradAyo Uyu jamaa hatugaiye Somo la majin Mumeboa sana AYO TV Mumuite tena interview Iyendelee
@happysonga3819
@happysonga3819 3 жыл бұрын
Umeonaeeee
@immah_deo19
@immah_deo19 3 жыл бұрын
Jifunze Kuandika Mzee
@seifjuma3471
@seifjuma3471 3 жыл бұрын
@@immah_deo19 chamsingi umeelewa mwanangu
@immah_deo19
@immah_deo19 3 жыл бұрын
@@seifjuma3471 Sijaelewa Af Kwanini Wabongo Tunauchukiaga Sana Ukweli?😂😂
@smaihsmaih2815
@smaihsmaih2815 3 жыл бұрын
hongera kijana mdogo lkn upo vizur
@archardflorian77
@archardflorian77 3 жыл бұрын
Great job broo
@kpetres2872
@kpetres2872 3 жыл бұрын
Nakubali
@westtvpro3516
@westtvpro3516 3 жыл бұрын
Mwalimu mzuri sana Tanzania tunapiga atua
@macamezungu7031
@macamezungu7031 3 жыл бұрын
Good 💯🔥
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 3 жыл бұрын
Mungu anawesa kuku fanya chochote
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 3 жыл бұрын
Safi kabisa, ndoto ni sawa na deni lazima uilipe na uiishi ndipo utakuwa huru.Ishi ndoto yako.
@sigifridaloyce6515
@sigifridaloyce6515 3 жыл бұрын
hatare
@mascot_jb
@mascot_jb 3 жыл бұрын
4:43 nikamchukua salama nikamrudisha majini🤣 kwani alimuokoa nchi kavu 🤔🤨?
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 3 жыл бұрын
Mtu anasema ya maana clip inaisha.. ingekuwa Harmonize na Kajala angeongea yote na kuweka part 2 ya kijinga. Mnaposikia issue inahusu ajira za vijana mnapswa muwe aggressive.. ili vijana wengi wapate taarifa.
@diankihombo4495
@diankihombo4495 3 жыл бұрын
N kwel kbs
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Millardayo na cloud hawana uelew sema walipata umaarufu kipind wengne hawajashtika
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Hongereni kazi ngumu kijana mungu awatangulie Kwa kweli
@maimunafundi3544
@maimunafundi3544 3 жыл бұрын
Kwa.kazi hiyo kwenye maji hapana
@ibrahimnadir4490
@ibrahimnadir4490 3 жыл бұрын
Kaona arekebishe kwamba zanzibar sio nchi dah😇
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 3 жыл бұрын
Ndio ni kisiwa ivo
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 3 жыл бұрын
Coco beach siendi tena😂😂😂😂kumbe kuna papa
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 upande wa kushoto apo ndo upi mbona anatutisha🤣
@seifjuma3471
@seifjuma3471 3 жыл бұрын
@@alfredjohn5693 Mimwenyewe nimebaki nakuna kichwa
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
Mmmmhu
@musakhamis6906
@musakhamis6906 3 жыл бұрын
Papa anameza 😂😂😂😂😂😂😂anatafuna na nyinyi papa naye kumega vipande kama mamba
@idrisamngagi284
@idrisamngagi284 3 жыл бұрын
Daah.. Sema wewe
@abilugome7461
@abilugome7461 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@musakhamis6906
@musakhamis6906 3 жыл бұрын
@@idrisamngagi284 wanatupiga fiksi wazi wazi 😂😂😂
@musakhamis6906
@musakhamis6906 3 жыл бұрын
@@abilugome7461 😂😂
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 3 жыл бұрын
Sis huu nd upumbav wetu jamaa ameonge vingi vy maana sisi tunasika hapa alip kosea kidogo tu.
@marcemarco3747
@marcemarco3747 3 жыл бұрын
Ahsant kwA elimu hiyo
@mhifadhi797
@mhifadhi797 3 жыл бұрын
Nice
@ellymaz2187
@ellymaz2187 3 жыл бұрын
Sasa hiyo bahari ya shetani mbona hajazungumzia??
@carolinejuma3108
@carolinejuma3108 3 жыл бұрын
Watanzania na Uchawi sasa kuna bahari ya shetani wapi?
@Memphisblue22822
@Memphisblue22822 3 жыл бұрын
Yan my all 27 yrs I never knew kuwa papa aka shark anameza
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 3 жыл бұрын
Shika humu alimofundsha achana alichokosea itakusaidia
@Memphisblue22822
@Memphisblue22822 3 жыл бұрын
@@YahyaYahya-vp2pp relax kaka itsa joke
@JustLyz
@JustLyz 3 жыл бұрын
Bahari ya shetani ndo bahari gani jmn
@emmanuelmbwambo6571
@emmanuelmbwambo6571 3 жыл бұрын
Kajifunzeni WENYEWE 🤔.
@vianpeter6701
@vianpeter6701 3 жыл бұрын
Mnazingua mnakata kwenye fursa akili zenu sjui kama ziko sawa
@vailethkinabo7961
@vailethkinabo7961 3 жыл бұрын
Mmechemka
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 3 жыл бұрын
Ayo umeanza kufeli sasa
@BestLife486
@BestLife486 3 жыл бұрын
Tunaomba episode ya hii content LA sivyo mtakuwa mmezingua sana, haiwezekani nyie platform kubwa hvyo mkawa mnahariri content kienyeji hvyo this is not serious
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 3 жыл бұрын
Huwaga ni vi habari vya kuokoteza vyenye uongo uongo mwingi sana kutoka kwa watu waongowaongo ndio Maana inaleta shida kuendelea nazo,,,kwa kuwa unawalazimu kutungu uongo mwingine kwa ajili ya muendelezo na asikudanganye mtu sio kila mmoja ana uwezo wa kutunga stori ya uongo na kuiendeleza ni kazi sana,,,Ukiona mtu na stori ya Uongo yenye muendelezo jua ya kuwa mtu hyo ni Ana KIPAJI haswa,,###UongoNaoKipaji###oohhh!!
@erickmweta8215
@erickmweta8215 3 жыл бұрын
Bahari ya shetani ni aina gani hiyo
@officialimmagrape5813
@officialimmagrape5813 3 жыл бұрын
Inaitwa Bermuda Triangle waweza chek google ama youtube
@rosemwema9346
@rosemwema9346 3 жыл бұрын
@@officialimmagrape5813 Oky
@hamadabou8546
@hamadabou8546 3 жыл бұрын
Papa hamezi kuma ww
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 3 жыл бұрын
Wewe utakua shabiki wa yanga sasa mpaka utukane😂😂😂😂
@pamelaemmy8180
@pamelaemmy8180 3 жыл бұрын
Kwann usitukane maumbile yako mbwa wew
@linnamkenda873
@linnamkenda873 3 жыл бұрын
sasa ndo nini, kuweka kipande cha habari🙄
@diegoempire8686
@diegoempire8686 3 жыл бұрын
ayo ishaanza usenge wako mambo gan unapost umeishiwa stori au
@lucylucy3678
@lucylucy3678 3 жыл бұрын
Mm nataka nije kusafisha tu poti
@sifunatheinvestor4766
@sifunatheinvestor4766 3 жыл бұрын
Mbona Mhoji ndiye tena mhojiwa kuwa serious bana bullshit
@seifjuma3471
@seifjuma3471 3 жыл бұрын
Mambo yamegeuka 😃
@buyoyasubira9444
@buyoyasubira9444 3 жыл бұрын
Kaka yangu nimekua nakuamini kumbe wewe muongo aswa history ya Burundi usiojuwa je Na hakuna sheikh hata1 alosimama kumtetea mwenzio bazi ma raia ndo wanapiga kelele awo ma sheikh wambie kuongea umbea wa watto za watu Na kula misada ya wa mayatima
@shosengowi5271
@shosengowi5271 3 жыл бұрын
Wacha hiyo wewe. Maji yanatisha
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 2,5 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 165 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
OKSII
Рет қаралды 4,5 МЛН
MCHANGO WA VIVUKO VYA KIGONGO BUSISI KANDA YA ZIWA
4:10
Temesa Tanzania
Рет қаралды 114
The Explainer | Jimi Wanjigi explains why 'Ruto must go'
28:27
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 12 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
STEVE MBONA UNAMUANGALIA HIVYO SHEMEJI YAKO UNAMTAKA
14:18
Mweusi Family
Рет қаралды 1,1 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 2,5 МЛН