Рет қаралды 1,137
Pro. Ngowi akiwasilisha wasilisho lake linaloelezea mtazamo wa mwalimu Nyerere na dhana ya uchumi mzunguko, wakati wa kongamano la 17 la kumuenzi Baba wA taifa Mwalimu nyerere, liliandaliwa na Chuo Kikuu Cha Mzumbe mnamo tarehe 10 mwezi Novemba 2021