No video

Mtoto wako wa kumzaa ni ruksa kukwita jina lako la kuzaliwa? Fatma Karume, Kipanya wapeana facts

  Рет қаралды 9,479

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Жыл бұрын

Mtoto wako wa kumzaa ni ruksa kukwita jina lako la kuzaliwa? Fatma Karume, Masoud Kipanya wapeana facts

Пікірлер: 15
@halemmmbarak16
@halemmmbarak16 Жыл бұрын
Musimshangae Fatuma ameathirika na umagharibi kiac kwamba anasahau chimbuko lake. Mila na desturi kwake zimekua ushamba.Ana amini demokrasia ndio maisha kamili.Tusimtie maanani sana amedhurika na umagharibi.
@princekagame8203
@princekagame8203 Жыл бұрын
Fatuma inawezkn akawana na tatz la akili
@thedeo472
@thedeo472 7 ай бұрын
Hapa nakubaliana kabisa na Dadangu Fatuma. Watanzania tuache huu ujinga wakuabudu wanasiasa! Haiwezekani raisi wa nchi akaitwa Mama au Baba!!!
@user-jb7nh5pp2e
@user-jb7nh5pp2e 5 ай бұрын
Wewe fatima mzuri sana duhh
@mussaali5306
@mussaali5306 Жыл бұрын
Huyu hajawai kuongea kitu cha maana
@moriscollins4494
@moriscollins4494 Жыл бұрын
Shida watoto waliolelewa mboga saba
@Mpanda_boy_Tv
@Mpanda_boy_Tv Жыл бұрын
Hivi YESU alimwita Maria mama?
@elishamwanjoka5742
@elishamwanjoka5742 Жыл бұрын
Yes ni purple.
@raphaelmtui
@raphaelmtui Жыл бұрын
Fatma kwa hili umekosa busara muhimu kabisa! Hata ya kusikiliza umekosa, kueleweshwa umekosa, unajifanya humwelewi Masoud kumbe unamwelewa! Mtoto wangu aniite kwa jina langu!!!!!
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 Жыл бұрын
Nimegundua kitu katika watu wanaojiita wanasheria wengi akili zao zimechanganyikana na mavi ya nguruwe
@zainarashid1024
@zainarashid1024 Жыл бұрын
Hususan huyu kichaa hasa
@tumainikawau3674
@tumainikawau3674 Жыл бұрын
Hebu subiri bina😂😂😂😂😂
@alhabsi6430
@alhabsi6430 7 ай бұрын
🤣😍
@alhabsi6430
@alhabsi6430 7 ай бұрын
4:57
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Жыл бұрын
Kwa Watanzania kama wapo wachache labda ukae unamwita mama yako Asha au Safia labda kwa sasa hivi mimi nimetimiza miaka 10 jina mama silijui nakumbuka mwaka 86 nimetoka shule nilisikia mama mkubwa amejifungua amekufa namie nikaropoka kusema mamkubwa kajifungua wee nilikalikiwa kama nisingekimbia ningepigwa kumwita mama jina lake mmmm acha kupotosha watu
SIJARUDISHIWA LESENI | FATMA KARUME | KUHUSU FAMILIA
11:47
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 33 М.
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 100 МЛН
FATMA KARUME -  "Makonda Anakurupuka, Adui Sio Ushoga"
17:34
Global TV Online
Рет қаралды 47 М.
KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI
12:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 424 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /22/ #love
38:39
BabaJoan
Рет қаралды 76 М.
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН