MashaAllah Allah awajaze kheir ... sheikh yafaa sasa ufanye dawaa kwa hizi pande za kwale na kilifi na muenue usilamu huko ndani ndani 😢
@aliahmedbahero1362Ай бұрын
Mawazo mazuri na inshalla fikra tumeianza na tutazidi kuishughulikia.shukran
@mustaphahussein1120Ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu kioenzi❤
@mabablaz123Ай бұрын
Wish my son had a chance to learn under this sheikh hafidhahullah
@user-xb6tr5vq4bАй бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh ninakupenda sanamzewang allah atujalie mimi naww na nasoro bachu na ali aboubakar na nurdin kishik tuepamoja peponi amin nawapenda sana kwajili ya ALLAH Ingawa sijawaona nimmi nduwimana aboubakar nikiwa buyenz jijini Bujumbura burundi
@abdulqadirali4730Ай бұрын
Ameen
@user-uc7fj8qq6pАй бұрын
Shukran Sheikh langu Mungu atuhifadhi Na atkuhifadhi Na kila Baya Na mahasidi
@abdulqadirali4730Ай бұрын
Ameen
@maadinaJumaАй бұрын
Allha akulipe kwaukweli ulio tuonyesha
@yussufmwinyi4604Ай бұрын
Mwaka 2022, Afghanistan walitangaza kuuona mwezi, na Saudi Arabia hawakutangaza kuanza mwezi mosi, na hapa pia wanaodai kufata mwezi wa ulimwengu (sio saudia) hawakuifata Afghanistan
@Hafisa-ws8mwАй бұрын
Swadakta
@GSaleh-xr3vnАй бұрын
Tatizo lenu sheikh mnaufany uislam umepitwa na wakat kwa jamb hil
@khamisjuma7616Ай бұрын
ni jambo la kutumia akili tu kuweza kuelewa unaitoaje saumu ya arafa na kinachoendelea makkah wakati kuna kauli inasema muhujaji yeye hatatakiwa kufunga siku ya arafa kama arafa haichimbuki huko inapatokana wapi?
@shamsushaffikassim-fe4ulАй бұрын
Wacha kumtukana sheikh wewe shirazy khabithi ww kama sheikh hajakujibu mm nitakujibu shenzi Fanya heshima na wasomi mbwaaa
@Ibunmaulanashirazy-sn5uiАй бұрын
NIKWELI HUNA ADABU
@isaack100Ай бұрын
Sheikh Sisi wakenya tungefwata tufunge lakini Japan na marekani hawangewwza kwakuwa kwao ni ucku.sasa mtume angefanyaje kuwaunganisha?Alafu shekhe Idi ya udh Hiya mtume alisherekea mwaka wa pili hijria na siku ya Tisa dhulhijjah alifunga Arafa ni hijja ikafaradhiwa mwaka wa 9 AH.kwahivyo mtume alifunga Arafagani wakati hijja haikuwa imeletwa?
@salafy3566Ай бұрын
Haha,,, hijjah ndugu ilianza na nabii Ibrahim,, umeshau mtume alikuwa akilingania watu kwa kuwaotea wakija kufanya hijjah Makkah?